Asalam aleykum Sheikh nina swali mm nlikuja nyumban kutembea lkn nlipofka huku nligombana na mume wng kweny cm nikadai talaka alipoend kwao akaandika talaka kisha akaondoka lkn hakunilete mm nyumban wala hakumpa mtu aniletee lkn kwao walinipgia cm nikachukue mm talaka kwao je sawa?
A.alaykum sheikh mume wang aliniacha talaka ya kwnza kwa njia ya meseji bila kunambia na ya pili ameniacha kwa karatasi bila kutamka lakin ya 3 kanitaamkia na karatasi kaandika je itakua talaka zote 3 zimesihi naomba ufafanuzi juu ya hili
Sasa mimi sikuachika basi kwa sababu nilikuwa nyumbani baada ya ugonvi nikaletewa tu karatasi na kakayake mwanaume basi ndio ikawa talaka mume yeye akasafiri
❤❤ penda. Sana shekh wangu msalimiea bib yng bimwalimu
Jazakallahul kheyr
Shekh wetu bada kisambaa ugali wao uwo 🤣🤣shekh wetu Allah akupe umli mlefu 🙏
Jazakallahu lkheyr
Kweli shekhe matunzo hanna tabu tupu
Je asiposema kama nimekuacha nimekutaliki akawaambia watu je imeswihi
Asalam aleykum Sheikh nina swali mm nlikuja nyumban kutembea lkn nlipofka huku nligombana na mume wng kweny cm nikadai talaka alipoend kwao akaandika talaka kisha akaondoka lkn hakunilete mm nyumban wala hakumpa mtu aniletee lkn kwao walinipgia cm nikachukue mm talaka kwao je sawa?
asalam ayekum shekh mume wangu aliandikia taraka kwenye karatasi 3 ila hakusema kaniacha kisha akazichana je taraka ina swihi au
Ulipata jibu
Naitaji namba za shee naswali LA talaka mie linanichanganya
Kama hautajali kutuma swali lako kwenye namba hii 0657348525 ila in whatsapp only
@@sheikhwalidalhadtv2950 sawa
A.alaykum sheikh mume wang aliniacha talaka ya kwnza kwa njia ya meseji bila kunambia na ya pili ameniacha kwa karatasi bila kutamka lakin ya 3 kanitaamkia na karatasi kaandika je itakua talaka zote 3 zimesihi naomba ufafanuzi juu ya hili
WAALAIKUM MUSALAAM NENDA KWA KADHI WA ENEO LENU AU SHEIKH WA ENEO HILO AKUPE UFAFANUZI
Sasa mimi sikuachika basi kwa sababu nilikuwa nyumbani baada ya ugonvi nikaletewa tu karatasi na kakayake mwanaume basi ndio ikawa talaka mume yeye akasafiri
Hujaachwa
Talaka nitatu au ni mbili?
Tatu
Tatu