Shekhe mume wangu kanipa talaka moja bado nampenda mume wangu mm ndiyo niliomba talaka kutokana namatendo ya mume wangu nikajua nikiomba atajilekebisha
Asalam aleikum warahmatu Allahi wabarakatu. Sisi hatuna maskizano kwa sababu hatuna watoto. Ikabidi nimposea bibi ahaowa na bado ananiumiza na mameno na hata simu yangu hataki kubeba anti bibi wapili ana wivu hatak abebe simu yangu. Ikanibidi niombe talaka yeye hataki mpaka wazazi wangu wakaigiliya ndio akatowa talaka. Jee yasihii? Na Mimi nimechoka sitaki kumrudiya. Tafadhali sheikh nijibu. Washukra.
@@akhitalibsheha2434 subhaanah Allaah!!!talaka amegoma kutoa paka na leo watoto anawo yy na yy kesha owa mke mwingine anasema mm nikiolewa ataniuwa na yuko seuriurs sio uongo mmh
@@akhitalibsheha2434 shukran. mm nim mkenya .. kutoka tumetengana ni 4yrs now sasa mm nafanya tuy shughuli zangu.. kama kuna vile naeza elekezwa popote nta shukuru
Asalaam aleykum,je shekh mwanamke anapodai talaka mda wote nakulazimisha hilo...je sheria ya dini inaruhusu mme kudai kurejeshewa mahali yake au hii haiswihi kidini..
@@islamicreminder7451 kwanini isiwe talaka? Nia ya kuandika talaka ni nini? Ameandika si kwa nia ya kumuacha? Au ndio hatuwezi kujua nia yake. Je akitamka tu kimasihara bila nia ya kumuacha, kwanini iwe talaka? Au mimi ndio sijaelewa
A, alkum niliachwa na talaka ya Kwanza je yafaa kudai talaka ya pili au tatu Kwa zote ni miaka misaba toka niachane na mtalaka wngu ndio nimepata riziki Kwa mume wapili naweza kuolewa tena au laa
@@yadadamaa2359 hapo sasa nimeelewa, ukichwa talaka yoyote iwe ya kwanz au ya pili au ya tatu upo huru kuolewa na mume mwengine madamu eda imekwisha kabla ya mumeo kukurudia. Umenielewa?
@@yadadamaa2359 kama umeachwa na hujarudiwa na mumeo ndani ya miezi mitatu na siku kumi basi talaka imetimia waweza olewa upo guru. Talaka ya pili na ya tatu hutolewa kwa waliorudiwa
Assalamualaikum shekhe ninashida na wewe Mimi ni ndugu yako
Shukran sheghe Allah akulipe kheri inshallah kwa kutufahamisha
Aalykm warhmatullah wabarakatuh! Talaka inaswihi kwa mtu aliyetowa akiwa amechanganyikiwa
mtu alochanganyikiwa anatoa vipi kwa mfano
Shekhe mume wangu kanipa talaka moja bado nampenda mume wangu mm ndiyo niliomba talaka kutokana namatendo ya mume wangu nikajua nikiomba atajilekebisha
Mashallh الله بارك علمك هاذا
Kitabu gani hicho sheikh wetu
Shukran sheikh
Sheikh nimekuelewa sana
Jazakah Allah kheir
Ustadh nauliza talaka tatu za kuandikwa Kwa karatasi mmoja ni talaka 3 au n mmoja
Asalam aleikum warahmatu Allahi wabarakatu. Sisi hatuna maskizano kwa sababu hatuna watoto. Ikabidi nimposea bibi ahaowa na bado ananiumiza na mameno na hata simu yangu hataki kubeba anti bibi wapili ana wivu hatak abebe simu yangu. Ikanibidi niombe talaka yeye hataki mpaka wazazi wangu wakaigiliya ndio akatowa talaka. Jee yasihii? Na Mimi nimechoka sitaki kumrudiya. Tafadhali sheikh nijibu. Washukra.
+255715 299 749 tuma msg kwa namba hii whatsapp
Asalamaleykum ya shekh hasante kwa kututoa taka mashkioni na kutuhelemisha .Allah hatupe khatima nyema wote waislamu
waleiykumsaallam shekhe ninaomba kuelewa mume anaweza akafanya vitimbili ukafatilia kwa surulisho lkn hakubari kulekebisha mm kama manamke nifanyeje maana nahadhilika kitekonolojia
@@abuuidditvonline3130 assalaam alyk
Assalam alykum nilikuwa naswali ukiandikiwa talaka tatu Kwa pamoja Yani Kwa karatasi Moja lkn ziwe zimeandikwa 3 zinaisabika tatu au n mmoja
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh je mume akikuambia tafuta mume akuowe mara si moja unafanyaje plz naomba jibu shekhe
Akubainishie vp amekusudia talaka au la! na kusema hivyo tafte mume akuowe haiwi talaka...
@@akhitalibsheha2434 subhaanah Allaah!!!talaka amegoma kutoa paka na leo watoto anawo yy na yy kesha owa mke mwingine anasema mm nikiolewa ataniuwa na yuko seuriurs sio uongo mmh
Nenda zako kwa kadhi sehemu yoyte yenye taasisi za kiislamu bakwata kama upo bara na kama upo zanzibar nenda mwanakwerekwe
Talaka ni kauli kama vile sheikh alivyotujuza hiyo kama hakuhitaj asikuddulumu nenda panapo husika ataitwa na taratibh zingine zifuate
@@akhitalibsheha2434 shukran. mm nim mkenya .. kutoka tumetengana ni 4yrs now sasa mm nafanya tuy shughuli zangu.. kama kuna vile naeza elekezwa popote nta shukuru
Asalaam aleykum,je shekh mwanamke anapodai talaka mda wote nakulazimisha hilo...je sheria ya dini inaruhusu mme kudai kurejeshewa mahali yake au hii haiswihi kidini..
Je kama mwanaume amsema tuu nimekuacha bila kutamka talaka ngapi apo inasemaje
Asaalaam alykum shekh ukiandika talaka Mara 2 bila kutamka je patahesabaika Kama talaka?
Ndio
sio talaka hadi umtamkie
@@islamicreminder7451 kwanini isiwe talaka? Nia ya kuandika talaka ni nini? Ameandika si kwa nia ya kumuacha?
Au ndio hatuwezi kujua nia yake. Je akitamka tu kimasihara bila nia ya kumuacha, kwanini iwe talaka?
Au mimi ndio sijaelewa
Je yafaa kudai talaka ya pili au tatu sahii nikipindi miaka Saba naeza kuolewa na mume kwengine au siezi mpaka zote ndio niwe Uhuru niolewe
Yadada swali lako halipo wazi hebu fafanua kdg
A, alkum niliachwa na talaka ya Kwanza je yafaa kudai talaka ya pili au tatu Kwa zote ni miaka misaba toka niachane na mtalaka wngu ndio nimepata riziki Kwa mume wapili naweza kuolewa tena au laa
@@yadadamaa2359 hapo sasa nimeelewa, ukichwa talaka yoyote iwe ya kwanz au ya pili au ya tatu upo huru kuolewa na mume mwengine madamu eda imekwisha kabla ya mumeo kukurudia. Umenielewa?
@@yadadamaa2359 kama umeachwa na hujarudiwa na mumeo ndani ya miezi mitatu na siku kumi basi talaka imetimia waweza olewa upo guru. Talaka ya pili na ya tatu hutolewa kwa waliorudiwa
@@binrashid8671 maashaallah iko pw
assalaam alykum sheikh samahani sheikh kuna swali LA kindoa je yajuzu kumuia binti wa sheikh wako na kama haijuzu n kwa mini? Mimi nipo mwanza
+255715 299 749
Mr mhina hapo umeongea lugha gani?
Wee shehe mbona unajifananisha na mayahudi unanyoa ndevu unaweka sharubu kidevu kinang'ara huoni unakwenda kinyume na maelekezo ya mtume Saw
Nenda misri au siria kuna madoctor hawana ndevu wewe unataka elimu yake au ndevu
Na mtu anayesema hajui kuacha . Mke anakaa kwake na zaidi ya ya miaka 20
Yaani mke yuko kwao
unasema ikiwa hajatamka akiandika tu sio talaka
Hapana hajasema hivo sikilza vzr
7:49
talaka ni tamko maandishi ni ushahidi tu
Sheikh taala hii maana yake ni nn ktk salam
Hukum ya talaka tatu
ruclips.net/video/dwxR9uBDFq8/видео.html