Yaani Mtangazaji nabii Malisa amenigusa sana alivojifanya chizi jamani watumishi wengine waliongea kwa dharau sana. Niliwapenda Mtumishi aliyevaa suti nyeusi na kijana alivaa shati ya pinki alikuwa na 4000 lkn alitoa 2000 akampa Mungu awabariki watumishi hawa yule baba anabembeleza unywe juisi jamani narudia tena Mungu awabariki watumishi hawa.
Ibada hufanyika moyoni mwa mtu na si lazima ukajionyeshe mbele za watu, Biblia inasema mutawatambua kwa matendo yao""" "" "Matendo na si Kwenda kanisani" ""
Mmh jamaa huyu hivi ni kweli kuhusu ndoa za india hua hawaachani? Na pia sio kitu kizuri wazazi kuingilia sana mahusiano ya watoto zaidi wazazi kazi yao kumjenga mtoto kabla hajaona au kuolewa ili ajue kuchagua mwenyewe kipi ni kipi!swala la kuoana matajiri kwa matajiri au maskin kwa maskin ni ubaguzi huo kitu ambacho Kristo alikuja kukiondoa
@@judithwaida3016 adam alikua na pesa gani?na hizo pesa unapewa na nani huo ni uongo kua ukiwa na pesa ndo unapata unachostahili, yawezekana wengi huzani wanavyo wanachostahili kwa macho ya kawaida na kumbe ni masikini mbele ya Mungu kama wangelijua wanachostahili ni nini msinge kua na kiburi cha kuchagua
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe kwa majibu mazuri yenye mafundisho ndani yake,nimekukubari Baba.
Wewe sio nabii wa Mungu KUZIMU imekutuma
Acheni kuwatukana watumishi wamungu manaa nimbaya sanaa😢😢😢
Mbayaa zahidi wew unayee mtukanaa ujijui unavifungoo vingapi umefungwaa njoo uombewee mapepo ya kutokee
Amen 🙏 prophet
Powerful Powerful
Beat ya ukichaaukichaa hivi...inavuruga Prophetic code of music
Hisi toshee klia malisa mwenyewee sishidaa zakee wew tukanaa ukimalinzaa utalala manaujui utendalo
Powerful
Run as
Utukufu Kwa JEHOVA MUNGU katika hilo
Namupenda sana baba marisa 1:06
Kweli baba unapelekaga watu hospital mpaka bima unawakatiaga Mungu akulinde
Yaani Mtangazaji nabii Malisa amenigusa sana alivojifanya chizi jamani watumishi wengine waliongea kwa dharau sana. Niliwapenda Mtumishi aliyevaa suti nyeusi na kijana alivaa shati ya pinki alikuwa na 4000 lkn alitoa 2000 akampa Mungu awabariki watumishi hawa yule baba anabembeleza unywe juisi jamani narudia tena Mungu awabariki watumishi hawa.
Mue mnatoa huo mziki hatusiki vizuri
Muamini ambaye hana muda wa kwenda ibadani huyo hana ushirika na Mungu wake,bali kamuweka Mungu kama kitu cha ziada na anaamini asichokijua!!
Ibada hufanyika moyoni mwa mtu na si lazima ukajionyeshe mbele za watu, Biblia inasema mutawatambua kwa matendo yao""" "" "Matendo na si Kwenda kanisani" ""
@@isaacmerengo7293amri ya tatu pia inasema my kumbule siku ya bwana kuitakasa.
Vilevile walipoketi wawili, watatu Mungu yupo katikati yao
Beat inatiya kelele
Mhh wewe hatari Sana mungu akutie nguvi
Zima hiyo beat...mtumishi hasikikii..
Hilo swali alilouliza baba mzungu linalohusu mch kuitwa baba malisa amejibu kwa Kona.
Fact.
Mmh jamaa huyu hivi ni kweli kuhusu ndoa za india hua hawaachani? Na pia sio kitu kizuri wazazi kuingilia sana mahusiano ya watoto zaidi wazazi kazi yao kumjenga mtoto kabla hajaona au kuolewa ili ajue kuchagua mwenyewe kipi ni kipi!swala la kuoana matajiri kwa matajiri au maskin kwa maskin ni ubaguzi huo kitu ambacho Kristo alikuja kukiondoa
tafuta pesa ili Mungu akupe unachostahili😊
@@judithwaida3016 adam alikua na pesa gani?na hizo pesa unapewa na nani huo ni uongo kua ukiwa na pesa ndo unapata unachostahili, yawezekana wengi huzani wanavyo wanachostahili kwa macho ya kawaida na kumbe ni masikini mbele ya Mungu kama wangelijua wanachostahili ni nini msinge kua na kiburi cha kuchagua
Huo unabii mnapewaga na nan?? Kuweni makini na manabii wa uongoo
Nawewe unapata wapi naninani aanakupa maswari hayo ukikataa kua sahv hakuna manabiii wewe hutakiwi kusali Dini yoyote
@@shirrangimedia4570 manabii hawa hawa wenye njaa ??😀😀😀
Huu ni prophet
Race beenbeen
Mbona mmemuweka picha ya mwamposa kwani huyo mtumishi Ana nini? Mwamposa popote ulipo ulindwe na mungu maana
Mwambie malisa atupe hilo fungu lililosema malaika wameumbwa kwa nature ya hivyo vitu
SoMo Kubwa sana mkuu,malaika na tabia zake..na maandko yapo
Shida yangu ni andiko sio kua nakataa
Kwaniwewe hujui kwamba kunamapepo ya alidhini namajin naangani swaligani hilo
Umeuliza swali zuri Hawa matapeli wa injili
Sasa beat zanini wakati kunamgeni sasa tusikilize mziki au