AINA ZA TALAKA // SHEIKH OTHMAN MAALIM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 78

  • @arafasalum3169
    @arafasalum3169 8 месяцев назад +3

    Wallah! Subra ni ngumu ,lakini Ina malipo Mema na Makubwa mbele ya M.Mungu.

  • @arafasalum3169
    @arafasalum3169 8 месяцев назад +2

    Jazaakallahu khayran.Allah akulipe kila la kheri Sheikh wetu.

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w 8 месяцев назад +3

    ❤❤❤❤❤ mashallha i like him he is best may Allah protect you amin❤❤❤

  • @SalmaMohamed-z8e
    @SalmaMohamed-z8e 8 месяцев назад +1

    jazzakallah kheir shekh Othman maalimu

  • @Omarimuhibumningechi
    @Omarimuhibumningechi 8 месяцев назад +1

    Hakika subira ni jambo zuri sana Allah atuzidishie subira wanandoa wote

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 8 месяцев назад +2

    Mashallah sheikh

  • @AliiKhalid
    @AliiKhalid 7 месяцев назад

    Vizur sans shekh wetu

  • @ShafiiOmarAli
    @ShafiiOmarAli 8 месяцев назад +1

    MASHA ALLAH ALLAH AKBAR

  • @HasnutMfuruki
    @HasnutMfuruki 8 месяцев назад

    ALLAHU AKBARU NIMEFURAHI KUSIK8A CHEKO LAKO SH.OTHMAN❤

  • @husna34562
    @husna34562 8 месяцев назад +1

    Mashallah tabarakallah

  • @MwanshambaKipanga
    @MwanshambaKipanga 8 дней назад

    Jaman mm naitaji sana namba ya shehe maana nina jambo lng lanitia utata labda nikimpata yeye ntapata jb nipo seriuose

  • @NusuraShabani
    @NusuraShabani 8 месяцев назад +4

    Ndoa ni subra

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 8 месяцев назад

      Ukimpata anayejua subra kama baba zetu na mama zetu yanaenda lkn sasa🥹😪

    • @yasirshee3152
      @yasirshee3152 8 месяцев назад

      Baba na mama bado wako kwa ndoa mtoto kazalishwa watoto 5 kila mtoto ana babake na baba wote wako hai

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 8 месяцев назад

      @@yasirshee3152 swali je aliolewa ama kazalishwa bila ndoa tuanzie hpo maada inaeleza walio ndani ya ndoa tu sio wanapendwa kuziniwa adi kuzalishwa watoto wa zinaa naam wewe unaongelea mda ipi

  • @FatawiJuma
    @FatawiJuma 8 месяцев назад +1

    وَعَلَيْكُم السَّلَام وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ‎

  • @HassanAmadi-zs1sj
    @HassanAmadi-zs1sj 8 месяцев назад

    Mashaallah Kwa darsa yako

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 8 месяцев назад +1

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah

  • @AishaChipwaja
    @AishaChipwaja Месяц назад

    Shekhe mm kwakweli hapana mume wangu mkigombana achi kula wala nn aya nimevumilia ayo kosa kumudai akizangu za maradhi na mavyazi ya kujisitiri kwenye erdhi na bado ana chukuwa ela zangu nimeomba anirejeshe ata kidogo alinitukana na akanambia anitaki ana shida na mke kuishi na mm nidhiki kubwa ana anachofanya sina faida simzaeii yani mambo.mengi na akanifukuza na mm nikamwambia siendi popote nikaendelea kukaa akawa ana lala nje arudi anipi kula wala chochote kile alafu bado ana nitaji kama mke basi nilikuwa na tii bira shuruti nampa aki yake ya ndoa bira kujari kama ana nipa kula wala nn lakini akimaliza kufanya tendo la ndoa akaniambia nitafute kitanda na godoro kwasababu yy anataka ame mwisho wa mwezi aniachie chumba basi nikawa na lala chini mwisho wapicha bado yupo na tabia yake bado ana endelea nayo simulizi chochote nipo kimya siku iyo akanitaji tena nikakubari nilipo enda kujisafisha choni nikakuta kanitupia mito yangu chini sikuongea nika lala zangu seburini anipi chochote alipi maji wala umeme wala chochote kile wala kula lakini anataka aki ya ndoa kunawanume makatili sana na wanawake tunaishi kwa manyanyaso akikuona unapata ata miambili kwake nishida kaka tena kama siku moja kwsho yake akanikuta nimelala tena chini akanambia nakuitaji nikamwambia mm nipo kwenye erdhi basi akalala na mm nipo kweli kwenye ali iyo kesho yake akanambia nimwambia ela zangu ninazo mdai na tuna gari daradara tuzee tuachane kwamani anipe tarka mm nikamwambia sikudii chochote kile kama ushanambia kwamba mm chakwako sina akinacho ikiwa kama mke wake basi akasema nakuwandikia taraka nikamwambia sawa akampigia mma yangu simu akamwambia kisha nikamwacha ndani mwenyewe nikamwambia kama utaiyandika utaiweka mezani nita ikuta kweli nikakuta moja

    • @AishaChipwaja
      @AishaChipwaja Месяц назад

      Tatizo lililopo alishamfwata mwenyewe nyumba akamwambia ana hama na mm mwenyewe akanambia mwisho wa mwezi ana hama tunapo kaa bishara yangu iko karibu nikaona kwasababu alishakuwa na niaya yake na mm siwezi kuzunguka na viombo na yy alishatoaa tarifa na kashaamisha na nguo zake nikaona nilipe kodi ili nisingaike na yy kanipa taraka Nika mwambia lini utatoa vitu vyako kwasababu nimechoka kulala chini na mm nieke kitanda changu na godoro Mana nisharipa Kodi na ww umesama hapa uhami akanambia naongeza mkataba hama ww nikamwambia mm siwezi kwasababu nishatoa Ela yangu basi niungovi ananitishia kunipigia kila wakati ata sijui nifanye kwakweli

  • @JidaHassani
    @JidaHassani 8 месяцев назад

    ❤msha-14:44

  • @shedrackzuberi8942
    @shedrackzuberi8942 8 месяцев назад

    good

  • @shedrackzuberi8942
    @shedrackzuberi8942 8 месяцев назад

    maendeleo yataka subira kosa la hapo kwenye fumanizi hapo taraka lazima

  • @JakalinoNzota
    @JakalinoNzota 8 месяцев назад

    Shekh mimi changudua wangu wandoa alitaka taraka bila sababu ya msingi nikampa taraka moja ya maneno tukaludiana akaitaka tena akaja na kaka zake anaitaka tena nikamwandikia taraka mbili vp apo naweza nikamludia tena akitaka au nikiitaka ktk makubaliano

    • @MeraiOmar-ok8bo
      @MeraiOmar-ok8bo 8 месяцев назад

      @jakalinoNzota..kwaiyo talaka ya maneno pia ndio?

    • @JakalinoNzota
      @JakalinoNzota 8 месяцев назад

      @@MeraiOmar-ok8bo ndio nilitoa mbele ya shekh alietufungisha ndoa

    • @mwanamisakulembwa1147
      @mwanamisakulembwa1147 8 месяцев назад

      Nimekuelewa kakaangu shukran

    • @JakalinoNzota
      @JakalinoNzota 8 месяцев назад

      Umeolewa

    • @MeraiOmar-ok8bo
      @MeraiOmar-ok8bo 8 месяцев назад

      @@JakalinoNzota ..Eka namba Yako nkutafute🫣

  • @NurdineUsseneSamoja
    @NurdineUsseneSamoja 8 месяцев назад +1

    Duuuu jamani nimemuacha mkewagu Sasa vimepita miezi yeye yupo taya kuludiana na mimi Niko tayali je tuludiane ?hau kuna kitu kifuate

  • @JidaHassani
    @JidaHassani 8 месяцев назад +3

    mashall je kama mm nimemchoka mme ana tabia mbay nitafanyaje?

    • @fatmaFatma-hc4nd
      @fatmaFatma-hc4nd 8 месяцев назад

      Nenda kwa kadhi atakupea suluhu ya ndoa yako

    • @mohamedabdallah786
      @mohamedabdallah786 8 месяцев назад

      Kila MTU anatabia mbaya na mzuri ...stahamili

    • @yasirshee3152
      @yasirshee3152 8 месяцев назад

      Umemtowa wapi huyo?

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 8 месяцев назад

      😂😂😂😂​@@yasirshee3152

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 8 месяцев назад

    Je haidhihirishi hapa kuwa baadhi ya wake wa mtume walikuwa wakorofi?

  • @Maryam-vj1rb
    @Maryam-vj1rb 8 месяцев назад

    Sheikh naukiishi na mume asali kabisa haiko kwenye dini kabisa ushafu woote uko kwake vipi niishi naye naomba majibu

  • @OsmanXossen
    @OsmanXossen 8 месяцев назад

    Sasa mkewangu nikimfumania siezi mpa zote Tatu kwa mpigo

  • @MewemaFundi
    @MewemaFundi 8 месяцев назад

    Je mume kuumpa tslaka mkewe bila ya kuumpa mahari yake yaswihi

    • @JakalinoNzota
      @JakalinoNzota 8 месяцев назад

      Mumekumpa talaka mkewe bila yakummalizia mahali yake,(dai deni lako chukua tlk yako) kama utaidai katika wale wasiokanya ardh ya pepo aya

    • @MewemaFundi
      @MewemaFundi 8 месяцев назад

      @@JakalinoNzota shukran sana kwa kunielimisha

  • @FatawiJuma
    @FatawiJuma 8 месяцев назад

    Jitahidi kutafuta wajuzi walio kuzidi watakupa ushauriy

    • @assfzainab912
      @assfzainab912 8 месяцев назад

      Acha roho chafu ALLAH hapend ivyo

  • @BadriaPhilipo
    @BadriaPhilipo 8 месяцев назад

    je kama mume ni mlevi unaweza kuwa na subra?haswali kila kitu umkumbushe hakupi tendo la ndoa na mnalala kitanda kimoja wala hakuuliz maumivu mengi mpk moyo hauna mapenz tena hp mnanisaidiaje?

    • @rahimushaaban6367
      @rahimushaaban6367 8 месяцев назад

      Basi upate mume mwingine muoga wa mungu

    • @tigerqueen3934
      @tigerqueen3934 8 месяцев назад

      Una ruhsa ya kuomba talaka

    • @BadriaPhilipo
      @BadriaPhilipo 8 месяцев назад

      @@tigerqueen3934 Shukran sana

    • @BadriaPhilipo
      @BadriaPhilipo 8 месяцев назад

      @@rahimushaaban6367 Shukran sana

    • @yasirshee3152
      @yasirshee3152 8 месяцев назад +1

      Mtihani mzito sanaa
      Subiri ukichoka mpeleka kwa kadhi ukiwachwa nitakuoa mm

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 8 месяцев назад +4

    Hakuna talaka tatu kwa mpigo katika uislam, hizo ni talaka za omar bin hatwab ambazo zinapingana na Quran na hadith sahihi za mtume

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 8 месяцев назад +1

      Wacha kwanza nimsikilize shekhe alafu nije nikupe dawa yako maana naona amtusi sna wakati wewe na hyu swahab cjui nani alibashiriwq pepo

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 8 месяцев назад

      @@azizayassin3623 Haha wewe jahili wakiwahabi kweli. Kwsni mtu akibashiriwa pepo ndo kawa mtume? Nani kakwambia eti kwasababu swahaba kabashiriwa pepo ndo ana mamlaka na ruhusa ya kupingana n Quran na mtume? Ndo maana nikasema tatizo kubwa la mawahabi ni uwelewa finyu na mbovu

    • @muradmohammed6559
      @muradmohammed6559 8 месяцев назад

      @abiabi9353 bila shaka ww ni Shia kwa hio usiliongelee usilokuwa na ilmu usijibebeshe dhi'ma siku ya qiyama

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 8 месяцев назад

      @@muradmohammed6559 madhebu tu kama gazeti uwezi taifa leo mwanasport lkn yte ni magazeti upo quran ni ile ile swala ni ile ile isipokuwa wao huwacha sunna na hakuna dhambi pili sio washirikina imetosha kuwa wao wako na imani kama yko pole jitambuwe kwanza wacha mihemkooo ya yutube

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 8 месяцев назад

      @abiabi9353 alafu sasa matusi ingekuwa kama ni njia tuliyofundishwa kufikisha ujumbe leo hii kusingekuwa na watu wnao silamu cha kuchekesha sasa hyu unayemtukana humfiki kwa elimu wla imani wla ibada zake pole snakubwa zaid nadhani umajuwa manabii 10 moja kwa moja peponi wewe na mimi sasa htujui hatima ytu zaid ya kungoja mizani ya amali zetu ndio tujuwe tnaenda wpi

  • @JidaHassani
    @JidaHassani 8 месяцев назад

    mashall je kama mm nimemchoka mme ana tabia mbay nitafanyaje?

    • @abouassifmabrouk8110
      @abouassifmabrouk8110 8 месяцев назад +2

      Angalia vizuri apo ipo namba Yao ya whatsap watafute kupitia hio namba uulize naswali yako na utajibiwa inshaallah 🙏

    • @shamzone388
      @shamzone388 8 месяцев назад +2

      Katika mabaya aliyonayo kumbuka moja zuri alilokufanyia utasahau yoote na utakuwa vizuri tu ndugu yangu

    • @mohamedabdallah786
      @mohamedabdallah786 8 месяцев назад +1

      Hata wewe unatabia mbaya uzistahamilie na za kwakwe

    • @JakalinoNzota
      @JakalinoNzota 8 месяцев назад

      Mvumilie atabadilika,kwani subra ni tamu kamatende, nasubra chungu kama shubiri

    • @JakalinoNzota
      @JakalinoNzota 8 месяцев назад

      Mme achokwi ulimpendea nini kama tabia aukiona