Uchungu wa mauti na sakratilmauti

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 507

  • @MuezzinPeza
    @MuezzinPeza Год назад +12

    Wallah sheikh respect Iman imepanda nilikua nimejisahau Allah akujarie mwisho mwema

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 2 года назад +4

    Yaarabi tumuogopeni allah na atujalie mwisho mwema sisi na wazazi wetu navizazi vyetu amiini amiini tusamehe duniani na kesho ahela

  • @hassanajiruu7793
    @hassanajiruu7793 2 года назад +2

    MashaAllah Amir Kipozeo Inanikumbusha miaka ya 90 Tulipo kuwa Kongamano la JiTimahi huko Mwanga Tanzania. MashaAllah Amir Wangu Mwenyenzi Mungu Akulipe Kwa nehema Uliyo Nizindua nlipo kuwa nimeghafilika kwa maisha ya dunia hii Miaka hiyo ya 90 Hukaniongoza Kujiunga na Makundi ya TABLIGH Alamdullillah Amna Anae Stahiki Kuabudiwa Kwa Haki Hila Allah Subaahaana Huu'Wataa'Allah. Allah Atufishe Tukiwa Waislamu InshaaAllah.

  • @daudiniyonsaba1113
    @daudiniyonsaba1113 Год назад +20

    May Allah Bless all the muslim ummat, amen. Ramadan Mubarak 2023.

  • @Ngolo_comedian
    @Ngolo_comedian 5 лет назад +6

    allah amjaze khery shekh hashim mbonde.na azidi kumpa ..uhai mrefu.azidi kutupa..mawaidhwa matam kama haya..

  • @jamilajamila4711
    @jamilajamila4711 2 года назад +3

    Assalam Alykum warahmma tullah wabarakatuh mwenyezimungu atujaghalie mwisho mwema Wa hapa duniani na kesho akhera hakika duniani si kitu mwenyezimungu atujaghalie tuweze kuipa mgongo dunia 😭😭😭😭😭😭

  • @sadallahjuma7389
    @sadallahjuma7389 7 лет назад +16

    Mashaallah,Allah akupe umri mrefu ili uendelee kutuelimisha zaidi ustadh Hashim Mbonde-inshaallah

  • @abdulhakimabdi566
    @abdulhakimabdi566 4 года назад +16

    This video changed me for my Good Jazakalah khair. May ALLAH WILL REWARD YOU IN SHA ALLAH

  • @fatmah12mohamd46
    @fatmah12mohamd46 8 лет назад +39

    asalam aleikum warahmatullahi wabarakatu...subhanallah tumeghafilika na dunia na zilizomo ndani yake ewe mola tunusuru ummati muhammad s.a.w .

  • @fatmah12mohamd46
    @fatmah12mohamd46 7 лет назад +12

    asalam aleikum warahmatullahi wabaraqata..mola atujaalie mwisho mwema na kufe km waumi tutamke shahada inshallah',shukran shekh"mola akujazi kheri bado twaelimika.

  • @mtindishee1715
    @mtindishee1715 6 лет назад +20

    Allah atujalie tuwe miongoni mwa waja wake watakao ingia katikà ihidi nasrat mustaqeema aamin.

  • @jamilaimeda4063
    @jamilaimeda4063 6 лет назад +8

    Mwenyez mung tupe mwisho mwema

  • @zuubyjamal7104
    @zuubyjamal7104 8 лет назад +44

    YA RABB YA RABB,,TU HAFIFISHIEA,,TUJALIA MUSHOW MWEMA,,IN SHAALLAH

  • @dudytgufht6156
    @dudytgufht6156 9 лет назад +30

    Ya allah tuepushie adhabu na walio mbele ya haki uwasamehe ameen

  • @OmanOman-gc1zu
    @OmanOman-gc1zu 5 лет назад +9

    Allah agupe mwisho mwema... in shaa Allah Allah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @mwanakassimkassimdaudi3245
    @mwanakassimkassimdaudi3245 7 лет назад +8

    Laila haila Allah....Allah atujalie mwisho mwema.. waislam wote inshaallah...

  • @mariamk1488
    @mariamk1488 8 лет назад +31

    MAshallah Allah atuajalie...mwisho mwema inshallah AlahamdulilHi .....kwa mawaidha ya kutukumbusha...

  • @Justamangashini
    @Justamangashini 5 месяцев назад +1

    Allah akbar M/mungu atujaalie mwisho mwema mimi na wazazi wangu na waislamu wenzangu wote tumcheni allah jaman kifo ni fumbo ...🙏

  • @abdoulpainite2501
    @abdoulpainite2501 10 лет назад +23

    Mwenyezimungu atujalie kuwa wenye kutubia kabla mauti hayajatufika na pia atujalie mwisho mwema.AAMIIN

  • @megenehassan6831
    @megenehassan6831 7 лет назад +29

    tunamuomba mwanyezimungu atupe mwisho mwema Amiin ya rabbi

  • @ARFIddy
    @ARFIddy 8 лет назад +13

    SBUHANA LLAH ALLAH ATUJAALLYE MWISHOO MWEMA. JADHKALLAH KHEIRA.

  • @Zulpha-i5d
    @Zulpha-i5d Месяц назад

    Salam Alekum warkmatulahi wabarakatu asante sheik wetu kwa ukubusho Na Allah atupe mwisho iliyo mwema in shaa Allah atupunfuzie adhabu ya kabri asaidie kaburi yetu iwe na nuru in shaa Allah Allah atuhurumie kwani akuna mwengine wakutuhurumua isipo kuwa Allah na asaidie mimi wadongo wangu wazazi wangu na ummah tuuu Muhammed atupe pepo tuu firdausi in shaa Allah atuepushe na moto in shaa Allah

  • @khamisjuma6175
    @khamisjuma6175 5 лет назад +15

    Yaa ALLAH, wasamehe waislamu waliotangulia. Utusamehe na sisi makosa yetu. Utujaalie sisi ni wenye kukutii wewe. Utuepushe na Shetani (Bilis) uliemlaani na utujaalie tutamke tuwe miongoni mwa watamkao shahada wakati wa kutolewa roho zetu. AMIN.

  • @issachanai6588
    @issachanai6588 6 лет назад +3

    mungu tujaalie Lauren thabit

  • @salehegiza3305
    @salehegiza3305 6 лет назад +74

    Walahi kama unamsikiliza huyu shee huwezi kuwa kiburi. Yarabi nijalie niwe miongoni mwawaja wema. Na mwisho wetu uwe mwema....

  • @sresclass3181
    @sresclass3181 10 лет назад +33

    Tunamuomba allah atujaalie mwisho mwema.amin

  • @abdillahdhamir807
    @abdillahdhamir807 4 месяца назад +1

    Yaallahu tujaalie mwisho mwema yaallah tujaalie tuwe miongoni mwa watu wema yaallah🤲

    • @NINAHYusuph
      @NINAHYusuph 2 месяца назад

      Inshallah Allah atujalie wepes inshallah 🙏😥

  • @sakinasaid0168
    @sakinasaid0168 7 лет назад +17

    Ya Allah tujalie mwisho mwema

  • @MasoudomariSeleman
    @MasoudomariSeleman 3 месяца назад +2

    Ndgu Zangu waislam Mauti yanatisha sana uchungu wa Mauti hauelezeki Jaman Allah tujalie mwisho mwema ashahadu Allah ilaha ilanlah Muhammad rasululah 🕋🕌🙏🙏

  • @ashirafushafii6513
    @ashirafushafii6513 Год назад +1

    Sheih mbonde mungu akutangulie na atujalie mwixho mwema

  • @faidhatsalum4374
    @faidhatsalum4374 6 лет назад +2

    Mwenyez mungu atujalieeee mwisho mwema

  • @tukumbushanemema1951
    @tukumbushanemema1951 7 лет назад +18

    mawaidha ya uyu sheikh naipenda mno

    • @sallyzreshiz20
      @sallyzreshiz20 5 лет назад +1

      Hata mm

    • @hossenabdalah2673
      @hossenabdalah2673 5 лет назад

      Mungu akubariki sana shekhe wetu unatukumbusha umauti yaarabi tujaalie mwisho. Mwema

  • @ibrahimnyakunga9557
    @ibrahimnyakunga9557 6 лет назад +4

    Allah atujalie mwisho mwema waamumi wote wa dini ya kislaamu ulimwenguni

  • @amodangote8292
    @amodangote8292 8 лет назад +20

    Ndugu zangu tumchen allah siku ya kufa atuijui na pia tukumbuke kila nafsi it itaonja umauti

    • @zuubyjamal7104
      @zuubyjamal7104 8 лет назад

      in shaallah Allah atupe mwishow mema,,

    • @nkinyavubaluahapochacha1063
      @nkinyavubaluahapochacha1063 8 лет назад +2

      subhanah llah astaghafirullah.allah atuepushe a adhab za maut na za qabr.allah atujalie kauli njema siku ya mwisho inshallah

    • @abduljuma594
      @abduljuma594 5 лет назад

      Ala ah akbar

  • @kuluthumushear7659
    @kuluthumushear7659 8 лет назад +18

    ya allah tujalie waja wako tuufikie mwisho aliyakuwa una radhi na sisi

  • @rajabujumanne2989
    @rajabujumanne2989 7 лет назад +14

    Allah atunusuru na umaut waislam wote atupunguzie azabu apa dunuani,kaburin na kesho milele akhera SASA NA SISI WAISLAM TUBADILIKE JAMANI MAANA MANENO YA SHEKH NI MAZITO MNOOOOO tusipo andaa akhera yetu sasa basi akuna pakutengenezea pia tusiwasahau waliotangulia kuwaombea duaaaa

  • @rashidzahor3102
    @rashidzahor3102 6 лет назад +2

    sheikh tunashukur kwa ukumbusho usiokuwa na kifan dunian

  • @masseanadir2904
    @masseanadir2904 7 лет назад +10

    Yaah Allah tujaalie mwisho mwema sisi na vizazi vyetu pamoja na wazazi wetu.

  • @mohammediddi7255
    @mohammediddi7255 11 лет назад +16

    Ya Allah make us da ppl of jannah and give us a good ending ameen and protect us from da punishment of the grave..ameen yarabi ameen ....

  • @yakuburamadhan9829
    @yakuburamadhan9829 7 лет назад +2

    Haki mwenyezi mungu akulludhuku kwa mawaidha madhuli Allah akuzidishie mema

  • @masoudsaid7971
    @masoudsaid7971 7 лет назад +8

    Allaah atupe mema duniani, na atupe mema akhera na atuepushe na adhabu ya moto.

  • @christinamazoya3416
    @christinamazoya3416 7 лет назад +6

    Allah atujalie tuwe na mwisho mwema ya rabbi

  • @mohammedbusaidi8505
    @mohammedbusaidi8505 7 лет назад +7

    a. alaykum hakik sis ni wa allah n kwake teterejea ya allah tupe mwisho mwema y lailah ilahullah muhamadu rasulluwah na makaz mema fijanat ameeeen

  • @jumasmiths9406
    @jumasmiths9406 9 лет назад +25

    subhannallah ametakasika aliyeumb mbingu na ardhi

  • @malikiakimwera9524
    @malikiakimwera9524 7 лет назад +6

    allah atujalie mwisho mwema

  • @Abdullatif-zv2qq
    @Abdullatif-zv2qq 4 года назад +1

    Allah atunusuru shekhe wangu pia Allah akuzidishiee 2021

  • @issaibony6386
    @issaibony6386 6 лет назад +4

    Mungu atulinde n atujaalie mwisho Mwema 🙏🙏🙏

  • @abduluwezotv4418
    @abduluwezotv4418 6 лет назад +2

    Ewe mwenyez mungu tujalie mwisho mwema wa maisha yetu

  • @ARAFATVSHOW
    @ARAFATVSHOW Год назад +1

    ramadhan Mubarak 2023 manshallah ❤️❤️❤️

  • @mariamsuleimanmunguakupeum6552
    @mariamsuleimanmunguakupeum6552 7 лет назад +5

    mola akujalie shek wetu uzidi kutu ongoza yarabi tupe kalma ya lahila hila laha

  • @abbasshabani670
    @abbasshabani670 5 лет назад +2

    ee mwenyezi mungu tunakuomba mwisho mwema amin yaa rabiliallah min

  • @aminamohammad6342
    @aminamohammad6342 3 года назад +2

    Shukran kwa mafunzo yenye faida tele kwa maisha ya sasa na akhera,Allah atuepushe na adhabu ya kaburi

  • @MuhammadMutingwa
    @MuhammadMutingwa Год назад +1

    Maashaallahhhh sheikhhhhh

  • @unitedoman5695
    @unitedoman5695 7 лет назад +16

    ina lilah waina ilaihi rajiun allah tujaalie mwisho mwema inshaalah😭😭🙏

  • @ziadaally9684
    @ziadaally9684 8 лет назад +21

    yaallah tupe mwisho mwema

  • @shebychazy3589
    @shebychazy3589 4 года назад +1

    Yaarbi tujalie mwisho mwema wa maisha yetu hap duniani mpk akhera yarabillaghallalamina

  • @hafsahafsa1450
    @hafsahafsa1450 2 года назад

    Jazzakaallah akher Allah akulipe kher kwa ukumbusho, Allah atujalie mwisho mwema inshaallah

  • @borohassan382
    @borohassan382 9 лет назад +47

    Ya Allah nifanyie neno langu la mwisho La illaha illa Allahu

  • @nsabimanahussein6054
    @nsabimanahussein6054 5 лет назад +2

    mungu unijaliye mwisho mwema

  • @alisalum8444
    @alisalum8444 3 года назад +1

    Dah mtihani kweli Allah atufanyie wwepesi inshallah

  • @jidalddl8787
    @jidalddl8787 8 лет назад +8

    Ameen

  • @kimusoudy9870
    @kimusoudy9870 5 лет назад +1

    Mwenyezi mungu atupe mwisho mwema amen

  • @UrmminOmary
    @UrmminOmary 3 месяца назад

    Ewe mola wetu mlezi mungu wa miungu bwana wa mabwana mwenye kiti Cha enzi nakuomba unijaalie mwisho mwema 😭😭😭😭👏👏👏

  • @JumanneMayoka
    @JumanneMayoka 5 месяцев назад +1

    😭😭😭😭😭😭allah tujalie mwisho mwema

  • @abdinassirhassan464
    @abdinassirhassan464 11 лет назад +3

    barakallahu fihikum sheikh

  • @jamilaabdalaabdala276
    @jamilaabdalaabdala276 7 лет назад +5

    ya rabi tujalie mema,utusamehe madhambizetu,

  • @suleimannassor1145
    @suleimannassor1145 6 лет назад +3

    Allah Hu akbar la ilaha ilallah Muhammad rasulullah Allah atupe mwishi mwema. INALILAAH WAINNA ILAIHII RAJIUN. 🙏🙏🙏

  • @rashidhaji1644
    @rashidhaji1644 9 лет назад +6

    Ya Allah tujaliye mwisho mwema sote waislamu...Amen ya Allah

  • @kenedlaurent1256
    @kenedlaurent1256 6 лет назад +2

    eee Mwenyez Mungu tujaalie tutende yakukufurahisha

  • @mrsdully1613
    @mrsdully1613 8 лет назад +23

    inalillahi wainnailyhi rajiun
    yarabi tujaalie kauli ya mwisho LAAILLAHA ILALLAH MUHAMMAD RASULULLAH amin thumma amin

  • @fatumayunus4537
    @fatumayunus4537 7 лет назад +3

    ìñshallaah mungu àtujaliè Lila lenyekheri

  • @adamuipingika9356
    @adamuipingika9356 6 лет назад +1

    Ewee Mola wetu tukubalie dua zetu amiin

  • @omargbabagbaba4231
    @omargbabagbaba4231 9 лет назад +19

    MashaAllah kwa mawaidha mazuri Allah atulinde sote insha Allah

  • @fatmaally714
    @fatmaally714 7 лет назад +4

    LAAILAH ILLA LLAH ALLAH AKBAR. AHSANTE YA SHEIKH KWA UKUMBUSHO . LAKIN NASIKITIKA KUWA DARASA ZAKO CHACHE MITANDAONI

  • @SAIDIRASHIDI-q6l
    @SAIDIRASHIDI-q6l 19 дней назад

    Allah akubaariki shekh wetu akupe jannaaa nasi mwisho mwema

  • @hamiduhamisimrisho4323
    @hamiduhamisimrisho4323 Год назад

    Asant shekh tunaomba na mashekh wengne wawe wanagusia mawaidha ya kifo na moto mana yanatugusa moyon sana had tunapatwa na uoga.lakn mashekh weng saiv hawagusii ivyo vtu watu wanasahau.mungu akulipe kher shekh na atujalie mwsho mwema

  • @jethronkabaka2997
    @jethronkabaka2997 2 года назад

    Mashaallah mwenyezi mungu atujaalie mwisho mwema

  • @mohammadmwakuro2824
    @mohammadmwakuro2824 7 лет назад +5

    Allah atujalie mwisho mwema

  • @hidayashaaban6172
    @hidayashaaban6172 8 лет назад +53

    yaarab tupe mwisho mwema na utujaalie kuitamka shahada

  • @RashidAli-t7f2b
    @RashidAli-t7f2b Год назад

    Mwenyezi mungu atupe mwisho mwema yarabi

  • @theworldproof1221
    @theworldproof1221 3 года назад +1

    Katika Mawaidha ya Mauti yalionigusa Haya yamenigusa sana Mungu Atupe Mwisho Mwema

  • @samamussa7351
    @samamussa7351 4 года назад +1

    Yarabiii tusamehee yarabii wewe ni mwingi wa huruma tutakabalie dua zetu na tusamehee yaallah 😭

  • @mahathashi6120
    @mahathashi6120 6 лет назад +15

    The best ever Swahili speaking sheikh alongside sheikh bachu

  • @jumamchelejumamchele1733
    @jumamchelejumamchele1733 7 лет назад +10

    Yaarabby tupe mwisho mwema

  • @hassanbaseme7579
    @hassanbaseme7579 4 года назад

    Allahu akupe umri mrefu wenye kheri na baraka sheikh

  • @neemasamatta8784
    @neemasamatta8784 2 года назад

    Allah atuepushe na adhabuu ya kabri tumuombe Allah atuongozee katka njia lilio nyoookaaa eeeeeee molaa wetu tupe mwisho mwema eeee molaaa wetuuuu tunakuombaaa waleee waliopotea uwanyoooshee njia ilionyokaaa aamiinh

  • @diwanimsemo7559
    @diwanimsemo7559 4 года назад

    Ewe Mwenyezi Mungu tujaalie mwisho mwema

  • @halimab65
    @halimab65 11 лет назад +8

    Ya Allah tujaalie mwisho mwema yaraby

  • @mpwaziri1563
    @mpwaziri1563 2 года назад

    Mwenyezi mungu atujalie mwisho mwema

  • @duaamedy1808
    @duaamedy1808 7 лет назад +7

    mwenyezi mungu atujarie mwisho mwema inshaalla

  • @azizauledi4108
    @azizauledi4108 6 лет назад +2

    Subhannallah Allahuma husnii lihatima yaraaaab

  • @jamilaiddy3478
    @jamilaiddy3478 5 лет назад +1

    Yaallh tujalie mwisho mwema waja wako

  • @emedikashindi3975
    @emedikashindi3975 3 года назад

    Shucran kwa ukumbusho Allah atujalie mwisho mwema waisilam wote duniani ameen

  • @salehekhalid368
    @salehekhalid368 8 лет назад +24

    ewe mola wetu tupe nyoyo zenye kusikia

    • @MUSH127
      @MUSH127 2 месяца назад

      Amiin thuma Ammin🤲🤲🤲🤲

  • @stevenmadukakamanga7594
    @stevenmadukakamanga7594 8 лет назад +6

    Amin yarabilha Allhamin jadhaqa lhahu hairra

  • @fatumashabanfatumawawapimy1157
    @fatumashabanfatumawawapimy1157 5 лет назад

    Mashallah m mungu ATUZIDISHIE iman

  • @swabraty5436
    @swabraty5436 8 лет назад +10

    subhanallah.....

  • @salmaally9528
    @salmaally9528 4 года назад +1

    Allah akujaalie mwisho mema inshaallah amiin

  • @yakuburamadhan9829
    @yakuburamadhan9829 7 лет назад +3

    Ukumbusho juuu ya allaah nijuuu yetu ss

  • @wardalward3693
    @wardalward3693 8 лет назад +13

    Mashallah

    • @ibrahimkeagan6842
      @ibrahimkeagan6842 3 года назад

      i know it's kind of off topic but do anyone know a good website to watch newly released tv shows online ?

    • @jaggerjavion6048
      @jaggerjavion6048 3 года назад

      @Ibrahim Keagan try FlixZone. You can find it on google :)

    • @reyjude7289
      @reyjude7289 3 года назад

      @Jagger Javion Yea, I've been watching on Flixzone for since march myself =)

    • @ibrahimkeagan6842
      @ibrahimkeagan6842 3 года назад

      @Jagger Javion thank you, I signed up and it seems to work :) I really appreciate it !!

    • @jaggerjavion6048
      @jaggerjavion6048 3 года назад

      @Ibrahim Keagan Happy to help xD