Ma Babu na ma Bibi wengi hua hawapendi kuhama hata ufanyeje. Wengi hudhani kua ni kukataa kujengea wazazi, kumbe wazee hawa hua na mambo ya kukataa kuhama nyumba ambayo wameishi miaka 50+
Jenga nyumba nzuri bro...pesa unazodorisha mtandaoni zile nyumba mbovu ivoo duuh!😊😊...mm sina pesa kama ww lkn nakoishi hapafanani na apo kwa bibi ako..
Wazazi wengi wakisha kua hata ufanyeje hawezi kuhama. Mimi nilitaka kumjengea Babu yangu nyumba. Alisema kua yeye anahitaji chakula sio Nyumba. Turidhani ni kutokana na mda, lakini alikataa na kusema kua yeye atafia kwenye nyumba yake na kweli alifia kwenye nyumba yake
Unajia SnS you can do better than this bwana. Hivi watu kama huyu mnawapa airtime za nini?Kwahiyo hadithi hii inatufundisha nini? Tuwanunulie bibi zetu majunia ya mkaa? 😂😂 Ni huzuni kwakweli
Huyu ana utajiri wowote unashindwa kumjengea ata selfu ya room moja mtu aliye kulea aya maisha yamtandaoni nimeamin nimboyoyo tuu😂😂😂😂😂
Pesa anazo ila za Masharti sana
Tuoneshe wewe kwenu kwanza, kujenga nyumban kwenu siyo lazima ila kujenga kwako ni lazima
wewe umejengea mama yako Ata Choo???
hamna kutu ni show off tu😊
Et jamani me nikajua surprise kamjengea nyumba mpya
Mjengee bibi nyumba nzuri... hiyo sio
nakukubali sana baba.
Sanaaaa machawaaaaaaaaaaa
Hamna tofauti na mazingaumbwe😂😂😂😂shulen
That's good
Ma Babu na ma Bibi wengi hua hawapendi kuhama hata ufanyeje. Wengi hudhani kua ni kukataa kujengea wazazi, kumbe wazee hawa hua na mambo ya kukataa kuhama nyumba ambayo wameishi miaka 50+
Basi paboreshwe
Kilo 400 za mchele?? 😯😱Duuh mpaka ataota mpunga kichwani
😂😂😂😂
Bibi anamugopa😂😂
🏠🏫🏫🏰🏰🏰🏫🏫🏘🏘kwanza
Jenga nyumba nzuri bro...pesa unazodorisha mtandaoni zile nyumba mbovu ivoo duuh!😊😊...mm sina pesa kama ww lkn nakoishi hapafanani na apo kwa bibi ako..
Pesa za chief sio za kujengea watu bali za kutoa sadaka zingatia alama za nyakati 😂
Never say never
Bibi hana aman kbx
Uyo jamaa nim'binafsi anajifikilia yeye mwenyewe ili apate kuongelewa tu.aina aja yakwenda na makamera.
Bibi hamuamini chifu 😂😂😂😂
😄😄😄
Mbona kama bibi ana wasiwasi😂
Anajua mju kuu wake tapari hatari kwa michezo hatari😂😂
@@OmieMari-x7dhahahahahaha
PESA ZA MASHARTI NGUMU SANA JAMANI DAAAH 😂😂😂
Wazeee wengi hawapendi kuhama nyumba zao hataiweje tena ukiwaliisha wanakuwa wakali wao wanapenda kula vizuri na pesa kiduchu za mambo zao
Pesa za masharti hatakiwi kufanya maendeleo nyumbani 😂😂
bibi bado anasuka kisasa????
Pesa ,,za p@k@ ,,,,,hazinaga hasala😁😁😁😁✍️
HOMME KUMECHOKAAA;AU PESA NI MASHARTI HAYO? HATUTAKI BIBI HUYO AUMWE;MAANA HAMKAWIII NINYI HAPO KUFANYA YENU;MAMAE
Bibi kama haamini,mbona kijana huyo bibi sasa mamako yupoje jamani bibi nywele kama hizo anawaka😂
Mjengee ata kanyumba
Chakulanacho nikitu chakutangazia ulimwengu tena unampamleziwako
Niliisi ni surprise ya nyumba sasa magunia ya mkaa ya nn 😅😅
Wazazi wengi wakisha kua hata ufanyeje hawezi kuhama. Mimi nilitaka kumjengea Babu yangu nyumba. Alisema kua yeye anahitaji chakula sio Nyumba. Turidhani ni kutokana na mda, lakini alikataa na kusema kua yeye atafia kwenye nyumba yake na kweli alifia kwenye nyumba yake
Safi sana ❤@@barrynzeyimana6270
Pesa za uchawi inaonekana tu bila kuuliza
Sasa hivi ni vitu vya kuweka kwa mitandao 😢
Ni maajabu
Surprise gani sasa na anaishi hapo 🤣🤣na camera za nini sasa mpaka kwa bibi yako
ZINGATIA,BIBI ANAOMBA HAJUI VITU ALIPOVITOA ILA MUNGU NDIO ANAJUA😅
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
Mnunulie gas na nyumbani ya kisasa
Watakujibu ni biashara, kama kuna maokoto watafanyaje
Atumie nishati salama ya gass bwana mkaa vipi atapoteza macho
SASA HUYU MNATUAMBIA TAJIRI NA KUMNUNULIA VITU BIBIYAKE NI SURPRISE😢
😀😀😀
Unajia SnS you can do better than this bwana. Hivi watu kama huyu mnawapa airtime za nini?Kwahiyo hadithi hii inatufundisha nini? Tuwanunulie bibi zetu majunia ya mkaa? 😂😂 Ni huzuni kwakweli
Afadhali na wengine mseme, yani SNS sikuhizi wamekosa focus they are all over the place.
😂😂😂😂
bibi usiwenashaka uyoni kijanawako mnzuli usiwe nawasiwasinae
𝗠𝗺𝗺𝗺𝗵 𝗵𝗮𝘁𝗮 𝗸𝗮𝗺𝗮