MAPYA yaibuka SAKATA la Prophet MALISA na MKEWE, mtu wao wa karibu afunguka MAZITO kuhusu NDOA yao

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 505

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 Год назад +2

    Wanawake Mungu anawaona, niliwa kulazimishwa na mke wangu, akisema nikamwache kanisani, huku akijua kuwa kanisa haliachanishi ndoa Tena akinisumbua sana

  • @tuponisalile5984
    @tuponisalile5984 Год назад

    Moja kwa moja wewe mbaba ndiye unavunja ndoa ya Hao watu,wewe ni mtu mbaya sana, Acha kumfundisha kazi Waziri Gwajima,

  • @raphaelngowi9630
    @raphaelngowi9630 Год назад

    Yaan hilo tmbo nakuombea sana Mungu akuponye

  • @mariosigala8760
    @mariosigala8760 Год назад

    Dunia imeisha hekima ya kibinadam inaangamiza wanadamu .YESU anakhitaji wewe mnenaji

  • @SuzanMoshi-m1s
    @SuzanMoshi-m1s Год назад +1

    Ivi uyu anajielewa kweliii 😂😂😂😂 aseeh kwel bora ujiombee mwenyew

  • @neemamourice
    @neemamourice Год назад +1

    Yesu Kristo alituambia tutawatambua kwa matunda yao na pia tuache magugu na ngano vimee pamoja Yesu atakuja kubagua ngano na magugu

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Год назад +4

    Manabii njaa kali sana. Mmeanza kurap kwenye media baada ya kumuasi Mungu.

  • @raphaelngowi9630
    @raphaelngowi9630 Год назад

    Hakuna Mungu kwako wala kwa Malisa! Mlinganieni Mungu nawwomba

  • @soleotanzania2015
    @soleotanzania2015 Год назад +5

    Mbona unamlaumu huyu kaka wakati anaongea very straight, pia ni kawaida kumchagua mtu unayemuamini kufuatilia TALAKA yako.

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 Год назад +17

    Tobaaaaaa anayejiita mtumishi wa Mungu anazidi kuharibu, kujiaibisha

  • @hosianaeliud243
    @hosianaeliud243 Год назад

    Kwahyo wew nimtumishi wa Mungu 😢 unaongea utumbo sana nakama Malisa anafanya uovu mbona watu wanafunguliwa kwenye kanisa lake kwa upeo wangu kama mtumishi au mtu yeyote mweny Mungu akifanya maovu, Mungu awezi kuwa ndani yke ata hivyo na watu wasingefunguliwa.

    • @chulelubella2819
      @chulelubella2819 Год назад

      Upeo wa mdogo hata shetani anaiga miujiza kaka sio Kila nabii akiponya mtu anakuwa mtumishi wa Mungu Kuna waganga wa kienyeji wanajiita manabii na malisa yumo ndani.Ndio maana umewaambia utawatambua Kwa matunda yao

  • @risperladee5718
    @risperladee5718 Год назад

    Goshhh Yani hii Dunia ina Mambo.. I'm floating here.. there's lisa n there's malissa.. uuuweeeeh tz iko na Mambo..

  • @justusjulius9279
    @justusjulius9279 Год назад

    Wanawake wa kileo wanafikirisha sana na sisi vijana tunayo kazi kubwa sana

  • @mamafranjovlog72
    @mamafranjovlog72 Год назад +8

    Ivi bado kuna watu wanaenda kwenye kanisa la uyo baba 😂😂😂😂kah kweli binadamu tumekosa utu wala akili yani mtu mpaka anatia hasira 😢 ivi unajiita mtumishi wa Mungu kisha unakuja kwenye media kuongea vitu kama hivi

  • @jacksonmathayo3859
    @jacksonmathayo3859 Год назад +3

    Mwisho mba ya Kwa Huduma ya Mungu, Watu Wa Mwamini Nani waende Kwa Nani Kama Watumishi ni hivyo ,tumeangamiza wengi Kwa Namna hii

  • @joycekambuga6286
    @joycekambuga6286 Год назад +1

    Mungu atusaidie sana

  • @jasiriasili3694
    @jasiriasili3694 Год назад +8

    HUWA NASEMA MBINGUNI KILA MTU ATAKWENDA PEKE YAKE MAMBO YA NDOA NI YAHAP DUNIANI TU .NDIO MAANA WA ASEMA MWILI MMOJA SIO ROHO MOJA😊

  • @rahelkisendi355
    @rahelkisendi355 Год назад

    HIZO TARATIBU ZA KIMILA ZA KUISHI NA KUZAA NA MWANAMKE MWINGINE HALI NDOA OG IKIWA KWENYE MGOGORO WA MIAKA MITATU. MWILI ULIMSHINDA MTUMISHI🤗

  • @raphaelngowi9630
    @raphaelngowi9630 Год назад

    Hivi kma mungu anaweza kumkomboa mtu!? Alishijdwa vipi kumuokoa Nabii!?

  • @nyakahodenis1473
    @nyakahodenis1473 Год назад

    Hakuna mtu ajuae ukweli ,there is something behind hapa wanajua wao wanandoa....
    Mpaka mwanamke amefikia kuanika mambo hadharani basi ujue kuna tatizo mahali ,all in all Mungu aingilie kati kwa wanandoa wote but njia ya muongo ni fupi

  • @estherynyagawa6839
    @estherynyagawa6839 Год назад +4

    Mungu turehemu! Mungu nifundishe kunyamaza!

  • @tupokigwemwakabanga9769
    @tupokigwemwakabanga9769 Год назад +4

    Najaribu kufikilia mke wa mtumishi mkubwa Lisa kaiba pafumu ya mtumishi mwingine wa hapo kanisani na kesi ipo ostabey polisi dah!!! Pole dada Lisa uliotungiwa ni mengi lkn Mungu pekee ndio tumaini lako.

  • @edisonmaliva1719
    @edisonmaliva1719 Год назад +2

    Mnaacha kutafuta hela mnashindana na mlikotoka. Wanawake -always handle with care wanafanyaga maamuz yao wakati mwngne kwa kuongozwa na hisia.
    Muhurumien mpeni anachotaka apite hivi otherwise mtachafua jina la kanisa na utumish wake.
    Kingne elewen huduma hiz Za kiroho zna vita sana pigeni kaz achaneni na kesi.

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 Год назад +1

    Nilichokiona hapo huyo Lisa kapata kiburi kisa anatoka na kiongozi mkubwa serikalini.
    Kuna baadhi ya waimbaji wa kike wakubwa ndoa zao zimevunjika kisa vigogo wa serikalini wengine ndoa ziliyumba baada ya vikao vingi ndiyo zikatengamaa.
    #Mungu_Aturehemu

  • @ednajustin4763
    @ednajustin4763 Год назад

    Hatareeee 😢

  • @hellen9056
    @hellen9056 Год назад +4

    Dunia imeisha YESU tusaidie

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky Год назад +8

    😂😂😂Makubwaaa chawa Wamtumishi

  • @hellenmwasalwiba6555
    @hellenmwasalwiba6555 Год назад +2

    I wish SNS msirushe vitu hivi. Haya maisha ya ndoa yana changamoto sana. Ukirudi nyuma utakuta hata dada zako na shangazi zako wanapitia hayo. Sasa suala kuyarusha haya yanasaidia nini?

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 Год назад +2

    Mbona naongea kama mwijaku au baba levo😀😀

  • @Noel-bp1xd
    @Noel-bp1xd Год назад +13

    Jamaa kanyoosha sana, story balanced, wanawake muache mihemko ya kishamba japo ndio mmeumbwa hivyo. Huyo dada ni mshamba sana kama alichoongea na kunacho semwa hapa ni kweli . Akafie mbali

  • @GloryJohn-nm5wo
    @GloryJohn-nm5wo Год назад

    Sheria ilikuwepo kabla yakuja Imani lkin sasa hayupo chini ya Sheria basi hapo yalibid maombi t Kwan kama anaweza kuiludisha ndoa lilizo vunjka kwann yake anakubali ivunjke

  • @pastorteddywaziri5754
    @pastorteddywaziri5754 Год назад +9

    Ninawahurumia kondoo wa hili kanisa sijui watakuwa na hali gani kutokana na mgogoro huu wa wazazi wao hawa wa kiroho.Tuwaombee ili jaribu hili liishe ili shetani aaibike na kazi ya Mungu iendelee

  • @niwaelally1579
    @niwaelally1579 Год назад

    Huu ujinga mmeutowa wapi. Kama talaka ilitoka jwa nini isihodhoreshwe na mali walizomgaiwia. Huyu baba si mtumishi mzuri

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 Год назад +21

    Duh ila wachungaji wa sikuizi wana tetea adi upuuzi 😢😢😢. Yani muongo mkubwa na ka base upande mmoja ata roho yake ina mshuhudia 😢😢😢🙌🏻🙌🏻

    • @garruwsuntilibreaththislif3681
      @garruwsuntilibreaththislif3681 Год назад

      Wewe ndio muongo kweri kweri kwann umetoa hukumu moja kwa moja na ukaamini kuwa ame base upande mmoja

    • @ursulinenyandindi3051
      @ursulinenyandindi3051 Год назад +4

      ​@@garruwsuntilibreaththislif3681 hata kama asinge chukua upande kiongoz wa dini msuluhishi huwez kuja kumwaga vitu vya watu hewani hivi.. kibusara alipaswa kuwaacha wayamwage wenyewe. Hana ethics mwamba 😅

    • @YothamBraiton
      @YothamBraiton Год назад +4

      Kama angekuwa ni mtumishi wa Mungu angewaita na sio kuja kuongea ovyo Kama yeye ni mtu mzima anajikanyagakanyaga tu😅

    • @reenyaysher7639
      @reenyaysher7639 Год назад

      ⁠@@garruwsuntilibreaththislif3681
      Tushaona msg zenu za grupu nje mitandaoni mumtete mzee wenu😅😅

    • @reenyaysher7639
      @reenyaysher7639 Год назад +1

      @@YothamBraitonkweli

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 Год назад +1

    Pole Kaka Malisa Nnachojua mm una Mungu moyoni majibu atakupa tu. Hii kama ya Mbasha 😢😢😢

  • @KATOPE1
    @KATOPE1 Год назад

    Mwanamke akitaka talaka yake ni haki yake kabisa .Kama hampendi mume wake.kwa Dini y kislam kwenye kitabu kitakatifu Quaran iko sura nzima inazungumzia kuhusu Talaka

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Год назад +6

    Mngefanya maombi kwanxa,hiyo itakuwa ni vita,wa2 wa2 tofauti walisemaga kwa malisa wapo waxee wa kanisa wanaishi gamboshi,huenda wanaharibu ndoa yake.

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 Год назад

    Ukisoma school of cancelling hurusiwi kufunua mambo ya, washauliwa wako public... Wanaoruhusiwa kuweka undani wao ni wauhusika wenyewe..... HUYU SIYO MSHAURI KABISA... Akutakiwa kuweka kesi ya pufyum.... Huyu aliitwa kumsikiliza Lisa akamgeuka Lisa

  • @samniza1763
    @samniza1763 Год назад +4

    Eti apostle mbona huongei ukweli???

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 Год назад

    Hilo limwanamke lizinzi mke mlakondoo jueni Mungu yupo mtapata shida Sana

  • @rogathengowo1099
    @rogathengowo1099 Год назад +12

    Yaani wanaume wa nchi hii wameamua kuwa hivi eeh Mungu wangu linda uzao wa tumbo la mwanamke!!!kitu gani hichi 😊

  • @happinesskitali164
    @happinesskitali164 Год назад +6

    Kwann unamchafua mwenzio chanzo wanajua wao na Mungu Haina haja ya kumchafua wenyewe wapo kimya lakini wewe unamchafua dada wawatu siyo vzur

    • @YothamBraiton
      @YothamBraiton Год назад +1

      Kwa haraka haraka hapo alikuwa anamtaka😅😅 mwangali ndevu zake😅

  • @nyakahodenis1473
    @nyakahodenis1473 Год назад

    Nilicho kiona hapa huyu bro anajaribu ku mdifendi huyo mume wa lisa...
    Nikama ametumwa kuzima moto....bro hujengi unaharibu cv za watu..
    Inaonekana jamaa upo hapa kumkandamiza huyo dada ukweli huyo dada anao na wew bro humjui huyo dada kaka anavyo mjua mume wake,acha ushabiki wa kidunia hauto kusaidia mno

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 Год назад

    Mtumishi wa MUNGU kazingua ndio Mana Mambo yanguu nyeti binafsi Bora nipige goti nimwambie MUNGU watumishi wamekosa HEKIMA hili Swala lilipaswa liwe mchungaji Huyo Malisa na mkewe kuwekana sawa na kama kulimaliza ni kwa HEKIMA sio mchungaji kuachia maisha ya MTU kama hiviiii
    Sio sawaaa hapa ndio yale yaliyo tabiliwa kuzidi kwa technology 🎯🎯🎯🎯

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 Год назад +8

    Kazi ya Mungu inahitaji MOYO

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 Год назад

    Ya Mungu tumuachie yeye. Na ya Kaisali tumpe kaisali. Imeniuma kwakweli kuachana s vzr

  • @tumainipallangyo776
    @tumainipallangyo776 Год назад

    Malisa songa mbele mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe. Na ukiwa na kusudi la Mungu ndani yako hata mke anaweza kutumiwa na shetani ili auwe kilicho ndani yako.

  • @chariedecute8200
    @chariedecute8200 Год назад

    Ndoa z kikristo azifagi broo Tena uyo ety n nabii Apo mmoja wao afee kwanz mwngne ndio aoe so n uongo na upuuz kwenda uko ety ndoa mtu kapewa talaka ya kikristo 😔uliskia wap sio kwel 🙌mnatufundisha nn sisi

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 Год назад

    Haya mashetani na matapeli makubwa mtujuta mbwa nyinyi matapeli makubwa.Mungu anawaona .

  • @lightnesselirehema1464
    @lightnesselirehema1464 Год назад +1

    Hawa wachungaji wanakuwaga na mapito jamani tuwaombee sana

    • @zainabuabdallahlindi
      @zainabuabdallahlindi Год назад

      Kabisa kipenzi sio kuwalaumu nikuwaombea nao wanawindwa na ibilis jamani

  • @zakiajuma2022
    @zakiajuma2022 Год назад

    Ata ivyo unamzalilisha adi pafium yawizi mnaitaja apo wakati uo pafium bei Gani?

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 Год назад +5

    Mtajua wenyewe bhana

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 Год назад

    Duh utapeli sio poa hukumu zote zilipatikana kata huyo lisa alifika? Na hukumu inatolewa bila mgawanyo wa mali? Huyu jamaa ni noma

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 Год назад

    Hakuna kitu kibaya kama unafki 😮😮😮

  • @DoreenMwakibinga
    @DoreenMwakibinga Год назад +1

    Mi ninachomshauliwa mwanamke ni mapenzi yameisha mali si kitu tafuta upya utapata mali si kitu hauzikwi nayo mtafute Mungu atakupa kila kitu. Mapenzi yameisha. Usije ukatengana na mungu wako kisa kuachana

  • @nenolauzima5281
    @nenolauzima5281 Год назад +1

    Hakuna ukweli hapa!
    Forensic seers tulishaona, mnachokitafuta ni kufanya defamation tu

  • @magretangel5242
    @magretangel5242 Год назад +5

    Nchi ya dar es salaam e! 😯😯😯😂😂😂

    • @easternyerembe7271
      @easternyerembe7271 Год назад

      Uongo ukizidi labda😂😂😂

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 Год назад

      😂😂😂😂😂 unajua ukiongea kitu cha uwongo ndo shida Lisa anahistory huyu kapewa gazet asome😊

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Год назад +2

    Ushauri wangu kwa kusikia leo kwanza majina ya lizza sijui lissa ni ya kukaa nayo mbali sana hawafai kwa umalaya pili mchungaji malisa achana kabisaa na huyu mtu anaitwa lizza km ndoa imevunjwa asikusumbue huyu kinyago oa mke mwingine kabisaa nikuambie tuu ulioa pepo la ngono halifai

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika Год назад +8

    Wanawake wamwogopeni Mungu tu. Izi kesi za ubakaji zimekua fimbo kwa Wanaume wengi haswa wanawake wanapo amua kubadilika . Mimi hapa nilipewa kesi ya ubakaji na mke wangu kisa miradi tuliyo fungua na meneja mmoja wa benki. Malisa akubali yaishe kwa usalama wake na angalie watoto wake . Mke ukuzaliwa nae ni mtoto wa mwenzio siyo wako. Watoto wako ndiyo wakwako. Wanawake wengi ni tatizo haswa kukiwa na mwongozazi kwa picha. Ndiyo maana niliamu kukaa mbali nao. Wengi ni zaidi ya shetani na mashetani. Weka mbali na moyo wako uishi kwa amani kamanda. Amen.

    • @elenlazaro3192
      @elenlazaro3192 Год назад +1

      Watoto ni wa mdogo wake Lissa ....waliwachukua kuwalea baada ya mdogo wake kufariki

    • @dorambaga2667
      @dorambaga2667 Год назад +2

      Yaani baadhi ya wanawake wanastahili kwenda jehanamu,wamejaa wivu,roho mbaya wapumbavu sana

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 Год назад +1

      Mimi ni mwanamke , na kesi kama hizi kweeeeli zimekuwepo hasa pale mwanamke anapopata pedeshee , na kwakuwa tumemeonekana kuwa tinanyanyaswa basi tunatumia njia hiyo kuwachapia watoto wa watu wa kiume , tukasahau na sisi tuna watoto wa kiume ,na hiii tabia imekuwapo sana .

    • @amisamaurid1882
      @amisamaurid1882 Год назад +1

      Kweli kabixa

  • @ejkholdingscompany186
    @ejkholdingscompany186 Год назад

    Mmmh ndoa hizi

  • @charlesmnuo3292
    @charlesmnuo3292 Год назад

    Ongea YAKO unayejiita mtumishi wa mungu iko wazi umesetiwa na upande wa malisa

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 Год назад +1

    Lisa hana akili anamwambia mpaka mange maneno ya ndani😅 mwanamke si mtu wa kumuamini,

  • @sarafinamwandi2444
    @sarafinamwandi2444 Год назад

    Nikijua nimesikia yote kumbe Bado ee Mungu baba nifundishe kunyamaza

  • @julianamkonda5693
    @julianamkonda5693 Год назад

    Huyu siyo mtumishi wa Mungu kabisaa

  • @masanjaabasi8970
    @masanjaabasi8970 Год назад

    Kwahio wagawane kanisa 😂😂😂😂

  • @vich2mussa997
    @vich2mussa997 Год назад

    Hamna imani apo bali taamaa tupu ya kidunia wakowapi wakristo wa zamani jamani ?😮

  • @evancemkinga8562
    @evancemkinga8562 Год назад

    HUO SIO UTUMISHI WA MUNGU WALA UTAALAMU WA USHAURI NI KUCHAFUA TU WATU NA KUWATAKIA MABAYA MUNGU ATUPIGANIE SISI WATUMISHI WA MUNGU TUNAPITIA MENGI SANA

  • @esterkilleo2638
    @esterkilleo2638 Год назад

    Mmmmh hiiyo ni hatari Malisa angekaa na mkewe watatue hilitatizo lakini watu wapembeni watawaharibia kila kitu hatajulikana yupi mkosaji wayamalize bwana wasameheyane

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 Год назад +9

    Wewe baba muogope Mungu

  • @florencebudoya3814
    @florencebudoya3814 Год назад +1

    Kama kweli Lisa aliitaka talaka kwa nini hakuhudhuria mahakamani?Nyie waongo wakubwa.Eti Prophet 😅.Nyie ni wapigaji tu,mnatumia matatizo ya watu kupata sadaka.

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 Год назад +1

    😂😂😂sijakuelewa kabisa nani aliwaona hao askari wa entapol wakifanya uho ukaguzi😅😅😅😅😅nimecheka kwa nguvu asksri ulienda kuwaita wewe😂😂😂😂

  • @elisantemrita9490
    @elisantemrita9490 Год назад

    Wewe ushapewa sadaka so Mwishi huujui

  • @PendoP-t8g
    @PendoP-t8g Год назад

    Mungu ndo mwamuzi wa mwisho siku si nyingi atatoa majibu , tutajua mwema nani au mbaya nani

  • @moseskisingi7696
    @moseskisingi7696 Год назад +1

    Kwahiyo wewe unamfahamu huyo kijana Malisa kuliko mkewe?
    Umeonesha upendeleo kwa kuegemea upande mmoja.
    Pia umeonesha uliingizwa kwenye sakata hili ki-mkakati na ndiyo maana binti wa watu kakosa Imani na wewe.
    Wewe umesema wametengana miaka 3 iliyopita lakini Malisa mwenyewe akiwa wasafi TV amesema wameachana miaka 5 iliyopita!
    Mshauri gani ambae anaweza kuja hadharani kutoa Siri za mteja wako kwa kumhukumu?
    Jiungeni teteaneni lakini Mungu wetu aonae sirini hataniwi, kwa wakati wake atatenda.

  • @danielmsuya720
    @danielmsuya720 Год назад

    Wanawake Sasa hivi silaha Yao ni kuwachafua watu kwamba wanaingiliwa kinyume Cha maumbile.

  • @Jmedia_Tv
    @Jmedia_Tv Год назад +12

    Walio kwenye ndoa wana majibu yao, na wenye akili timamu wanajua mpatanishi kwenda kwenye media anatafuta nini,na wanamajibu je ni mpatanishi au vinginevyo.

  • @magrethfaustine2665
    @magrethfaustine2665 Год назад

    Msijiite watumishi wa Mungu nyinyi hamuwezi kumtumikia Mungu kamwe ni njaa tu zinawasumhua

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk Год назад +3

    Kwani wewe ninani sisi tunataka kumsikia mke sio wewe lazima utamtetea mwanaume mwezako kwendaaaaaaaaaa

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 Год назад

    Askofu Malisa ameshindwa kutatua mgogoro wa Ndoa yake hadi unaletwa hadhalani hivi? Pesa mwana malevi,Haya ndio matokeo ya sadaka za kujimaliza wametajirika sasa wanagombania mgao.

  • @mtaakwamtaa4425
    @mtaakwamtaa4425 Год назад +1

    Kwanza wewe ni nani mshenga ,msimamizi wa ndoa ,au msemaji wa ndoa hiyo na kwa nini sasa jambo la ndoa ya watu lizungumziwe kwenye media wakati wewe sio muhusika wewe ni muhuni kama wahuni wengine toka hapa

  • @joycesikana4513
    @joycesikana4513 Год назад +1

    Kama ni huyo mtumishi haina haja ya kumsema waombeni tuu Mungu ndio jibu lao huyu akaye pembeni haeleweki

  • @annasilayo1405
    @annasilayo1405 Год назад

    Mimi naamini nikweli kwasababu malisa alikuja arusha miaka 10 iliyo pita akasema tuchukuwe bahasa, na kuna bahasa za lk 5,3,2,1 na elf50 nilikuwa namasha yachting nikatowa nilicho fanikiwa hakuna sitakaaa nisahau matapeli sana hao manabiiii

  • @annethmagese4372
    @annethmagese4372 Год назад

    Sina hakika kama huyu nimtumishi wa Mungu

  • @matsonmeck7438
    @matsonmeck7438 Год назад +4

    Ukitaka kujua level ya Ignorance ya wanawake wa kitanzania soma comments zao humu. Mshaurini huyo dada na sio mihemuko kama anahitaji haki anapaswa kwenda kwenye vyombo vya sheria. Wenzie leo wapo sahihi wameenda kwenye ngazi ya sheria na wamepata haki yao. Kwa sasa hawa ndio wana haki. The rest is kelele na ujinga wa hawa wadada wa kitanzania

    • @vickyevagry421
      @vickyevagry421 Год назад

      Umeona yani full mihemko me najiuliza kaenda kwa mange kufanya nn sheria sizipo 😂😂

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati Год назад

      Malisa anahonga mahakama

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 Год назад

      We mtet3 mla sadaka lait Lisa angekuwa mbaya angembwa tangia analala jalalan lazima aumie kuongea

    • @generosengemera2752
      @generosengemera2752 Год назад

      Sure

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 Год назад

    Kwahyo akatae nyumba na baadae akaibe perfyum hiyo bei gani.......mnajificha kwenye kichaka cha kanisa ili kutenda uhuni

  • @Erico-e3o
    @Erico-e3o Год назад

    HAUJASEMA WALICHUMA NINI KTK NDOA YAO.KAZI YAKO ILIKWISHA WACHA SERIKALI IFANYE KAZI YAKE SASS

  • @PrissilaHussein-og3cg
    @PrissilaHussein-og3cg Год назад

    Tueleweni kitu hapa mtumish au mhubiri muongo mwizi wa Sadaka mdanganyifu mwisho wake huwa unafka tu huyu malisa anajiita prophet hapa hamna kitu mwisho wake umekarbia taratibu tu mambo yatakuwa bayana

  • @raphaelngowi9630
    @raphaelngowi9630 Год назад

    Yaan hata me naweza nikawa kama malisa. Kuna kenge mnafanikiwa bila kujua mmefanikiwa vipi

  • @godfreykovaga3454
    @godfreykovaga3454 Год назад

    Wewe umjui malisa mkewe ndo anamjua vizuri

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th Год назад +5

    Huyu mbona ni kama chawaa jamani

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg Год назад +1

    Ukweli askofu hatakiwi kuwa mtu asiye na lawama na mawaa Sasa kanisa ligawanywe Kwa sababu yatamaa ya sadaka za watu

    • @VenerandaKundi-ph4hg
      @VenerandaKundi-ph4hg Год назад

      Ndo maana yesu alisema huwezi kutumikia mabwana wawili Mali mke watoto na KAZI ya mungu ona Sasa yanayotokea aibu tupu

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 Год назад

    Siku zote shetani hutumia watu dhaifu kuangusha huduma za mungu ,Nahis pia huyo lisa alitumiwa .

  • @kisakageorge7706
    @kisakageorge7706 Год назад +2

    Huyu baba simtu mzuri

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 Год назад

    Kwnn unafatilia ww hayo yotee nia yko nnn 😂😂😂😂umefanikiwaa😅😅😅😅

  • @raphaelngowi9630
    @raphaelngowi9630 Год назад

    Me mke wangu nimemtoa bar na tunapendana na nina aman nae! Kikubwa ukombozi

  • @catherinecostantino2034
    @catherinecostantino2034 Год назад

    Huyo mama kadanganywa sababu ya hizo Mali walizochuma na malisa ili wagawane

  • @masumbukosendwa8359
    @masumbukosendwa8359 Год назад +1

    Toka pepo

  • @mwakamelebarackthomas6834
    @mwakamelebarackthomas6834 Год назад

    Mbona msuluhishi ni kama amechagua upande😅?

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 Год назад

    Huyo dada kapata bwana mtombaji mzuri.haya makanisa niyakuchoma Moto

  • @faithmapondo7370
    @faithmapondo7370 Год назад +2

    Yaan hata mtengeneze uongo sis tupo pmj na lisa hyo malisa kwa muonekano n mlev na mvuta bang