Shekhe. Umemaliza ikhtilaf quran ndio muongozo wa kwanza na. Allah anapoamrisha jambo kama hili Sirias hakuna kupindisha ,mashahidi wawili waadilifu ni wajibu allah hawez weka amri katika jambo hili kubwa alaf wengine waseme si lazma mashaidi allah anapotoa amri manake ni kutekelezwa si binadamu kuweka yake
Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh Hiyo talaka haikuswihi na haijatoka kwa sababu haijatomiza masharti ya talaka. Kwa hivyo huyo bado ni mke wake na ndoa yao haijavunjika!
Assalamu allykum ustaz mimi nimemtaliki mke wangu lakini nilikuwa nimelewa naomba unisaidie kwa hili ...na talaka ilikuwa ya mwisho vipi hapa talaka imepita
Mashallah 👍 shehk mungu akulipe
Mashaallah
Naomba ushaur wako baba yangu
Astaghfirullah basi wengi wetu ndio tunaolewa ilihali tuko kwenye ndoa😢😢😢
Amina rudi kwa mumeo
Shekhe nisaidie kipindi cha bwana mtume talaka ilitolewa mbele yamashahidi wawili au?
Je kama mtu ameacha taka kaiandika nakusafir bila kumtamkia inakuwej shekh
Mhmh mie kila taraka anae nipa anaichana sijakupa.taraka apo inakuwaj
Kulingana na mashekhe wanavyosema talaka sharti itamkwe na mume sio kuandika kwenye karatasi tu ndo talaka imeshatimia
Shekhe. Umemaliza ikhtilaf quran ndio muongozo wa kwanza na. Allah anapoamrisha jambo kama hili Sirias hakuna kupindisha ,mashahidi wawili waadilifu ni wajibu allah hawez weka amri katika jambo hili kubwa alaf wengine waseme si lazma mashaidi allah anapotoa amri manake ni kutekelezwa si binadamu kuweka yake
Mm mumewang aliniambia nimekuacha, baadae akaniambia hajakusudia talaka ispokua kakusudia kaniacha nipige ayo makelele maan tulikua tukigombana, jee shekh vip
Elewa hakuna talaka bila mashahidi
Hakuna talaka
Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh
Hiyo talaka haikuswihi na haijatoka kwa sababu haijatomiza masharti ya talaka.
Kwa hivyo huyo bado ni mke wake na ndoa yao haijavunjika!
Assalamu allykum ustaz mimi nimemtaliki mke wangu lakini nilikuwa nimelewa naomba unisaidie kwa hili ...na talaka ilikuwa ya mwisho vipi hapa talaka imepita
Nimeitoa wakati nimelewa na Nina watoto watatu na bado tunapendana bado...naomba nisaidie ustaz
Waalaykum salaam hapo hakuna talaka
Je ukienda kwa mufti wakanambia imepita shehe inakuwaje hapa na mimi sikumuacha kwa akili yangu
Naomba hapa unielekeze nifanyeje nawakati kwa mufti wamenambia imepita naomba unielekeze hapa shehe wangu

Si talaka
Mhmh mie kila taraka anae nipa anaichana sijakupa.taraka apo inakuwaj