Shukran Jazzillaan kwa Darsa zako murwaa zenye mazingatio mkubwa Allaah ana semaa ukimpenda mtu mwambie ukweli kwambia unampenda mim Sheikh Othman Maalim nakupenda Sana kwajiili ya Allaah Allaah atujalie Tawbah kabla ya Mawt na tukakae Jannatul Nai'ymaah ndugu Zangu wote wa kiiyslaam
Mungu akupe umrii shekh wetu nakupenda sana kwa kuwakumbusha wanaume hata mm nimeteseka sana mume mwaka mzima hanigus eti yuko bize inauma sana mungu anisahehe nimeomba talaka niko mjanee mungu atanopa mume mwema inshaa lwaa
Masha Allah Sheikh wetu Othman darsa hii naipa 95 Kwaumuhimu wake asa khair iwe ilaji kwa wanaume wanalaumu wanawake wakati wenyewe ni failure na wana kwenda kwa maslaha yao hawajali feelings na emotional za wake zao na ni wengi wa lawama ukiwapa moyo wako watausema haupigi Burma na ukiwapa macho wat asema hayaoni vigumu mno kuwaridhi
Nguo, jamaan nguo... Hivi tumeeleewaaaa.?? Tumeelewa maneno ya Allah, maneno ya mtume, na maneno ya shekh..?? Mashaallaaaah Jazaakallah khayr Yaa Shaikh
mashallah, darsa hizi ni muhimu sana hususan kwa vijana.wanapopata elim hii inapunguza vijana kuisoma ndoa katika mitandao kwa njia za haramu. jazakallahu khairaa
Mashaalla mwenyez mungu akubariki shehe othman maalim kwa uku.busho wa ndowa hakika uliosema yote kumtu🙏 mwenyez mungu amfanyie wepes ktk s maisha yako akupe shahada kabla ya mauty
Yni kama tunaulizwa wanawake mmoja mmoja faragha basi tutahurumiwa yni tnakaa kama mazoea kwenye ndoa na unajaribu kila kitu kuifanya ndoa iwe na mawarda lkn wpi😢😢😢😢 cjui wanaume wanataka nini😮
Hafswashali7583 walykum Salam warahmatullah wabarakatuh Ni mwanaum kukataa tendo l ndoa inakuw ana shida jiangalie ht ww mke jinsi unavyoishi nay ..unawek mazingir vzr ya kumfnya akuwaze muda wote na atamani kuwa nawe ht km yupo kazini ... Jiandae unawek kitanda vzr manukato nyumb ipuliz inukie udi jitahidi akitok kazin akukute uko safi sio upo na Madera ya jikoni inamfany apotez hamu kipenzi.. Muanze mapem kwa text nzuri ya mahaba kabla hajaja nyumbani..in shaa Allah jitahidi na kumuombea kwa Allah awazidishie mawadaa warahmaa ktk ndoa yenu 🤲🤲
Dada waaleykum salaam, dada jitahidi kutafuta sitara ya maneno yako kwa mumeo, uislam kupitia kinywa cha mtume umekataza " siri za ndani za mtu na mkewe kutoka nje ya nyumba yake" hivyo kwa ushauri, kama lishakua tatizo la muda na mlitofautiana juu ya hilo basi ni vzr ukaanza na wazazi, Kwani hapa si sehemu sahihi kuandika maneno kama haya dada ukizingatia jina lako linaonekana, pia hata usiende direct kwa masheikh kwani alivyotaka kukuoa alifika kwa wazazi. Kua makini dada

Kwenye tendo la ndoa kama kuna moja hafurahi basi inafaa kusema na kupata usaidizi akuna kusema atafte sitra wakati stara wenyewe aipatai wacha kutudanganya hapa yko sahihi kabsa kusema hili@@muhsinmohammed648
Jaman pole tuanzia hpa je mazigira unaweka safi unapendeza unanukia unaongea kama mwanamke ama ndio 😅😅😅 unaongea kama dume chombeza ndoa jitahidi kumuonyesha mapenzi akirudi kazi fanya yeye massage 💆♀️ mpe pole kama akuna juice mpe ata glass ya maji mungu akufanyie wepesi kwenye ndoa Ameen
ALLAH AKUJALIE KILA LA KHERI. TUNARIDHISHWA NA KUFAIDIKA NA MAWAIDHA YAKO. SHUKRAN YA SHEIKH.
Shukran Jazzillaan kwa Darsa zako murwaa zenye mazingatio mkubwa Allaah ana semaa ukimpenda mtu mwambie ukweli kwambia unampenda mim Sheikh Othman Maalim nakupenda Sana kwajiili ya Allaah Allaah atujalie Tawbah kabla ya Mawt na tukakae Jannatul Nai'ymaah ndugu Zangu wote wa kiiyslaam
Mungu akupe umrii shekh wetu nakupenda sana kwa kuwakumbusha wanaume hata mm nimeteseka sana mume mwaka mzima hanigus eti yuko bize inauma sana mungu anisahehe nimeomba talaka niko mjanee mungu atanopa mume mwema inshaa lwaa
Assalaam Alaykum warahmatullahi wabarakatuh
Masha Allah Sheikh wetu Othman darsa hii naipa 95 Kwaumuhimu wake asa khair iwe ilaji kwa wanaume wanalaumu wanawake wakati wenyewe ni failure na wana kwenda kwa maslaha yao hawajali feelings na emotional za wake zao na ni wengi wa lawama ukiwapa moyo wako watausema haupigi Burma na ukiwapa macho wat asema hayaoni vigumu mno kuwaridhi
عليه افضل الصلاة والسلام على رسول الله صل الله عليه وسلم ❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashaallah Allah akupe maisha malefu shekhe wetu tuzid Kujifunza ❤❤❤❤❤
Nguo, jamaan nguo...
Hivi tumeeleewaaaa.??
Tumeelewa maneno ya Allah, maneno ya mtume, na maneno ya shekh..??
Mashaallaaaah
Jazaakallah khayr Yaa Shaikh
الله اكبر ولله الحمد ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
MashaAllah shukran sana kwa darsa nzuri yenye mafunzo makubwa 🙏🧡
mashallah, darsa hizi ni muhimu sana hususan kwa vijana.wanapopata elim hii inapunguza vijana kuisoma ndoa katika mitandao kwa njia za haramu. jazakallahu khairaa
JazaakAllahu khair sheikh Othman Ma'alim. May Allah grant you the best fi dunia wal aakhira. Allahumma amiin. Greetings from Uganda 🇺🇬
Mashallah Tabarakallah Allah..Darsa nzuri sana Jazakumullah khairan
Allah akuongoz shekhe wetu lnshaallah
Mashaalla mwenyez mungu akubariki shehe othman maalim kwa uku.busho wa ndowa hakika uliosema yote kumtu🙏 mwenyez mungu amfanyie wepes ktk s maisha yako akupe shahada kabla ya mauty
Natamani kukuisikiliza mda wote, Mashaallaah.mungu atujaalie Umri mreeeefu shekhewetu.
Aaamn
Allaahuma Thumaa Amiin Yarabal Alaamin kwa pamoya
Alaahum Amiiyn 🤲
Sheikh Othman Maalim kwa hili nakupa mia kwa mia kwa hakika umenikosha sana Tena sana TUPE dawa Sheikh Big up Sheikh
MASHAALLAH MASHAALLAH MASHAALLAH SHEIKH WANGU ALLAH HIFADHIQUM! AMEEN.
MashaAllah ustadh shukran sana kwa mafundisho mazuri
mashaallah baaraqallah fih mungu akupe kauri dhaabiti shekhe wangu
Alaahumma Amin🤲
Killa la kher kwako ammin ammin ammin
Mashaa'Allah ahsante
Jazzakum'llah kheri
Mashaallah tabarakah llah
Shukran sheikh ngu jazaka llah kheir fil Dunia wal akhera
Ameen
Mashalah shehe Osman je nauliza na mke alikata Kwa muda wa miezi miwili? Kuna ndoa bado? Una haki ya kutoa talaka
Assalamu Aleykum warahmatullah wabarakatu
Alhamdhulillah
ALLAAHUMMA SALII WA SALIIM ALA SAYYIDINA MUHAMMAD WALA ALIHI WA ASS HABIHI WA SAALAMU
Allah akupe maisha marefu ustaz
Apo ndio namkumbuka sheikh nyundo ALLAH AMRAHAM
Takibirrrrrrrrrrrr Alahu AAkibarrr
ALLAHU AKBAR
Jazakallah khayran
Walaikumussalam
Yni kama tunaulizwa wanawake mmoja mmoja faragha basi tutahurumiwa yni tnakaa kama mazoea kwenye ndoa na unajaribu kila kitu kuifanya ndoa iwe na mawarda lkn wpi😢😢😢😢 cjui wanaume wanataka nini😮
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
Mashaallah 🙏🙏
❤❤❤❤❤
Takibirrrrrrrr
Mashallah
Shukran
Hi ni yazamani namuona marehu shekhe Khamis kheri
Picha za wezakuwa za zamani
Lakini mawaidha haya hayawezi kuwa ya zamani, yaan hayapitwi na wakati.
Maashallah
Asalam alaikum umesa kweli
Wanaume wt niswa
Shekh,Wana wake wakianza kutumia uzazi wa mpango wànakuwa hawanahamu,wànakuwa hawataki Hata kutekenywa.
😅😅
Asharudi mombasa?
Asalam aleikum
Walykumu msalam warhatuallah wabarakatuh
😂😂😂umeongea ustadh Yani bangi imewachanganya watoto
Asalaam alaykum shekhe mumewangu anakaa kufanya tendo landoa hatawiki 2 inapita na nikitaka mm yy hatak
Hafswashali7583 walykum Salam warahmatullah wabarakatuh
Ni mwanaum kukataa tendo l ndoa inakuw ana shida jiangalie ht ww mke jinsi unavyoishi nay ..unawek mazingir vzr ya kumfnya akuwaze muda wote na atamani kuwa nawe ht km yupo kazini ...
Jiandae unawek kitanda vzr manukato nyumb ipuliz inukie udi jitahidi akitok kazin akukute uko safi sio upo na Madera ya jikoni inamfany apotez hamu kipenzi..
Muanze mapem kwa text nzuri ya mahaba kabla hajaja nyumbani..in shaa Allah jitahidi na kumuombea kwa Allah awazidishie mawadaa warahmaa ktk ndoa yenu 🤲🤲
Dada waaleykum salaam, dada jitahidi kutafuta sitara ya maneno yako kwa mumeo, uislam kupitia kinywa cha mtume umekataza " siri za ndani za mtu na mkewe kutoka nje ya nyumba yake" hivyo kwa ushauri, kama lishakua tatizo la muda na mlitofautiana juu ya hilo basi ni vzr ukaanza na wazazi,
Kwani hapa si sehemu sahihi kuandika maneno kama haya dada ukizingatia jina lako linaonekana, pia hata usiende direct kwa masheikh kwani alivyotaka kukuoa alifika kwa wazazi. Kua makini dada