SIFA ZA WACHAMUNGU JEE NA WEWE UMO ? // SHEIKH OTHMAN MAALIM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 51

  • @ibrahimmzungu3849
    @ibrahimmzungu3849 7 месяцев назад +27

    Ewe mwenyezi mungu mkuu mjaalie sheikh wetu maisha mazuri duniani na akhera na utujaalie mwisho mwema waja wa mtume Mohamed s.w.s inshaallah

  • @ZuhuraMwenjuma
    @ZuhuraMwenjuma 5 месяцев назад +1

    Mawaidha yako ni mazuri sana yanajenga na kufundisha mungu akujaalie umri mrefu uendelee kutuelimisha inshaallah

  • @zuhoor-mc7hq
    @zuhoor-mc7hq 8 месяцев назад +12

    Jazakumllahu khayra shekh wetu OTHMAN naswaha nzuri Masha Allah tabarakallah mola atujaalie tuwe wachaji allah kiunyenyekev ili tupate kurehemew na Allah na tumuombe Allah atujaalie tukutn na rasullu swallahu alayhi wasaalama peponi Ameen 🤲🤲😢😢 Yaa rabbi tujaalie Pepo Yako kwa rehma zako 😢😢 amiin tulinde na ghazabu ya jahanaam 🤲

  • @morogoromedia
    @morogoromedia 2 месяца назад +3

    Mashaallha mungu amueke sheikh wetu ni zawadi kutoka Kwa allha

  • @HileHile-ns9xv
    @HileHile-ns9xv 7 месяцев назад +6

    Nmefarijika sana na mawaidha yko sheikh Allah akupe mri mrefu uzid kutufahamisha insha allah

  • @MariamAlly-l9p
    @MariamAlly-l9p 7 месяцев назад +4

    Jazaaka lwahu khair ya muallim,allah akujaze kheri hapa duniani na kesho akhera,na akupe pepo ya firdaus.aamiin thumma amiin❤.

    • @TatuRashid-d6t
      @TatuRashid-d6t 7 месяцев назад

      Yaaaarabiiii Allah atupe nafasi Ummat Mohammad sote tuipate Pepo hiyo biidhinlah na atusamehe dhambi zetu na atukutanushe na kipenz chetu mtume Mohammad s.a.w, Kwan Allah ni msikivu na husamehe,❤❤

  • @muhinanjowa7229
    @muhinanjowa7229 8 месяцев назад +8

    Ameeen Allahumma Ameen Yarabil allameen 🤲 🙏 shukran sheikh Jazaka Allahu kher ❤❤❤

  • @Bonifasimathayo
    @Bonifasimathayo 2 месяца назад +2

    ALLAH akuneemeshe😊

  • @AsmaKassim-sr2yz
    @AsmaKassim-sr2yz 7 месяцев назад +2

    Allah akuongeze umri utuelimishe ishallah shukran

  • @TatuRashid-d6t
    @TatuRashid-d6t 7 месяцев назад +1

    Allahumma Aamin

  • @TatuRashid-d6t
    @TatuRashid-d6t 7 месяцев назад +1

    Maashaslsh❤❤❤❤

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py 8 месяцев назад +2

    Mash Allah tabarak Allahu ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri shekhe

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 8 месяцев назад +2

    Maa shaa ALLAH 🇰🇪💚💚💚

  • @hamidaviolet8710
    @hamidaviolet8710 8 месяцев назад +2

    ماشاء الله تبارك الله

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 8 месяцев назад +3

    Wallah maalim othuman allah akujaze kher mpk cku ya kiyama yaan nikickliza mawaidha yako huwa napata ucngiz mzuuur wallah allah ndo anajua

    • @neemakibibi9968
      @neemakibibi9968 7 месяцев назад

      Mashalla 🤲 mm piya hata kama Niko na hasiraa nikisikiza mawaidha yake nafarijika waallah

  • @assfzainab912
    @assfzainab912 8 месяцев назад +3

    Masha ALLAH

  • @neemakibibi9968
    @neemakibibi9968 7 месяцев назад +2

    Mashalla 🤲

  • @abdaladelo371
    @abdaladelo371 8 месяцев назад +2

    Mashaallh

  • @najmadanie6043
    @najmadanie6043 8 месяцев назад +2

    Mashaallah🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @AliAbdalla-f6i
    @AliAbdalla-f6i 8 месяцев назад +2

    Allahu jamillu yuhibbu jamalla, swadakata sheikh wetu ' haiyaka allah

  • @a.856
    @a.856 7 месяцев назад +1

    Jazakallah khayran

  • @UssijumaMuhuzi
    @UssijumaMuhuzi 6 месяцев назад +1

    Mungu akubaki sana wewe na ss inshalaa

  • @MariyamJuma-u7z
    @MariyamJuma-u7z 4 месяца назад

    Allah akupe umri mrefu shekhe uzidikutuelimisha

  • @FARAJIFADHILI-v6x
    @FARAJIFADHILI-v6x 8 месяцев назад +2

    Inshallah Allah atusamee

  • @ashuusaydo6808
    @ashuusaydo6808 17 дней назад

    Yaa Rabbi tusamehe Sisi Wana wako hakika sisi niwadhaifu kwako

  • @KalingaJohn-kw3ez
    @KalingaJohn-kw3ez 7 месяцев назад +1

    Inshallah sheikh mwenyez mungu akujaliye mwisho mwema uzid kutujuz 🙏🙏

  • @gonew-b5b
    @gonew-b5b 7 месяцев назад +1

    Allahuma Amiin Shukran Jazaakum Allahu kheir Shekh ♥️♥️♥️

  • @HalimaKa-u3l
    @HalimaKa-u3l 5 месяцев назад

    Sheikh Othman Maalim Allah akupe umri uzidi kuelimisha watu

  • @SaluwaMamy
    @SaluwaMamy 7 месяцев назад +2

  • @JamalBizy
    @JamalBizy 5 месяцев назад

    Shekh othuman maalim mwenyezi mungu akujaalie afya njema uwe wa kutujuza kama hivi Inshallah nataman Sana siku moja nikuona uso kwa uso napenda Sana kusikiliza mawaiza yako shekh wangu mwenyezi mungu akujaalie Sana shekh unanipa wakati mzuri Sana ninapo kusikiliza shekh mwenyezi mungu atujaalie tuwe na mwisho mwema waislam wote Inshallah tuwe wenye kuiona pepo ya mwenyezi mungu subhannal huu wataala

  • @ednamachocho3059
    @ednamachocho3059 5 месяцев назад

    Leo sheikh Othman nimesoma jambo kubwa sana ❤

  • @MwanaishaNthenya
    @MwanaishaNthenya 5 месяцев назад

    Ameen

  • @MariamMohamed-bw8xf
    @MariamMohamed-bw8xf 7 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @ShomiKalunde-zb8gx
    @ShomiKalunde-zb8gx 3 месяца назад

    Allah akbar

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 8 месяцев назад +4

    Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh

    • @zuhoor-mc7hq
      @zuhoor-mc7hq 8 месяцев назад +1

      Walykum Salam warahmatullah wabarakatuh

  • @FatmaRashid-v1z
    @FatmaRashid-v1z 4 месяца назад

    Mashaallah ♥️ ♥️, Allah atuandike pamoja na waja wake wema ya Rabby 🙏. Naulzaje: mtu akikukopa kias cha FEDHA zako kisha akatae kukulipa unatumia njia gani ya sawa yaan ki Dini unasoma dua gani ili aweze kuregesha / kukulipa????

  • @ZahraRamadan-yk9fl
    @ZahraRamadan-yk9fl 7 месяцев назад +1

    Nataka kuuliza swali

  • @ZainabuKomora
    @ZainabuKomora 5 месяцев назад

    Mm nimeota kua nimeingia peponi tena si mara moja, je hizi ndoto zamanisha nn tafadhali

  • @RatifaMohamed-e4l
    @RatifaMohamed-e4l 3 месяца назад

    Mwenyezimungu akupe afya na umri mrefu uzidi kutufundisha hekma na busara.sisi wazazi na vizazi vywetu kwaujumla

  • @ImranSalim-lq3qg
    @ImranSalim-lq3qg 6 месяцев назад +1

    Masha allah

  • @SalmaSalum-d8b
    @SalmaSalum-d8b 7 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤❤