Mwenyezimungu akikuandikia kwaimani lazima iwe,kiukweli Mwanzoni wengi hatukumuelewa Magu but baadae tuliamini nijembe naangetufikisha mahali kama nchi.Apumzike kwaamani Magu.
Mungu amlaze mahali pema peponi kama hakumpenda alimpenda lakini alifanya kazi nzuri na Watanzania walimkubali na wanaendelea kumuenzi tumshukuru Mungu kwa kila jambo
Ifike wakati Afrika tubadili kabisa mfumo wa vyama vingi wagombea lukuki tafuta mtu mmoja mwenye kuchapa kazi vizuri weka kwenye utawala na fullstop. China, Qatar, Vietnam, Sauda Arabia hakuna hizo mambo lakini mambo yao bam bam.
Ulikuwepo kamati kuu?kaawni kimya tugange yajayo mpumzisheni baba wa watu angekuwa baba yako ungekubali asemwe wakati hawezi kujibu chochote yake ya duniani yameisha tukutane akhera mjini
Watanzania tusome kuna ujinga wa kusema Mungu kampangia afa. Kuna wakati kifo ni uzembe wa watu ndio kinatokea .kifo cha Makufuli ni uzembe wa majeshi wananchi wote hawakumuunga mkono kw vitu aliyokuwa anataka kukifanya .walinzi wake ,watu wake wamemuangusha adui asinge ingia kwa Makufuli tingekuwa sote kitu kimoja na yeye. Hakuna binaadamu mkamilifu japo alikuwa anaupunguvu wake .lakini alikuwa anawajali wananchi wa Tanzania.hakuna rais yeyote aliyekuwa katika serekali ya Tanzania.alijitolea na kujalia nchi iende uzuri na kuleta maendeleo.
Tabia ya mchawi ni ya ajabu Sana anakuua kisha analia Sana kuliko hata wafiwa wenyewe. Ogopa mchawi na mnafiki.Ni sawa na kunguni wa kitandani.anakutafuna huku anakuchekea.
ALISHINDWA Nini kumtoa kwenye uwaziri?Hizo zilikuwa ni Hila za kisiasa lakini Kwa akili tu ya kawaida mtu aliyekuwa KIONGOZI wa NCHI,ALISHINDWA Nini kukata jina la magufuli ,kwahiyo Jk ndio alitaka magufuli awe rais japo kila jambo mungu ndio anapanga lkn kila kitu kina sababu zake
Hakuna mtasema kuhusu Magufuli tukawaelewa,,ulipokuwepo huo uhuru wa demokrasia kama nchi tulinufaika na nin? Kwanza nyie watu wa upinzani asilimia kubwa ni wachumia tumbo na vibaraka wa mabeberu ...
Hakuna rais kama kikwete ndio mahana magufuli kasaidiwa na kikwete Tena sana kikwete angee kataa magufuli asiwe rais magu asinge kuwa rais Kwa hio kikwete alimpiga taff ndio mahana magu alishindaa
Ukishakuwa raisi automatic unafaham mfumo yote nchi sasa nikulize swali dogo Kati mkapa na kikwete Nani alikua mzoef serekalini jibu mkapa sasa kama mkapa huoini ALIKUA mamlaka kubwa kuitamka kitu kamati kuu?? Tafakari kuna vitu haviitaji Nguvu kuvijua
Siku zote,Marehemu hupewa sifa akiwa mfu. Lakini kwa Magufuli kuwa jembe,ukweli haufichiki. Kazi ameifanya kwa kweli. Na kwa kweli naamini ameenda peponi. Ikiwa kuna kasoro lakini wajibu ameutekeleza.
Mtu yoyote yule angetatizika katika maamuzi yakumuacha Lowasa kwakua urafiki ni mkubwa lakini na wapinzani nao walimchafua kwa kiwango cha juu sana haswa kwa jambo la ufisadi.Lkn unafiki wawana siasa.Hao hao wapinzani wakaja wakamsafisha Lowasa kiasi cha kuonekana kama vile kumuacha ni kumdhulumu.Kwa magufuli ni mzee kikwete ndio alimuomba achukue fomu.na familia yake ilipoelemea kwa Membe aliwaambia tusije tukanuniana mambo yasipoenda vile mnavyotarajia.kuonyesha kwamba aliangalia zaidi maslahi ya Taifa.Na huyu mzee ukitoa kingunge na mzee sefu sharifu anajua sana siasa.kiasi wazee wajuzi wasiasa za nchi hii pia wanamuogopa sana
Nimekuona umeongea jambo bora sana ila watu atulioni hilo sema shida kikwete alifanya hvyo kutoa lowasa alf na watu walivyo hona kuna membe wakaona anandaliwa kuwa ndipo wapiga kura wakaona isiwe shida ngoja wakose wote wakajikuta kura wote wana mpa mtu wa katolo😂😂😂😂
Mweny kwa1 alikuwag apendag kuwag Raïs aliempendekezag alikuwa nan kma si yey Kikwete achen ujinga nyie kila yoyot atakae kuwa akutakuwag mzr hta cku mo1
Watanzania hatuna muda na mijadala kama hii, Hakuwa Maguli ila ni kiumbe kama kiumbe wengine, sote tutakufa lini na saaa hilo ni fumbo la imani,kama kuna mtu anamuabudu Magufuli aendelee tu na kaburi lake haliko mbali liko chato, ila Tanzania ina thamani kuliko Magufuli na kinachoendelea ni kumuudhi Muumba ambae alimpenda zaid na ambae anajua kwanini alimchukua mapema Mpendwa wetu, ila kwasasa Kazi iendeleee, na alieshika kijiti ni mtu sahihi mnooo tena saaaaana. Mungu ibark Tanzania, Mungu bark viongozi wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kwa kumbukumbu zangu walioingia tatu bora ni speaker wa bunge Msatafuu ANNA MAKINDA, SAMIA SULUHU NA Dr JOHN POMBE MAGULI... Hoa kina AshaRose Migilo sijui mmewatoa wapi nyie
Alikua mchapa kazi akiwa waziri kiasi cha kupinga baadhi ya maamuzi ya kupindapinda,lakini alipofika kuchaguliwa badala ya Membe na au Makamba nongwa ikaanzia hapo, Lowasa alijua,na yeye alijua!. Tenda ya barabara zote za lami chini ya tanroad ilikua ya nani vile!
Acheni majungu. JK asingemtaka JPM jina lisingekuwepo, kama aliweza kumpiga chini Lowassa, angeshindwa nini kwa JPM? Tumieni akili tusitumie chuki kwenye kutafakali jambo
@@kilimanjaro695 kwanza atuambie domo la jz Nila Nani liliibuka kwa kasi 2014 karibu kabisa na utawala wa jpm? Watajua wenyewe upendo wa mtu kwa mwingine unaonekana kwa macho na mwendo na ROHO viambatane mtu kashakufa sasa useme nampenda kwani atakusikia? Mungu ni wa milele shetani atatusitiri kwa Muda membe jpm luwassa wameshapita ww na mm je unaendeleaje kujistiri kwenye ujanja wa Dunia?
Hana Lolote labda Unafiki atamfikia Wapi Nabii Suleiman Mtume wa Allah Wakati ni Madhambi matupu Kwa Dhuluma Wizi na uuwaji huwezi kumfananisha Nabii waliyesafika na Madhambi ukamfafananisha Na Mtu mwenye dhambi kibao
Watanzania tumekuzoma kama kuna watu walio uzika na kifo sha mpendwa watu mkoponzi wa Taifa letu jpm ni wewe kikwete na samia Ata kwa mziba mwrnye kulia sana Nakutangaza history ya marehemu ni muaji
I can see so many tanzania people angry about jakaya kikwete we don't have to fear jakaya kikwete better tell jakaya kikwete reality underground why fear him tanzania belong to Tanzania 60 million jakaya kikwete can't be much lptantAnt than safering if tanzania 50 mikononi much poor tanzania people
YULE NDIE ALIKUWA RAIC NA KAZI NZURI TULIIONA NDANI YA MIAKA 5 MARAIC 4 HAKUNA ALIEFANYA KAMA YEYE C BINADAMU HATUNA SHUKRANI.MUNGU AMLIPE KWA KUTUTOA TONGO...TONGO KUMBE TULIKUWA TUNAWEZA
Kikwete japo na swaga zake zoote hakuwahi mchukia magufuli. Na magufuli pamoja na ukali wake woote hakuwahi mwingilia jk. Mambo ya jk yalienda smooth hata wakati wa magufuli isipokuwa wapambe wa jk ndio walikuwa wanamchongea magifili kwa jk.
Hujui kitu au ilikupita ile ya makontena ya mkewe Kikwete kuzuiliwa bandarini nakutakiwa walipe kodi ile hali walikuwa wamezoea kupitisha Tu mizigo kinyemela,iliperekea kupishana pakubwa mno biashara zake zilitakiwa zilipiwe kodi kama unavyotakiwa kulipia wewe
Mawazo umeona hawakuwa na ugomvi kbsaa nashangaa watu ndio wanasema mambo ambayo hawana ushahidi nayo.Jpm alisafiri na jk kwenda south Mara kwa Mara wakitembeleana watanzania tuache upuuzi.Jk angeweza kumzuia jpm asiwe raisi tangu huko kumbuka huyooo ni raisi Ana nguvu zote.Watanzania tuwache ujinga
Lowasa alikuwa bepari Kila ukipita unaambiwa hii Mali ni ya lowasa, tulisikia Vodacom lowasa yupo, kambi ya zamani ya jeshi sakina Arusha tulisikia Sana lile eneo ni la lowasa. Kila mahali ni lowasa kule Richmond yeye, Sasa kwa hayo hafai kuwa raisi. JPM alikuwa chaguo la Mungu. Aliwasema hadharani hata CCM yake, alikuwa mwamba kweli kweli
Mwenyezimungu akikuandikia kwaimani lazima iwe,kiukweli Mwanzoni wengi hatukumuelewa Magu but baadae tuliamini nijembe naangetufikisha mahali kama nchi.Apumzike kwaamani Magu.
Jembe la kuuwa watu
@@eliajimmy9511:11
@@eliajimmy95wew hujui chochote, kuna sniper la ccm ndiyo linaongoza kwwa kuua watu.
@@zakariamalembela3974 hilo sniper linalouwa watu ulilijua wewe tu?
Pumbavu hili labda babayake.ndiyomuuaji.wawatu sasahivi.hayupo mbona wanakufa kwahiyo haliyanchi ilivyo ndoiko vizuri kuliko ilivyokuwa.kwajpm hili.ndoyaleyale
Hongereni kwa kazi yenu nzuri! It's right to say you enlighten the dark side.
Mungu amlaze mahali pema peponi kama hakumpenda alimpenda lakini alifanya kazi nzuri na Watanzania walimkubali na wanaendelea kumuenzi tumshukuru Mungu kwa kila jambo
Alifanya kazi nzuri ya kutoa uhai wa watu
@@eliajimmy95 Alitoa uhai wa Baba yako na Mama yako thibitisha
@@margarethpolepole7438 je wewe unauhakika kama alitoa uhai wazazi wangu
@@margarethpolepole7438 Inaonyesha ni kiasi gani unaroho ya kinyama yaani huna ubinadamu, unajali uhai wa wazazi wako tu.
@@eliajimmy95una uthibitisho
Kwa nini hayo Mungu ndio anajua ukweli kama alimpenda au alimchukia nafsiyake inajua Magu pumzika kwa amani
Ifike wakati Afrika tubadili kabisa mfumo wa vyama vingi wagombea lukuki tafuta mtu mmoja mwenye kuchapa kazi vizuri weka kwenye utawala na fullstop.
China, Qatar, Vietnam, Sauda Arabia hakuna hizo mambo lakini mambo yao bam bam.
point sana mkuu hiyo
Yeye ndio alimbeba kamati kuu jpm alikataliwa jk akatumia kofia yake kulazimisha mnyonge mnyongeni Ila penye haki yake apewe tu
Ulikuwepo kamati kuu?kaawni kimya tugange yajayo mpumzisheni baba wa watu angekuwa baba yako ungekubali asemwe wakati hawezi kujibu chochote yake ya duniani yameisha tukutane akhera mjini
@@zariadunia6328 ni kweli watu wengi ktk ccm hwakumtaka mpaka uchaguzi wa mwanzo ndani ya CCM
Hujui kitu wewe ...kaa kwa katulia
@@real_unforgettablereallife4821 wewe unaejua tuambie😥😥
Ujui kitu Magufuli alipitishwa kwa kauli ya mkapa
Akili kubwa Zungu na Charles william
Yotr tisa kumi jk kalifikisha hili taifa hapa likipo kwa namna moja au nyingine apewe maua yake🎉🎉🎉🎉
Ni kweli hakuta awe rais,,hata yeye atakufa tu
Jpm kapigika hadi raha asante Mungu
hataa utakufaaa ng'ombee wewe unadhani yatarudii ya enzii ya mwalim jinyongee mapemaa
@@samateryusuf4345 Vyeti feki😅😅
Kama hukupenda J.P Magufuli ila Sisi tulimpenda tu ila Ifahamu Dunia tutapita wote Mzee kikwete acha Roho mbaya
Watanzania tusome kuna ujinga wa kusema Mungu kampangia afa. Kuna wakati kifo ni uzembe wa watu ndio kinatokea .kifo cha Makufuli ni uzembe wa majeshi wananchi wote hawakumuunga mkono kw vitu aliyokuwa anataka kukifanya .walinzi wake ,watu wake wamemuangusha adui asinge ingia kwa Makufuli tingekuwa sote kitu kimoja na yeye. Hakuna binaadamu mkamilifu japo alikuwa anaupunguvu wake .lakini alikuwa anawajali wananchi wa Tanzania.hakuna rais yeyote aliyekuwa katika serekali ya Tanzania.alijitolea na kujalia nchi iende uzuri na kuleta maendeleo.
Kikwete alimkosea sana Lowassa, hadi akafariki kwa mateso ya moyoomba tu Mungu akusamehe😢
😅😅😅
Join
Tabia ya mchawi ni ya ajabu Sana anakuua kisha analia Sana kuliko hata wafiwa wenyewe. Ogopa mchawi na mnafiki.Ni sawa na kunguni wa kitandani.anakutafuna huku anakuchekea.
Mungu yeye ndiye anayejua yote yaliyomo ndani ya mioyo ya watu.Nani kwani anabisha hilo?
Magufuli mwenyewe hakuupenda uraisi basi ni mungu tu ndo alimuweka pale
Alikamatiwa bastola agombanie uraisi au alitaka mwenyewe?. Acheni kutupumbaza nyie wajinga
Kweli kabisa
Mmmh ahaaaa
Hahahaaa we jamaa@@hilalkhalfan1452
Mmmmmm ama kweli kikulacho kinguoni mwako hakuna kitu kibaya kama unafiki duniani zmung mlaze mahali pema peponi amina
Kikwete he is my best président ever
Huyo magufuli alikuwa mwamba sana tena alipewa jina la tingatinga
ALISHINDWA Nini kumtoa kwenye uwaziri?Hizo zilikuwa ni Hila za kisiasa lakini Kwa akili tu ya kawaida mtu aliyekuwa KIONGOZI wa NCHI,ALISHINDWA Nini kukata jina la magufuli ,kwahiyo Jk ndio alitaka magufuli awe rais japo kila jambo mungu ndio anapanga lkn kila kitu kina sababu zake
Jpm kapigika hadi raha asante Mungu
@@samateryusuf4345wewe hutapigika asante Mungu😊
@@zeralucyntazimila6600 mm nimeuwa nani ?? Bado nadunda tu lkn baba ako kapigika hadi raha asante Mungu
@samateryusuf4345 ndo maana nimekwambia hutapigika mpaka raha jamani!!! Au hukuelewa😁
@@zeralucyntazimila6600 samahani sana ndugu
Kazi nzuri Zungu❤❤🔥🔥
Not easy work hard
Alimhofu msimamo wake tangia wakati wa utawala wake alimliganisha akili yake nikama computer.
safi sana
Wewe zungu wewe mwambaaaaaa🎉😮
Mzee hilo Jina la Bernard unavyolitamka hapana aisee!
Mungu ndo anajuwa ukweri,Apaduniani tunapita
Very interesting 👏👏👏👏
Zungu ukovizurii hongera
Good
Hamjatafiti vizuri, ni kama imetengenezwa kumsafisha mtu na sio kuweka wazi yaliyojificha
Mambo yakienda ndivyo sivyo unasusa tu kikao
Kama CCM wangekuwa Wanaacha Tabia ya Kukata watu Majina... Tanzania isingeingia Ajali Iliyoingia Kwa Uhuru na Democrasia.
Hakuna mtasema kuhusu Magufuli tukawaelewa,,ulipokuwepo huo uhuru wa demokrasia kama nchi tulinufaika na nin? Kwanza nyie watu wa upinzani asilimia kubwa ni wachumia tumbo na vibaraka wa mabeberu ...
Mbna kwnye pulukushani sijasikia jina la magu
Mungu ndio anajua sio binadamu
Baada ya magufuli mungu kumsimamia wanafiki ilibidi wampende maana hawkuwa na jinsi
Ongera sana kwa kuchagua njia hii kuzihirisha ulicho nacho na Ina dhihilika
Katiyawagombeaji,2,000,makufuli,,woyiiiii
FACT👏🏿👏🏿
Hakuna rais kama kikwete ndio mahana magufuli kasaidiwa na kikwete Tena sana kikwete angee kataa magufuli asiwe rais magu asinge kuwa rais Kwa hio kikwete alimpiga taff ndio mahana magu alishindaa
Ndiyo hakutaja jpm awe rais
Sio kweli, yeye alikua mwenyekiti enzi hizo, kwahiyo alikuwa ana uwezo wa kumminya tu, kwa sababu magufuli hakuwa maarifu.
Namuona Samia
Sio ukweli
Huyu mzee kikwete alifanya kazi kubwa sana kumwinua magufuli, mungu ampe hekima zaidi. Kikwete ana hekima kama za sulemani.
Wewe Mkapa ndo alishikilia jina la JPM na kumbuka Mkapa alikua mtu aliekua mtu mwenye misimamo sio kama Hayati Mwinyi yeye alikua mpore
@@vanessajames2192uko sahihi, mkapa ndo alikuwa final say, magufuli akawa mgombea aliyepitishwa, lkn waovu walikuwa wapi na mikakati yao! Yaliyotokea ndo kama ilivyokuwa tumebaki tunawakumbuka tuuu! 😢😢😢😢😢
Hujui unenalo😢
@@gracemtonga3263
Muda huo muheshimiwa Mkapa alukuwa na mamlaka gani.
Tuheshimu mtu asemacho ba sio hear say tu
Ukishakuwa raisi automatic unafaham mfumo yote nchi sasa nikulize swali dogo Kati mkapa na kikwete Nani alikua mzoef serekalini jibu mkapa sasa kama mkapa huoini ALIKUA mamlaka kubwa kuitamka kitu kamati kuu?? Tafakari kuna vitu haviitaji Nguvu kuvijua
Huo ndoo ukweli
Siku zote,Marehemu hupewa sifa akiwa mfu. Lakini kwa Magufuli kuwa jembe,ukweli haufichiki. Kazi ameifanya kwa kweli. Na kwa kweli naamini ameenda peponi. Ikiwa kuna kasoro lakini wajibu ameutekeleza.
Mtu yoyote yule angetatizika katika maamuzi yakumuacha Lowasa kwakua urafiki ni mkubwa lakini na wapinzani nao walimchafua kwa kiwango cha juu sana haswa kwa jambo la ufisadi.Lkn unafiki wawana siasa.Hao hao wapinzani wakaja wakamsafisha Lowasa kiasi cha kuonekana kama vile kumuacha ni kumdhulumu.Kwa magufuli ni mzee kikwete ndio alimuomba achukue fomu.na familia yake ilipoelemea kwa Membe aliwaambia tusije tukanuniana mambo yasipoenda vile mnavyotarajia.kuonyesha kwamba aliangalia zaidi maslahi ya Taifa.Na huyu mzee ukitoa kingunge na mzee sefu sharifu anajua sana siasa.kiasi wazee wajuzi wasiasa za nchi hii pia wanamuogopa sana
Nimekuona umeongea jambo bora sana ila watu atulioni hilo sema shida kikwete alifanya hvyo kutoa lowasa alf na watu walivyo hona kuna membe wakaona anandaliwa kuwa ndipo wapiga kura wakaona isiwe shida ngoja wakose wote wakajikuta kura wote wana mpa mtu wa katolo😂😂😂😂
Mhm
Kinachokuponza ndugu yetu JK ni uswahiba wako na yusuph Makamba hilo tu
Kuna tetesi kwamba Benjamin mkapa pia alihusika magufuri kuwa rais je ni kweri?
Ni sahihi sana maelezo ya Mh Kikwete,mengine ni mitazamo tu ya watu.
Zungu🎉
Mweny kwa1 alikuwag apendag kuwag Raïs aliempendekezag alikuwa nan kma si yey Kikwete achen ujinga nyie kila yoyot atakae kuwa akutakuwag mzr hta cku mo1
Sio kweli waligoma wajumbe WA kamati kuu alipowaweka wapendwa wake akaona hii itakuwa soo kikweti mwongo
Maneno yake tu.
Alimtska Membe wala sio Magufuli
Walimkomesha na January atakuja kuwa Rais kamwe
Tunajuwa
Waongo nyie!!!!
Watanzania hatuna muda na mijadala kama hii, Hakuwa Maguli ila ni kiumbe kama kiumbe wengine, sote tutakufa lini na saaa hilo ni fumbo la imani,kama kuna mtu anamuabudu Magufuli aendelee tu na kaburi lake haliko mbali liko chato, ila Tanzania ina thamani kuliko Magufuli na kinachoendelea ni kumuudhi Muumba ambae alimpenda zaid na ambae anajua kwanini alimchukua mapema Mpendwa wetu, ila kwasasa Kazi iendeleee, na alieshika kijiti ni mtu sahihi mnooo tena saaaaana. Mungu ibark Tanzania, Mungu bark viongozi wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Heading inaonesha story teller ni mpuuzi
Huoni hiyo headline ni swali?
Fuatilieni hotuba ya JK Diamond jubilee.
Hamna haja kubaguajambo naujaliona
Ndiyo maana kifo chake JPM ni utata, RIP JPM
Utata upi kwani aujui alikuwa anaumwa nini
😢RIP JPM❤❤❤❤❤
Daar! Eti William Ngeleja alikuwa anataka Uraisi
Ukisikia Vita vya panzi , furaha kwa Kunguru ndo hii sasa😅
Wampende,wasimpende sisi tulimpenda
Kwa kumbukumbu zangu walioingia tatu bora ni speaker wa bunge Msatafuu ANNA MAKINDA, SAMIA SULUHU NA Dr JOHN POMBE MAGULI... Hoa kina AshaRose Migilo sijui mmewatoa wapi nyie
Alikua mchapa kazi akiwa waziri kiasi cha kupinga baadhi ya maamuzi ya kupindapinda,lakini alipofika kuchaguliwa badala ya Membe na au Makamba nongwa ikaanzia hapo, Lowasa alijua,na yeye alijua!. Tenda ya barabara zote za lami chini ya tanroad ilikua ya nani vile!
Lowassa alikuwa na kila sababu ya kuchukua uraisi sema fitina ndy zilimuangusha rest in paradise Lowassa
Kabisa
Huyo ndie aliratibu mpango wa kifo chake
Kama na yeye alivyoratibu vifo vya wenzie
@@eliajimmy95 bila shaka ww ni mgogo,sura yko tu inaonyesha jinc ulivyokuwa zuzu.Cwezi kukulaumu
@@kichenjekichenje2072 weka profile picture yako tuone kama sio wale wenye sura kama tako
Mhmhmhm boss umejuaje??????
Hata yeye hawezi ishi mirere
Jk Asante rip Magu
Tengeneza kabla ya kuitwa mbinguni maana mm wewe gaidi jk
Haya nambo tuuasche kama yalivyo
Aliemuua ni nani?
Tuhuma za kutomtaka jpm zitamuandama tu Sawa Sawa na kiwango cha dhambi hiyo inauzito gani
Acheni majungu. JK asingemtaka JPM jina lisingekuwepo, kama aliweza kumpiga chini Lowassa, angeshindwa nini kwa JPM? Tumieni akili tusitumie chuki kwenye kutafakali jambo
Nyie ndio wenye chuki na mze jk
@@BenjaNetanyahu kwa yy anatupenda
@@kilimanjaro695 kwanza atuambie domo la jz Nila Nani liliibuka kwa kasi 2014 karibu kabisa na utawala wa jpm? Watajua wenyewe upendo wa mtu kwa mwingine unaonekana kwa macho na mwendo na ROHO viambatane mtu kashakufa sasa useme nampenda kwani atakusikia? Mungu ni wa milele shetani atatusitiri kwa Muda membe jpm luwassa wameshapita ww na mm je unaendeleaje kujistiri kwenye ujanja wa Dunia?
Common sense is not common sense anymore
Hana Lolote labda Unafiki atamfikia Wapi Nabii Suleiman Mtume wa Allah Wakati ni Madhambi matupu Kwa Dhuluma Wizi na uuwaji huwezi kumfananisha Nabii waliyesafika na Madhambi ukamfafananisha Na Mtu mwenye dhambi kibao
Upo wap ndugu
Watanzania tumekuzoma kama kuna watu walio uzika na kifo sha mpendwa watu mkoponzi wa Taifa letu jpm ni wewe kikwete na samia Ata kwa mziba mwrnye kulia sana Nakutangaza history ya marehemu ni muaji
I can see so many tanzania people angry about jakaya kikwete we don't have to fear jakaya kikwete better tell jakaya kikwete reality underground why fear him tanzania belong to Tanzania 60 million jakaya kikwete can't be much lptantAnt than safering if tanzania 50 mikononi much poor tanzania people
Tusiogope hii nchi ni yetu sote
Mupenzi vedqste
Ikawa kichaa kakabidhiwa rungu, kwa miaka 5 chamoto tulikiona
YULE NDIE ALIKUWA RAIC NA KAZI NZURI TULIIONA NDANI YA MIAKA 5 MARAIC 4 HAKUNA ALIEFANYA KAMA YEYE C BINADAMU HATUNA SHUKRANI.MUNGU AMLIPE KWA KUTUTOA TONGO...TONGO KUMBE TULIKUWA TUNAWEZA
kama ulikuwa fisadi mtu wa zurma lazima chamoto ukione
@@Athuman-is2vu kwani Wapinzani akina Tundu Lissu, Mbowe, heche na wengine,walifanya ufisadi gani
@@ZenaUsangi kwani wapinzani waliokuwa wananyanyaswa walikosa nini
JK ndio Raisi mwenye kifua zege zaid mno kuwah kutokea Tz sijawah kuwa na hofu na maamuz yke
Kikwete nimzee mpole sana anachuki na mtu Acheni uchochezi
Mnafiki wewe mzee
K laanatullah
❤
Kikwete japo na swaga zake zoote hakuwahi mchukia magufuli.
Na magufuli pamoja na ukali wake woote hakuwahi mwingilia jk.
Mambo ya jk yalienda smooth hata wakati wa magufuli isipokuwa wapambe wa jk ndio walikuwa wanamchongea magifili kwa jk.
Hujui kitu au ilikupita ile ya makontena ya mkewe Kikwete kuzuiliwa bandarini nakutakiwa walipe kodi ile hali walikuwa wamezoea kupitisha Tu mizigo kinyemela,iliperekea kupishana pakubwa mno biashara zake zilitakiwa zilipiwe kodi kama unavyotakiwa kulipia wewe
@@breymbasa3451 .ushasema mkewe tumia Akili Kila kitu anachofanya mkeo inamaanisha umemtuma?
Mawazo umeona hawakuwa na ugomvi kbsaa nashangaa watu ndio wanasema mambo ambayo hawana ushahidi nayo.Jpm alisafiri na jk kwenda south Mara kwa Mara wakitembeleana watanzania tuache upuuzi.Jk angeweza kumzuia jpm asiwe raisi tangu huko kumbuka huyooo ni raisi Ana nguvu zote.Watanzania tuwache ujinga
Lowasa alikuwa bepari Kila ukipita unaambiwa hii Mali ni ya lowasa, tulisikia Vodacom lowasa yupo, kambi ya zamani ya jeshi sakina Arusha tulisikia Sana lile eneo ni la lowasa. Kila mahali ni lowasa kule Richmond yeye, Sasa kwa hayo hafai kuwa raisi. JPM alikuwa chaguo la Mungu. Aliwasema hadharani hata CCM yake, alikuwa mwamba kweli kweli
Chaguo la Mungu limepigika hadi raha asante Mungu
Sit down and think twice before you suggest anything. Don't be like others whose narrow minded
Its God who chooses satan!not you!
KIKWETE NDIO MSEMA KWELI
Lowosa
H
Alipitia milango wa lowasa,kimaajabu,ila hata makonda atapita kimiujiza si makamba