Tatizo la vijana wengi duniani sikuizi tunashindwa kuelewa kitu kimoja, mapenzi or (love) is not enough kwenye ndoa! Mapenzi sio kitu pekee kinachotosha ili watu waingie kwenye ndoa, kunahitajika pia maturity au ukomavu wa aina tatu ili ndoa isimame imara! 1) Physical maturity yani ukomavu wa kimwili 2) Mental Maturity yani ukomavu wa kifkra 3) Financial Maturity yani ukomavu wa kipato au kifedha Shida nayoona apo ni kwamba hawa waliingia kwenye ndoa sababu wanapendana lakini mmoja wao au wote hawakuwa na ukomavu wa kifkra, na ukomavu wa kifedha au kipato.. ili kushindana na matatizo mengi yaliyokuwa yanawakabili kutokana pia na aina ya maisha walioanza nayo yani ya umaarufu na usuperstar.
Acha kumsifia uongo dada, amepoa sana. Angechangamka kidogo tu hii interview ingetisha sana. Anashindwa hata kufanya follow up ya mazungumzo, anauliza mambo ambayo mdada alishayaongelea. Inabidi dada amwambie unakumbuka nilikwambia hivi na hivi,,,,,,,,,,kosa kubwa sana kwa interviewer
Upo uhitaji wa kumwomba Mungu sana juu ya issue za mahusiano, kwa kuingia kwenye mahusiano kunaweza kupekea milango ya mafanikio au milango ya matatizo kufunguka, shida ni kwamba wengi wanaingia mapatano bila kujua undani wa yule unaeingia nae kwenye mahusiano, watu wanatoka kwenye koo mbalimbali na matabia tofauti ambapo wengine wana maagano ya giza, tumtafute Mungu sana juu ya haya mambo ya mahusiano, pengine Mungu anaachilia hivi vitu kwa uwazi ili tujifunze kitu
ndoa inaweza kukufikisha katika malengo yako, kuchelewesha malengo yako au kukupoteza kabisa usifikie hatima yako. Mungu atusaidie sana katika kuchagua wenza wetu.
Nmechogundua. Uliingia kwenye mahusiano wakati bila kujua kua ndoa nibahari kubwa. Yenye kila aina ya raha na karaha. Kwaiyo ulifurahia wakati una date lakini zilipo anza changa moto ukashindwa kuzipokea kiakili. Ndio mana ukapata tatzo la streass..pole sana. Jamani ndoa sio raha tuu inamambo mengi mazito
Ni kweli ndoa zinachangamoto na zinaitaji uvumilivu ukisikiliza part 1 utajiuliza kwann hakuweza kuvumilia changamoto lkn ukisikiliza hadi part 4 kiukweli kavumilia sana na kama binadamu yyte ni ngumu kuendelea na hiyo ndoa maumivu ni makubwa sana.
@@ilovejesus9303 kweli nimingi kwa wawilitu yaani mwanamke na mwanaume tena mkiwa mahawara ila inapofikia kwenyehatua yandoa, halafu mbayazaidi ikiwa familia ya mume haimtaki mke , ningumusana ndoakudumu… hususan mkioawana wote vijana. Maana njia zauwadui huwa ninyingi nanyinyi mpowawilitu.
Lisa umechagua maisha yako uenda Sisi atujui undan na atutaki ushabik kwenye hil Ila ni vema watoto wasije wakapata Shida sababu ya hili ...na pia ulipo sasa Muombe Mungu maan Una watt wanaitaj udum usijitue Kwa mwanaume mwingin Kwa sasa
I have always been telling people ukimuona mwanaume he is doing so better trust me master mind kila siku ni mwanamke aliyenae! Lisa is bright if she was 19 na alkua anajitegemea plus working then she is a woman n ahalf...... sema tu magonjwa yame mrudisha nyuma! Lisa my dear God is on your side never n never should you lose faith in him🙏
Pole sana my dear, ndoa za bongo ni mitihani. Story yako ni kama yangu kabisa. Ukweni walinitupia mavitu ili tu nitengane na mtoto wao, bado fujo za kumtafutia mahawara na visirani vya live. Khaaa nikaenda for deliverance nikaona for my saftey ni heri kuwaachia mtoto wao. Am happily divorced. With a new life, na cha ajabu nimefunguliwa maisha mazuri zaidi.
Tatizo ni la mwanammke. Wanawake we have to do better....Aliona red flags mapema akaziignore kashindwa kulipa mahari angeondoka mapema, Familia ya mwanamme mbovu angeondoka mapema......Tujifunze kutoignore red flags mapema tu mwanamme anayekupenda angeenda kukopa kama mwanammke alivyofanya........
Ndoa huvunja tangu miaka ya zamani baada ya kifo cha nabii suleiman au solomon shetani alianza kuwafunza binadamu jinsi ya kuzivunja ndoa sasa hadi leo uwo uchawi au black magic bado watu waovu wanaendelea kuwatatiza wanadamu kwahio swala la kujikinga ni kusoma quran asubuhi na jioni mungu atakukinga ameen
😳😳😳😳😳 We really really are in need of Mental Health Awareness. SnS this is a very therapeutic conversation for this lady, I'm glad you provided a platform for her to verbalize her feelings. They are very real to her.
Happy you very right kisha ulifanya hati akuna uchawi .uchawi upo Sana hata Bible na Quran zina Kiri hili who are you to say there is no such spiritual nkt
Pole sana kwa matatizo yaliyokukuta kama mtu hajawahi kupitia katika mambo ya mizimu na roho chafu hawezi kuvaa viatu vyako na unajua sana kujieleza na we ni mvumilivu sana na una busara lakini sijajua sababu za msingi za kuenda kutoka na rafiki yake najua nobody is perfect but iyo kitu imeongeza chuki na visasi ila siwez ku judge maana sijui kwann umefanya hivyo maana hata Mabeste sio makosa yake yy ni familia yao
Naelewa unachojisikia kwa sasa kikubwa ...mungu ndyo jibu la maswali yako yote dada na siku zote ukiongea kitu ambacho ulikuwa utakiki kukizungumzia lazma ulie yanatoka moyoni kabsaaaa
Dada nakuelewa mimi 2017 niliumwa miezi 6 kila nikipima hamna kitu ,maumivu ya kila aina ,mwil ulikua unawaka moto ,sikuwahi kupata usingizi miezi yote hio,so nakuelewa kabisa
Kwaiyo unampa pole kwa kutembea na lafk yke mabeste iv Kama ungekuw n ww mke Wang anatembea na lafk yko alaf anakudai talaka iv ungekual na ata kama familia yke mabeste walikuw awamtak yey awez akatembea na lafk yke mabeste
Sometimes hizi interviews za broke relationships za superstars mnaziona zinaumiza na kuna ukubwa but kwa hawa watu wa chini ambao sio superstars ndoa zao zimevunjika na misukosuko ya ajabu sana ambapo zingekua zinawekwa bayana sababu za uhusiano wa ndoa hizo kuvunjika basi wasanii mngekua wapole maana nyingine hazifai kabisa kusimuliwa kisa zinatisha mno kuliko.
hakuna mwanamke ambaye alishaachana na mmewe asiseme au asionekane na stress. kilichopo wanawake mjifunze kuwa, mwanaume ambaye hakucheat, sio mrevi kupindukia, hajawai kuwa anakukosesha raha kila wakat kwa kukupiga kila wakati, huyo ni mwanaume na hukupashwa kumwacha. still hata ndugu wa uliyeona ni bora kuzid mwanaume wa ujana wako ktk ndoa, HAWATAKUPENDA!!!!!!!
Ujauzito una mambo mengi, kama ulizembea na hukujua jinsi ya kudeal na Hormonal changes ndio basi ni chanzo. Then this woman sio mtu wa kusamehe she remembers pity things hadi maudhi ya mimba.
Maudhi ya mimba ww unayajua?? Kwani kukumbuka usumbufu wa mimba kuna shida gani??? Wengine mpaka tumekuwa wakubwa mama zetu wanatusimulia jinsi tulivyowasumbua just for fun. Ana kila haki ya kukumbuka kila kitu, muacheni.
Mababu zetu walioana tangu vita ya kwanza ya Dunia mpka vita ya iran bado wapo,,ata sijui waliwezaje🤔 but wato wawili bado wanapendana,,ila kurudiana ndo ishu ilipo,,ila ka sister kapo poa sana kwa matumizi ya kibinadamu.
U had postpartum depression its unfortunate hukutambua hilo wakati unaumwa!! Lakini nimenotice ignorance kubwaa sana huku africa kwetu!! Its a sad situation😳😭😭
@@beatricemagambo5510 hamna kitu pretender huyo, yeye ndo kapoteza mume mzuri aliyekuwa naye hata nyakati za shida. Na mwanamke ndo kamkataa mabeste na sio mabeste kamfukuza mwanamke sasa ulitaka mabeste amlambe miguu maana yeye ndo kakataliwa. Na mabeste kakataliwa kwasababu ya ukata hiyo ndo sababu kuu hakuna kingine hapo.
MiMI SWALI LANGU LIPO HIVI, PAMOJA NA HAYO YOTEE ALIYOPITIA HUYU LISA KWANINI AKAAMUA KUJA KUTEMBEAA NA RAFIKI WA MABESTE TENA WAKARIBU KABISAAA, JE ALIFANYA HIVYO KUMUUMIZA MABESTE, AU NINI TATIZO ME NASEMA TENA HUYU LISA SIO MVUMILIVU NA AMESHINDWA KUMVUMILIA MUMEWE KWENYE DHIKI
Mnaa apaga uongo madhabauni,nitakupenda katika shida raha,,shida ni pesa nnafikiri ..kukimbia nakuishi na mwanamme mwingine au mwanamke mwingine...ndoa za kikristo hazivunjiki kivyo,mungu atawahukumu wote wenye hila
Kitu kinacho niumiza kichwa ni hapo tuh....Naona umri unaenda naitajika kuwa na familia lakin Daah Life of marriage its where the problem start .... Ukilala ukiamka unasikia vilio everySide 😥😥😥 Am stuck God
Ana kitu kikubwa ambacho Amebarikiwa ndio mn shetani anapigana nae, na shetani haji physically anakuja spiritually na anaingia ndani ya mtu ili kukuchanganya nakujenga chuki kwa huyo mtu kumbe ni roho imemuingia huyo mtu, kwann hasa,inaonekana huyu mwanamke ndio kabeba hatima ya mabeste lazima wamchanganye kumgombanisha ili lile kusudi lisitimie, kikubwa wanapaswa kusimama kuomba na kufunga kukua kiroho nakupata ulinzi wa kiMungu shetani nimdogo mno ukiwa kiroho! Mungu awafungue macho wadogo zangu ili muishinde hii vita
Lisa unajitetea sana kwasababu unamzidi mabeste akili but kiuhalisia umemuacha Lisa kwasababu ya fedha ,mabeste hana hela umeenda kwa rafiki yake mwenye hela.
hakika ndugu uyu dada kama niswala la familia kwanini asingemwambia mwenza wake sasa huko alipo enda ndo amepona na hayo mambo wanawake acheni uwongo hakika wew dada unaroho ya pekee yaako yan apo ndo utakapo kuja ona wanaume tuliponzwa na wanawake toka adama na hawa
Huyu dada anaongea kwa machungu ila anajikaza ila wanaume muwe na roho za huruma unamzalisha mwanamke ukiona amesha kuzalia unaanza kuona hanathamani kwako laiti wanaume mngejua kuzaliwa mtoto ni hatua kubwa Sana hata msingekua mnafanya haya yote 😭😭😭😭😭😭
kwanza mwanamke ameumbiwa hisia na kinywa chake kina ulaghai kwa asilia ndo maana ni rahisi akazungumza uongo na jamii ikamwelewa kuliko hata mwanaume anayesema ukweli, ila sina maana kuwa huyo mwanamke ni muongo ila ninapata wasiwasi kwasababu mabeste kashughulika na huyo mwanamke akiwa mgonjwa mpaka kapona, kama ndugu ndo chanzo cha kuugua kwake kwanini asimwache mabeste akiwa mgonjwa? angesema mme wangu tuachane kwasababu kuumwa kwangu kunasababishwa na ndugu zako, ila kapona mikononi mwa mabeste na sasa ni mzima wa afya ndo anazungumza haya? Simwamini sana, kweli anaongea kwa hisia na kama hisia ni ukweli hata hao wanaoigiza basi hawaigizi. Lakini mabeste kasema kuwa mwanamke katembea na rafiki yake wa karibu ila sio rahisi kumwamini mabeste kwasababu hana hisia kama za huyo manzi
@@bennymochiwa4800 wanawake wana mambo mengi sana mdau, sasa jiulize ni muda gani tangu apone hadi wanaachana na mabeste kama dhana yake ya ushirikina ina nguvu katika hoja yake.
nenda uko malaya wwe sema unataka uhuru wa kufanya mauzinzi yako huna hata haibu unathubutu kutoka na rafiki wa mumeo huoni kama unamatatizo makubwa alafu hizo spirit unazozizungumzia zinahusiana nini nakwenda kutoka kimapenzi na shemeji yako mabinti wa sikuhizi mnakwamaga wapi jaman!!!!!!!!
Unaposema unampenda mtu ina maana uko tayari kuyabeba mapungufu yake,aibu zake na changamoto zake as a person na kama unaona hauko tayari kuyabeba hayo yote ni bora usiseme kabisa neno nakupenda.Unakosea sana kumuhukumu mabeste kwa mapungufu ya familia yake,you married him not his family,kama tatizo lilikuwa ni lakiroho,ulipaswa kusimama kama mke na mama kuipigania familia yako,kuikomboa kiimani kwa maombi na funga.He played his party sana tu kwenye kukuuguza,kitu ambacho wanaume wengi wasingeweza kufanya,he had nothing much to offer but he had true love kwako.If u can't be greatful kwa kitu kidogo hata kikubwa huwez kushukuru.Adui yako alipaswa kuwa shetani maana ndo kavuruga hadi ndoa yako,not mabeste.Mwanamke mpumbavu anavunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.Methali 14:1"Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe".Omba sana hekima.
Dahhh,,,, hd huruma ila mwanamke anavyoongea tuuu anahasira kalii sipati picha akiwa anagombana na mme wake hizo hasira anaweza akajitia kwenye sufuria la maji la moto jikonii ,,, Mungu amuongoze ktk hilo na amuondolee hasira na amjalie subra na azidi kumlinda maana kapitia magumu
@@dollyandthedoliganeloi3025 😂😂😂😂 hata hapa US wanigeria wanabeba sana wabongo na wakenya, wanawachezea na kuwaacha , then wanaishia kuoa kwao. Nina rafiki yangu mkenya alidate na mbongo akaona hapewi raha, kumbe rafiki yake alikuwa anapiga double jobs to provide kumbe dada alitaka sterehe akatafuta mnigeria akapewa raha na mimba alipo jifungua maisha ya muwest yalimshinda akarudi kwa mbongo wake🤔🤪🤪😂😂 mbongo nae kwa upole akamkubalia, so wapo wote bado😂😂
@@ilovejesus9303 yaani alafu kwenye starehe si ndio hao wanawake wa kibongo na wakenya wa kinageria starehe zao harusi na makanisani huwezi kumkuta mmama kajikalisha sehemu anakunywa usiku mkali uku ndio zao
Tatizo la vijana wengi duniani sikuizi tunashindwa kuelewa kitu kimoja, mapenzi or (love) is not enough kwenye ndoa! Mapenzi sio kitu pekee kinachotosha ili watu waingie kwenye ndoa, kunahitajika pia maturity au ukomavu wa aina tatu ili ndoa isimame imara! 1) Physical maturity yani ukomavu wa kimwili
2) Mental Maturity yani ukomavu wa kifkra
3) Financial Maturity yani ukomavu wa kipato au kifedha
Shida nayoona apo ni kwamba hawa waliingia kwenye ndoa sababu wanapendana lakini mmoja wao au wote hawakuwa na ukomavu wa kifkra, na ukomavu wa kifedha au kipato.. ili kushindana na matatizo mengi yaliyokuwa yanawakabili kutokana pia na aina ya maisha walioanza nayo yani ya umaarufu na usuperstar.
27/12/2024. Nimekuja kutafuta story yao baada ya kuona post insta, kama tupo pamoja gonga like tuzifatilie part zote😊
Mie naangaria Leo tar30/12/2024
Nimetoka tiktok😂
Criss you are going to be the next king of interview in this industry.. Hongera sana kaka na utie bidii kabisa
Acha kumsifia uongo dada, amepoa sana. Angechangamka kidogo tu hii interview ingetisha sana. Anashindwa hata kufanya follow up ya mazungumzo, anauliza mambo ambayo mdada alishayaongelea. Inabidi dada amwambie unakumbuka nilikwambia hivi na hivi,,,,,,,,,,kosa kubwa sana kwa interviewer
Upo uhitaji wa kumwomba Mungu sana juu ya issue za mahusiano, kwa kuingia kwenye mahusiano kunaweza kupekea milango ya mafanikio au milango ya matatizo kufunguka, shida ni kwamba wengi wanaingia mapatano bila kujua undani wa yule unaeingia nae kwenye mahusiano, watu wanatoka kwenye koo mbalimbali na matabia tofauti ambapo wengine wana maagano ya giza, tumtafute Mungu sana juu ya haya mambo ya mahusiano, pengine Mungu anaachilia hivi vitu kwa uwazi ili tujifunze kitu
Amen
Umeongea yote kaka
Sawa mkutubi
Siku hizi raha sana mkigombana mahakama mtandao mahakimu na majaji watazamaji dah kikubwa ni bando tu ukienda huku stamina ukirud mabeste hatarii
i think ni kwasababu wanahusiana na media,means kuna namna maisha yao yamepitia kwenye media,
😁😁😁🤣🤣
@@ELLYTECH umeongea fact sana bro nahic utakua umeeleweka kwa kiwango cha juu sana
😂😂
@@ELLYTECH media zinawasaidia nini zaid ya kujichoresha tu
ndoa inaweza kukufikisha katika malengo yako, kuchelewesha malengo yako au kukupoteza kabisa usifikie hatima yako.
Mungu atusaidie sana katika kuchagua wenza wetu.
greta gonga Amen
Kabisa
Ameen
We acha tuu kabla ya kuoa maisha huwa mazuri lakini shida baada ya ndoa
Kweli aseee
Ata Eva angejielezea hivi pale Edeni lawama zingeenda kwa Adam
Tutafteni PESA
😁😁🙌🙌
Duh yani huyu dada ni uthibitisho kwamba wanawake na wao wanabeba mizigo mingi sana
Asiejua uongo wa hayo madudee atateseka saaana sana sana na atakwaruzana na watu buure kisa mapepo. Tumuombe Mungu atufundishe kila siku
"Ndoa za bongo bwana hufungiwa chumbani na kuvunjikia kwenye media..!!"🤣😃😆😂😂😄😀😀😀wabongo bhana😳
Shkuru Saleh aiseh mie bado najiuliza kwann waende kwenye media ili wagundue nn heri ndoa ya mlala hoi inadumu
Nmechogundua. Uliingia kwenye mahusiano wakati bila kujua kua ndoa nibahari kubwa. Yenye kila aina ya raha na karaha. Kwaiyo ulifurahia wakati una date lakini zilipo anza changa moto ukashindwa kuzipokea kiakili. Ndio mana ukapata tatzo la streass..pole sana. Jamani ndoa sio raha tuu inamambo mengi mazito
Ni kweli ndoa zinachangamoto na zinaitaji uvumilivu ukisikiliza part 1 utajiuliza kwann hakuweza kuvumilia changamoto lkn ukisikiliza hadi part 4 kiukweli kavumilia sana na kama binadamu yyte ni ngumu kuendelea na hiyo ndoa maumivu ni makubwa sana.
Na ndomana akasema alikua mdogo 19 sio rahisi kuyajua yote hayo mwanzoni
😂😂😂 mahusiano ya miaka minne mbona ni mingi Sana. Huwezi kuishi na mtu miaka minne usijue kuvumilia. Basi tu kachoka stress
@@ilovejesus9303 kweli nimingi kwa wawilitu yaani mwanamke na mwanaume tena mkiwa mahawara ila inapofikia kwenyehatua yandoa, halafu mbayazaidi ikiwa familia ya mume haimtaki mke , ningumusana ndoakudumu… hususan mkioawana wote vijana. Maana njia zauwadui huwa ninyingi nanyinyi mpowawilitu.
Kama hujawah kulogwa au kupitia hayo mambo huwez kuelewa but mim nimemwelewa Lisa pole sana hayo ni mapito yatapita itrust yu girl
Pamoja na yote uliyopitia GOD never and w'll never ever forsake you my dear hold on HIM forever in JESUS NAME.
Acha hizo this girl speaks the truth..
@@nestor384 me or who? if you read correct am supporting her 100%
Lisa umechagua maisha yako uenda Sisi atujui undan na atutaki ushabik kwenye hil Ila ni vema watoto wasije wakapata Shida sababu ya hili ...na pia ulipo sasa Muombe Mungu maan Una watt wanaitaj udum usijitue Kwa mwanaume mwingin Kwa sasa
Alichoongea Lisa ni ukweli na Alichoongea Mabeste ni ukweli.
Kila mmoja ni ukweli kwa upande wake
Umenena aisee.....but najua watu wengi wataona Lisa ndo anaongea ukweli kwa jinsi anaweka hisia kwenye kuongea
Ni ukweli kabisaa
I have always been telling people ukimuona mwanaume he is doing so better trust me master mind kila siku ni mwanamke aliyenae! Lisa is bright if she was 19 na alkua anajitegemea plus working then she is a woman n ahalf...... sema tu magonjwa yame mrudisha nyuma! Lisa my dear God is on your side never n never should you lose faith in him🙏
Umeongea ukwel sista huyu mwanamke ni yupo smart sana tena
Maskin pole Lisa, utakua sawa hadi nimelia 😭pole dia, time heals more than a Doctor, u will be okay, yaan umeongea kwa uchungu sana
Pole sana my dear, ndoa za bongo ni mitihani. Story yako ni kama yangu kabisa. Ukweni walinitupia mavitu ili tu nitengane na mtoto wao, bado fujo za kumtafutia mahawara na visirani vya live. Khaaa nikaenda for deliverance nikaona for my saftey ni heri kuwaachia mtoto wao. Am happily divorced. With a new life, na cha ajabu nimefunguliwa maisha mazuri zaidi.
Haya mambo yapo kma hayakukuta huwez kuelewa
Wasiojua haya mambo hawaamini ila shetani yuko kazini
Hangaya Kabisa nimeyapitia lkn saiv alhamdullillah maisha yamenifungukia mpk wanaona wivu
Hangaya nakuelewa mnooo dear pole sana
@@zuleikhakhamis3303 yaani wahanga tuko wengi jamani
Tatizo ni la mwanammke. Wanawake we have to do better....Aliona red flags mapema akaziignore kashindwa kulipa mahari angeondoka mapema, Familia ya mwanamme mbovu angeondoka mapema......Tujifunze kutoignore red flags mapema tu mwanamme anayekupenda angeenda kukopa kama mwanammke alivyofanya........
Kwenye familia nyingi hasa ya mke na mume, ndugu wengi wa familia ya mume ndio Sababu ya kuvunjika ndoa..
Kweli kabisa 😭😭 Ndugu wa upande wa Mwanaume huwa wana vita sana,,, Mm mwenyewe yalishanikuta haya.
Fetry well said haswaaaaaa
@@candybenardy3110 tuko sawa best ila ukijua kuzipotezea stress bac mambo yananyooka mpk wao wenyewe wanakuja kushangaa
Asante sana
Mtu mmoja unashikwaje na watu ishirini?
Unahitaji psychologically counselling pole tafuta professional counselor na ibilisi ni mwongo sana analeta chuki kwako na kuingiza Roho za chuki
kabisa aiseee daaah
Counselor wakati katembea na rafiki yake
@@cornelyakatangwa489 Sawa lakini hatakiwi kuwa na vinyongo na hisia negative ndio vyanzo vya magonjwa
Hahaha kweli ila CONI kama kuna kosa mtu kueleza hisia zake,kama katendwa hana budi kutoa ya moyoni,kama hayajakufika omba MUNGU, tena ukoo
Yeah yeah brother kuna tone kuna muda anaitoa kuna muda anairudisha
Mungu akutangulie kwa kila baya..damu iliyomwagika msarabani ni ishara ya ukombozi kwako..
Ndoa huvunja tangu miaka ya zamani baada ya kifo cha nabii suleiman au solomon shetani alianza kuwafunza binadamu jinsi ya kuzivunja ndoa sasa hadi leo uwo uchawi au black magic bado watu waovu wanaendelea kuwatatiza wanadamu kwahio swala la kujikinga ni kusoma quran asubuhi na jioni mungu atakukinga ameen
Hiyo kutetemeka ni hasira,uchungu au bado unaumwa mamy,mungu akuponye
Du inanihuzunisha sana tena sana polesana dadayetu mngu atakusimamiya maombi ndokilakitu kwasisi tuliyemjuwa ngu 💞💞🥰
😳😳😳😳😳
We really really are in need of Mental Health Awareness.
SnS this is a very therapeutic conversation for this lady, I'm glad you provided a platform for her to verbalize her feelings. They are very real to her.
Na ana uchungu jamaniii... i feel her pain aisee...
Dada songa mbele, kua strong, changamoto hutuamsha akili, hutufanya tumrudie Mungu, hutufanya tuone wema wa Mungu ktk maisha.
Mabeste anakupenda sana na ndiyo maana hakuwa upande wa familia yake kwa namna yoyote alichagua kuwa upande wako kama mke wake
Kama hujawahi kurogwa huwezi kuelewa mambo haya pole Dada maombi ndiyo siraha kubwa
Happy you very right kisha ulifanya hati akuna uchawi .uchawi upo Sana hata Bible na Quran zina Kiri hili who are you to say there is no such spiritual nkt
Happy Elias kabisaaaaaaa
Pole sana kwa matatizo yaliyokukuta kama mtu hajawahi kupitia katika mambo ya mizimu na roho chafu hawezi kuvaa viatu vyako na unajua sana kujieleza na we ni mvumilivu sana na una busara lakini sijajua sababu za msingi za kuenda kutoka na rafiki yake najua nobody is perfect but iyo kitu imeongeza chuki na visasi ila siwez ku judge maana sijui kwann umefanya hivyo maana hata Mabeste sio makosa yake yy ni familia yao
Naelewa unachojisikia kwa sasa kikubwa ...mungu ndyo jibu la maswali yako yote dada na siku zote ukiongea kitu ambacho ulikuwa utakiki kukizungumzia lazma ulie yanatoka moyoni kabsaaaa
Dada nakuelewa mimi 2017 niliumwa miezi 6 kila nikipima hamna kitu ,maumivu ya kila aina ,mwil ulikua unawaka moto ,sikuwahi kupata usingizi miezi yote hio,so nakuelewa kabisa
Sasa uliponaje?
Depression ni hatarii...mental health bado sana tanzania
Pole sana
Mim mwenyewe namwelewa maana hata mim nilishawah kuugua hivyo
I like her confidence. She is very smart.
Smart wapi usaliti ni usaliti tu uwez kucheat na rafk alaf unakuja na excuse wanawake bhana ibilisi kbsa
Kuna roho ya chuki inaanza kukuingia,.naiona katika ulimwengu wa roho,Mungu akutie nguvu
Lisa ana uchungu mno😭 hizi mambo hauwez elewa hasa Ukiangalia watu wanavyo ishi uko Mitandaoni 😫
Yaani kabisaaaa
Presenter is just a cool and smart guy
Unaweza ukapataa matatizo ukazaniii mungu amekutengaaa lkn mungu hajuwi kumtengaa MTU me naelewaaaa sana dada Angu pole saana
Daah pole sana yaniuonyesha ni jinsi gani unavyoumia hata kwenye kuongea Mungu atakusaidia🙏
Tanzania Oman
Kwaiyo unampa pole kwa kutembea na lafk yke mabeste iv Kama ungekuw n ww mke Wang anatembea na lafk yko alaf anakudai talaka iv ungekual na ata kama familia yke mabeste walikuw awamtak yey awez akatembea na lafk yke mabeste
Pamoja nayote kama kaliwa na swahiba wake bas hana jipya huyu bint
Ila uyu manzi anaonesha ana kiburi mbayaa
Sometimes hizi interviews za broke relationships za superstars mnaziona zinaumiza na kuna ukubwa but kwa hawa watu wa chini ambao sio superstars ndoa zao zimevunjika na misukosuko ya ajabu sana ambapo zingekua zinawekwa bayana sababu za uhusiano wa ndoa hizo kuvunjika basi wasanii mngekua wapole maana nyingine hazifai kabisa kusimuliwa kisa zinatisha mno kuliko.
Kabisaaa
Flightclubtanzania Yes ni kweli kabisa
Swadakta ujumbe mufti
Kbisa mtaan kwa chini kuna hatar zaid alafu usaliti ni usaliti tu
hakuna mwanamke ambaye alishaachana na mmewe asiseme au asionekane na stress. kilichopo wanawake mjifunze kuwa, mwanaume ambaye hakucheat, sio mrevi kupindukia, hajawai kuwa anakukosesha raha kila wakat kwa kukupiga kila wakati, huyo ni mwanaume na hukupashwa kumwacha. still hata ndugu wa uliyeona ni bora kuzid mwanaume wa ujana wako ktk ndoa, HAWATAKUPENDA!!!!!!!
Ujauzito una mambo mengi, kama ulizembea na hukujua jinsi ya kudeal na Hormonal changes ndio basi ni chanzo. Then this woman sio mtu wa kusamehe she remembers pity things hadi maudhi ya mimba.
Ndio nashangaa.
Maudhi ya mimba ww unayajua?? Kwani kukumbuka usumbufu wa mimba kuna shida gani??? Wengine mpaka tumekuwa wakubwa mama zetu wanatusimulia jinsi tulivyowasumbua just for fun. Ana kila haki ya kukumbuka kila kitu, muacheni.
Ushawahi kubeba mimba..???
@@mikidadichisala6136Na ndio maana nimekuuliza hilo swali coz najua what goes on kaka. Ni mama wa watoto wawili.
Yan alivyoanza kulalamikia aliyoyapitia kweny mimba nikashangaaa aisee
Pole Dada mungu atakupigania tena kwa haki...kuwa na amani ya moyo usije ukapata presha
Mababu zetu walioana tangu vita ya kwanza ya Dunia mpka vita ya iran bado wapo,,ata sijui waliwezaje🤔 but wato wawili bado wanapendana,,ila kurudiana ndo ishu ilipo,,ila ka sister kapo poa sana kwa matumizi ya kibinadamu.
Chakula
Ivi uyu Dada si hyu ambae alikua anaumwa sana,mpka ikafikia mabest akawa anaomba msaa kwenye Media jamani.!!!! I
U had postpartum depression its unfortunate hukutambua hilo wakati unaumwa!! Lakini nimenotice ignorance kubwaa sana huku africa kwetu!! Its a sad situation😳😭😭
Yeah you are right. Sijawahi sikia kuusu hizi postpartum blues, depression and pyschosis kabisa zikiongelewa home.
💯💯
Nshaiskia sana hii, ntaifatilia hope na mm nilikua nayo
Yesss true
Tupo wengi sema tunasubiri saa na siku ya kuachana.Mungu tusaidie
😂😂😂😂 jmn usikate tamaa. Mungu anaweza badilisha kilio kikawa Furaha tena
Tupo wengi sanaaa🤣🤣🤣
kweri tupo wengu ndoa eeeee e Mungu tusaidiye
Yaan acha tu dadaangu
Usijute dada.Mungu amekuepusha na shetani.you have to thank God.wamekushindwa
Trueeee
Jaman tuwe serious relationship ikivunjika kunakua na maumivu ya hali ya juu sanaa
This woman is smart and a real wife,,mabestie umeshindwa wap
Katombwa na mshikaji yake mabeste
Usiangalie hisia bro, wanawake Mungu anawajua.
@@jamalshaha4512 hapo sasa
Mabeste ni looser! Amepoteza Lulu. Ni wife Material n yuko vizuri upstairs. Mungu aendelee kumlinda Lisa na Watoto.
@@beatricemagambo5510 hamna kitu pretender huyo, yeye ndo kapoteza mume mzuri aliyekuwa naye hata nyakati za shida. Na mwanamke ndo kamkataa mabeste na sio mabeste kamfukuza mwanamke sasa ulitaka mabeste amlambe miguu maana yeye ndo kakataliwa. Na mabeste kakataliwa kwasababu ya ukata hiyo ndo sababu kuu hakuna kingine hapo.
Pole Dada hapo niulikuwa na stress sana ndio maana ulimwa sana bila vipimo kuonesha chochote
Huyu dada hayuko sawa kiukwel but usife moyo pole kwa matatzo
MiMI SWALI LANGU LIPO HIVI, PAMOJA NA HAYO YOTEE ALIYOPITIA HUYU LISA KWANINI AKAAMUA KUJA KUTEMBEAA NA RAFIKI WA MABESTE TENA WAKARIBU KABISAAA, JE ALIFANYA HIVYO KUMUUMIZA MABESTE, AU NINI TATIZO ME NASEMA TENA HUYU LISA SIO MVUMILIVU NA AMESHINDWA KUMVUMILIA MUMEWE KWENYE DHIKI
Mwanang m huyoo RFK naua mamaee daaaah
Yan apo ndo alipokosea...
Yeah sio poa halafu akumbuke aliumwa mabeste aliunda hadi makundi ya kuchangisha pesa aka lipiwe kweli fadhila hana huyu dada
malipo nihapa hapa duniani japo inauma ila hakuna namna
Mnaa apaga uongo madhabauni,nitakupenda katika shida raha,,shida ni pesa nnafikiri ..kukimbia nakuishi na mwanamme mwingine au mwanamke mwingine...ndoa za kikristo hazivunjiki kivyo,mungu atawahukumu wote wenye hila
Hakuna mwenye makosa kati yenu, tena inaonekana mlipendana sana,ila mlikutana na shida zilizowazidi zikapelekea kubadilika kwa maamuzi.
Usaliti ni usaliti tu huwa hauna reason uwez kucheat tena kwa best wa mume au mke alaf ukatoa excuse
Pole mdogo wangu. Ila naona bado unaumwa na umejaa hasira plz samehe moyo wako utapona. Nimekupenda sana
Kitu kinacho niumiza kichwa ni hapo tuh....Naona umri unaenda naitajika kuwa na familia lakin Daah Life of marriage its where the problem start .... Ukilala ukiamka unasikia vilio everySide 😥😥😥 Am stuck God
Aisee!!!!
Hiyo ndio shiida
ujanja wa sasa ni kuwa faithful kwa mpenzi mmoja....
Simfahamu huyu dada wala nilikuwa sijawahi kumsikia lakini afya yake bado haiko sawa. Anahema sana akiongea. Mungu amuonekanie.
Nimecheka eti afya haiko sawa
@@gracemalatwe6064 Sasa kinachochekesha ni nini hapo?
Yni bdo ana hasira na uchungu ndo inafanya aongee ivo wala sio ugonjwa
@@sophiajoseph4267 Atakuwa ana tatizo kwenye moyo jamani hiyo siyo hema ya kawaida au ya hasira.
Ana hasira ndio maana ana hema sana
Pamoja na yote ila sio kama alivyofnya hyu dada na kitendo cha kua kimahusiano na rafiki wa mabeste hapo mnaonaje? Ina maana alikua anamcheat mda sana
Dah Dada pole jamani ulikuwa na haki ya kuachika mungu ni mwema atakujibu maombi yako
Dada anaonekana ana uchungu pole dia mtwishe yesu mizigo yko dada
Atamtwishia wapi sasa Huo mzigo
nurdin suley anamtwisha kwa imani amwambie yesu matatizo yngu nakubebesha wew unisaidie kwa imani
Kabisa jamaniii
Sielewi kwanini familia imkatae mwanamke kama huyu...kwanza ni intelligent...pili ni wife material... Tatu ni mzuri sana...kuna kitu tunafichwa...
Kabisa kaka wanawake ni waongo sana
Ana kitu kikubwa ambacho Amebarikiwa ndio mn shetani anapigana nae, na shetani haji physically anakuja spiritually na anaingia ndani ya mtu ili kukuchanganya nakujenga chuki kwa huyo mtu kumbe ni roho imemuingia huyo mtu, kwann hasa,inaonekana huyu mwanamke ndio kabeba hatima ya mabeste lazima wamchanganye kumgombanisha ili lile kusudi lisitimie, kikubwa wanapaswa kusimama kuomba na kufunga kukua kiroho nakupata ulinzi wa kiMungu shetani nimdogo mno ukiwa kiroho! Mungu awafungue macho wadogo zangu ili muishinde hii vita
Lisa unajitetea sana kwasababu unamzidi mabeste akili but kiuhalisia umemuacha Lisa kwasababu ya fedha ,mabeste hana hela umeenda kwa rafiki yake mwenye hela.
Ameenda kwa rafiki yake nani?
hakika ndugu uyu dada kama niswala la familia kwanini asingemwambia mwenza wake sasa huko alipo enda ndo amepona na hayo mambo wanawake acheni uwongo hakika wew dada unaroho ya pekee yaako yan apo ndo utakapo kuja ona wanaume tuliponzwa na wanawake toka adama na hawa
Anajua kujieleza sana jaman hongera kwa hili pia 👏👏👏 ...pole sana kwa yote uliyopitia kwa jinsi unavyoongea hamna uongo hapo
Kunabomu kubwa linaendelea hapa mchini sababu ukiangalia ktkndoa hizi mbili wote walikuwa hawana muda wa kujuana haya poleni
Hii story ya kutotambulishwa ata mi yamenkuta mpaka nmepata mtoto ndio nawaona na baba mkwe wangu hajawai kuntambua
Wacchana 2jitambue jaman
Huyu dada anaongea kwa machungu ila anajikaza ila wanaume muwe na roho za huruma unamzalisha mwanamke ukiona amesha kuzalia unaanza kuona hanathamani kwako laiti wanaume mngejua kuzaliwa mtoto ni hatua kubwa Sana hata msingekua mnafanya haya yote 😭😭😭😭😭😭
Napenda we jamaa unavointerview
Ni kama milard ayo
Huyu dem mzuri lakini muongo sana na Malaya unawezaje kutembea na rafiki wa mumewako kabla ya talaka umewaangusha sana madem wenzio
Jamal Shaha acha ushamba ww
Unaijua sababu ilyompelekea atembee na tafk wa mumuwew kuna acha mambo ya ndan ya bak ivyo
Dah wanawake bhn Kuna sababu ya kuchit kweli tena mme wako wa ndoa usiongee tu sababu mwanamke mwenzako
rspct bro. hamna k2 apo anaitaji ushauri huyu dada. Hukupaswa ivo weak nd poor mindd...
kwanza mwanamke ameumbiwa hisia na kinywa chake kina ulaghai kwa asilia ndo maana ni rahisi akazungumza uongo na jamii ikamwelewa kuliko hata mwanaume anayesema ukweli, ila sina maana kuwa huyo mwanamke ni muongo ila ninapata wasiwasi kwasababu mabeste kashughulika na huyo mwanamke akiwa mgonjwa mpaka kapona, kama ndugu ndo chanzo cha kuugua kwake kwanini asimwache mabeste akiwa mgonjwa? angesema mme wangu tuachane kwasababu kuumwa kwangu kunasababishwa na ndugu zako, ila kapona mikononi mwa mabeste na sasa ni mzima wa afya ndo anazungumza haya? Simwamini sana, kweli anaongea kwa hisia na kama hisia ni ukweli hata hao wanaoigiza basi hawaigizi. Lakini mabeste kasema kuwa mwanamke katembea na rafiki yake wa karibu ila sio rahisi kumwamini mabeste kwasababu hana hisia kama za huyo manzi
unacho sema ni sahihi kbs, na haya makanissa ya sku hizi na hizo ramli wanazopiga!!!!??? ni mambo ya kishirikina kbs
@@bennymochiwa4800 wanawake wana mambo mengi sana mdau, sasa jiulize ni muda gani tangu apone hadi wanaachana na mabeste kama dhana yake ya ushirikina ina nguvu katika hoja yake.
Makanisa ya cku hizi ni uchonganishi mno Mungu atusaidie
Kwa hali hii hat mimi ningeachana name, pole dada. 👐👐
Pengine hata mabeste amepigwa juju ndo mana kabadilika ase u never kwn tunaeza mlaum mabeste au Lisa akamalaum mabeste huwezi jua pia anahitaji maombi
Bakari Ninga .inaweza kuwa
Bakari Ninga inawezekana pia
Kweli
Mungu atakusaidia, amini kuna sababu yaww kuyapitia haya na Mungu atakuinua, shkuru Mungu kwa kla sababu
nenda uko malaya wwe sema unataka uhuru wa kufanya mauzinzi yako huna hata haibu unathubutu kutoka na rafiki wa mumeo huoni kama unamatatizo makubwa alafu hizo spirit unazozizungumzia zinahusiana nini nakwenda kutoka kimapenzi na shemeji yako mabinti wa sikuhizi mnakwamaga wapi jaman!!!!!!!!
Pole sana sister ani kwakweli una umia sana sister ani
vijana wa kitanzania kwanini uanzshe familia wakati bado huna source of income ilioko stable??
hiv unajua kuw kuna watu wamefirisika?? Income kuwa stable mwisho wa maisha. *Maisha yana siri kubwa*
Hii intavew ni kubwa sana,hakika Mungu ana nguvu sana ya kuwateketeza wachawi na mawakala zake,waliookoka tu ndo wataelewa alichoongea uyu dada
Tumechoka iz story za kuachana ,em Dada Amber Ruth dondosha Part 4 yako
Wakwanza kabisa ku like, comment and 3rd viewer....
I love #SNS🙌🙌🙌🙌🙌🏃♂️🏃♂️
Who’s #Mabeste???
Uchawi pia....yaani jaman its real real real!! Pole masikini
Familia Ya Mabeste wanajua walichomfanya huyu binti...ni akili za kishirikina tu kutotokea kwenye harusi ya mtoto wenu...
ulicho zingua ni kwwnda kwa mshikaji wake mabeste
For sure
Kabisa
Hamkoseagi sns😘 maswali ya maana
Unaposema unampenda mtu ina maana uko tayari kuyabeba mapungufu yake,aibu zake na changamoto zake as a person na kama unaona hauko tayari kuyabeba hayo yote ni bora usiseme kabisa neno nakupenda.Unakosea sana kumuhukumu mabeste kwa mapungufu ya familia yake,you married him not his family,kama tatizo lilikuwa ni lakiroho,ulipaswa kusimama kama mke na mama kuipigania familia yako,kuikomboa kiimani kwa maombi na funga.He played his party sana tu kwenye kukuuguza,kitu ambacho wanaume wengi wasingeweza kufanya,he had nothing much to offer but he had true love kwako.If u can't be greatful kwa kitu kidogo hata kikubwa huwez kushukuru.Adui yako alipaswa kuwa shetani maana ndo kavuruga hadi ndoa yako,not mabeste.Mwanamke mpumbavu anavunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.Methali 14:1"Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe".Omba sana hekima.
Dahhh,,,, hd huruma ila mwanamke anavyoongea tuuu anahasira kalii sipati picha akiwa anagombana na mme wake hizo hasira anaweza akajitia kwenye sufuria la maji la moto jikonii ,,,
Mungu amuongoze ktk hilo na amuondolee hasira na amjalie subra na azidi kumlinda maana kapitia magumu
Ndo umekomaa sasa hapo Dada.. Haÿa mrudiane muanze upya
Pole sana love
Pole sister, dunia sio mbaya ila binadam ndio wabaya Dah! Imenigusa sana.
pole ssana Mungu hajakuacha
Daaaaaah huyu dada nampata sanaaaa amekuja sanaaa kwenye maombi kwa Gamanywa ila Mungu amsaidie ameteseka sanaaaa alikuwa hawezi chochote
daaa anatia huruma kweli
Kwa ushauri wangu tu kwa vijana wezangu tuweni n mapenzi ya kweli na sio utoto mwingi n kupotezeana wakati
Shida vijana tumemuacha Mungu hatuna hofu ya Mungu tunaishi ishi tu alimradi siku ziende
Vijana wa kitanzania yaani uku UK hatuna thamani vijana wa kinaigeria wanajibebea dada zetu tuu
@@dollyandthedoliganeloi3025 😂😂😂😂 hata hapa US wanigeria wanabeba sana wabongo na wakenya, wanawachezea na kuwaacha , then wanaishia kuoa kwao. Nina rafiki yangu mkenya alidate na mbongo akaona hapewi raha, kumbe rafiki yake alikuwa anapiga double jobs to provide kumbe dada alitaka sterehe akatafuta mnigeria akapewa raha na mimba alipo jifungua maisha ya muwest yalimshinda akarudi kwa mbongo wake🤔🤪🤪😂😂 mbongo nae kwa upole akamkubalia, so wapo wote bado😂😂
@@ilovejesus9303 yaani alafu kwenye starehe si ndio hao wanawake wa kibongo na wakenya wa kinageria starehe zao harusi na makanisani huwezi kumkuta mmama kajikalisha sehemu anakunywa usiku mkali uku ndio zao
Hawackii ata ukiwabeba hawabebeki
Sasa kama unalijua hilo why husimpeleke na yeye akaombewa ili umuokoe
Sura sio roho, Sura sio utamu wa kitumbua, sura sio tabia. Mboga za jalalani zinavutia lakini kiafya hua sio nzuri
Uyu dada ana uchungu adi anavoongea anatetemeka duh😌😌
Sipendi kuwahi nakosa comment za kusom😭😭
Hata akufanyie ubaya gani uwezi tembea na lafiki wa mumeo huo ni unyama... shenzi iii
Hii ndio dawa yao
@@agnesmwangombe6999 kweli kabisa wanaume wanakera sana
kwakwel huyo mnafki sana rafik wa mumeo unajiliza tu alafu mm ndo ningekuwa nakunyia enterview hapo ningekukata kofi pumbavu
kwa ushaur wang kwa mabeste popote ulipo naomba ukae kimya cz huyu mdada yuko na IQ kubwa sana kushinda wewe kaa kimya bro
we km nani wa kumkalisha kimya
IQ kubwa yakutombwa na rafiki wa mumewe...bitch
Kama kweli wazee/Familia ya Mabeste ilifanya maumivu yote kwa uyu Dada /Walaaniwe mungu atawalipa malipo duniani 😢
Rayvanny ft willy paul-mmh, rudianeni tu hakuna kipya chini ya jua