MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 мар 2021
  • 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
    𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
    𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
    𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
    𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 489

  • @samiridrisasimba4011
    @samiridrisasimba4011 3 года назад +20

    Mh Jakaya Mrisho kikwete Asante kwa hutuba yko nzuri zidumu fikra za Magufuli ,tusicheze na ngoma za maaduwi ,Watanzania tushikamane ,tumuunge mkono mh Samia Suluhu mwisho namuomba mh Samia asichoke kusimama barabarani nakusikiliza kero za wananchi pls masuala ya lockdown mwiko TUDUMISHE FIKRA ZA MH JOHN POMBE MAGUFULI

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 3 года назад +34

    Allah azidi kukupa umri mrefu wenye manufaa Mh. RAIS WETU MSTAAFU, JAKAYA KIKWETE, AAMIIN.

  • @issazakaria863
    @issazakaria863 3 года назад +30

    Umeongea vizuri sana Mzee Jakaya Kikwete tuendelee kushikamana ndugu zangu Watanzania

  • @laiserkuyan6075
    @laiserkuyan6075 3 года назад +61

    Kila siku maneno ya shetani Nitamu Sana kuliko ya mungu kifo cha Rais wetu Tunakuchuku Sana lakin mungu ndiyo ujibu yote hakuna Atakae ichi milele duniani

  • @meaa2262
    @meaa2262 3 года назад +15

    Rais Kikwete is very articulate 👌 RIP Rais magafuli ✝️🕊️🕊️🕊️till we meet again God willing

    • @deogratiustweve2611
      @deogratiustweve2611 Год назад

      Mbonaweweunatosha namamayetu Samia tunawaombea muishi miaka mingi

  • @jshshhhsywuuw6047
    @jshshhhsywuuw6047 3 года назад +17

    Mungu ibariki Africa mungu ibariki tanzania mungu wabariki watanzania wote mungu ibariki familia ya mzee kikwete'

  • @zulfakassim7050
    @zulfakassim7050 3 года назад +11

    MH. JAKAYA MWENYEZI MUNGU Aendelee kukupa maisha marefu

  • @khadujifuad9360
    @khadujifuad9360 3 года назад +11

    Kikwete i love you sooo much my dear father my x president.. busara zako nazipenda sanah
    Mwenyezi mungu akupe umri mrefy wenye afya njema
    Amin

  • @mohdmohammed9238
    @mohdmohammed9238 3 года назад +18

    Pole Sana mstaafu, Mungu akupe siha njema na umri mrefu.Napenda Sana hikma zako.

  • @annakimaro7125
    @annakimaro7125 3 года назад +17

    Mungu anakuona ila hiyo safari ujue yakila mmoja sasa tunamwachia mungu atatenda kwawakati wake namajira yake Sisi Kama watanzania tumemkabidhi Mungu Kama kweli we...... Mungu akubariki Sana

    • @giztony2009
      @giztony2009 5 месяцев назад

      Acha ujinga usiongelee vitu bila data

  • @muhimbesingh4468
    @muhimbesingh4468 3 года назад +12

    Congratulations my former President Hon.Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.💟💟💟👍👍👍

  • @bizimunguadolphe1973
    @bizimunguadolphe1973 3 года назад +17

    Kwa kweli Mimi ni murwanda lkini
    Nilipenda sana raisi magufuri

    • @hindukassimu8401
      @hindukassimu8401 Год назад

      Yn inaniuma cn Kipind cha lais wet makufuli wat walikuwa wanaaman sana biashala kokote unafanya lakin sasaiv wat wanafukuzwa ovyoo amani akuna km kweli mlikuwa pamoja na lais wet makufuli faten alokuwa anafanya yy mbona kufa kwake km nifulah kwa watu kaliakooo wat wanafukuzwa Biashala azifanyik km kweli mnauchungu bc wachen watu wawe hulu katika mambo alotaka lais wet makufuli mungu amlaze mahali pema lais wet makufuli uko alip inaniuma cn asante laisi wetu
      Mstaafu jakaya km kweli mungu anakuon asant

  • @oneclick2023
    @oneclick2023 3 года назад +13

    mzee kwa speech ,huwa nakaa kwa kusikiliza sana busara zako since ukiwa Rais.

  • @gilbertjoseph5539
    @gilbertjoseph5539 3 года назад +11

    Wisdom man I currently understand

  • @mamayohana9461
    @mamayohana9461 2 года назад +15

    Mzoefu kweli ulichokifanya tunakiona nchi nzm na dunia yoote asante kikwete Mungu anakuina

  • @kcgangfamily001
    @kcgangfamily001 3 года назад +20

    Poleni watanzania kwa msiba wenu ila Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi

    • @bizijustin9201
      @bizijustin9201 3 года назад

      Poleni ndugu zetu watanzania. Tumepoteza kiongozi asiye was kawaida. Tulimupenda JPM ijapo sisi so watanzania. Nafurahia sana Tanzania kuwa na viongozi wenye nia nzuri.

  • @norbertchemiati4769
    @norbertchemiati4769 3 года назад +41

    This speech is lit 🔥 this Swahili is great

  • @jumachristopher1399
    @jumachristopher1399 3 года назад +12

    Mh. Rais mstaafu Jakaya Kikwete ubarikiwe kwa busara na hekima zako 🙏🏼🙏🏼😥

  • @mohamediazizi3658
    @mohamediazizi3658 3 года назад +41

    Ila mzee wetu rais wetu mstaaf JK pls tunaombatu utaratibu aloweka huyu mdogo wako alotangulia mbele ya haki ungeni mkono utimizwe sio kafa na alivyotengeneza vife naomba zingatieni hilo napia muogopeni mungu wetu. Mungu mpumzishe pema aamen 😭😭😭😭

  • @JosephSOruko
    @JosephSOruko 3 года назад +37

    John Pombe, is a an outstanding leader that shall be remembered in East, central and southern Africa for being a worker for the nation of Tanzania.

  • @kasililamecksatano7302
    @kasililamecksatano7302 3 года назад +14

    Huyu mzee safi sana

  • @edwinndirangu778
    @edwinndirangu778 3 года назад +3

    Am in Kenya Nyandarua county I love Kikwete

  • @issaibony3474
    @issaibony3474 3 года назад +5

    Hapa hukumumunya maneno mstaaf kikwete hengera Sana kwa hutuba nzur

  • @kilalaurio9922
    @kilalaurio9922 3 года назад +9

    Mungu ashambulie wote wasemao uongo.

  • @shadidumbaraka5589
    @shadidumbaraka5589 3 года назад +7

    Mungu akulinde atuzidishie amani tanzania

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 2 года назад +16

    Nakumbuka ulimpenda Sana membe awe raisi nasiyo JPM mungu akasema huwasipangiwi Mambo nataka JPM awe raisi chini kwachini mtaftano ukaaza nidhambi Sana lakini tunahasira mioyoni mwetu

    • @lovenesstweve8499
      @lovenesstweve8499 Год назад

      Can u imagine hii nchi bwana tuna jificha uso ila moyo ni siri

  • @hassanaloobaidan25
    @hassanaloobaidan25 3 года назад +13

    Allah saidia Tanzania yetu

  • @agastokissatu2667
    @agastokissatu2667 2 года назад +5

    .....mm na magufuli wangu tuuu...pumzika magu wetu....

  • @bintmailiga8184
    @bintmailiga8184 3 года назад +6

    Da inauzunisha kwa kweli mungu akuzidishie umri mrefu raisi wetu mstaafu mh kikwete il uendelee kuungana na rais wetu mh Samia tukiwa na watanzania tusiyumbe tusiiyumbishe Tanzania yetu Mana nyinyi ndio tegemezi letu na mungu yu pamoja nasi na mungu ilaze roho ya mpendwa wetu ,jembe letu ,mkombozi wetu J.P.Magufuli mahali pema pepon amii ama kweli ili pigo kwa watanzania

  • @richardmichael1965
    @richardmichael1965 2 года назад +5

    Baaada ya kifo cha jpm na mienendo ya maneno yalivyo endelea inanipa mashaka saana uhai huuu tunaootumia ni wa mungu namachozi ya watanzania wengi mungu anayaona sizani Kama wanashiba yuda daada ya kumsaliti yesu kwa pesa aliona amefaulu kilichomfanya akajinyonga nn tena no comment

  • @wazirimwanazuoni5567
    @wazirimwanazuoni5567 2 месяца назад

    Very nice speech kutoka kwa Dr. Kikwete

  • @hadijamagufuli2661
    @hadijamagufuli2661 3 года назад +13

    Ushammaliza Sasa roho yako imetulia, nakama kweli we utatapa Sana, namwisho utakuja kuongea ukweli, mwanaume mmbaya we, halafu hata chembe ya aibu huna, tulia Sasa utachokitaka utakipata, nakama wekweli vile vile machozi wa baadhi ya watanzania hayatakuacha salama

    • @andersonmwenda6390
      @andersonmwenda6390 2 года назад

      Dua la kuku lisilompata mwewe

    • @hadijamagufuli2661
      @hadijamagufuli2661 2 года назад

      @@andersonmwenda6390 atakufa tu mbona kwani kuna atakaye dumu ety 🖕

    • @faustinombilinyi9809
      @faustinombilinyi9809 Год назад

      Ogopa sn na nidhambi kubwa SN kumnenea mtu kitu sicho MUNGU YUPO YEYE NDO ANAJUA NANI

    • @abdallahmtale4060
      @abdallahmtale4060 9 месяцев назад

      @@hadijamagufuli2661 wewe ndio hutokufa?

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 Год назад +1

    Sikulia kwa sauti ila nilijikuta machozi yananitoka, Asante mzee wangu

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 3 года назад +7

    Allah ampumzishe aliyekuwa Rais wetu Magufuli Mahali Pema Peponi, Aamiin.

    • @mpembafilmproduction2052
      @mpembafilmproduction2052 3 года назад

      Kumbe mzee wetu ndio ulimpendekeza Raisi wetu Jembe safi sana....na ajakuangusha pia pole sana kwa msiba

  • @shukranamos2699
    @shukranamos2699 2 года назад +1

    Daaaa! Mzee wetu umetoa maneno yenye busara mungu akuongezee miaka mingi

  • @linaryugen6400
    @linaryugen6400 3 года назад +9

    Yaani. Nakuprndaga sana msaafu wetu

    • @andersonyshauri9220
      @andersonyshauri9220 3 года назад

      Yani kuongea kwako msitaafu huwa sichoki kukusilia umejariwa sana hekima na busara mungu akuweke na pole sana na kuumia

  • @rajabuamirijuma943
    @rajabuamirijuma943 2 года назад +1

    Nimeipenda hii xhukran mh rais mstaafu kwa ekma zako

  • @3wbz185
    @3wbz185 3 года назад +9

    phenomenal speech!

  • @respiciusjoseph2293
    @respiciusjoseph2293 2 года назад +2

    unachoongea na kilichokuwa kinaendelea havina ushirikiano nadhan umeshindwa mamna nzuri ya kupangilia nn cha kusema Mungu n mwema kakunyima maneno ya kuongea.. so everything was being put clear kwa hiyo siku... RIP JPM tutaonana baadae......

  • @user-rr7ij8pq9b
    @user-rr7ij8pq9b 5 месяцев назад +1

    Hayo maneno yanatoka moyoni haya bwana mungu anajua Kila kitu

  • @ghhhhy1812
    @ghhhhy1812 3 года назад +5

    From From 🇧🇮 Saudia sote njo jia bab yet

  • @aishaharuna4118
    @aishaharuna4118 2 года назад +3

    Mh kumbe mmependa kufa magufuli mungu atawaona

  • @amonamiri4487
    @amonamiri4487 2 года назад +3

    Unajikosha kwenye hiyo public...unajiuma umaa tu but damu hiyo ipo juu yenu..gonna payed but GOD

  • @byamukamawilliam760
    @byamukamawilliam760 3 года назад +14

    Rest in internal peace magufuli

  • @wazirisaidi5116
    @wazirisaidi5116 3 года назад +7

    Namkubali sana Kikwete.

  • @shedrackmabanda8585
    @shedrackmabanda8585 3 года назад +5

    Pole Sanaa JK

  • @maryamibrahim4039
    @maryamibrahim4039 3 года назад +20

    Big up! Ww ni raisi, hotuba zako kwa kweli huchoki kuzisikiliza.

  • @geofreyeyakuze8583
    @geofreyeyakuze8583 3 года назад +3

    Huko vizuri mh jk

  • @mbwanarajab4756
    @mbwanarajab4756 2 года назад +9

    Kikwete vumilia maneno ya wachache ambayo wanakuzushia bila wewe kuwajibu.. na Mkapa nani kamuua?
    Nyerere nani kamuua?
    Imani imekwisha na watu wamebakia na dhana tu

    • @maryaugustor6983
      @maryaugustor6983 Год назад

      Yeye turn.

    • @allyshija2613
      @allyshija2613 Год назад

      R I P JPM, mungu ibariki Tanzania hongera J m k kwa hotuba nzuri usia wangu Kwa wenye maneno yasio na ushahidi tumuogopeni mungu,

    • @user-ct2nw8br1o
      @user-ct2nw8br1o 25 дней назад

      Uyu mzee huwa akurupuki kijibu.

  • @lemondrizzle5658
    @lemondrizzle5658 3 года назад +18

    Kikwete still handsome 🤩🙌🏽

  • @antonynyaulingo8359
    @antonynyaulingo8359 2 года назад +1

    Mungu ndiye anayejuwa kilichomkuta.

  • @rosemarryjohn1376
    @rosemarryjohn1376 3 года назад +7

    Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki Tanzania Mungu baridi familia ya magufuri

  • @jacquelinemwakapola7959
    @jacquelinemwakapola7959 3 года назад +7

    Wakati mwingine hata shetani hugeuka kua malaika😷

  • @nkyabosi4827
    @nkyabosi4827 3 года назад +13

    When it comes to a speech, EAC bows to JK

  • @salilamsigwa4323
    @salilamsigwa4323 3 года назад +7

    Ila huyu baba nampenda sana mzee wa hekima na tabasam tu

  • @amonamiri4487
    @amonamiri4487 2 года назад +4

    Mama janet kama hakuskilizi hivi anakuona kabisa sio mtu mwema kwake

  • @mainguali6046
    @mainguali6046 2 месяца назад

    Very interesting protocol.Retired president pia hakupewa tanzia rasmi

  • @fatmaaliomar9733
    @fatmaaliomar9733 3 месяца назад

    Pole Muheshimiwa Kikwete kwa kuondokewa na Hayati Magufuli apumzike kwa amani.

  • @khamikhan4805
    @khamikhan4805 3 года назад +5

    Nimejisahau muda wote najua namsikiliza Mr president JK daah huyu ana busara maneno yake huchoki kumsikiliza

  • @kelvinwilbroad8706
    @kelvinwilbroad8706 3 года назад +18

    Kikwete is still a best president in providing speechs in this country

    • @salvatorymtunga2802
      @salvatorymtunga2802 Год назад

      Kikwete mda wote wakulaumiwa, mbona na yeye hammlaumu? Kikwete ni mtu mtulivu sana.

    • @IssackMaingu-ng5lk
      @IssackMaingu-ng5lk 6 месяцев назад

      Nilichojivunza kutoka kwa Rais kikwete tangu 2013 alisemwa kutoka kila kona ya Tanzania ila aliwajibu kwa kutabasamu tu.

  • @patieangelyz4943
    @patieangelyz4943 3 года назад +14

    Outstanding speech ! 🙌

  • @sabrinahussen7183
    @sabrinahussen7183 3 года назад +9

    Touched speech

  • @chamlilemhando7478
    @chamlilemhando7478 Месяц назад

    My best president ever

  • @user-ed8vi4mz5x
    @user-ed8vi4mz5x 9 месяцев назад

    Mungu.amlaze.mahalapema.amina

  • @mikenjoro8197
    @mikenjoro8197 3 года назад +6

    Hotuba faridi, pevu na yenye uchanganuzi mwafaka.
    Kongole Rais Mstaafu JK.
    Buriani Rais JPM...lala salama Jembe

  • @joyceomondi7276
    @joyceomondi7276 3 года назад +6

    Great speech ....

  • @al-miskrychannel478
    @al-miskrychannel478 3 года назад +9

    Huyu ndo kikwete bhana 🔥

  • @leverimlaki5667
    @leverimlaki5667 3 года назад +15

    Huyu jamaa kwenye hotuba amebarikiwa! Na anaonekana ni mtu mnyenyekevu.

  • @khadijahilal3016
    @khadijahilal3016 3 года назад +11

    Dah!! Nashindwa kuyazuia machozi yangu 😭😭😭😭😭😭

  • @saimonsimon9446
    @saimonsimon9446 2 года назад +3

    Kukaa na rafiki asiye na faida
    Ni sawa na kukaa na adui asiye kudhuru

  • @enockmangasini9387
    @enockmangasini9387 3 года назад +1

    Choir. if I can be used for the delay in getting back

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 3 года назад +4

    Aliyatimiza aliyoyakusudia. Sasa alifariki tarehe 15/03 au alifariki tarehe 17/03. Ulijua nini kilichokuwa kinaendelea

  • @mpembafilmproduction2052
    @mpembafilmproduction2052 3 года назад +8

    Pole sana Raisi mstaafu Kikwete..na asante kwa kumpigania mzee wetu Raisi wetu Magufuli na katuongoza mpk katuacha Salama

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 3 года назад +10

    Napenda hotuba zako bure

  • @MrLolipop6161
    @MrLolipop6161 3 года назад +3

    Poleni sana kwa msiba huo,mwenyezi Mungu awapeni farija.

  • @praizematagi7818
    @praizematagi7818 3 года назад +7

    Tutakukumbuka dady jpm!!!!!!

  • @majaliwacosmas3322
    @majaliwacosmas3322 3 года назад +6

    Waliopita walipita ktk kuongoza nchi hii ni safi sasa kama wataruhusiwa hawa watu tutarudi shidani hatupendi kurudi nyuma mambo mengi yalizorota yamewekwa sawa,sitegemei myachafue.

  • @godwinndaki666
    @godwinndaki666 3 года назад +2

    Mungu amlaze maaalapema popon amen

  • @deodatusbernad9323
    @deodatusbernad9323 2 года назад +3

    Kweli baba we we ni mzalendo wa kweli

  • @hamsodadyhamso
    @hamsodadyhamso Год назад +2

    Daha kwa kweli imeniuma sana

  • @mwitawangwe7048
    @mwitawangwe7048 3 года назад +5

    Nilikupenda,nitakupenda daima kwa hekima na busara zako doctor JK

  • @robertigohe9338
    @robertigohe9338 3 года назад +4

    Wape pole wafiwa tu, mengine siyo sehemu na wakati wake

  • @emmanuelmgaya6078
    @emmanuelmgaya6078 3 года назад +9

    Mzee wa tabasam nakupenda sana raisi wetu

  • @eveassey5162
    @eveassey5162 3 года назад +3

    JK haya bhana !!! Tanzania tuimbe tumwimbie mungu

  • @khadijashabani5509
    @khadijashabani5509 2 года назад +2

    Watanzania wanaumia sana kila cku bila kupumua😭😭😭😭

  • @stanslauslupelele5726
    @stanslauslupelele5726 Год назад +1

    .mmmhhhhh Mungu kweli ulituficha sana kuona ya moyoni ya mtuuu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Год назад

    Huyo magufuli atakumbukwa daima pamoja mlikuwa mnampiga vita maneno yote aliyokuwa amesema mama samia kwenye grip zake wala hatukutegemea mungu amlaze mahali pema peponi hayati magufuli

  • @ramadhanmasanja8546
    @ramadhanmasanja8546 Год назад

    Daaaaah yaani mungu atatutuliza na kutusahaulisha

  • @florakweyunga4490
    @florakweyunga4490 3 года назад +3

    Tatizo ukweli ulitakiwa kuhusema wakati akiwa Hai.kinacho tupa mashaka,JPM aliongea hivi,wewe lazima umpinge.mpaka JPM aliwambia wazee wastaafu,kaeni kimya.wakati mnatawala hakuna aliye waingilia.mikataba iliyo sainiwa kwenye ndege,......TUTAMKUMBUKA JPM DAIMA.

  • @alfan2402
    @alfan2402 Год назад +1

    Watanzania tumuogope mungu

  • @kassimloav2402
    @kassimloav2402 2 года назад +2

    Tutamkumbuka alisema namkumbuka na Nina muombea am week pena pepon mungu wewe ndiio kimbilio

  • @idanyahmed8701
    @idanyahmed8701 2 года назад +5

    Nampenda kikwete

  • @aboyfromtangatz5126
    @aboyfromtangatz5126 3 года назад +3

    Appreciate

  • @athumanyusuph1099
    @athumanyusuph1099 2 года назад +2

    Mtu mkubwa kama wew huwez kutuambia hukuwa na habari juu ya kifo cha mdogo wako...mim nnachojua akiondoka duniani taarifa zinapelekwa kwanza kwa watu wakubwa then ndo zinasambazwa kwa ndugu na majiran

  • @yohananyamaruri9105
    @yohananyamaruri9105 3 года назад +2

    me nakuchukia sana kikwete nakuchukia sana,haiwezekani baada ya kifo cha mpendwa wetu jpm maneno yanazagaa mitandaoni kwamba ww ndo unahusika asilimia 100,lisemwalo lipo kwa nini asisemwe mwinyi,ujue kama unahusika basi umetengeneza vita na MUNGU machozi y watanzania masikini yatakulilia daima.

    • @hadijamagufuli2661
      @hadijamagufuli2661 3 года назад

      Namie nasema kama kweli, kwakweli amelia watu nawengine kupoteza ndugu zao wakati wakiaga mwili wa magu, kwahyo kama kweli ameuwa mpaka was na hatua huyu baba da acha 😭😭

  • @happyalbert5089
    @happyalbert5089 3 года назад +3

    Nice!!

  • @mumtazsamma9096
    @mumtazsamma9096 3 года назад +13

    This speech❤️

  • @AliMohamed-gv7nw
    @AliMohamed-gv7nw 2 года назад +2

    Hv mpaka makamo warais anatangaza msiba wamagu ww hunahabari jamani

  • @edwinm.masong1729
    @edwinm.masong1729 3 года назад +1

    2021

  • @ksnjos001
    @ksnjos001 3 года назад +5

    Kama angekuwa hamtaki asingeweza kukaa uwaziri muda wa miaka kumi... wadangaji njaa wengi sana duniani Kweli mzee wangu JK