Rais Ndayishimiye: Kagame lazima asimamishwe kabla hatujachelewa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 341

  • @28EddyNdayishimiye89
    @28EddyNdayishimiye89 Час назад +6

    As a proud Burundian 🇧🇮 I'll stand with my president

  • @Bagi873
    @Bagi873 3 часа назад +13

    Thank you Burundi for standing for the truth and justice

  • @ShukuruLazaro
    @ShukuruLazaro 4 часа назад +29

    Wanasema kagame wanamsingizia. Ivi kila mtu akusingizie wewe kagame ana shida

  • @inogelapixels
    @inogelapixels 2 часа назад +11

    Brother sky you have a unique style of story telling

    • @MasterTulo
      @MasterTulo 14 минут назад +1

      Mm nashaur kagame awekewe vikwazo vya kiuchumi atanyooka tu

  • @estherchou2899
    @estherchou2899 5 часов назад +28

    Shuja wa Amani bravo Ndayishimiye, eeeh Mungu ilinde Burundi proud of you President 👏🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @jacksonhafashimana3603
    @jacksonhafashimana3603 59 минут назад +1

    Merci Mon president Evariste Ndayishimiye🇨🇩

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 5 часов назад +18

    From 🇧🇮 kagame anatumika na wa zungu

  • @nduwimanafiston1189
    @nduwimanafiston1189 4 часа назад +27

    President wa burundi sio kibalaka wawazungu kama paul kagame but us burundians tumeamua kumushugulikia hadi kieeleweke

  • @gabrielrugundu8356
    @gabrielrugundu8356 5 часов назад +32

    Plan ya mtutsi ni kuitawala Africa mashariki na kati yote. Wakuu wetu wa nchi wanaona kama vile target ni Congo pekee😢😢 no, haipo hivo. Akishaikamata Congo atapata hela nyingi za kupitia madini. Ataliimarisha mno jeshi lake na atahamia kwetu. Viongozi wetu wapo usingizini tu😮😮

    • @ce-08
      @ce-08 4 часа назад +6

      Watu waliokuwa wanaufatilia huu mgogoro toka kitambo au watu wanachimba sana ndiyo wanajua ubaya wa Kagame lakin wanaufatilia baada ya mgogoro kulipuka tena mwaka huu hawawezi elewa zaidi watasema Kagame wanamsingizia lakin Kagame ni mshenz lengo nikujifanya kama Israel pale Mashariki ya Kati kutaka nchi zinazomzunguka ziwe zinamskiliza yeye au aweke utawala anaoutaka yeye SASA viongozi wa Africa Mashariki inatakiwa wake macho na huyu jamaa licha yakutumika ila hata yeye anampango yake

    • @anosiata8242
      @anosiata8242 4 часа назад +6

      Uko sahihi kabisa plani ya kagame na mseveni wakishakamata kongo ataingia tanzania baada hapo wataingia kenya na kumalizia burundi. Wakumbuke mtoto wa mseveni alichokisema .

    • @Bagi873
      @Bagi873 3 часа назад

      @@anosiata8242I am so happy to see people who understand the politics that is going on.

    • @raymrash
      @raymrash 2 часа назад

      Source ni wapi hii habari?

    • @Ryannkae
      @Ryannkae 2 часа назад

      @@ce-08kweli

  • @ce-08
    @ce-08 4 часа назад +40

    Alafu Kuna watu wako bize Kusema Kagame wanamsingizia😂😂😂

    • @adhabuabdul8269
      @adhabuabdul8269 3 часа назад +1

      Huwa wanashangaza sanaa aisee.. 😂😂😂

    • @adhabuabdul8269
      @adhabuabdul8269 3 часа назад

      Yaaani huwa siwaelewi kabisa.!😂😂

    • @Noooonat-o5s
      @Noooonat-o5s 3 часа назад +1

      He is used to violence ,People just pretending while they know the truth

    • @Bagi873
      @Bagi873 3 часа назад

      It just their political way to justify their crimes.

    • @raymrash
      @raymrash 2 часа назад +1

      ​@@Bagi873Is it true that Kagame is who is?

  • @kayagoAziza-z2c
    @kayagoAziza-z2c 4 часа назад +20

    Rahisi Wangu ❤❤🇧🇮🇧🇮🙏🏽🙏🏽

  • @bienvenukichambaomar5067
    @bienvenukichambaomar5067 17 минут назад

    🎉🎉🎉🇨🇩 tuko na nyinyi ndugu zetu warundi

  • @ELOGERUHIMBASA
    @ELOGERUHIMBASA 4 часа назад +20

    Ndahushimye ni chuma kweli kweli afadhali umeongea Baba ✊🏽✊🏽✊🏽

  • @paschalcharles3617
    @paschalcharles3617 5 часов назад +25

    Jambo la kufurahisha ni kwamba kuna WATU wa Kongo, Rwanda na Burundi na wote wanatumia lugha ya kiswahili kutoa maoni Yao 🙌

    • @BizindavyiNicolas
      @BizindavyiNicolas 5 часов назад +5

      Hilo linadhihisha kwamba kiswahili ni lugha nyepesi, yeyote anaweza kuongea

    • @gilbertkalanda9354
      @gilbertkalanda9354 3 часа назад

      ​@@BizindavyiNicolasSi jambo jema Hilo?

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 6 часов назад +25

    Rwanda tusipochukuwa hatua mapema Africa mashariki atakuwa tishio. Nivema kungana tumtoe. Huyu nyoko

    • @hamzasimbar3465
      @hamzasimbar3465 5 часов назад

      Huyo kagome wenu ndio sisi kwa hii incii ya warundi sasa subirini tunasubiri tu mayowe nahapo ndio mtageuka wakimbizi

    • @Alll.com.m
      @Alll.com.m 4 часа назад

      We Ni mjinga sana

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 Час назад

      Mmalizeni bas wengine tufurahi

    • @RichardRutembesa-ns1kn
      @RichardRutembesa-ns1kn 54 минуты назад

      ​@@hamzasimbar3465mnajuwa Kusema tumeshazoea Nyie Fanyeni kweli Sio kubweka tu

  • @Alll.com.m
    @Alll.com.m 4 часа назад +11

    ❤❤❤❤❤❤❤❤nilikuwa nasubiri iyi abari kwa hamu asante sana Kaka Bundala🎉🎉🎉

  • @ModrickDominick
    @ModrickDominick 59 минут назад +1

    Hongera sana Ndaishimiye

  • @AliDulla
    @AliDulla 4 часа назад +7

    Kagame ni wakala wa nchi za ulaya watu wanapiga hela kupitia huo mzozo na kagame ndio wakala wao

  • @chambalafrankdaniel397
    @chambalafrankdaniel397 29 минут назад

    Safi Sana huyu ndo mwanaume anaeongea ukweli bila kuogopa

  • @markodaniel2662
    @markodaniel2662 2 часа назад +3

    Viva CONGO viva Burundi viva Tanzania

  • @BenMamadou-w9e
    @BenMamadou-w9e 2 часа назад +2

    Kwa Burundi 🇧🇮 hawezi Maana anawajua hawanaga ujinga

  • @mrishomohammedi2654
    @mrishomohammedi2654 6 часов назад +10

    Wa kwanza leo

  • @Isabellependo6389
    @Isabellependo6389 Час назад +1

    Kagame ni mbaya sana

  • @evelynensanga3330
    @evelynensanga3330 5 часов назад +10

    Yuko sahihi kabisa Ndayishimiye kagame ashimamishwe kabisa 😢

  • @TroopKing-p4t
    @TroopKing-p4t 4 часа назад +8

    Kama anataka kutawala bara la Africa ameyakanyaga,kagame

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 5 часов назад +6

    Kweli kabisa Mr Ndayishimiye

  • @sundaystanley5322
    @sundaystanley5322 5 часов назад +15

    Namsapoti Rais wa burundi,huyu kagame ashughulikiwe

  • @melch3097
    @melch3097 Час назад +2

    Mseveni na kagame wana mpango kuitawala eastafrica, ndio maana kuna nchi zimeingizwa eastafrica bila kuja madhara yake

  • @hudumablack9339
    @hudumablack9339 5 часов назад +10

    Congo ingekuwa na Raïs kama NDAISHIMIE michezo tunayoshuhudia Nchini Congo isingekuepo.

    • @niyorukizaelias8142
      @niyorukizaelias8142 3 часа назад

      Subirini mtaona mwisho wa mambo atakapo sababisha vurugu yenyewe Burundi maana ni munafiki mkubwa madini yakongo yatamutokea puani hatutamuchelesha kama inavyomukodolea macho congo😂.

  • @byoseasolokoci7257
    @byoseasolokoci7257 5 часов назад +12

    Jamani, mshugulukiye kagame

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 Час назад +1

    Maneno ya Rais wa Burundi yaweke akilini kagame hana nia njema na EAST AFRICA

  • @BUSHASHASWITCH
    @BUSHASHASWITCH 6 часов назад +14

    Nakupenda rais Wangu 🔥🔥🔥 huyu mwamba wetu Anajuwa nipale tu warundi tunahitaji kuwa kama wao wakati kipindi wao warikuwa wanajijenga sisi huku kwetu kulikuwa machafuko ndomana hapendi viita irudi kwasababu tushaanza kuinuwa inchi yetu kwahali na Mali na musimamizi ni Rais wetu alafu musimamizi Mkuu ni Mungu 🙏🏾🙏🏾❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥

    • @Onge-shabani1994
      @Onge-shabani1994 6 часов назад +2

      @@BUSHASHASWITCH fanya kazi kaka acha kulalamikia serekali Africa ni bara ambalo bado Lina kuwa pia bado kuna fursa nyingi na maitaji mengi , Africa ni sehemu ambayo mtu mwenye ficra za utajiri anaweza kutengeneza pesa nyingi sana .

    • @BUSHASHASWITCH
      @BUSHASHASWITCH 6 часов назад

      @@Onge-shabani1994 Asante ndugu yangu Kwa ushauri Wako namimi Niko kazini kama kawaida Yangu 🙏🏾🔥

  • @onesterabayo1871
    @onesterabayo1871 3 часа назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤
    ..peace in East Africa

  • @HamzaMbasha-xs2ky
    @HamzaMbasha-xs2ky 3 часа назад +5

    Ruto na yeye kampigia Rais wa Ufaransa
    Kuna mwingine naye kaenda kukemea
    Cheki chuma hicho kinatoa mambo wazi..

  • @rahimzuberi2673
    @rahimzuberi2673 4 часа назад +5

    Huyu kagame ana shida 😅

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 5 часов назад +3

    Mungu wangu

  • @IbrahimAmaniAl-Husayn
    @IbrahimAmaniAl-Husayn 3 часа назад +6

    Paul Kagame ni kibaraka mkubwa wa Nato na US. Nchi ya Rwanda inajengwa na Mali kutoka DRC je ikiwa wewe utakubali ushenzi uendelee!? M23 ni Jeshi la Rwanda wawatoe na sio hivyo nitarudi jeshini mpaka kieleweke.

    • @RichardRutembesa-ns1kn
      @RichardRutembesa-ns1kn 52 минуты назад

      Una bweka au unamoka kenge we

    • @IbrahimAmaniAl-Husayn
      @IbrahimAmaniAl-Husayn 11 минут назад

      @@RichardRutembesa-ns1kn Kunitukana haiwezi kukusaidia chochote , nijibu kwa hoja kama huwezi , kojoa ukalale

  • @alinanuswekalinga2955
    @alinanuswekalinga2955 Час назад

    Kagame adhibitiwe

  • @zerochanneltanzania3797
    @zerochanneltanzania3797 5 часов назад +5

    Muda wake umefika… michezo ya juvenile isije ikajirudia…he has to go down!!!

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 5 часов назад +9

    Ukiona ivi juwa kuna anguko kubwa linakuja kwa dictector fulani anaeishi kwa kunywa damu asa za wa congo. Mwisho wake umewadia

    • @sundaystanley5322
      @sundaystanley5322 5 часов назад

      Kabisa,siku zote nimekuwa nikisema kagame ataondolewa rwanda kwa kumuua kabisa

    • @RichardRutembesa-ns1kn
      @RichardRutembesa-ns1kn 49 минут назад

      ​@@sundaystanley5322Nyie ni mbwa Koko mnamoka tu!! Simjaribu kumtoa !! Rwanda sio nchi wakuchezea tunajua sehemu tulitoka !! Nyie mbweke mumokeee !! Tuko tayari kwa lolote!!

  • @EricNdayikengurukiye-i9p
    @EricNdayikengurukiye-i9p 5 часов назад +4

    ❤❤❤🇧🇮🇧🇮

  • @mdimistudio6041
    @mdimistudio6041 5 часов назад +7

    Nimeshiba mihogo ngoja nitafute maji ninywe nilale😂

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 6 часов назад +7

    Hii ndio shda kagame kukaa miaka ming madarakan hujiona wanaweza kufanya lolote hata kama ni jambo baya

    • @Uchukhan_
      @Uchukhan_ 5 часов назад

      Kwa kira mruanda kaagame yuko sahiii

    • @KamanaMangolwa-xe8de
      @KamanaMangolwa-xe8de 4 часа назад

      ​@@Uchukhan_amna kitu kama icho ngoja tuone mwisho wake

  • @issalyanali4119
    @issalyanali4119 57 минут назад

    Urusi alipewa vikwazo milioni moja na laki tatu ,,,mwaka jana huyu mbwaa kagame east Africa wampe vikwazo milion 5,,,

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 Час назад

    Aisee pk no tatizo
    I think ss mwisho wake unaanza

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe Час назад

    Naona kinakata kinuke mwaka huu😢

  • @bevingtonjumaa7028
    @bevingtonjumaa7028 4 часа назад +7

    Well explained

  • @KingStar-h6m
    @KingStar-h6m 56 минут назад

    Warundi Wapo nyuma ya kagame yeye anaogopa kupinduliwa ,kagame mujanja sio Kama ndayishimiye mujinga hana lolote mwizi mukubwa

  • @OlivierBIKORIMANA-n4m
    @OlivierBIKORIMANA-n4m 4 часа назад +7

    Président wa Rwanda anataama mbaya

    • @JoeZeno-q1b
      @JoeZeno-q1b 2 часа назад

      Kabisa, Kagame anatumika vibaya

    • @RichardRutembesa-ns1kn
      @RichardRutembesa-ns1kn 47 минут назад

      ​@@JoeZeno-q1banatumikia nyie au Sisi!! Jiangalie ni nchi zenu

  • @kotei-s3l
    @kotei-s3l Час назад

    Kagame anjua kua kwa mwaka anapokea luzuku yake kubwa sana toka kwa mamuluki wa ulaya sasa asjalibu kuiletea tz ujinga tutampga hadi tunamleta yeye dar kwanza 😮😮

  • @michaeljulius3905
    @michaeljulius3905 5 часов назад +4

    Uko sahihi bosi

  • @barakachitalilo5625
    @barakachitalilo5625 4 минуты назад

    Rais anayevamia nchi nyingine Kwa kutumia vikundi vya wahasi, huo ni ujambazi. Ni vyema akashughurikiwa haraka

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 Час назад

    Good job ndahiyeshimie

  • @EricanoAmuri
    @EricanoAmuri 5 часов назад +7

    Tusipo mukambili kagame ata fika ata TZ na kenya
    Yeye anataka atawale African zima 😢

    • @marthanyamurama4129
      @marthanyamurama4129 4 часа назад

      He is King 👑 mutajuwa soon 🔜 😇

    • @ginimbifamily3995
      @ginimbifamily3995 4 часа назад

      ​@@marthanyamurama4129 King huko kwenu Rwanda..mnaroho mbaya sana nyie 😂😂😂...watusi wanaroho ya kinyama alaf wanapenda kumiliki

    • @marthanyamurama4129
      @marthanyamurama4129 4 часа назад

      @ utajijuwa sisi tuko sawa na Mungu anatupenda hamutatufanya kitu hata kidogo 😎

    • @frankmpangwa3456
      @frankmpangwa3456 4 часа назад +2

      Jichanganyeni na kagame wenu muiguse tz mtachapwa na hamtakaa muisahau tz .

    • @mustafamsati9599
      @mustafamsati9599 4 часа назад +1

      King huku bongo amebaki ni king kiba tu kagame ajalibu kutia ugokowake kwenyempaka wowote wa tz aone madini tunayo na harambi hata vumbi

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 4 часа назад +1

    🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏Mungu teteya waliyowako baba inataochaaa

  • @Isabellependo6389
    @Isabellependo6389 Час назад

    Wa Rundi njo wasawa Yao wananyooshanaga sana

  • @jusilinantony8702
    @jusilinantony8702 5 часов назад +4

    # tumekuchoka kagame tutakuludisha kimbali 1994

  • @ModextaModexta-on7mi
    @ModextaModexta-on7mi 3 часа назад

    ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @DjamilaHatungimana-ex5ee
    @DjamilaHatungimana-ex5ee 2 часа назад +1

    ❤😂😂😂😂😂😂❤

  • @JoelNoel-i7g
    @JoelNoel-i7g 5 минут назад

    Kagame apigwe

  • @lizaeli6732
    @lizaeli6732 2 часа назад

    Sky umenikwaza kwanini uweke picha ya huyo munywa damu zawatu na Ndayishimiye? 😂😮

  • @kingdomlifestylesvids5003
    @kingdomlifestylesvids5003 3 часа назад +2

    Kila muhutu bantu mwene akili timam lazima aelewe wakimalizana na DRC Burundi ni next wakimaliza Burundi Tanzania ni next great lakes region inapashwa kuongozwa na kutawaliwa na ilo kabila kama ilivyo Uganda, Kenya Rwanda mark my words, they don’t believe in equality they believe every bantu people was born to serve them they believe they are chosen people of God

  • @malipokashindi3535
    @malipokashindi3535 3 часа назад

    🙌🙌🙌🙏

  • @hamzasimbar3465
    @hamzasimbar3465 5 часов назад +7

    Sisi kama warundi tumesha jipanga vijana wote wakirundi tupotayari kupambana nanyinyi magaidi wakinyarwanda ulizeni somalia alshababu hadi leo wapo wapi hata vicocoroni tumewajia kwahio aceni mbwembwe zakitusi mtaweza kweli hata mkiungana

  • @ElickySamwely
    @ElickySamwely Час назад

    Bravo my country burundi

    • @ElickySamwely
      @ElickySamwely Час назад

      Burundi 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 one love

  • @KamanaMangolwa-xe8de
    @KamanaMangolwa-xe8de 3 часа назад +2

    Kaka jifunze kutamfiri nasema m23 ikishinda Burundi, Tanzania na ukanda mzima wa Est africa itakuwa usalama mdogo sana

    • @blobotv
      @blobotv 3 часа назад

      Ujuwa anae tafasiri ni binadamu ivyo anaweza kupitiwa na neno au kukose kidogo

  • @WilsonJeshi
    @WilsonJeshi 3 часа назад

    Our President 🇧🇮🇧🇮

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 4 часа назад +2

    Huyu kagame kuna nchi nashuku zinampa support... nashuku ni China

    • @gabapentin8070
      @gabapentin8070 3 часа назад

      Chaaah kata tamaa We wamarekani wafaransa waingereza unawaacha unaiwaza china watu wanajishuulisha …

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 2 часа назад

    🤸

  • @bizomenyimanaelias5455
    @bizomenyimanaelias5455 5 часов назад +3

    safi sana rwanda inabidi ipirwe kwasababu nijirani mubaya sana

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 2 часа назад

    Kagame mbaya sana

  • @allysimu6856
    @allysimu6856 2 часа назад +2

    Lazima apigwe

  • @YamunguMatamya
    @YamunguMatamya 4 часа назад +1

    Kama vp zipigwe,kwani wanaogopa Nini?

  • @RahmaHoussein-p4s
    @RahmaHoussein-p4s Час назад

    Mimi sio politicians but we shall see what will happen later. Siegemei popote maana mimi ni raia tu wa kawaida acha wenye politique zao wapambane

  • @Djbentusheetz
    @Djbentusheetz 4 часа назад +2

    Shwaaaa

  • @KIDAURA-f5
    @KIDAURA-f5 Час назад

    Kwani wale m23 ni watusi au ni raia wa congo wenye asili ya Rwanda? Kama wamakonde wa mtwara na wamakonde wa msumbiji? au masai wa kenya na masai wa tanzania? Mi nafahamu wale Banyamulenge ni raia wa congo ila asili ni yao ni Rwanda na hii imekuja pale ilipogaiwa Rwanda na uganda na burundi na wazungu wakati wa ukoloni na wale Banyamulenge ikabidi wangukie upande wa congo ama sio BANDUGU.

  • @legendnationtv4950
    @legendnationtv4950 4 часа назад +1

    Ndayish ni mbwembwe tuu na kuongea saaana Apiganiye nchii yak kwanza😢😢

    • @ce-08
      @ce-08 4 часа назад

      @@legendnationtv4950 😂😂 na huko kunamapgano yanaendelea kati ya M23 na jeshi la Burundi kutoka Goma kuelekea Bukavu 💥💥🔥🔥

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 4 часа назад +2

      Kwani haipiganii?? Nyie mnadhani kuwa Rais nikitu chepesi unajua kuishi bila msaada wa inje ni kitu Rais sema tu kwasababu hujui😢

    • @legendnationtv4950
      @legendnationtv4950 3 часа назад

      @lilianeerica3318 don't take it personal they all know what they doin'😂
      You need to know first how long and heavy it took to stop genocide against tutsi Paul Kagame cannot tolerate any madness and nonsense comes

  • @LameckNgabo-g3t
    @LameckNgabo-g3t 15 минут назад

    Kagame ni kinyago chawakoloni ili asambaratishe east africa ili tusiweze kutumia madini yetu Ila wanatumia zakusema kua wanasaidia ati kabila yawatusi wako kongo ila ninjama waliounda nawazungu ili wazue rabsha afrika mashariki ili mipango yote isimame kama sahii wanaona reli kutoka Tanzania ikipitia burundi ikiingia kongo wanaona wachina wamesha chukua madini ndomana wanaanza kesi zawatusi ili mipango isimame

  • @FaustinidaudiDaudi
    @FaustinidaudiDaudi 5 часов назад +1

    Yeye atulie zamu yake inakuja siamejifanya kuwafundisha iterahamwe na FDRL

  • @CadeauZabibu
    @CadeauZabibu 5 часов назад +2

    Kagame na Tanzania atatoka ju njo mango wake

  • @nadiaburundi6871
    @nadiaburundi6871 4 часа назад +4

    🥰🥰🥰👌👌👌🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇸🇦

  • @XjsisbdkdhJddiejh
    @XjsisbdkdhJddiejh 5 часов назад

    😢😢😢😢😢

  • @gidiboy9081
    @gidiboy9081 2 часа назад

    Wala machina Hana michezo michafu kama hizi za Kagame na M23

  • @songamberetv2219
    @songamberetv2219 6 часов назад +3

    Na watanzania muwe makini sana tena sana yanayotokea Congo yanahusu EAC hasa wakimaliza Congo Burundi na Tanzania zinafata tafuta interview ya Mutikira akisema mpango wa Tutsi impere alisema kwamba na Lowasa ilikuwa anahusika ile ajali yake sio bahati mbaya

    • @SolomonKeke
      @SolomonKeke 5 часов назад

      Lowasa yupi

    • @HappyCherryBlossoms-wg9bm
      @HappyCherryBlossoms-wg9bm 5 часов назад +2

      Waje tu TZ tuchemshe mizinga na vifaru vyetu maana vipo tu stoo vimefungiwa

    • @DevothaChami
      @DevothaChami 5 часов назад

      😂😂😂lowasa yupii

    • @songamberetv2219
      @songamberetv2219 5 часов назад

      @@SolomonKeke marehemu

    • @songamberetv2219
      @songamberetv2219 5 часов назад

      @@DevothaChami sister usicheke mambo ni magumu nimesema marehemu mzee lowasa tafuya interview ya Mutikira utasikia mengi

  • @mohamedabdulkadir7996
    @mohamedabdulkadir7996 6 часов назад +2

    Safi❤❤❤❤

  • @feisalkhamis9445
    @feisalkhamis9445 4 часа назад +1

    mpango wake kama uko shahihi au mnaonaje guys

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 5 часов назад +9

    Mkiona comments za kumdhihaki hao niwa Rwanda 😅

    • @BUSHASHASWITCH
      @BUSHASHASWITCH 5 часов назад +1

      @@Sidrasidra636 🤣🤣🤣🤣 uko sahihi ndo nagunduwa kama dose hata iwe diazepam ya usingizi haitakamata nakausha 🤣🤣🤣🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @ZaninkaYasmeen
      @ZaninkaYasmeen 5 часов назад

      Yes

    • @Alll.com.m
      @Alll.com.m 4 часа назад

      Kabisa ❤❤

  • @AkyamsNassor
    @AkyamsNassor 2 часа назад

    Hao ndo viongozi wanaostahili

  • @MwemajaphetyZackalia
    @MwemajaphetyZackalia 2 часа назад

    Nyie mafara jamuhuli ya kimataifa inakuhusu nini nyie amuwezi wa nyie amuwezi yani africa wanatia huruma

  • @LAPTOPSILCON
    @LAPTOPSILCON 2 часа назад

    MBONA KA INCH KADOGO ILA CONGO WANAHANGAIKAN

  • @hamadsheni8997
    @hamadsheni8997 3 часа назад

    Kabila mbna aliwapga m23 wakakimbilia rwanda kwanini hawakelekea uganda.

    • @Ryannkae
      @Ryannkae 2 часа назад

      Yeye ndie aliye saini kangame achukuwe Congo

  • @shabanimushinga8821
    @shabanimushinga8821 3 часа назад

    Lazima apige kelele wanaji wake wapo pamoja narais wa Congo, m23 imewatwanga wote,

  • @markodaniel2662
    @markodaniel2662 Час назад

    Usichokijuwa ni kwamba, watusi waliingia Congo kama wageni, na baada ya hapo wakaanza kudai urahia wa congo kwa kutumia silaa za moto, kitu ambaocho nikinyume na taratibu ya nchi ya RDC.
    Kumbuka RDC ina makabila zaidi ya 450 na makabila yote hayo wanaishi kwa amani na upendo isipokuwa kabila hili lililotoka rwanda la watusi. Sasa mjuwe kwamba RUTO KAGAME na MUSEVENI ni watusi na nia yao nikutawala Africa mashariki kupitia misaada ya USA na wamagaribi ndio maana walipanda watusi nchini Congo na Burundi.
    Kwaiyo watusi wakiweza kutawala Congo basi itakuwa ni raisi sana kutawala mataifa mengine ya Afrika mashariki, ndio maana unaona leo hii burundi na Tanzania wanasaidia Congo kupigana vita hii.
    Ndugu zangu watanzania msifurahie hii vita maana watusi wakiiweza congo tanzania iko hatarini vibaya mno.

    • @Mwigaa95
      @Mwigaa95 Час назад

      Sio kweli soma vizuri historia chanzo cha yote hayo ni makoloni yalivyo gawika nisawa na Tanzania kuna masai na kenya kuna masai

  • @HareemaMct
    @HareemaMct 5 часов назад +2

    Msg zinanichekesha jaman 😂😂😂😂😂

    • @ZaninkaYasmeen
      @ZaninkaYasmeen 4 часа назад

      Wewe cheka paka ujinyee

    • @HareemaMct
      @HareemaMct 4 часа назад

      @ZaninkaYasmeen nani kakuambia ukicheka unajinyea

    • @Nestoemanuel
      @Nestoemanuel 2 часа назад

      Jinga kwel 😢

    • @HareemaMct
      @HareemaMct Час назад

      @@Nestoemanuel jnga mama Ako alokuzaa mbwa ww msg yang haikuhus sana kila mtu anaandika anavyojisikia na wala cjakutagi wew kuku nikome

  • @NdizeyeEric-wx4fe
    @NdizeyeEric-wx4fe 2 часа назад

    Tutamupiga kweri kagame sisi tuli chachoka ..wutumwa

  • @LameckMichael-r3h
    @LameckMichael-r3h 2 часа назад

    Ss burundi nikama mkoa wa morogorotu nchi inaisha😂😂

    • @BenMamadou-w9e
      @BenMamadou-w9e 2 часа назад +1

      Unaijua Burundi 🇧🇮 hata Africa NZIMA inajua iyo inchi haishezaji wawaashie uwanja na inch yoyote kwa vita njo utaijua Burundi 🇧🇮 hainaga ujinga uliza Somalia 🇸🇴 atakwambia

    • @FredMwamgogwa-td6ni
      @FredMwamgogwa-td6ni Час назад

      Unazani wepesi blaza usidharau nchi tumshukuru mungu kwa amani ya nchi yetu tanzania

  • @DomisianPeter
    @DomisianPeter 3 часа назад

    Iv huyu kagame ni nani?

  • @akimanaarlene851
    @akimanaarlene851 5 часов назад

    Huyu angetupea kwanza mafuta ya gari miaka 3 imeisha burundi akuna petrol akuna chochote 😢😢

    • @kabhikachambala3392
      @kabhikachambala3392 5 часов назад

      😂😂😂😂

    • @akimanaarlene851
      @akimanaarlene851 5 часов назад

      @@kabhikachambala3392😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂internet hakuna hali mbaya

  • @Millogram
    @Millogram 5 часов назад +1

    True leader

  • @RamazaniAmisi-ns5mf
    @RamazaniAmisi-ns5mf 4 часа назад +6

    anajuwa anacho kiongeya kumbuka alishaga Wai ku funga mpaka na rwanda