Hotuba ya Nyerere kuhusu Banyamulenge kuwa ni raia halali wa DRC yasambaa mtandaoni, alisema haya!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 531

  • @mageebwire922
    @mageebwire922 9 часов назад +42

    The new speed of SNS and news coverage is amazing! Huge fan of these updates. More hard conversations to come about Africa's development and global integration. Big fan of DJ Smaa and Brother Sky! You guys go above and beyond. We appreciate it! 🙏🏾

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  9 часов назад +14

      Thank you brother

    • @kingdomlifestylesvids5003
      @kingdomlifestylesvids5003 6 часов назад

      @@mageebwire922 to much speed with bias information he doesn’t want to get true from Congolese people but is all about foreigners opinion fuck sns and the whole team (it’s time for my fella Congolese to boycott this fuckin channel)

    • @Mr_smart.code_10
      @Mr_smart.code_10 4 часа назад +1

      Even me brother... I appreciate them so much for what they feed us daily

  • @nasibuomary7981
    @nasibuomary7981 10 часов назад +70

    Daaaaaaaah! Uyu Baba n balaa Sana! Mwenyezimungu ampumzishe kw Amani.

    • @MukarusineEsperance
      @MukarusineEsperance 9 часов назад

      @@nasibuomary7981 da nimsemakweri . Tena msemakweri ni mpenzi wa mungu

    • @RonnieBertin
      @RonnieBertin 7 часов назад +3

      mwalimu mwalimu mzee kifimbo

  • @Muba-Gucci-TV
    @Muba-Gucci-TV 11 часов назад +32

    Asante nyerere mfano mzuri kuhusu wa masai wako tanzania na kenya

  • @alinemfurakazi287
    @alinemfurakazi287 9 часов назад +42

    I’m proud of being Munyamulenge

    • @KaskileMsafiri
      @KaskileMsafiri 9 часов назад +9

      I'm not a munyamulenge but I accept that you and I are congolese 🇨🇩🙏🏾

    • @alinemfurakazi287
      @alinemfurakazi287 9 часов назад +4

      You’re right

    • @Mana.tv.Canada
      @Mana.tv.Canada 3 часа назад

      Rwandaise

    • @GatabaziRobert
      @GatabaziRobert 3 часа назад +1

      Mulenge Drc Africa ❤❤❤

    • @DouglasMassop
      @DouglasMassop 3 часа назад

      Swali langu ni ili, kinyarwanda na kinyamulenge kina utofauti ??

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 12 часов назад +53

    Nyerere alikuwa kichwa sana🎉🎉❤

    • @KisraBidelly
      @KisraBidelly 10 часов назад +6

      Mwalimu alijitahidi kutuheshimisha vilivyo

    • @jacobmaganga3354
      @jacobmaganga3354 9 часов назад +1

      Hakika❤

    • @MahdouMomba
      @MahdouMomba 9 часов назад +1

      Zidumu fikra za Mwalimu Nyerere, zidumu fikra za kumkomboa Mwafrika kutoka kwenye fikra za kikoloni na ukoloni Mamboleoo

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 7 часов назад +2

      Hakika

  • @Brunoh90Tv
    @Brunoh90Tv 11 часов назад +33

    Nyerere alikuwa na hekima na busara ya hali ya juu sana, ni moja viongozi wanapaswa kuenziwa sana

  • @jeanneandfrancislifestyle1518
    @jeanneandfrancislifestyle1518 11 часов назад +47

    I will share this video kwa wandungu zangu zote i am Munyamulenge 😂i love it 😍

    • @kingdomlifestylesvids5003
      @kingdomlifestylesvids5003 10 часов назад +4

      @@jeanneandfrancislifestyle1518 munyamulenge is a wrong therm to call yourself mulenge ama minembwe ni fizi territory ya kingdoms Za wa mbembe automatically there’s no king of so called munyamulenge mura abanyarwanda mwaje kuba muri congo nk’imbuzi ababembe bara akira no kubafata neza uno munsi ngo mura bacongomani ukuri kuzoja abona gusa …

    • @makhanguwakhutu2408
      @makhanguwakhutu2408 9 часов назад

      ​@kingdomlifestylesvids5003wewe hujui history wewe ondoa ukabila utakuja kuelewa

    • @abdallahdataguy
      @abdallahdataguy 6 часов назад

      😂😂😂

    • @solangesoso3100
      @solangesoso3100 2 часа назад

      Kwauelewa wangu wanyamulenge ni wanyarwanda ambao mababuzao waliishi congo tangu zamani, kwahio makao au inch yao ni congo, maana wazazi wao walizaliwa congo. Mufano ni huku Marekani, hawa weusi wazamani wanaitwa "Black or African American" hata hawajawahi fica African. So Wanyamulenge wana haki ya kuishi Congo.

    • @asanisemuna5017
      @asanisemuna5017 2 часа назад

      Nyie siyo wacongo hapo huyo mzee amewazubaisha tu

  • @FeruzHakiba
    @FeruzHakiba 8 часов назад +22

    Yani SKY unajua kazi 👌 Nyerere amemaliza utata 💪💪💪💪

  • @KaskileMsafiri
    @KaskileMsafiri 9 часов назад +49

    Mimi ni mkongo, nakubaliana na maneno ya mwalimu Nyerere kuhusu Wanyamulenge. Wanyamulenge ni ndugu zetu, na tungependa hiyo vita iishe na tuendeleeze nchi pamoja. We are all Congolese ❤🇨🇩🙏🏽

    • @GabrielBachibonge-dl6xb
      @GabrielBachibonge-dl6xb 9 часов назад +2

      Vita siya ndugu zetu wanyamulenge bali ni vita ya Rwanda na DRC, Rwanda ina chafua jina ya ndugu zetu wanyamulenge bure kwa masilahi ya Paul kagame

    • @meshackpaluku7176
      @meshackpaluku7176 9 часов назад +3

      DRC aina shida na munyamulenge, Bali M23 ambao ni waasi ambao wamekuja kuvamiya kwa faida ya Rwanda na wazungu, maana sisi myaka yote tumeishi na wanyamulenge hata shule tumesoma nao, Kuna utofauti mkubwa kati ya wanyamulenge na waasi wa M23

    • @chancelebishopofficial2785
      @chancelebishopofficial2785 7 часов назад +2

      Wewe umezaliwa kambini na aujuwi history yoyote ya congo kwaiyo unahaki ya kusema ivo shame on you

    • @eliasl1011
      @eliasl1011 6 часов назад

      Kaskile wewe mwenyewe ni mnyarwanda

    • @mamycuisine2498
      @mamycuisine2498 5 часов назад

      Uko munyarwana kabisa. Nani alikwambia munyamulengi ni mu Congo? Mpumbafu wee

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 11 часов назад +31

    Mungu alitujalia sana kutupa hichi kichwa

    • @MahdouMomba
      @MahdouMomba 8 часов назад +2

      Julius Kambarage Nyerere is the father of African independence and Osagyefo Kwame Nkrumah is the father of Pan-Africanism, much respect to these legends

  • @zebedemirambi3067
    @zebedemirambi3067 2 часа назад +8

    😭😭😭😭 DOCTOR NYERERE KUMBE ULIKUWA UNATUTETEA IVI WANYAMULENGE ? TULIKUWA LABDA HATUJAZALIWA😭 WE LOVE YOU PAPA❤ inanifaa nipende tena wa Tanzania ❤ Rest in peace Hero❤ SKY Thank you big brother for this information you don't know how much it is important for us😭🙏 All nations SAVE MULENGE PLEASE 😭🙏

    • @user-ep2iq3vd9y
      @user-ep2iq3vd9y 39 минут назад

      Shobo hatutaki kaeni kwenu wehu kabisa

    • @Evangelical_VoiceTV1
      @Evangelical_VoiceTV1 20 минут назад

      @@user-ep2iq3vd9yTukotayali kupiganiya hakiye mpaka kufa M23 force🫡💪Tunakuja Bukavu

    • @JAMBOBoy-v3k
      @JAMBOBoy-v3k 4 минуты назад

      BABA WETU WA TAIFA SIO DOCTOR USIMBARIBIE JINA BWANA SEMA MWALIMU JULIUS KAMBALAGE NA NYERERE ALIPAMBANIA MATAIFA MENGI TU

  • @christopherwami2006
    @christopherwami2006 7 часов назад +17

    Baada ya kufatilia vzr sakata hili sasa nawaelewa M23 na nawaunga mkono,,, it's a fight for survival to them,,,

    • @MrTmanU
      @MrTmanU 4 часа назад

      Wanyamlenge siyo watusi, M23 ni watusi. Wanyamlenge wanaishi vema kongo hawana shida

    • @sindabahabwoyaanacret660
      @sindabahabwoyaanacret660 3 часа назад

      Absolutely

    • @RichardRutembesa-ns1kn
      @RichardRutembesa-ns1kn 2 часа назад

      ​@@MrTmanUM23 ni wanyamulenge na wanyamulenge ni congoman

  • @bijou5038
    @bijou5038 4 часа назад +3

    I said that to 😢

  • @eve3894
    @eve3894 12 часов назад +19

    Kweli Baba wataifa ni Zahabu sana TZ❤❤❤. SNS asante sana kwa kazi kubwa mnayo fanya. Hili jambo ni gumu Kweli .

  • @duf.jc2002
    @duf.jc2002 6 часов назад +1

    Aksante sana, I wanted this wonderful documentary of this legendary icon ,African hero and another documentary from Tabo Mbeki has same contents,thank you

  • @HusStler-n3j
    @HusStler-n3j 3 часа назад +3

    Yan nyerere bado anaendelea kusuruisha migogoro ya nchi za Africa.. Respect ❤❤ R.I.P😢

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi 10 часов назад +15

    Mungu tuludishie laisi wetu kama uyuu tuna teswa sana

  • @ImurengeNiwacu
    @ImurengeNiwacu 5 часов назад +5

    Banyamulenge ❤❤❤ M23 Eastern Congo

  • @inocentlema5574
    @inocentlema5574 11 часов назад +25

    Kama watu watashindwa kuelewa kuhusu iki kitu n basi tena.🤝

    • @ce-08
      @ce-08 10 часов назад +3

      Shida n Rwanda kuingilia huo mgogoro tena kwa njia ya mtutu ingekuwa kuingilia kwa lengo la kuwaweka chini pande zote na kueleza km hvyo sawa ila yeye anawaunga mkono kwa bunduki unahis hata ungekuwa wewe ungemuelewa

    • @ce-08
      @ce-08 10 часов назад +4

      Ni sawa na Tz ule mgogoro wa Masai kuamishwa kutoka kwenye mbuga kwenda Handeni wangegoma alafu Kenya aanze kuwapa wamasai silaha wapigane na serikali wewe ungewapenda wakenya lazima ungewachukia lakin kama Kenya angekuja na mpango wa kutaka pande zote zikae chini waangalie chakufanya ungemuelewa sasa hicho ndiyo Kagame anachokosea baada aje na namna nzuri ila yeye anakuja na program yakuisaidia bhanyamulenge kwa kuwapa silaha

    • @BenjaminNickson
      @BenjaminNickson 10 часов назад +5

      ​@@ce-08Mimi Kwa mtazamo wangu naona Rwanda hausiki kinachofanya watu waiseme Rwanda ni Kwa sababu kagame ni mtusi na wanaopigana huko ni watusi

    • @ce-08
      @ce-08 10 часов назад +1

      @BenjaminNickson anahusika kwasababu majeshi ya Rwanda kwanini yaingie Kongo yanafanywa nini au wewe mara ya mwisho umesikia lin waasi toka Kongo wameipiga Rwanda kusema wameenda kuwatafuta hii ni moja yasababu kuwa wanawasaidia na majeshi ya Rwanda yanakuwa nyuma ya M23 kwenye mij wanayopgana

    • @ce-08
      @ce-08 10 часов назад

      @BenjaminNickson Kunachannel nying Huwa wanarusha Taarifa toka Rwanda,Burundi na Congo nying za kfrench lakin kwa Tz angalia channel ya Radio one Arusha RUclips huwa wanaonyesha wanatasfr kinachozungumzwa

  • @semkiwafredy-t9z
    @semkiwafredy-t9z 55 минут назад +2

    Munyamulenge tujuane hapa

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Час назад

    The same applies to Luo of Kenya.and.Tanzania as well as Uganda🎉🎉

  • @jeaninekabano9190
    @jeaninekabano9190 5 часов назад +2

    Huyu Baba kweli Mungu alikuwa amemwandaa kwa Africa nzima alikuwa kwa kipekee toka kwa Mungu please listen to him very carefully Baba wa Taifa ❤❤ then for those with best wishes for Africa there is something to learn❤ you will always be remembered Daddy❤🙏 pray for Peace in Jesus Name

  • @paulokefa2525
    @paulokefa2525 6 часов назад +3

    DJ SMA unajua na unajua Tena iam very interested in politics especially with facts as you do # more appreciation

  • @immakuleba
    @immakuleba 9 часов назад +11

    Mwalimu Julia's kambarage Nyerere

  • @bamag-021
    @bamag-021 9 часов назад +8

    Wanaonewa sana, wanawapa majina mabaya kwamba ni wavamizi , but ni watu wanaopigania ardhi yao.
    Wao walikuwepo hapo kabla ya mipaka ya nchi kuwekwa.
    Sasahivi wanafukuzwa na uongozi wa kongo ,wakishilikiana na mataifa ya wazungu.
    Nani aliyetuloga sisi waafrica jamani kufukia hatua yakukataana sisi kwa sisi.
    Na ndio maana viongozi wa kongo hawataki kukaa chini walete suluhisho.
    Kwasababu inaonekana kunaushilikiano na mataifa ya nje.
    Ili waendelee kuiba,
    Mungu atujalie kutatua huu mzozo

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 11 часов назад +10

    Swadakta❤❤❤❤❤❤

  • @umutoni-roussel5233
    @umutoni-roussel5233 10 часов назад +3

    Thank you Baba

  • @cadettedenise1423
    @cadettedenise1423 5 часов назад +5

    Napenda sns ungesambaza iyi habali kua Tanzania social media kujua ukweli kuhusu History ya M23 banyamurenge ! We are proud being Rwandan 🇷🇼🇷🇼🇷🇼

    • @Mana.tv.Canada
      @Mana.tv.Canada 3 часа назад

      Wa nyamulenge sio kabila la kongo Nenda kwenu Rwanda 🇷🇼 😅

  • @evelynemugeni2369
    @evelynemugeni2369 6 часов назад +4

    👌👌👌👌kabisa angekuwepo labda uyu utata ungemalizika ❤❤Free banyamulenge.kagame akisema ivi hawaamini

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 2 часа назад

      Kagame na wanyamlenge ni mbali mbali wale ni wa Congo asili labda kama kuna watu wanataka kupitia wao kujinufaisha humo mbona Mabotu aliishi nao vizuri na kwanini sasa iwe vita tutafute tatizo lilizojificha

  • @franssmoses6791
    @franssmoses6791 9 часов назад +7

    Elimu ya nyerere aikuwa ya darasani he was genius

  • @FaustinidaudiDaudi
    @FaustinidaudiDaudi 12 часов назад +15

    Kweli kabisa🎉 huyu mzee alikuwa anajua sana

  • @FreddyWamanya
    @FreddyWamanya 12 часов назад +9

    Sns nimekupenda kupitiliza unajua kabisa tena una fatiria sana histoire

    • @kennethbenjamin275
      @kennethbenjamin275 11 часов назад

      Kwani we hii historia ulikuwa hauijui ndy mnagundua leo

  • @CopperBelt
    @CopperBelt 3 часа назад +1

    Hapa sasa wasiojua historia ndo wanajua kua Banyamulenge sio wanyarwanda ila asili yao ni Congo Asante hayati nyerere

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 11 часов назад +13

    Hili swala la makabila kuwa pande zote mbili tuliokulia mipakani tunaelewa vzr pole sana bhanyamulenge

    • @MamaShuja
      @MamaShuja 10 часов назад +1

      Wanateswa sana wanyamulenge,Yani kutokamukowa kwenda mwengine razima watowenkombe nzima kamasio hivyo wanawauwanakuwaranyama mbichi, daah congo please waigeniwenzenu wa Tanzania mutaishi Kwa amani

    • @GatabaziRobert
      @GatabaziRobert 3 часа назад

      Tumekuja kutesekea Kwa inchi jirani juu tulifukuzwa kwetu ati turudi Rwanda tukifika Rwanda ati nyinyi ni wacongo kama mimi nimekaa Kenya myaka Saba juu ya uongozi mbaya ya kwetu but tunalaumu government si raia.

  • @uweraclotilde8837
    @uweraclotilde8837 12 часов назад +12

    Good waambie huenda watasikia maana wanyamulenge hunyanyaswa saana.mungu Akubaliki

    • @Onge-shabani1994
      @Onge-shabani1994 10 часов назад +1

      @@uweraclotilde8837 wewe wewe Drc Congo hakuna kabila linaloitwa banyamulenge halipo , DRC Congo ina makabila 450 ukitafuta kwenye hayo makabila hautohona banyamulenge ndani 🤣🤣🤣

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 10 часов назад

      ​@@Onge-shabani1994Kwasababu wanajizima data, na kama hawawataki basi wakate mji wa Goma uwe wa Rwanda tuone kama wanaweza

    • @EtoOlebene
      @EtoOlebene 10 часов назад

      ​@@Onge-shabani1994hongera sana ndungu, uyo Nyerere kwanza alikuwa ndungu yaho mtusi ata kosa kutatea ndungu zake.
      Ata wahongea vipi sisi wakongomani tuna juwa Kongo akuna kabila la wanyamulenge, wasema wasi seme Mkongomani yeyote yule mahali popote pale alipo ana lijuwa ilo kwamba, hao mnaho waita wanyamulenge ni wageni kotoka Rwanda yani wakimbizi. Amu wezi badirisha historia yetu ya Kongo ata iweje tupo macho na nyinyi

    • @BenjaminNickson
      @BenjaminNickson 10 часов назад

      ​@@Onge-shabani1994pia afrika hakuna kabila anachokizungumza mwalimu ni kutetea uafrika Wala sio kabila furani mkiendelea na hayo mawazo mtapigana mpaka yesu ataporudi

    • @Onge-shabani1994
      @Onge-shabani1994 10 часов назад

      @ kwa nini aseme banyamulenge ni wakongomani ? Toka wakati ukoloni ulipo ingia Kongo na kuchukuwa madaraka ya inchi mpaka leo Congo DRC hakuna kabila banyamulenge, Congo kuna makabila 450 ila kwenye ayo makabila hakuna kabila banyamulenge, usi fikiriye kwamba kutotambulika banyamulenge kikatiba labda nikuwabanguwa Hapana, hata wakati wa ukoloni hawakutambuwa banyamulenge, pia kumbuka MULUNGE NI MULIMA INAYO PATIKANA UKO KIVU YA KUSINI TARAFANI UVIRA , ambayo ni Mulima ya BAFULIRU

  • @Godfrey-tf6jz
    @Godfrey-tf6jz 7 часов назад +5

    Kaka naomba no yako niliwambia juzi nikatukanwa sana

  • @nc8038
    @nc8038 2 часа назад

    Mwalimu Nyerere mungu ampokea mahali pema peponi
    Alikuwa mkweli sana tena mwenye busara

  • @avivtelcomms
    @avivtelcomms 54 минуты назад

    Nyerere,wew ni baba yetu wa taifa!

  • @georgekabaka377
    @georgekabaka377 11 часов назад +8

    Hapa sasa naanza kuamin mgogoro wa DRC ni wao wenyewe ndio chanzo... Rwanda wanaisingizia....

  • @ama7742
    @ama7742 4 часа назад +1

    Big brain

  • @TheRichMindset01
    @TheRichMindset01 9 часов назад +5

    I'm munyamulenge and I'm proud of ❤

  • @sarahrashidabdallah3109
    @sarahrashidabdallah3109 2 часа назад

    Raha sana tena aliogea English aiseee 😢hii inakuwa wazi san9😢R I P BABA NYERERE, kama siyeye na uhuru tungepata wapi 😢

  • @Imran-p6l
    @Imran-p6l 11 часов назад +6

    Mzee wetu Mwalimu mungu amtunze peponi, alikuwa na kipaji cha mwenyezi mungu

    • @ommymehmed8880
      @ommymehmed8880 10 часов назад

      Peponii!!!!????

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 10 часов назад

      ​@@ommymehmed8880Unahoji we ndiyo Mungu mpaka uwe n uhakika wa sehemu alipo sio kila kitu lazima u comment

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns 10 часов назад +7

    Huu mgogoro unataka kuwa kama wa Israelnna Palestina , na kama hawawataki basi wakate mji wa Goma uwe wa Rwanda ili waungane na ndugu zao wa Rwanda tuone kama wanaweza

    • @meshackpaluku7176
      @meshackpaluku7176 9 часов назад

      Wanyamulenge wana makao yao Congo na tunaishi nao, Bali M23 siyo wanyamulenge na wala Wanyamulenge hawako involved hata kidogo kwenye hili swala mahana wao ni wakongomani Bali M23 ni waasi wa Rwanda ambao wanaungwa mkono na wazungu kwa mazumuni ya kupora madini Congo kwa njiya haramu

    • @Kitikawamuwa
      @Kitikawamuwa 7 часов назад

      Hahahahaha

  • @lucasalbertomseti1578
    @lucasalbertomseti1578 9 часов назад +5

    Mwalimu Nyerere amemaliza utata ulionitatiza kwa muda mrefu kama historia iko hivyo basi hekima inapaswa kutumika kutatua suala hili

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Час назад +1

    We are okay because there is no segragation.Its due to colonialism effect who divided us Life continues we are one.🎉

  • @jeromejanson3003
    @jeromejanson3003 4 часа назад +1

    Ok tuseme sasa hata mwaza ,kigoma ni Burundi

  • @samehewaliokukoseya2605
    @samehewaliokukoseya2605 11 часов назад +6

    Sio kweli iyo. Banyamulenge nibaamihaji mu Congo. Sisi jo tunajuwa ukweli wote📌

    • @anjemolin4469
      @anjemolin4469 11 часов назад +1

      Nyamanze wewe mtoto

    • @Madangaclassicwear
      @Madangaclassicwear 10 часов назад

      Wakubwa wakisema unyamweze maana hujabaleghe na uelewe

    • @BenjaminNickson
      @BenjaminNickson 10 часов назад

      Njoo na hoja ya kupinga anachokisema ni Nyerere

    • @samehewaliokukoseya2605
      @samehewaliokukoseya2605 9 часов назад

      @@BenjaminNickson kesho wale warundi wenye wanaishi kigoma watasema niwa tz muwagawiye inchi utakubali? Kama aujuwe kitu nyamaza.
      Uyo Nyerere kazaliwa Congo?

    • @makhanguwakhutu2408
      @makhanguwakhutu2408 9 часов назад +1

      Wewe umezaliwa juzi nitafute nikupee history wewe wajua hakuna congo hii ni majina wamewekwa na wakoloni na wakija wametupata tukitawala Africa Kwa Karne nyingi tu Sasa wewe kitu umekosa nikujua history ya afrika na falme zake wewe unajua falme zote za Africa wanzilish ni hao hima wewe unajua hima wanapatikana karib afrika yote

  • @BarakaKusalula
    @BarakaKusalula 9 часов назад +4

    Ndy maana kila siku nipo pamoja na M23,Wanayo haki ya kupigania ardhi yao

    • @mustafamsati9599
      @mustafamsati9599 8 часов назад

      Wapewe nchiyao ya kiivu mjimkuuwao iwe ni goma Rwanda itawaachasalama 😁😁😁😁 kagame anambinu nyingisana za kufanyabiashara ya madini

    • @mustafamsati9599
      @mustafamsati9599 8 часов назад

      Kagame aligombana na tainzania kisa et dili za makontena ya copa kayatoa congo kupitisha bongo yamepungua 😁😁😁 kawakweli oooh watanzania ni watu waiolala tu wajinga tu mi namtaman ajaribu kuingiza hata sisimiz kwrnye mpaka wa tz tuone anavyofutwa

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 3 часа назад

    Huyu baba mungu ambaliki mpaka leo tunaishi zanzibar na nimtu wa mbeya kwa sababu ya muungano

  • @Kitikawamuwa
    @Kitikawamuwa 7 часов назад

    Asante sana brother sasa maneno gani wakina Mwakilembe ati Mwalim na kina Mwadagasia waongo sana wajinga wanadanganya sana wavitaji wabangi labda Kamina mwadagasia apana mwakilembe

  • @falialaelende
    @falialaelende 6 часов назад +5

    M k J Nyerere hapo anatetea ndugu zake watusi, hasingeweza kusema ukweli tofauti na kuwasapoti.

  • @Stans_Tz
    @Stans_Tz 11 часов назад +14

    Kwani M23 ndo haohao banyamulenge?

    • @NepporSabith
      @NepporSabith 11 часов назад +2

      Ndyo

    • @MukarusineEsperance
      @MukarusineEsperance 10 часов назад +1

      Wote ni watusi

    • @MamaShuja
      @MamaShuja 10 часов назад +1

      Ndio niwao nawanateteya wenzao wanaoteswa huko

    • @Mutako-ig1ik
      @Mutako-ig1ik 9 часов назад +2

      Ndio wenyewe wanapigania haki yao ila wa Tzd wengi wamejawa na upumbavu kujenga chuki na kuichukia Rwanda bila kujua chanzo cha M23 watu wote wanao ichukia Rwanda kisa M23 mutalipia hili kwa chuki zenu za kipuuzi mutukome Rwanda na mutuache kabsa ns Maisha yetu

    • @HomeboyTZ19
      @HomeboyTZ19 9 часов назад

      ​@@Mutako-ig1ik We Kenge Vipi? kwanini Wanyamulenge ni Royal kwa Kagame badala ya Congo. Nyie ni watu wa hovyo ndio Maana mmewamaliza Wahutu wa Rwanda na mnaiba Mali za Congo kupeleka Rwanda

  • @Dorcas445
    @Dorcas445 2 часа назад

    Asante Baba wa Taifa! This time I’m beyond proud of being a Munyamulenge. When these white people came to divide Africa banyamulenge tulikuwa huko Congo hata kabla ya wakoloni , so that makes us Congolese..😍 Just like kuna wa Maasai in Kenya and Tanzania, kalenjin in Uganda and Kenya , wajaluo Kenya na Uganda hivyo ndivyo tumejipata Congo, hawa wa Congolese wengine hawatupendi kwa Sababu tunaongea Kinyarwanda. Ila Mungu kama anatupenda inatosha siku moja Justice will be served, sielewi mtu akiniambia eti mimi si Congolese na my GREAT Great grandparents wamezaliwa huko Congo yaani my 7 or more Generations are from there, please Africans learn your history don’t be deceived! Asante.

  • @melaneniyoyita8198
    @melaneniyoyita8198 3 часа назад

    Ukweli wa kina.

  • @shubiblessus3535
    @shubiblessus3535 7 часов назад +1

    This is right

  • @Shadia544
    @Shadia544 11 часов назад +12

    NYERERE NA MAGUFURI HAWA WALIKUWA VYUMA HASWA MUNGU HAWALEZE MAHALI PEMA PEPONI 😢😢SISI WOOTE NI WAFRICA 🇹🇿❤️🇨🇩

    • @Onge-shabani1994
      @Onge-shabani1994 10 часов назад

      @@Shadia544 bora bangufuli Nyerere alikuwa njinga sema tu watanzania mumekuja kufunguka macho hapa kwenye miaka 1966 🤣🤣🤣

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 часа назад

      ​@@Onge-shabani1994ujinga wake nn??

  • @Abelsikaonga-p2v
    @Abelsikaonga-p2v 31 минуту назад +1

    Nyerere kweli alikuwa kichwa na sio huyo mama mukaa uchi

  • @julesndayi3787
    @julesndayi3787 12 часов назад +5

    The first 😅

    • @Onge-shabani1994
      @Onge-shabani1994 11 часов назад

      Siyo kweli kaka wewe siyo mkongomani ndomana unakubali upuuzi uwo anao hongea Nyerere, kumbuka toka zamani za ukoloni Congo DRC ina makabila zaidi 450 na kwenye makabila ayo yote hakuna KABILA linalo tambulika BANYAMULENGE DRC Congo halipo Naomba wende google tafuta makabila ya Congo autopata kuona banyamulenge ,kwanza uyo NYERERE ajuwi chochote kuusu Congo japokuwa alikuwa raisi , kumbukuni Neno MULENGE ni MLIMA Wawa FULIRU uko UVIRA , kumbukeni , wakati wazungu walianza kutamani Mali ya DRC Congo wataipataje ivyo walitafuta watu ambao watakao mtowa MOBUTU madarakani, ivyo waliona siyo kesi tumchukuwe KAGAME kWa sababu yeye ndo yupo karibu sana na RDC CONGO pia madini ayo tuta yapata kiuraisi sana , ivyo kagame akaitwa na njisi alivyo mjinga akakubali pia kagame aka wambia MABEBERU KWAMBA , Naomba watafute watu wengine ila wawe ni MARAISI pia , akaitwa iyo NYERERE wenu Museveni pia pamoja na 🇧🇮 , lakini baadaye wakesema tumwondowe MUBUTU madarakani kwa sababu eti ana watesa wakongo , ivyo wakasema tumtafute mtu atakaye kuwa raisi alafu tumpe mkataka Ndio waka FIKIRIA wote kagame , Nyerere na museveni , hapo Burundi aka jihondowa akasema hataki mambo kama ayotena ndipo NYERERE akesema ebu jaribu kumwita KABILA MZEE , kipindi icho kabila mzee yupo DAR Tanzania 🇹🇿 ana fanya biashara ya zaabu, alipo itwa aka ambiwa kila kitu na Rwanda ila jitolea kutowa wana jeshi wake kwenda Congo kumpinduwa KABILA MZEE, ila Nyerere aligoma akasema Hapana Mimi nitakuwa hapa kusapoti silaa na siyo kutowa jeshi , ndipo jeshi la Rwanda lilipo fika wakaanza vita mwaka 1996 lakini walipingwa kama NYOKA aliye pingwa sokoni kisha apo Kabila aka kimbilia tena TZ IVYO waka jiweka tena Swa kabila aka rundi mara ya pili ndipo alipo shinda na kuwa raisi , kabila mzee alipo ingia madarakani tu mwezi moja Rwanda 🇷🇼 na Uganda 🇺🇬 waka mtumia barua na kuwambia sasa tunaomba ufanye kile tulicho kwambia tumesha kuweka kwenye madarakani tuna HOMBA CHETU , ndipo KABILA MZEE aka Goma na kusema makubaliano Yale mliyo nipa kwanza Mimi si kuwa RAISI PIA Mimi nilikwa raiya tu wakawaida yapo kuwa nilikuwa mwana siasa ila sina mamlaka ya kufanya ivyo , ila naomba msumbiri nipeleke pendekezo ili BUNGENI ili wana INCHI waamuwe wenyewe , wakikubali basi Mimi nita saini ila walikataa basi sitoweza kufanya ivyo kwa sababu KATIBA hairuusu, ndipo walimuuwa Kabila mzee , pia kumbukeni kabila mzee alipo Pingwa na kukimbilia tz ndipo Ali achana na ayo ambao , lakini alitowa silaa kwa kwabila , na silaa izo zilikuwa ziko tipa njia ya RELI kwenda kigoma alafu zina kwenda mpaka zina vuswa kwenye ziwa tanganyika na kufika TARAFANI FIZI, kama kuna mtu ana taka kufahamu kuusu vita izi ya M23 aje nita mwambia kila kitu .ila tambuweni DRC Congo hakuna kabila linaloitwa Banyamulenge halipo . Kama unataka kufahamu ilikuwa mpaka waka jiita wanyamulenge.kwanza tabuweni wakati wa vita walikuwa hawapendi kuitwa banyamulenge walikuwa na penda kuitwa WANA MULENGE 😂😂😂😂.

  • @JamesRubbenius
    @JamesRubbenius 8 часов назад +2

    Nadhani mambo yameeleweka vizuri

  • @KISUBIKilozo
    @KISUBIKilozo 5 часов назад +1

    Mtumiyeni MPINA IYO ANYETAFUTA WAKUU WAJESHI WAITWE WANGENI SOMENI VITABU

  • @anny19988
    @anny19988 10 часов назад +2

    Kama serikali ya Kongo ingesuluhisha huu mgogoro mapema Kagame asingeutumia kuwaumiza. Lakini sasa hivi Kagame atautumia kuwaumiza

  • @patrickkatana8823
    @patrickkatana8823 6 часов назад

    Very true ❤

  • @emmanuelkivenule875
    @emmanuelkivenule875 7 часов назад +1

    The leader

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 7 часов назад +3

    tungekuwa na viongozi 10 kama mwalimu nyerere hapa africa tusingepata tabu zote afrika

  • @wilondjacare
    @wilondjacare 2 часа назад

    Nyerere alicho hongea sio kweli

  • @emmanuelmlekwangano9991
    @emmanuelmlekwangano9991 11 часов назад +6

    Huu ndio ukweli ambao viongozi wa Congo hawataki kuusikia

    • @KalutaKitungano
      @KalutaKitungano 11 часов назад +2

      Kwani nyie na Nyerere mnajuwa history ya Congo kuwazidi wakongo wenyewe?
      Acheni upumbavu.
      Halijawafikia tu, nani aliwaambia kwamba Congo 🇨🇩 kulikuwa na kabila la wanyamulenge baada ya uhuru wa Congo?
      Neno BANYAMULENGE lilibuniwa miaka ya 80 baada ya uhuru tu. Wale ni wakimbizi wa Rwanda waliyokimbia machafuko ya Rwanda mwaka wa 59

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 11 часов назад

      Ssa Shida Iko Wapi Kma Walikuja Congo miaka Ya 1959 Leo hii Amuawataki Mnawataka kuwapeleka wapi hili hali wameowana na kuzaa na Waconngo Tena Wameishi hpo zaid Ya Miaka 60 ssa Kisha Uwafukuze kitu Ambacho Ata wewe ungekuwa Banyamulenge Usinge kubali Mbona Kenya Wamewapa Wapemba Wa Tanzanian Uraia wa Nchii Iyoo Kutokana Kwa Kukaa Hpo Miaka Na miaka Na kupa na hii Wachaga Wanao Ishii Ndani Ya Mpaka Kenya Mpka wa Taita tafeta Ambao Wameishi Hapo Karine 5 Sasa wameishi Na Wakaomba Rais Wa Kenya Ruto Wawatambue Kma Raia Wa Kenya Na Rais Ruto Amekubali Na Akasema Atawapatia Vitambulisho Vya Uraia wa Kenya Na ni Juzi Tu Sio Mbali mwezi huu wa kwaza Ukumbuke hao ni wachaga wa kutoka TANZANIA ​. Ila Nyinyi Wakongo Ni Wabinafsi Ssa MtaendeleaKuwa Wakimbizi Adi Pale Mtakapo Watambua Banyabulengee kuwa ni Raia Wa Congo hpo vita Vitakuwa Vimeisha @@KalutaKitungano

    • @kingdomlifestylesvids5003
      @kingdomlifestylesvids5003 10 часов назад +1

      @@KalutaKitunganosana sana iyi sns imejaa ujinga Fulani ivi yani yeye ajatowa ata habari moja kutoka kwa wa congo wenyew yeye ni oh Mara pro lumumba Mara ili lizee Lao lilikula pesa ya Israel ili lumuangushe shujah wa wafrica Idi amini Mara comedian wa Uganda Kwanini asitafuti wakongo wa kivu north na south makabila mengi tu kama washi, wandande, wa hindu , wa rega, wa bembe, wa vira etc wene udongo wao waulizwe ?

    • @ebinssports5377
      @ebinssports5377 10 часов назад

      ​@kingdomlifestylesvids5003stop the nonsense, ww huwez disrespect baba wa Taifa letu kipuuzi, those are your problems.... if your leaders were smart enough Leo hii msikuwepo kwenye hiyo situation, Tanzania inapakana na nchi nyingi tu na kwenye kila mpk lazima kutakuwa na watu wa kabila moja kwenye nchi mbili tofauti..... mfano maasai, kuria, haya,makonde, yao, machinga.... hizi ni tribes ambazo zipo Tanzania lakin pia kenya, uganda, Mozambique.... lakin huwezi sikia Tanzania wanawaambia wakuria au maasai warudi kenya, au makonde, yao na machinga warudi Mozambique..... sababu waliowawekea hiyo mnayoita borders hawakujali kama wazigawa jamii katika mataifa mawili tofauti....

    • @kingdomlifestylesvids5003
      @kingdomlifestylesvids5003 10 часов назад

      @@ebinssports5377 ni baba wa taifa lenu na sio letu uwezi kuiweka africa kukaa chini ya kivuli cha Uyo Nyerere wenu kwa wa tz Nyerere ajawai kukosea lakini uku kwetu congo kakosea na uwo Ndo ukweli Nyerere is traitor

  • @yollah
    @yollah 10 часов назад +7

    Yaaan 23 wapo sahihi sana

    • @Onge-shabani1994
      @Onge-shabani1994 10 часов назад

      @@yollah kwalipi ?

    • @Firerecords_1
      @Firerecords_1 10 часов назад

      Hakuna anae wafukuza congo ila tu wanataka wamsaidie Kagame kuaua opposition ya Rwanda inaoishi congo

    • @HomeboyTZ19
      @HomeboyTZ19 9 часов назад +1

      M23 ni majizi ya Kagame ndio Maana anayasaidia

    • @yollah
      @yollah 9 часов назад

      Marais wote wamepita mbona Congo 🇨🇩 aina mabadiliko zaidi ya family zao zinakuwa mabilionea tyu jaman

  • @iconifc
    @iconifc 11 часов назад

    Well said mzee

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 12 часов назад +9

    Nyerere alikua mtu na nusu alikua ana maono ya mbali sana kuufuta ukabila na dini pamoja na uhuru wa kuabudu si jambo rahisi hii mipango wazungu waliotuachia ndio sababu ya kubaguana Kila siku🙌🙌

    • @Onge-shabani1994
      @Onge-shabani1994 11 часов назад

      Alikuwa na maono Tanzania siyo sehemu zingine

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 11 часов назад +1

      Maono gani sasa ya kuwafanya watanzania wawe wanyonge kwenye haki zao na

    • @BoazDillu
      @BoazDillu 9 часов назад

      Acha ulimbukeni ndugu kama haki ipo mahakama kafungue kesi kule alafu pia sisi ni wa Tz Amani nijambo muhimu leo tz makabila zaid yw 120 na tuko na aman unajua ni kwann? Heshimu walio kuwekea misingi acha mihemko ,leo congo wanapigana unajua nini chanzo ukabila pia ni sababu kila mmoja anajivutia kwake so lazima uthamn amani uliyo nayo​@@melanialeonard4031

    • @cbegram6161
      @cbegram6161 6 часов назад +1

      @@melanialeonard4031sawa bwana. Ila hapa Tanzania nashukuru mungu waislam kwa wakristo kwa wapagani tunaishi kwa amani bila shida wala kuwazana hata kwa mbali. Vivyo hivyo kwa makabila yetu 120, tunaishi bila kuwazana kabisa. Na yani hata wageni wakitoka kenya, uganda au shm yyte ile sijawahi ona wakibaguliwa au kutengwa na tunaishi nao bila wasi wasi wwte ule. Au ni uongo Watanzania🇹🇿 wenzangu na mliowahi kufika huku Tanzania🇹🇿. Ila unakuta nchi za jirani tu hapa tukiwa kwao si sisi watanzania tu bali hata waafriika wengine wataka kupina nani bora cjui nimekupita nini, ninachoshukuru mungu sisi hizo hatuna. Na ndiyo maana wahindi wana mabiashara huku na wamefanikiwa ila tunaishi nao kwa upendo na amani, wasomali vivyo hivyo wapo huku wengi na wala hatuna shida nao, hata ndugu zetu warundi hapa kigoma wapo wengi na sisi tunashirikiana nao hata kwa kule malawi na msumbiji tumekuwa tukishirikiana nao vyema kwa moyo wote. Afrika ni moja Tupendane, Tujaliane , Tuheshimiane. Na hakuna mtu aliyebora kumzidi mwenzake, wote ni sawa na tutapita. Kila mmoja wetu anathamani. Na hapo Congo hatupo kwa ajili ya kupimana nguvu au kutest wanajeshi wetu, bali tupo kwa ajili ya kutoa tu ushirikiano, si kwamba hao wanajeshi wetu hawana kazi za kufanya huku nyumbani lahashaa ni kwamba unaona jirani yako anahitaji msaada huwezi kaa unamcheka ilihali una uwezo wa kumsaidia. Na si kwamba Tanzania ni Matajiri kiasi hicho hapana. Ni upendo tu wa dhati na watanzania hatujisikii poa kwa kinachoendelea hapo Congo, na kama sisi raia hatujui nani yupo sawa na nani hayupo sawa ila tunachowaombea hawa waafrika wenzetu ndugu zetu ni huu mgogoro umalizike haraka iwezekanavyo ili waweze kutulia na kuishi kwa amani kama binadamu wengine,
      Mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿 Mungu Ibariki Afrika 🌍

  • @djumadjumbe6907
    @djumadjumbe6907 39 минут назад

    Alie tuaribia Congo ,uyu mzee mtusi anasenea nduguzake

  • @mozubmang5966
    @mozubmang5966 Час назад

    On part went to uk , Uganda where more then millions became Ugandans

  • @marykomu4356
    @marykomu4356 8 часов назад +2

    They belong to Congo period....

  • @futuremistake7886
    @futuremistake7886 10 часов назад +4

    ili jambo ukiacha mihemumko M23 wako sahihi 100% ila watoto waliozaliwa 90+ ukiwasikiliza wanachambua utahisi Kagame ndio mwenye shida

    • @meshackpaluku7176
      @meshackpaluku7176 9 часов назад

      Hizo hotuba za M23 ni kama hotuba tu ya mwizi anaye jaribu kuji tetea mahakamani coz wanyamulenge wanaishi Congo na wako kimya kabisa na tunaishi nao

    • @meshackpaluku7176
      @meshackpaluku7176 9 часов назад

      Kuna tofauti kubwa kati ya M23 na wanyamulenge

  • @eliaszephania3115
    @eliaszephania3115 12 часов назад +10

    Yule jamaa wanae mwita muasi siyo kweli jamaa anapenda inch yake na wanakerwa na yanayo endelea congo mabeberu wanatumia vibaya Mali za congo wanaiba madini nk

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 12 часов назад +1

      wale jamaa nao wanatoa madini na kuuza kupitia Rwanda

    • @katemachanda7035
      @katemachanda7035 11 часов назад

      ​​​@@omondiowino7875Sio kweli. UN na mashirika ya Ulaya Kwa kushirikiana na chaneli za habari kama BBC,DW, CNN n.k ndio wanaeneza hiyo propaganda waliyowaaminisha watu siku zote ilhali wao ndio wachochezi wakubwa wa vita vya Congo kupitia uchonganishi ili waendelee kuiba Mali ya Congo. Rwanda hapo anapakaziwa tu, na watajipa uhalali wakupigana na Kagame wamtoe Madarakani kama ilivyokua Kwa Gadafi, na wakimuua Kagame Hali ya amani itazidi kuwa mbaya maeneo hayo, AMINI ITAKUSAIDIA (Hapa wazungu ndio tatizo no Moja) na Kagame ameweza kuwadhiti ndio maana wanamchafua.

  • @kafwimbimilambo8556
    @kafwimbimilambo8556 6 часов назад

    Kweli kabisa

  • @DibroMajura
    @DibroMajura 5 часов назад

    Hii noma

  • @isayawasokye8304
    @isayawasokye8304 12 часов назад +3

    Comment ça

  • @raphaelkaswahili323
    @raphaelkaswahili323 7 часов назад +1

    Kipindi hicho nikiwa na umri wa miaka mitatu nilimsikia akiongea kupitia radio Tanzania 😂😂😂

  • @shaban6644
    @shaban6644 12 часов назад +2

    Hakika Mungu alimjaalia Maarifa Makubwa sana huyu Mzee.

  • @EdsonyMashaka
    @EdsonyMashaka 11 часов назад +1

    Mm uwa nawashangaa baaz ya watu kumlinganisha mgufuri na nyerere nyerere msimlinganishe na awo waongo wenu wa kung'ata na kupuliza

  • @Muhozetvshow
    @Muhozetvshow 11 часов назад +2

    Asante Mungu sikumoja utaeshusha banyamulenge wote na tutarejea kwetu wanyamulenge congo kwetuu natuta pata huuru siku moja🙏🏾 kirasiku mwende kwenu Rwanda wapi na nawapi na Rwanda? Ni way we are Congolese forever ♾️ 😢❤

    • @kapamathethe5378
      @kapamathethe5378 11 часов назад

      😂😂😂mulizaliwa tu uyo Nyerere muongo

    • @Muhozetvshow
      @Muhozetvshow 11 часов назад

      @@kapamathethe5378 asante sina chakujibu zaidi ya kusema wa nyamulenge bazali ba Congolese.

  • @mirajiabdallah1339
    @mirajiabdallah1339 8 часов назад

    aisee sky upo vizur

  • @siphifahashimu9723
    @siphifahashimu9723 11 часов назад +2

    itakuwa M23 ni WAKONGO RWANDAN❤❤❤❤❤ wakae waelewane

  • @claudepaluku1842
    @claudepaluku1842 6 часов назад

    les Rwandais à Leandro Congo à quelle époque

  • @SidBrand
    @SidBrand 7 часов назад

    In the name of the President 🎉🎉

  • @Kitikawamuwa
    @Kitikawamuwa 7 часов назад

    Nimewapenda sana jameni kutupa ukweli

  • @NiyireraRamadhani
    @NiyireraRamadhani 9 часов назад +2

    Mwadisha wa habali hiyi video Nakuhimba umutumiye Mawulidi kitenge na haji manala bahelewe vizuli

  • @Godfrey-tf6jz
    @Godfrey-tf6jz 7 часов назад +1

    Wata nielewa

  • @MapigoTV-tz
    @MapigoTV-tz 9 часов назад +2

    Nyerere alikuwa kichwa sana, sio kama kikwete. Jamani wanyamulenge muwape amani kwani iko wazi kabisa kuwa ni wa congoman

  • @TheBossOdhis
    @TheBossOdhis 10 часов назад +1

    A true Pan Africanist. RIP Nyerere

  • @goodluckmsoka3660
    @goodluckmsoka3660 5 часов назад

    Mzee kaongea ukweli shida ni mipaka wakati huo watu walikuwa wanajiendea tu

  • @mudrickbarton8911
    @mudrickbarton8911 9 часов назад +1

    Nyerere the genius

  • @burukinyebo6294
    @burukinyebo6294 2 часа назад

    East Afrika ilikua imeandaliwa kwa ajili ya kutawaliwa na Tusi Empire kwa hiyo Nyerere lazima awatetee ndugu zake Watusi wenzie,..lakini Banyamulenge sio wakazi Asilia wa Nchi ya Kongo hao waliingia ndani ya Kongo kipindi cha vita ya Rwanda wenyewe kwa wenyewe Enzi zile za kainamaha na Varumayuu

  • @Awaasha-cn6bx
    @Awaasha-cn6bx 5 часов назад

    Toka juzi nimekukumbuka baba wa Taifa ungekuwepo kila kitu kingekuwa sawa mana ulikuwa unajua vitu. Vingi. Ktk Africa yetu .Pumzika kwa Amani

  • @tonyi6807
    @tonyi6807 9 часов назад +1

    Tanzania ni Asili Ya Amani na Mpatanishi

  • @WillySelemani
    @WillySelemani 20 минут назад +1

    Baba wa Afrika

  • @mscantraah8210
    @mscantraah8210 11 часов назад +1

    Yes true 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👌🏻👌🏻👌🏻😅😅

  • @RamazaniAmisi-ns5mf
    @RamazaniAmisi-ns5mf 11 часов назад +5

    Tatizo nihawo banyamulenge wenyewe kuji baguwa awakutaka kuwa pamoja nawa congo yani wana saidiya rwanda kuipora congo kisa niwatu wamoja ndomana kongo ai waamini

    • @bromanfexxaofficial935
      @bromanfexxaofficial935 10 часов назад

      Kweli kabis a

    • @HomeboyTZ19
      @HomeboyTZ19 9 часов назад

      huu ndio ukweli Watu hawataki kuusema Once a Tutsi always a Tutsi na kwao ni Rwanda japo hata Rwanda waliiba kwa Wahutu na kuwaua

    • @bromanfexxaofficial935
      @bromanfexxaofficial935 8 часов назад

      @@HomeboyTZ19 hivi wahutu ni asilimia ngapi kwa sasa pale Rwanda???

  • @melch3097
    @melch3097 5 часов назад

    Mimi sijaelewa. Mbona kagame anasema tz wana interest congo, wanamlinda rais