Asallam alleykum Asante shehe, Mimi mume wangu amempigia simu shemeji yangu amemwambia tayari mkewangu nimesha muacha taraka 1 akaulizwa umemuacha vipi?? Hapa akasema uwongo kama nimemtumia sms ikiwa Mimi mke sijaipata hiyo sms mpaka sasa ni wiki 2 hajakuja kulala kwangu??maana Mimi ni mke wa pili, na pia Bado hajanimalizia mahari yangu, Sasa anawaambia watu ameniacha lakini Mimi hajanitamkia yeye.
MASHA ALLAH 🇰🇪💚💚💚💚
Opp