Uchungu wa umauti

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2017

Комментарии • 589

  • @hajratramadhani5346
    @hajratramadhani5346 2 года назад +24

    😭😭allah atupe mwisho mwema yarrabi! atufanyie wepesi katika mwisho wetu yarrabi!!

  • @farahaibeahim3901
    @farahaibeahim3901 3 года назад +6

    Ya Allah niepushe na adabu ya kaburi umueke mahali pema palipo na wema maruhum mamaangu na umuepushe na adabu ya kaburi

  • @hafsamhd9264
    @hafsamhd9264 3 года назад +5

    nampenda kishik kwa ajili ya mwenyezmungu

  • @mwannerajabu8688
    @mwannerajabu8688 3 года назад +12

    Warabu wa Oman 90%wamejawa Imani kuliko warabu wa Emirates wengi wao no mafilauni.Allah awaswamehe na awaondoshee Qibri Cha Dunia,awapatie utajiri wa Imani🤲🤲.

  • @hamisiomary3484
    @hamisiomary3484 3 года назад +23

    Yaallaah watolee adhabu ya kabri wazazi wangu waliotangulia mbele ya haki😭

  • @musarashid3421
    @musarashid3421 4 года назад +57

    Masha Allah, Allah akupe umri mrefu sheikh wetu

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 2 года назад +2

    who listening in 2021 December mashallah m.mungu atakulipa inshaallah

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 4 года назад +44

    Yaa Allah tupunguzie machungu ya umauli itakapo fika zamuyetu

  • @joihanakaziba3996
    @joihanakaziba3996 Год назад +7

    Allah Akbar SubhanaAllah sheikh Ma Sha Allah for the preaching very touching message let us repair for our long journey bse every day we extend to our grave.

  • @user-nq6ct8zl5c
    @user-nq6ct8zl5c 4 месяца назад +1

    😢😢😢subhanallah ee yaa rabbi tuepushe na adhabu ya kabri tuongoze katika njia sahihi mbarik sana sheikh kishki kwa makumbusho mazur ya kiislam inshaallah

  • @Basiito
    @Basiito День назад

    Damn! Sheikh has beautiful voice mashallah! Tabarakallah! 👌🏽👌🏽

  • @firdausoman1678
    @firdausoman1678 4 года назад +37

    Masha Allah ya Allah nidumishe katika ibada

  • @mariamurashidi3452
    @mariamurashidi3452 2 года назад +6

    Mashallah mungu akupe moyo uo uo shekhe wetu

  • @dottokassimumashalwaa691
    @dottokassimumashalwaa691 4 года назад +16

    Mashalwaa munguatirinde namambo yadunia

  • @shangweyussuf640
    @shangweyussuf640 3 года назад +51

    Alhamdulillah. Nikiwaza kiza. Upweke. Watoto. Namuomba Allah Subhannah Wataala atujaalie Subra sana katika changamoto za maisha, tuweze kuwa wenye nafasi mbele yake! Maana bila subra sisi waja tuna mengi hayabebeki.

    • @frolacharles2667
      @frolacharles2667 3 года назад +1

      Jjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjkjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjkjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjkjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjkjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjj

    • @emmanuelosanjo4237
      @emmanuelosanjo4237 3 года назад

      @@frolacharles2667 aaaaaaamin

    • @chomarchomar9258
      @chomarchomar9258 3 года назад

      S. *.😀 00 @@frolacharles2667

    • @ramadhanmulago2090
      @ramadhanmulago2090 3 года назад

      Ameen

  • @aishamumy6504
    @aishamumy6504 4 года назад +30

    Subhaana Allah innal maut lasaqaraat... Allah atujaalie mwisho Mwema... Shukran sana sheikh wetu... Allah akupe nguvu zakutu kumbusha mema in sha Allah... Na Allah akujaalie mwisho Mwema na qalimatul shahaadatu Al laailaha Ila Allah.. Iwe kalma yako ya mwisho in sha Allah... Mashkuurah.. 🙏

  • @amatullahummufurqaana7283
    @amatullahummufurqaana7283 3 года назад +6

    Shurkani Cheikh kishki kwa ukumbusho 🙏🙏🙏

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 2 года назад +2

    YAA ALLAH WAEPUSHE WAZAZI WANGU NA AZABU YA KABUR NA UTUJAALIE MIMI NA FAMIRIA YANGU YOTE MWISHO MWEMA NA UTUJAALIE SIKU YAA MWISHO UTUKUMBUSHE KUTOA SHAHADA INSHALLAH NA UTUPUNGUZIE MAUMIVU YA ROHO ZETU ZITAKAPO TOLEWA NA AZABU YA KABUR MAMA ANGU MZAZI YAA ALLAH MJAALIE MWISHO MWEMA NA BABA ANGU MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI AMINII AMUEPUSHE NA ADHABU YA KABURI INSHALLAH NA SHEIKHE ALLAH AKUPE UMLI MLEFU INSHALLAH UWEZE KUTUELIMISHA ZAID TUNANUFAAIKA NA MAIZA YA SHEIKHE ALLAH AMJAALIE KATIKA WAJA WA PEPONI INSHALLAH

    • @MosesNkinyangi
      @MosesNkinyangi 11 дней назад

      Shekh nakupenda kwa ajili ya Allah pamoja na waislamu wote

  • @mwanaishamwalimu372
    @mwanaishamwalimu372 4 года назад +14

    Jazakallah Allah atupe husnilhatima sote jamiilislam inshaallah

    • @applekisula2135
      @applekisula2135 3 года назад

      Yaarabi tupe mwisho mwema

    • @user-dk4bz3gb1w
      @user-dk4bz3gb1w 4 месяца назад

      Ya Allah tujalie mwisho mwema amiiiiin 🙏🙏🙏

  • @ashamohamedi8012
    @ashamohamedi8012 4 года назад +46

    Mashaallah. Akika. Allah. Atujaalie mwisho mwema

  • @salmanjalale8591
    @salmanjalale8591 5 лет назад +5

    Subhannallah subhannallah subhannallah
    Allah Akbar
    Allah akulinde na hasadi za waja

    • @rabiah1066
      @rabiah1066 4 года назад

      Allah tujalie mwisho mwema 🤲

  • @ashakala4687
    @ashakala4687 3 года назад +11

    Masha Allah sheikh Nurdin kishk Allah Akupe Afya na Umri upate kutujuza dini yetu.nas atupe mwisho mwema Amiini.

  • @athmanmchizan8311
    @athmanmchizan8311 3 года назад +3

    Asalam.Alaykum shekh kishki, mm ni mkenya napenda mawaidha yako, sana, yamejenga, imani yangu, nakuna shekhe mwengine huko zanzibar Aitwa mselem Ally ni mzuri kwa tafsir ya quraan, lakini naskia yuko jela, kwa hisani, yenu mpiganieni, atolewe, ni mzuri xsana kumfanya, mtu aielewe, quraan

  • @rahmaabid447
    @rahmaabid447 4 года назад +9

    Mashallah....sheikh wetu .....tujitahidi tuwe vipenzi vya Allah....Allah atupe vitabu vywtu mkono wa kulia....

  • @aishaloveaishalove3723
    @aishaloveaishalove3723 3 года назад +3

    Allah Atupe Mwisho Mwema Waja wake Wallah Dunian Tunapita to kwakweri ivi Warabu wanao Shida wanatesa wafanya kazi wamo umu wapate Angalao Mawaida kidog Shukrani Sheikh

  • @alhabiibymuhsinbakary7706
    @alhabiibymuhsinbakary7706 5 лет назад +11

    Allah akulipe katika Ulinganiaji waako Shekh wangu japo hatuja onana muda saaaana

  • @allykipila2821
    @allykipila2821 3 года назад +2

    Umauti umeweza kuwakiliza watu mbalimbali marafiki mitume naam tujiandae na safari nzito wallah umauti ni kikomo umauti ni mlango na kila mtu lazima apite mlango huo daah wallah allah tupe mwisho mwema

  • @ramadhanimbarouk5555
    @ramadhanimbarouk5555 3 года назад +6

    Allah atupe mwisho mwema Aaaaamin...!!!🙏🙏🙏

    • @amrankagi3101
      @amrankagi3101 3 года назад

      Yaalla turehemu sisi pamoja na wazazi wetu utupe maisha mema ahera

  • @masalemsaid4405
    @masalemsaid4405 2 года назад +1

    Napenda mawayid nitumihe wp

  • @rakanmahmud3829
    @rakanmahmud3829 4 года назад +6

    Nurudini nakupendaa Sana

  • @tatusalimu4035
    @tatusalimu4035 4 года назад +9

    Nakupnda shekhh kwa ajilii y mwenyzmunguu allh akuongzz kstk ilionyook ,,, ahsantt San kwa elmuu

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 22 дня назад

    Allah nakuomba yarabi tuondowee kibri ya duniaa na utupe kheri yaaaah rasulillah ❤

  • @nadiahassan7993
    @nadiahassan7993 4 года назад +84

    2020 still listening to our sheikh

  • @tauskhatibu4629
    @tauskhatibu4629 2 года назад

    ALLAH Akulipe pepo ya darja ya JANNAT FRIDAYUS Aaaamin

  • @amiruamidou9871
    @amiruamidou9871 3 года назад +4

    mungu akupe maisha marefu

  • @AshouHumaid
    @AshouHumaid 7 месяцев назад

    Kilemba alichovaa Sheikh ni Ishara ya amani yaraby ajaalie aman daima ameen

  • @zammalik2956
    @zammalik2956 3 года назад +12

    😭😭😭 Ya Allah atakulipa mazuri kwa ukumbusho ya Allah ya Allah ya Allah tupe wepec inshallah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 22 дня назад

    Allahu akbar yarabi tujaalie mwisho mwema wenye mafanikio ya kumuamini allah atujaaalie tutengeneze magazine mazuri❤❤peponi inshallah

  • @saidimohamed8992
    @saidimohamed8992 5 лет назад +6

    Mashaallah sheikh wetu Allah akulipe kila la kheri

  • @shaibusalumu3705
    @shaibusalumu3705 2 года назад +1

    Aisee! Mashaallah namm ningependa niwe kama ww by shaibu from mtwara tz

  • @mwajumaamiri4259
    @mwajumaamiri4259 2 года назад +1

    Mashaaĺlah shekhe wetu m.mungu akulinde kwa kira husda za warimwwngu

  • @salimmohamed694
    @salimmohamed694 4 года назад +11

    Subhannallah nisamehe mm yarabb

  • @burjiboy7533
    @burjiboy7533 2 года назад +1

    Very good nurdin kishki🥰🥰

  • @rashidomarypawa9096
    @rashidomarypawa9096 4 года назад +4

    Mungu akuljpe

  • @ZubedaMsocha-hh6zu
    @ZubedaMsocha-hh6zu 11 месяцев назад

    Allah naomba upe kauli thabiti mume wangu na upunguzie adhabu ya kaburi na umpe mwangaza na nuru ndani ya kaburi lake

  • @burjiboy7533
    @burjiboy7533 2 года назад +1

    Mashaalah so 😭😭 nurdin kishki good

  • @nabiryehadija8418
    @nabiryehadija8418 3 года назад +15

    Masha Allah am still listening to our sheikh

  • @RamadhanipanchaPancha-ns1cf
    @RamadhanipanchaPancha-ns1cf 7 месяцев назад

    Ewe mwenyezi mungu nakuomba utuongoe sisi sote waislamu na adhabu zako za kabri

  • @saidhajikhamis
    @saidhajikhamis 2 месяца назад

    Allah atupunguzie machungu ya umaut azichukue roho zetu kwa njia ya wema inshaallah

  • @FatumaMartin
    @FatumaMartin 6 месяцев назад +1

    From kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 your darsa is so gud🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥i pray may Allah probably protect you and your family

  • @jamilanassoro8408
    @jamilanassoro8408 4 года назад +14

    Allah atujalie mwisho mwema na atusamehe Sisi pamoja na wazazi wetu ya Rabby🙏🙏

    • @ftimaramadan4748
      @ftimaramadan4748 3 года назад +1

      Amin inshallah

    • @johnbe8592
      @johnbe8592 3 года назад +1

      allah atujarie mwisho mwema sisi na vizazi vyetu

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 3 года назад +1

      Allahumma ameen thumma ameen

    • @hamisibinti2716
      @hamisibinti2716 Год назад

      Allahuma Ameen yaaraby 😢😢🤲🤲🤲

    • @user-vg6gp3bz1f
      @user-vg6gp3bz1f 7 месяцев назад

      Aaaamina ya Rabby 🤲 🤲

  • @Khadija-qr4cr
    @Khadija-qr4cr 2 года назад

    Mashaallah hadithi nzuri allah akupe husnilkhatima pamoja na ss wote

  • @bilowabass2684
    @bilowabass2684 Год назад +1

    M.a sheikh noordin

  • @mwanaishaally7749
    @mwanaishaally7749 2 года назад

    Mashallah. Shekhe m. Mungu. Atufanyie. Wepepesi. Waislamu. Wote. Tumtii. Allahu

  • @wardasultan4424
    @wardasultan4424 3 года назад +4

    Allah akuongoze ktk ya kumpendeza allah asante sanaaa nimejifunza sana.

  • @hakizimanaomar395
    @hakizimanaomar395 4 года назад +2

    Nakupenda nurdin wangu kipenzi

  • @ayshaswalekh9197
    @ayshaswalekh9197 3 года назад +5

    Allah atupe mwisho mwma atusamehe madhambi yetu waislamu wote pia awape kaul thabit kwa ndgu zetu waislamu waliotangulia ameen🙏

  • @dawiadawia4191
    @dawiadawia4191 19 дней назад

    Na mpenda sana kishik kwa ajili ya Allah

  • @masoudmkapa3870
    @masoudmkapa3870 4 года назад +6

    Allah akulipe kwa kazi kubwa unaiyoifanya na pia atujaalie mwisho mwema

  • @user-om7xn1fl4l
    @user-om7xn1fl4l 3 месяца назад

    Allah akubariki shekhe wetu na Allah akupe umri mrefu weye kheri kuzidi kutuongoza inshaAllah

  • @mwannerajabu8688
    @mwannerajabu8688 3 года назад +2

    Mashukullah yaah sheikh Nurdin kishik Allah awe kiongozi kwakila hatua yakuitangaza Dini na kututoa sisi ktk kiza na kutupeleka ktk mwanga.Allah atakulipa inshallah na akupatie mwisho ulomwema🤲

  • @gashobotseabdoulkarim645
    @gashobotseabdoulkarim645 3 года назад +2

    Assalam alaykum,mawsidha mazuri sana

  • @kwizerimanasada6653
    @kwizerimanasada6653 2 года назад +2

    Subhannallah Allah atujalie mwisho mwema 👏👏

  • @rashidbakari6436
    @rashidbakari6436 3 года назад +9

    Ya Rahman hustle hard Gabrielle mount

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 года назад +2

    Yaraab twakuomba ss waja wako wote utuongoze njia yahaki ya Allah nautujaalie mwisho mwema Aamiin yaraab Aamiin shukraan Sana sheikh wetu kwa ukumbusho mzur Allah akupe jannat firdaus ya daraja yajuu kabisa Aamiin

  • @himidmohammed4001
    @himidmohammed4001 2 года назад

    Omar .Sid. Salm Allh.akupe umri mirefu .usth wet

  • @saidisalim9473
    @saidisalim9473 3 года назад +7

    Allah atujalie mwisho mwema🙏🏾😭

  • @fatumaseleman5037
    @fatumaseleman5037 3 года назад +2

    Mashaallah ostadh umetukumbusha tunajisahau sana mungu atujaalie mwisho mwema

  • @beera.g5302
    @beera.g5302 3 года назад +2

    Yarabii 🙏niajaliee mwisho mwemaa ee Mungu 😭😭🙏🤲

  • @aisharamadan3620
    @aisharamadan3620 Год назад

    Shehe Kishki Mungu akupe umri mrefu ili izidi kiutukumbusha yaliyo mema maashaallah

  • @rehemabakali494
    @rehemabakali494 4 года назад +18

    Yaan Allah tujalie mwisho mwema na utupunguzie machungu ya mauti na utuchukue hali ya kuwa upo radhi nasi

  • @user-ic3xw9hp3k
    @user-ic3xw9hp3k 8 месяцев назад

    Y Allah tusamehe makosa yetu sisi waislam hapa duniani na ahera ya Allah type mwishi mwema na wazazi wetu nawa liotanguriya mbere yetu utupe na subira yakuvu milia iyosiku yasakaratul mauti ningumu tusamehe ya Allah.

  • @allyrashidbaitwa8009
    @allyrashidbaitwa8009 Год назад

    Shekhee kishiki nikisikia wadhi zako au mawaidha nafusi yangu ufulai mungu ndo anajua nakupenda kwa ajili ya allah Mimi ally rashidi nkiwa muleba kagoma

  • @nilihamommary2406
    @nilihamommary2406 Год назад

    Kishk unajua Sana waislam tunakupenda

  • @ummynyevu1027
    @ummynyevu1027 2 года назад +2

    Mwenyezi mungu atuajalie na mwisho mwema.amin

  • @salamaali4756
    @salamaali4756 2 года назад

    Allah akuzidishie umri sheik uzidi kutuelimisha SS waislam tunapotea waislam wapi tunaelekea jamani

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 7 месяцев назад

    Maashallah maashallah mwenyezi mungu akujalie kila lakheli yaarabi ameen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @zobidhzozo9986
    @zobidhzozo9986 2 года назад +9

    Ameena ya sheikh may Allah bless us with jannah Ya Rabbi.

  • @abouayman3770
    @abouayman3770 6 лет назад +12

    maaashaa Allah sheikh wangu

  • @nasmanasma5992
    @nasmanasma5992 4 года назад +6

    Mashaalla mungu atupe mwisho mema amina

  • @arrafakiwope8893
    @arrafakiwope8893 Год назад

    Mwenyez mungu Akuweke shee kishik

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 года назад

    Nafikiria vipi, wanao ua wenzao hali yakuwa na yy atakufa, yaa Allah tupe imani na mwisho mwema

  • @Fazila1122-ks3db
    @Fazila1122-ks3db 5 месяцев назад

    Mwenyez mungu azindi kuku weka uzindi kutu elimisha

  • @faresnassor2741
    @faresnassor2741 9 месяцев назад

    Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh allah akuhifadh sheikh wang maalim wang nakupenda kwaajil ya allah pekee wal sio kwa mali na watoto wal pesa bali kwaajil ya taqwa njema ya allah

  • @zulfajuma8394
    @zulfajuma8394 Год назад

    Allah akujaalie umri mrefu ili uzidi kuwakumbusha vizaz na vizaz inshaallah

  • @tatusalimu4035
    @tatusalimu4035 4 года назад +4

    Alllahu atupee mweisho mwem aaamin

  • @chafpozchafpoz2288
    @chafpozchafpoz2288 5 лет назад +4

    Mungu akuzidishie atua

  • @ifrahabdullah4586
    @ifrahabdullah4586 3 года назад +9

    May Allah make it easy for us Insha Allah

  • @ilhamtarzan9364
    @ilhamtarzan9364 2 года назад +2

    Mashallah tunashukuru Kwa kutukumbusha Allah akutunze akupe umri afya kila iitwavyo leo

  • @badildiniaisha2585
    @badildiniaisha2585 3 года назад +24

    Thank u shaikh for the great full message, my Allah bless u so much

  • @user-dw4vx8ol9q
    @user-dw4vx8ol9q 11 месяцев назад

    Alla. Mppe. Umr. Mref. Shekh. Wetu❤

  • @nzeyimanaaisha9343
    @nzeyimanaaisha9343 Год назад

    Allah akupe maisha hapa duniani na kesho akhera

  • @omanmuscat3721
    @omanmuscat3721 2 года назад +1

    Nimejifuza vitu vingi san

  • @alialghafri1833
    @alialghafri1833 3 года назад +1

    mwenyezi mungu afanyie wepesi nurdini masomo yako Yanani nifundisha sn

  • @maliamhamdun3115
    @maliamhamdun3115 2 года назад +1

    Hakika allah atujarie mwisho uro kua mwema inshallah Allah

  • @user-py3eq2st5w
    @user-py3eq2st5w 7 месяцев назад

    Allaah atusamehe na atujalie mwisho mwema,na mawaidha yako na ibada zako shee kishk zikawe ni matunda yako kesho akhera kwa kweli tunakupenda

  • @fatuma2061
    @fatuma2061 Год назад

    Mashaawa sheikh kishiki Allah akupe mri napenda mawaida Yako nimatamu

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 3 года назад +3

    Subhanallah allah atustiri atupe mwisho mwema sote kwa jumla allahuma meen🤲

  • @rammytheboy284
    @rammytheboy284 3 года назад +3

    Kher

  • @icecream2684
    @icecream2684 3 года назад

    Ya Allah tuhurumie waja wako tuweke katika kheri na mema tuchukue ukiwa uko radhi na sisi.
    Ya rabby unamuongoa umtakae tunaomba nyoyo zetu zijaze hofu tufate maamrisho na tuache makatazo.ni wewe tu tunae kuabudu na ni wewe tu tunaekutaka msaada.
    Ya Allah nisamehe mimi wazazi wangu ndugu zangu na jamii l Islamiya
    Yarraby mrehemu mama yangu muhurumie muondoshee adhabu yarraby wangu kipenz.
    Allahuma amiin