Mchambuzi binafsi nakushukuru umetuletea Kilichokuwa sahihi, ila Kwa Sasa moto umezimwa kabisa, wapi Majaliwa niliyekuwa namjua Mimi wapi Mingo nilikuwa namjua Mimi Hawa watu wote ni hazina kubwa sana Mungu awabariki, tunamuomba makonda wetu.
Kilekipindi cha JP haukuwa unatamani uikose taarifa ya Habari , na taarifa ikiisha unaona Kama imeisha mapema ,lakini wakati huu mtu unashindwa kuangalia unaona wazi waliopo wengi Wana muumiza Mama yetu mpendwa Rais , kwani akiongea wanaitikia kuwa nita fanya sintokuangusha mh lakini kesho huyo huyo anaharibu wananchi wanona mambo,na wanalia Wana uchungu kwenye mioyo wanahitaji kutibiwa majeraha Yao , je Nani atakae watibu, tunaweza kusema Mungu atawawatibu maumivu ya moyo nikweli ,lakini Mungu anatumia Mtu kumponya mtu aliye jeruhiwa kwa maisha nk, Kama alivyo mtumia JP, Kama umeelewa ujumbe huu, like yako yamuhimu kuwa umenielewa,
Hii ndio team iliyo ipaisha TZ mahala pa juu saana na heshima kwa Taifa. Lakini kwa akili za kiTanzania,aaaah! Hawafaiii. Leo hii unaona mahali Taifa lilipo? Ni aibu tupu
Alitukana na kuidhalilisha ya wasomi kusema alitolewa jalalani yaani kuwa profesa wa chuo kikuu ni umaskini na wasomi wengine kama yeye ambao wako nje ya mfumo was Magufuli wako jalalani na vijana wote wanaopita vyuo vikuu hapa nchini ni majalala aliwakosea sana wasomi anatakiwa kuwaomba radhi
Wewe unayewaita hao 15 na watano washenzi wewe umewahi kuitendea Nini nchi tangu uzaliwe .umethubutu kuifanyia Nini Tanzania.Utampata wapi mtu kama kasim Majaliwa.kama Maghufuri alimteuwa mtu maana yake walikuwa wote na Samia.wote hao tuliwapigia kura siku Moja na wote Samia na magufuli walipata kura sawa kama mgombea mwenza wa magufuri . Na viongozi wote hao waliwekwa na Mungu na sii vinginevyo.kuna watu wamezaliwa na mambo ya ajabu Sana.wamezaliwa na karama za KULALAMIKA na hakuna anachokifanya hata Kwa ndugu zake mwenyewe. Magufuri na Samia walikuwa kama BAba na mama ndani ya nyumba Moja (TANZANIA) wote waliongozwa na Sheria mbili tu kati a ya nchi na Ilani ya ccm na itabaki hivyo ndani ya miaka 💯 ijayo. Na wengine mnaowatukana hao mmefikishwa hapo mlipo na ccm hiyohiyo .nashangaa inakuwaje mtoto unamtukana mzazi wako kiasi hiki.viongozi wanapoteua watu msiwatukane Bali waombeeni Kwa Mungu ili watende vema.Tuwaombee Kwa mora wetu wateule wote badala ya kuwalaani na kuwakejeli .
Yaan kiukwel nimekumbuka sana jaman magufuli alikuwa anajua sana sidhani kama nitapata tena rais kama kama magufuli kwa sasa sina hata hamu ya kuangalia taarifa ya habari bas2 naumia mpk leo but hakuna namna jaman😭😭😭😭
Asanteni sana. Tuseme nn zaidi. Ingawa orodha ni ndefu kuna akina Kalemani,Biteko,na kitana Ukinizingua nami nitakuzingua. Wote hao walikuwa watumishi wa watu. Mola ampumzishe kwa Amani mpendwa wetu.❤
Hongereni kwa kutuhabarisha juu ya hawa viongizi na kweli walijitahidi japo waliobaki ni wachache.Mungu amweke mahali pema peponi kwa kazi alizofanya kwa nchi yetu
Ahsante sana mchambuzi wethu kwakupa Armani yaukweli naconfidence kuhusu trust habari Dr rpm kuhusu haha kiongozi kupambana nawezi wakuchelewesha maendeleo yawatanzania na Africa kuwafungua macho naviongozi wabaralethu la Africa kwanamna yakuongoza nakuandalia kijana kuhusu maadui walnut mweusi duniani
Tutakukumbuka daima Magufuli ❤❤
Sio MAGUFULI tu HATA mimi Niliwapenda
Mimi kama jirani wenu kutoka Kenya, nimefurahishwa na kuchapa kazi kwa prof. John kabudi na Kasim Majaliwa. Hongera kwao.
Mwamba umejtahid sana nmeipenda sana endelea kuleta update zote nzuri aliyoyafanya HAYAT MAGUFURI RIP 🙏
Mchambuzi binafsi nakushukuru umetuletea Kilichokuwa sahihi, ila Kwa Sasa moto umezimwa kabisa, wapi Majaliwa niliyekuwa namjua Mimi wapi Mingo nilikuwa namjua Mimi Hawa watu wote ni hazina kubwa sana Mungu awabariki, tunamuomba makonda wetu.
I miss you Magufuli always remember you rest in peace❤❤❤❤❤
Aisee zungu unatisha sana mzee,,,wee ni fire
Kilekipindi cha JP haukuwa unatamani uikose taarifa ya Habari , na taarifa ikiisha unaona Kama imeisha mapema ,lakini wakati huu mtu unashindwa kuangalia unaona wazi waliopo wengi Wana muumiza Mama yetu mpendwa Rais , kwani akiongea wanaitikia kuwa nita fanya sintokuangusha mh lakini kesho huyo huyo anaharibu wananchi wanona mambo,na wanalia Wana uchungu kwenye mioyo wanahitaji kutibiwa majeraha Yao , je Nani atakae watibu, tunaweza kusema Mungu atawawatibu maumivu ya moyo nikweli ,lakini Mungu anatumia Mtu kumponya mtu aliye jeruhiwa kwa maisha nk, Kama alivyo mtumia JP, Kama umeelewa ujumbe huu, like yako yamuhimu kuwa umenielewa,
Naunga mkono hoja
Hats magazeti dada mne. Yamekwisha
Hata magazeti. Saa nne. Yamekwisha
D2N hongera Sana kutupatia stori nzuri ,ubarikiwe Sana.
Mbona umemsahau mrJaffer wzr Tamisemi
I WILL NEVER FORGET HIM.
JPM YOU ARE OUR SWEET LEGEND IN OUR LEFT GENERATION
Eh! MUNGU Tukumbuke Watanzania uwainue wakina MAGUFULI wengine Amen
Tatizo lenu wa tz hamna shukran kabisa
Kikosi cha mzee magufuli nilikipenda sana kwa sababu kilikuwa kinafanya kazi kwa weredi mkubwa sana na penda sana kikosi namba 45 hicho kiludi
Weledi*
Kirudi*
na walikua jembe kweli kweli km.JPM❤
Nakubaliana na utafiti. Imenikumbusha maisha mazuri tuliyoyaishi kipindi chake JPM
Maisha yapi?
Uchambuzi mzuri sana barikiwa kwa kazi yako
Teuzi zake hazikuwahi kuniangusha hata siku Moja R.I.P Mwamba
Kabisaaa🤝🤝
Best than any other. Kuwapoteza Ni kupoteza taifa.
Hata Mimi bado nawapenda sana, hasa zaidi Waziri mkuu, Kabudi Polepole ahh wote tu.
Huyu Kabudi na Poleople wanafiki wakubwa wasiosimamia misimamo yao Hao ni wanasiasa vinyonga hawaaminiki na hawakubaliki.
Nimelenda Sana uchambuzi wako Hongera Sana
Daaah UMENIKUMBUSHA MBALI SANA MASIKINI JPM
Ndugu Jaffo umemsahau. Alikuwa top 10 kipenzi. Ni mchapakazi kwa kweli
Kabudi ni mzalendo❤
Wasomi wa kitambo.
Hapa umepatia mzee 👏👏ila magu alikuosea kwa makamu wa Rais tu
Ally happy hakika nakupenda sana
Hii timu iliyowekwa na JPM tunaitaka sasa hivi. Mama Samia tunakushangaa na hizi takataka ulizoziweka kipindi hiki. Mambo mengi yamezorota sana.
Excellent job bwana Zungu upo vizuri
Ummy mwalimu pia alipendeza sana katika jicho la mhe
Hongera kwa uchambuzi huo
MIMI HAO WOTE UMEWATAJA NAKUBARI WALIPEDWA SANA NA MAGUFURI BROTHER UKO VIZURI KWA UCHAMBUZI
Magufuli chuma kweli kweli
Kiukweri mimi nashukuru sana mtangazi kwa kunikumbusha hili nimekumbuka mazuri mengi ya uongozi wa magufuri
Mimi nampenda sana makonda:majaliwa: polepole:samia:jaffo: chalamila:sendega Rc Manyara:Ali happy❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
MAKONDA MPAKA LEO TUNAMPENDA MUNGU AMLINDE LEO NA KESHO
Tutamkumbuka daima milele. RIP JPM
Duuuuuuuu!!!! Yaaani Sina mashaka na utafiti wako.nimependa.
Kama unaelewa utakumbuka sana rais huyu anapenda wachapakazi
JPM arikuwa anapenda uchapa kazi
Hapo nchi ilikua salama kwa mapinduzi ya utqwala bora maisha bora nchi isio dona g County
Mmejitahidi kutengeneza safu vizuri kweli
Hii ndio team iliyo ipaisha TZ mahala pa juu saana na heshima kwa Taifa. Lakini kwa akili za kiTanzania,aaaah! Hawafaiii. Leo hii unaona mahali Taifa lilipo? Ni aibu tupu
Uko vizuri mtangazaji piga kazi
Samia apna 😢😢
Wow big up Uncle MAGU
Hata mm hiyo list ni naion🎉a ndo ilikuwa injini ya JPM .WoTe walikuwa ni watu wa hapa kazi tu.maua yenu bhana.
pumzika kwa amani Dkt JPM
Hawa wote sawa wapo sawa kbs
Nami nawakubali wote❤
Nimependezwa sana na Uchambuzi wenu .. hakika mnastahili 5star
Nimependa jinsi unavyofafanua taarifa.. hongera sana
Pole sana ndugu yangu watanzania naomba sana Mheshimiwa Paulo
nimejikuta nalia sana .Daa jpm rip baba yetu
Kama walikuwa wanaiba lakini kazi inayo fanywa ilikuwa inaonekana
R.I.P mzee hatokei km ww
Sipati jibu kwanini mama kamtupa kabudi🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲
Alitukana na kuidhalilisha ya wasomi kusema alitolewa jalalani yaani kuwa profesa wa chuo kikuu ni umaskini na wasomi wengine kama yeye ambao wako nje ya mfumo was Magufuli wako jalalani na vijana wote wanaopita vyuo vikuu hapa nchini ni majalala aliwakosea sana wasomi anatakiwa kuwaomba radhi
sababu kabudi sio mwizi ye kayachagua majizi menzie mengine yalikua yamesha staaf kayarudisha kwa lazima ili waibie watanzania
@@marcokaroje8980 umepotosha alichokisema Kabudi...yeye alikuwa tayari mstaafu...na ndicho alichofananisha na jalalani....
@@calabash4221 kwa hiyo wastaafu wako jalalani?bado na wewe unaungana na lugha za wanaojikomba wasionacho waendelee kuumia
@@calabash4221 achana nae mjinga huyo kilajema analimaanisha vibaya liache usijisumbue kulielewesha lijinga halito kuelewa
Mwenyezi mungu amuweke mahali pema peponi Amina
kwenye safari ya WANAUME ukiweka MWANAMKE hamfiki salama, huo ndoo ukwel.
😂😂kabisaa
Hata mimi niliwapenda sana
We miss you papa 😭😭😭😭😭
Nazani Leo nimekuwa MTU wa kwanza
Tanzania mbarikiwa kuwana watu wazuri, yaani viongozi Bora
Katka uongoz mbov uliowah kutokea ni awamu ya 5.
@@yonaidris8305 mbovu sana wengine ni mabomu humu ndani ni hatari Kwa nchi
Wewe unayewaita hao 15 na watano washenzi wewe umewahi kuitendea Nini nchi tangu uzaliwe .umethubutu kuifanyia Nini Tanzania.Utampata wapi mtu kama kasim Majaliwa.kama Maghufuri alimteuwa mtu maana yake walikuwa wote na Samia.wote hao tuliwapigia kura siku Moja na wote Samia na magufuli walipata kura sawa kama mgombea mwenza wa magufuri . Na viongozi wote hao waliwekwa na Mungu na sii vinginevyo.kuna watu wamezaliwa na mambo ya ajabu Sana.wamezaliwa na karama za KULALAMIKA na hakuna anachokifanya hata Kwa ndugu zake mwenyewe. Magufuri na Samia walikuwa kama BAba na mama ndani ya nyumba Moja (TANZANIA) wote waliongozwa na Sheria mbili tu kati a ya nchi na Ilani ya ccm na itabaki hivyo ndani ya miaka 💯 ijayo. Na wengine mnaowatukana hao mmefikishwa hapo mlipo na ccm hiyohiyo .nashangaa inakuwaje mtoto unamtukana mzazi wako kiasi hiki.viongozi wanapoteua watu msiwatukane Bali waombeeni Kwa Mungu ili watende vema.Tuwaombee Kwa mora wetu wateule wote badala ya kuwalaani na kuwakejeli .
Umemsahau mzee wilbrod slaa
Mngesema watu walioaminiwa sana, maana kuna wengine kama Kijazi hawakua wanasiasa
Bila ya kumsahau S.Jafo
Hilojopo ndilo lilikuwa jopo lawazalendo wapenda nchiyao
apana kbs
mmemsahau mabeyo tuu sem yeye sio mwana siasa
Bila jafo hakuna ki2 hapo jafo alipendwa Sana!
Uchambuzi wako mzuri sana. Ninaona kama Mama Samia ametumia nafasi yake ya sasa kumdhihaki Magufuli sana; akutukanaye hakuchagulii tusi.
Kumdhihaki nin sasa, hautafit vizur
Akili Huna baada unqualified hapo ulipo unaelekewa jnawaza yaliipita
Usifosi viongozi wafanane
@@alhamiibrahim1289 Wewe ndiwe huna akili kama umeshindwa kuelewa uchambuzi wa aliyeleta video hiyo; mimi sikuitengeza video hiyo
makonda is the best for all
Mm makonda na jpm ni vipenzi vya moyo wangu katika viongozi wote hawa wameukonga moyo wangu
Awe rais wa familia yako siyo TZ
Nami namuongeza mmoja wanaonifurahisha ni pamoja na kabudi wanao kejeri achana nao
Umesahau Makonda alipopiga marufuku wabunge kuonekana Dar wakati wa vikao vya bungee na waliufyata
Awakufyata acha uongo wakina zito walikuwa dar kila siku
😂😂😂
Very interesting
Hongera kwa kutukumbusha haya nimefurahi
Hiyo haipingiwi, na watabaki kuwa bora daima maana walifanya kazi kwa uzalendo mno sijuw huyu kwann kawaweka mbali
Saww lkn kwa makonda mwamba wa kanda ya ziwa msukuma huyu is best for all makonda for prisedent anafaaa sana
Yaan kiukwel nimekumbuka sana jaman magufuli alikuwa anajua sana sidhani kama nitapata tena rais kama kama magufuli kwa sasa sina hata hamu ya kuangalia taarifa ya habari bas2 naumia mpk leo but hakuna namna jaman😭😭😭😭
😂😂mm ndio kabisaa ni bora kuishi bira kujua kama kuna Rais
Ni bora kuish bila kuwa rais kuliko tulivyo sasa is daah
Hongera sana umejipanga vyema
Asanteni sana. Tuseme nn zaidi. Ingawa orodha ni ndefu kuna akina Kalemani,Biteko,na kitana Ukinizingua nami nitakuzingua. Wote hao walikuwa watumishi wa watu. Mola ampumzishe kwa Amani mpendwa wetu.❤
Talk of Ally Hapi,Mwanri,Makonda,Lukuvi,Kabudi and Kijazi. They can for unbeatable government
Umemsahau Albert Chalamila
Hii timu ndio tunayoitaji mpaka saizi
Hawa walikuwa ni viongozi huo ndo Ukwelii
Everything looks real, may his soul keep resting #Mrpresident
Nakukubali sana
Hongereni kwa kutuhabarisha juu ya hawa viongizi na kweli walijitahidi japo waliobaki ni wachache.Mungu amweke mahali pema peponi kwa kazi alizofanya kwa nchi yetu
Umemsahauje Suleiman Jafo
MAJALIWA NA MTAKA HATA BILA KUPENDWA NA MAGUFULI WANAFAA NI WACHAPAKAZI WASIOJIKOMBAKOMBA MPAKA SASA .
Bila kumsahau yule mkuu wa mkoa wa Bukoba( chalamila)
Mungu umpe pumziko la aman magufuli
Makonda alikuwa noma
Makonda kapora magari ya watu kwa nguvu,jambazi mdanganya majina,DAUDI ALBERT BASHITE.
Magufuli alijuwa wazur na wambaya alikuwa ana kusoma
Kijazi ndo alipaswa awe namba 1
Presenter 🫡🫡🫡🫡🙌🙌🙌🙌 na aliyeandaaa content 🙌🙌🙌🙌🙌 safi sana..
Daah kumbeistolia haifutiki bhana
These are our hero's
Ahsante sana mchambuzi wethu kwakupa Armani yaukweli naconfidence kuhusu trust habari Dr rpm kuhusu haha kiongozi kupambana nawezi wakuchelewesha maendeleo yawatanzania na Africa kuwafungua macho naviongozi wabaralethu la Africa kwanamna yakuongoza nakuandalia kijana kuhusu maadui walnut mweusi duniani
Asante kutukumbusha hizi tunu za Taifa letu tutawakumbuka Kila mara
Viongozi hao walikua makini sana hawakuwahi kulea ujinga kabsa....
Hawa ndiyo wanafaa kukaa na mama
Yaaani ninavyo kumiss
Akili za watanzania zinanichanganya, sijajua kamazinapambanua vizuri jema na baya. Mungu atufumbue macho
Kilaza mwingine wewe😂😂😂😂😂
Inaumaaa
Mama mwenyewe yupo yupo tu