TOFAUTI YA SWALA YA SHIA NA SUNNI Sheikh Ayub Rashid

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 39

  • @sibawaybakar6317
    @sibawaybakar6317 4 месяца назад

    Mashaallah

  • @mariamsefu825
    @mariamsefu825 Год назад

    Masha Allah shekhe nimekuelewa sana sisi sote ni waislam tupendane tu Allah ndio mjuzi

  • @Alimohd-w5s
    @Alimohd-w5s 3 месяца назад

    Mashia mna hamasisha kulawiti wakezetu😢mkiwa na mashoga wakike jee wakiume mtawakosa😢

  • @kassimali9413
    @kassimali9413 Год назад

    Maimamu wote wanasema kupitia hadithi n sunna ambzo sipo. Ktka sahihi. Muslimu shekh

  • @MsabahaRamadhaninado
    @MsabahaRamadhaninado 5 месяцев назад

    Naam, allahumaswali ala muhammad wa aali Muhammad shukran sana sheikh wangu, ila samahani napendelea kuuliza ivi: je kuna mushkila wowote ule mtu aki swali kwaku tenganisha swala kwa muda? Mathalani kama jinsi ndugu zetu ma suni wanavo sali kwaku tenganisha swala, ndo napenda kujuwa ivo sheikh wangu

  • @wema_hauozi
    @wema_hauozi 3 года назад +1

    MashaAllah sheikhuna

  • @munezeroabiba6493
    @munezeroabiba6493 Год назад

    Jazzaka Allah kheir Sheikh

  • @mabrozacpmstancesa1207
    @mabrozacpmstancesa1207 Год назад

    Shekhe mashaallah nakuelewa Sana Allah akulipe kheri inshaalaah ila mbona Sasa hivi sioni clip zako mpya

  • @Alimohd-w5s
    @Alimohd-w5s 3 месяца назад +1

    Pamoja nayote nahisi umetumwa kuwasafisha mashia .jee na ww unakubali kulawiti wakezenu? Na jee akizaa wtt wakiume hawatakua mashoga??

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 4 месяца назад +1

    Hivi anaewatukana maswahaba nawakeze mtume na akasemakwamba quran badhi ya aya ziliondolewa huumtu ungali unamuita muisilam?kweli? Kamanihivo Hatawewe mwenyewe tunakuwekea?

  • @fatahbadho
    @fatahbadho Год назад

    6

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 4 месяца назад +1

    Huu nishekhegani? Anasema ushia ni uislam mashia oooote makafiri

  • @pambwemaulidpambwe5526
    @pambwemaulidpambwe5526 2 года назад

    Mtume Muhammad S.A.W hajasema yeye ni sunni, hambal,shia ...........yeye alikuwa na ni muislam tu shikamaneni kwenye kamba ya Mwenyezi Mungu tuache hizi tofauti. ila hao Shia mmeshahudhuria swala zao?.....ni kituko wallahi

    • @makwali4854
      @makwali4854 Год назад

      Kituko wewe usie na elimu hata sala ya Shia hujui. Utaamini kila utakachoambiwa.

    • @makwali4854
      @makwali4854 Год назад +1

      Ushajiuliza kwa nini wao wawe kituko na sio wewe? Unajua kua mtume saww alipigana vita na maadui zake walikua ni Bani Ummayah,je unajua kwamba Bani Ummayah na Bani Abass wote walikua ni maadui wa mtume. Je wajua kwamba maadui wa mtume ndio waliosimamia kuandikwa kwa historia na hadithi za mtume?nini kilisababisha mpaka maadui wa mtume wakaja kua viongozi wa waisilamu mpaka kupelekea wao ndio wasimamie kuandikwa kwa vitabu vya historia ya usilamu ambao leo vitabu hivyo ndio vinavyotegemewa na waisilamu?tafakari...

    • @pambwemaulidpambwe5526
      @pambwemaulidpambwe5526 Год назад +1

      @@makwali4854 kubishana na mtu anayeongea historia badala ya ushahidi wa Quran na hadith ....ni kupoteza muda. wewe endelea na ushia wako hakuna anaye athirika zaidi ya wewe mwenyewe

    • @makwali4854
      @makwali4854 Год назад +1

      @@pambwemaulidpambwe5526 Shukran, uwe na siku njema.

  • @AwessAbbass
    @AwessAbbass 2 месяца назад

    Ni hawa mashia wanaowatukana maswahaba au mashia wengine?

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 4 месяца назад

    Huubwana akiongea anababaisha kwasababu yakaulizake zinaonesha nishia amependa kujificha (suni) (safii)(ibazi) (masalaf) nawengine wanaokubali maswahaba oooooote bilakuwabagua nawakeze mutume Muhammad swalallah walaih wasalam niwaislam ( kuwatoa mashia) nahuobwana nishia ndoma kajificha kwakubabaisha maneno

  • @Pedeshee01
    @Pedeshee01 2 года назад +3

    Kusoma mali ila nataka kuuliza swali kwanini waislamu woote duniani tusiswali kama alivyoswali Mtume Muhammad S.A.W ama alivyoelekeza tuswali? Haya mambo mengine mnatuchanganya hasa nyie muliosoma hasa hasa hao wanafunzi wa miaka hiyo na ndiyo imeleta ikhtilaf kwenye jamii ya kiislam na wallah summa wallah watabeba lawama,japo wengi watasema ni kwa wema ila wema huu umeleta matatizo.Na haya matatizo ni yale ya kusema sisi sunni wengine shia hivi zama za mtume walikuwepo ama makundi haya yalikuwepo?

    • @taslimtaslim5208
      @taslimtaslim5208 2 года назад

      We acha tu

    • @makwali4854
      @makwali4854 Год назад

      Ukitaka jibu tafuta elimu wewe mwenyewe usisubiri mtu akasome huko kisha arudi kukuelezea wewe umekaa tu unapiga mpunga unasubiir uletewe elimu bure kwa kukaa maskani.Kutafuta elimu kwa kila muumin ni faradhi,we shauri yako.

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 Год назад

      @@makwali4854 tafuta hela wewe elimu itakuja yenyewe automatic niamini mimi tafuta hela kwanza halafu hayo mengine yoote utayapata ukiwa na hela,kama huna una hela utaona mwenyewe utamuajiri msomi wowote yule.Ndugu yangu acha makasiriko tafuta hela

    • @makwali4854
      @makwali4854 Год назад

      @@Pedeshee01 Hatujuani mi nawewe, tumekutana hapa mtandaoni.Mwenzio sina matatizo ya pesa nilishapata pesa kitambo saaana nashukuru Mungu. Wewe endelea kutafuta usikate tamaa iko siku utapata in Shaa Allah. Rizki anatoa muumba.

    • @makwali4854
      @makwali4854 Год назад

      Matatizo yalianza baada ya mtume kufa, ujumbe ambao mtume aliwaachia maswahaba baada ya yeye kufa hao maswahaba zake hawakufuata na ndio chanzo cha matatizo haya leo yanakumba Uisilamu duniani. Matatizo yanatokana chanzo ni hao maswahaba ndio unaona Shia wakisema kuhusu maswahaba wanaambiwa wanatukana maswahaba kwa sababu kuna madhehebu yamefaidika na hayo matatizo na hawataki watu wajue ukweli kwa sababu kuna wafalme watapoteza nafasi zao duniani kwa hio wako tayari kutumia pesa zao kuzidi kuwalaza usingizi waisilamu wasijiulize kwa nini hawana umoja na kama unavyojua umoja ni nguvu waisilamu wakiungana duniani wafalme hawatakua na chao na hao wafalme hawatakubali waisilamu waungane.We jiulize wafalme wa Saudia ni waisilamu wale?na wao ndio wako kwenye miji mitakatifu ya waisilamu lakini je wanaishi kufuata mafundisho ya Mtume,ukipata jibu utakua umeanza kujua ukweli wa matatizo ya waisilamu.

  • @kadiraliigaya444
    @kadiraliigaya444 6 месяцев назад +1

    أما أهل السنة والجمع فيقلون في كل قول أو فعل لميثبت عن الصحابة هو بدعة وكل بدعة ضلالة وكل ضلالة في النار acha kubabaisha

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 4 месяца назад

    Ivi unaijua shahada yakishia? Ungeliijua hungeongea kwamba mashia niwaislam tumekushanga

  • @salumissa3200
    @salumissa3200 Год назад +2

    sheikh nakustaajabu kusema mashia ni waislamu wakati kiongozi wao hapa Tanzania amekwisha tamka kuwa ushia ni dini tofauti kabisa na uislamu!! Ina maana wewe hulitambui hili??!! Mcheni allah ukweli wa kumcha kabla pumzi zenu hazijafikia tamati

  • @mwassamwassa7264
    @mwassamwassa7264 Год назад

    Nataka kujua wale wanaovaa suluali fupi ni sunny au shia

  • @munezeroabiba6493
    @munezeroabiba6493 Год назад

    Jazzaka Allah kheir Sheikh achana na wadjinga wanaongea bila kwenda shule utaudjuwaje uislam hudjasoma?

  • @khadijanurdin3163
    @khadijanurdin3163 Месяц назад

    YAANI MASHIA MNAVYOJITAHIDI KUONESHA USHIA NI UISLAM!!!!
    LOOOH!POLE YENU

  • @Alimohd-w5s
    @Alimohd-w5s 3 месяца назад +1

    Mashia mna hamasisha kulawiti wakezetu 😢mkiwa na mashoga wakike jee wakiume mtawakosa😢