Man of the People Lt Col(rtd) Comrade Kikwete alitumia mbinu za kimkakati za Kijeshi kujiandaa kuwa Rais hii inaitwa "Long Term Information Before the War."
Asante Sana TBC hakika nimefarijika mno kuona namna wazee wetu walivyokua Wana Jenga hoja lakin nimefurahi kuona namna Mh wetu JK Alivyothubutu kugombea akiwa na umri mdogo Sana ,,,!!!!!! Vijana tuendeleee kupambanaa,,!!!!! Asante TBC ,,,,!!!!!!
Kwa kweli Mzee alikuwa na busara saana ingawa mimi binafsi si kumuelewa wakati ule , lakini kwa sasa nimabaini kuwa alifanya maamuzi ya kuiokoa nchi kweli. Chaguo lake kwa Mkapa lilikuwa sahihi.
Tanzania yetu ni nchi nzuri sana. Wapumzike kwa amani Julius Nyerere na Benjamin Mkapa. Mungu awape maisha marefu na yenye furaha viongozi wetu wastaafu mzee Ali Hassan Mwinyi na mzee Jakaya Mrisho Kikwete. Busara na hekima zao bado zinahitajika kuendeleza amani na umoja wa Watanzania. Kidumu chama cha mapinduzi
Hiyo ndio matunda ya mwalim nyerere kwabusara nahekima alifanikiwa kwajenga akina ally hassan mkapa na jakaya mrisho kikwete wamelelewa kwenye mikono salama ya baba wataifa leo hii tunaona viongoz wavyama wanakosa busara hekima hawana ni waongo wapo kimaslai yaho hawajal ata kama taifa litaingia kwenye mitego yawalafi na misukosuko wapo tayar ilimrad wahowafanikishe matakwa yaho wapi tunakwenda hakuna hajuae ni mwenyeez mungu tu ndie hajuae InshaAllah tuepushe na shari ambazo zitaligawa taifa letu Amin
Kumbukumbu nzuri Sana, maneno mazuri ya Jknyerere,JKikwete, R.I.P Jemedali Mkapa great president aliefungua pazia la kuwa president ndani ya vyama vingi....big up TBC this is fantastic memory
Asante sana TBC kwa post hii. Siasa za Tanzania zina mvuto wa aina yake katika bara la Afrika. Hii ni kwa ajili ya ustaarabu na usafi wake. Afrika in mengi ya kujifunza kutokana na siasa pia historia ya Tanzania.
Sijui Tanzania mlifanyia mungu nini kusudi awape viongozi wazuri hivi. Mimi si Mtanzania lakini nitawapa watoto wangu fursa ya kuwa watanzania kwa kuoa mtanzania eheheh
@@rashidseif6095 Kiongozi wetu wa kwanza alifanya juu chini akauwa wapinzani wake. Wanasiasa shupavu kama Tom Mboya (rafiki mkubwa wa Nyerere) na wengine walipigwa risasi na kuwawa sababu za ki siasa. Rais huyo pia alieneza ukabila na kuweka jamaa zake uongozini. Pesa nyingi ziliibuwa na hiyo iliendelea kufanyika ata kwenye atamu wa rais wa pili. Tanzania najuwa pia mko na changamoto zenu lakini ukabila na ufisadi pamoja na mapendeleo ya ki jamii haijawathiri sana kama sisi. Ata wakenya wengi wanaomba kupata rais kama magufuli au nyerere.
Nilichojifunza mimi hapo ni kuwa, uzee unakuja kwa kasi. Kikwete wa miaka 25 iliyopita ni kijana mdogo kabisa. Mcheki leo. Hivyo tunapaswa kutambua tu kuwa ujana ni maji ya moto.
Mzee Jk anabadilika ngozi na nywele tu kwa uzee ila kiungeaji, tabasamu, kicheko na body language viko vilelvile. Nimefurahi sana maana kipindi hicho bado nanyonya ziwa la mama
Respect kwa mzee Kikwete maneno aliyoyasema kwa situation ile ni watu wachache sana wanaoweza. Wengine wangeshahama chama lakini yeye alichagua hekima na kuheshimu wakubwa
Jk.ingekuwa wapinzani wa tanzania wana akili nzuri kama ya father jakaya. Wangesha itoa ccm madarakani.lakini kwa jinsi wapinzani walivyo sasa watasubiri sana.jk mfano bira sana Africa.asante
Kikwete alionesha furaha ya wazi kabisa na ni sawa Mungu alimlipa fadhila zake kwa kuwa rais aliyefuata. Siyo miaka ya hivi karibuni anayekosa nafasi hukasirika.
Hapa ndipo Watanzania wwngi hawakumuelewa Mwl Nyerere. Maneno ya Mwalimu aliyo yasema Watanzania ilitupasa tuyaaangalie hata baada ya Mkapa na sasa. Hatuja muelewa Mwalimu. Kuna mambo hatuyazingatiii kupitia maneno ya Mwalimu tuna ushabiki tu
TBC hoyeeee...mmetukumbusha kitu muhimu sana ya kwamba bila ya.CCM nchi hii vyama vingine bado saaana..viongozi.wanaotokana na CCM wanaongoza kwa ufahamu wao
Hekima za Kikwete ni kipaji na ni fundisho kwamba mvumilivu hula mbivu, na wakati wa Mungu ndo bora zaidi, muda wake ulifika akawa rais na akaongoza vizuri sana. Pia ukiona mtu anashindwa mchujo anahamia chama kingine basi hizo ni tamaa
Mgombea urais mshindi wapili ccm hakuamia chama kingine Bali aliongeza nguvu kwa mshindi wakwanza ccm hayati B.W.Mkapa,naona vijana mmejifunza kitu kizuri sana
Sijawahi kusisimuliwa na siasa za nchi hii kama mwaka huu.nilianza kumpenda rasmi mhe Kikwete maana aliweza kumfanya mzee nyerere asimame kutoka kitini kwake nakuanza kumpigia makofi.ilikua heshima kwake na heshima ya Taifa letu.Aliweka msingi mzuri wakupingana kimawazo na sio kupambana binafsi
Hekima sio mvi.... hata wapumbavu wanazeeka, mh. J.M.K alionesha ukomavu mkubwa hapo.. Asanteni sana TBC online.
Hongela sana TBC hiki ndicho nilitamani kukiona kama kijana waleo nimependa history hiyo
Kama Umekuja Kwa Ajili Ya Kikwete, Anaanzia 8:33
Shukran sana
umeokoa
@@jelasnkoma4240 😅😅
umetisha sanaaaaa
Kweli 8:33 nimesogeza Ila angevaa jez ya CCM angepita
Kikwete dah! Ulikua umekomaa kisiasa, had Mwl. Nyerere akasimama kukupigia makofi.👍👍
Kama umegundua wajumbe walianza zaman na si mwaka huu kama mm nipe like 🥰🥰🥰
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila watu jamani 😂😂😂😂😂😂
Aliye mwona ummy teacher!
This is some good content. tunaomba vitu kama hivi tuoneshe vizazi vyetu tuweze kutambua historia ya nchi yetu. Proudly Tanzanian
i admire you tanzanians.........................am kenyan
Kabisa kabisa, hara kama mtaiweka exclusive content tutafurai sana.
Kabisa
.i.loo
Nchi imetoka mbali...sana.
Hongereni Tbc kwa utunzaji wa makala nzur Kama hizi n msaada kwa vizaz vijavyo
Tumetoka mbali, tunakwenda mbali, mungu ni mwema sana ,
Mungu ibariki Tanzania
Wazeee wa zamani walikuwa na busara hebu msingie mwl nyerere na Al khasani Mwinyi🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😍
Hongereni TBC kutupatia historia sisi vizazi vichanga
Man of the People Lt Col(rtd) Comrade Kikwete alitumia mbinu za kimkakati za Kijeshi kujiandaa kuwa Rais hii inaitwa "Long Term Information Before the War."
Umeandika nilichokiwaza
Nyerere alifurahi sana kwa sababu kikwete aliongea kitu ambacho alitaka kusikia.
Shaaban Kisu maa shaa allah umejaaliwa Sauti adhym iliyonegesha makala hii ahsanteni....
Huyu jamaa amepewa sauti amazing na anaitendea kazi
Safi TBC.Vijana wa leo tumejifunza mambo kadhaa kutoka kwenye hii vidieo rekodi.asante
Asante Sana TBC hakika nimefarijika mno kuona namna wazee wetu walivyokua Wana Jenga hoja lakin nimefurahi kuona namna Mh wetu JK Alivyothubutu kugombea akiwa na umri mdogo Sana ,,,!!!!!! Vijana tuendeleee kupambanaa,,!!!!! Asante TBC ,,,,!!!!!!
Kwa kweli Mzee alikuwa na busara saana ingawa mimi binafsi si kumuelewa wakati ule , lakini kwa sasa nimabaini kuwa alifanya maamuzi ya kuiokoa nchi kweli. Chaguo lake kwa Mkapa lilikuwa sahihi.
Tanzania yetu ni nchi nzuri sana. Wapumzike kwa amani Julius Nyerere na Benjamin Mkapa. Mungu awape maisha marefu na yenye furaha viongozi wetu wastaafu mzee Ali Hassan Mwinyi na mzee Jakaya Mrisho Kikwete. Busara na hekima zao bado zinahitajika kuendeleza amani na umoja wa Watanzania. Kidumu chama cha mapinduzi
Dah we mzee ulijaliwa busara sana mungu akutunze mstaafu jk
Mh. Jakaya ni bonge la diplomatic leader
Hakika huyu ni jungu kuuu
Watu kama huyu baba ni wachache mno ktk nnchi zetu hasa linapokuja swala la Democrasia
Mpaka wazee wakasimama ama kwli busara za jakaya ni kubwa sana,,tump haki yake
Hiyo ndio matunda ya mwalim nyerere kwabusara nahekima alifanikiwa kwajenga akina ally hassan mkapa na jakaya mrisho kikwete wamelelewa kwenye mikono salama ya baba wataifa leo hii tunaona viongoz wavyama wanakosa busara hekima hawana ni waongo wapo kimaslai yaho hawajal ata kama taifa litaingia kwenye mitego yawalafi na misukosuko wapo tayar ilimrad wahowafanikishe matakwa yaho wapi tunakwenda hakuna hajuae ni mwenyeez mungu tu ndie hajuae InshaAllah tuepushe na shari ambazo zitaligawa taifa letu Amin
Kabisa jamaa ana busara sana sio wale jamaa wababe "nimesema,.kuanzia leo stak........"
TBC, mmefurahisha Moyo wangu,,, TBC inogile!!!
Kwakweli hasa
Kikwete alikua mdogo saana lakini akili yake ilikua komavu sana,hongera sana kikwete
Kikwete hakuwa mdogo alikuwa na miaka 50, mkapa 60, mwinyi 68 na mwalimu alikuwa na 70 ..
@@josephkisaro1377alikua na miaka 44!! Mdogo tu.
Baba Jakaya hakika hekima zako ni kubwa sana🙌🙌
Kumbukumbu nzuri Sana, maneno mazuri ya Jknyerere,JKikwete, R.I.P Jemedali Mkapa great president aliefungua pazia la kuwa president ndani ya vyama vingi....big up TBC this is fantastic memory
A man and half ..Jakaya 💪
Kumbu kumbu nzur sana ahsante TBC
Asante sana TBC kwa post hii. Siasa za Tanzania zina mvuto wa aina yake katika bara la Afrika. Hii ni kwa ajili ya ustaarabu na usafi wake. Afrika in mengi ya kujifunza kutokana na siasa pia historia ya Tanzania.
I always appreciate JK for the way he is.
Nan kaona watu walikua wengi na nguo za nyumban kuliko kijani ya leo 🥰🥰🥰
Kwekwekwekwekwekwe
Du! Kikwete noma alikuwa anataka ashike madaraka akiwa msela
JK n genius
JK yuko vizuri sanaa.
Kikwete amenifurahisha mnoooo
éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz... Siasa bado zilikuwa na mvuto ...siyo kwa sasa
JK ni mtu na nusu. One of the most legendary politicians in Africa. Kudos.
Sijui Tanzania mlifanyia mungu nini kusudi awape viongozi wazuri hivi. Mimi si Mtanzania lakini nitawapa watoto wangu fursa ya kuwa watanzania kwa kuoa mtanzania eheheh
@@rashidseif6095 Kiongozi wetu wa kwanza alifanya juu chini akauwa wapinzani wake. Wanasiasa shupavu kama Tom Mboya (rafiki mkubwa wa Nyerere) na wengine walipigwa risasi na kuwawa sababu za ki siasa. Rais huyo pia alieneza ukabila na kuweka jamaa zake uongozini. Pesa nyingi ziliibuwa na hiyo iliendelea kufanyika ata kwenye atamu wa rais wa pili. Tanzania najuwa pia mko na changamoto zenu lakini ukabila na ufisadi pamoja na mapendeleo ya ki jamii haijawathiri sana kama sisi. Ata wakenya wengi wanaomba kupata rais kama magufuli au nyerere.
Hongera sana J.M.kikwete
Hadi leo nawasikiliza Mungu ibariki Tanzania wabariki viongozi wetu.....Mungu walaze pema waasisi wetu walotanguliaa
Never forget you, president JAKAYA,masomo yako kila siku yanazidi kueleweka.ninaushauri mkubwa kwa ccm ipo siku nitautoa.
Hatari sana
@@mwegetejoseph4925
7
Ok.
Nilichojifunza mimi hapo ni kuwa, uzee unakuja kwa kasi. Kikwete wa miaka 25 iliyopita ni kijana mdogo kabisa. Mcheki leo. Hivyo tunapaswa kutambua tu kuwa ujana ni maji ya moto.
Hakika
Kipindi kizuri sana , hongereni TBC
Nami nimejifunza mengi leo
Nyerere alionaa kikwetee anakitu kikubwaa sanaaa
Kama ulikuwa hujui kama mimi kuwa Nyerere kashawahi kufika kariakoo achia like
ndo nasikia hapo kaliakoo
Hapo kikwete alikuwa mdogo xn asingeweza kupewa nchi
Kapewa na Utuuzima wake kipi alichokifanya aaaah Shit...
Tulio kuja huku baada ya kummiss magufuli tulike hapa
Hongera sana tbc kwa kumbukumbu hii kwa kizazi cha leo
TBC upo vizuri sana kwa kutunza kumbukumbu
Kwa mara ya kwanza namuona mwal. Nyerere
Mwenyez
Yaani moja ya stori niliyoipenda hii na mtangazaji wangu Wa muda wote sued mwinyi
Siyo swedi mwinyi wewe
Shaban kissu
Mwenyezi mbarik JK , amekomaa Kisiasa saana
Mzee Jk anabadilika ngozi na nywele tu kwa uzee ila kiungeaji, tabasamu, kicheko na body language viko vilelvile. Nimefurahi sana maana kipindi hicho bado nanyonya ziwa la mama
Safi na hongela shabani kisu nimependa maneno ya kikwete mwanasiasa mkongwe mkomavu mvumilivu
Wa magomeni mpoooooooooo! ...tupooooooooooooo!
Hilo vibe sio poa! ...siasa ni maisha!
Dah mheshimiwa mkapa alikua na bahat sana
kupigiwa kampeni na Nyerere ushindi lazima
😂😂😂😂😂😂😂
Ongera Sana tbc hakika nimejifunza kitu kikubwa sana
Jakaya Mrisho Kikwete. Nakukubali sana sanaaa.
Kongole sana Mzee Jk kwa busara zako nyingi
Aliweka akiba ya 2005,,,
Kizazi cha kina membe kinasepaga aisee
Jk ni noma sana alimfanya mwalimu anyanyuke ,halafu leo hii umfananisha na watu wasiojulikana
ASNT TBC. HIZI HISTORY ZINATUSAIDIA KUJUA TUMETOKA WP. TUKO WP. TUNAENDA WP. NA TUNAENDAJE ENDAJE. ASNT.
Ni kweli kbs
Kuna kitu nimejifunza kzr sana🙌🙌
Kikwete charismatic leader
Its like Hon. Benjamin Mkapa is still alive. May you continue resting in peace legendary
😊
Respect kwa mzee Kikwete maneno aliyoyasema kwa situation ile ni watu wachache sana wanaoweza.
Wengine wangeshahama chama lakini yeye alichagua hekima na kuheshimu wakubwa
Tanzania nnchi yangu nakupenda sana
Mwalimu alisimama kumpgia kikwete makofi kwakuwa lengo kuu lilishakamilika, hongera jakaya kwa uvumilivu wako hatimae nawew ukawa president
Concession speech of Dr. Kikwete was an indication of his maturity in politics.
Yeah so true
Exactly
Nakumbuka vizuri, Kikwete alibadili suti siku hio kama vile a naenda kuowa
Jk.ingekuwa wapinzani wa tanzania wana akili nzuri kama ya father jakaya. Wangesha itoa ccm madarakani.lakini kwa jinsi wapinzani walivyo sasa watasubiri sana.jk mfano bira sana Africa.asante
Kipnd kizur 💯Sijapoteza bando bure👊👊
Kikwete alionesha furaha ya wazi kabisa na ni sawa Mungu alimlipa fadhila zake kwa kuwa rais aliyefuata. Siyo miaka ya hivi karibuni anayekosa nafasi hukasirika.
Ni kweli wengi wanakuwa wamejawa na tamaa za harakaharaka kutaka kuongozà
Naona ndani ya chimwaga hall😁😁😁leo hi tunatumia kama darasa wa udom-chss wanaelewa
Kikwete akiongea uwa mda wote anacheka tyu hanaga noma uyo
Kikwete is very Intelligent, Kama mara kumi ya Magufuli hivi.
Ogopa sana watu wanaongea hvyo wanaakili nyingi mno i.e Nyerere
Ka kikwete kalikuwa kadooooooooogooo sanaaa ndo maaana WAJUMBE walimkata daaaaaa🤗😅
Kametoka Mbali aise kamepambana sana🥰🙏
Alipata baba wa taifa aliona tu muda wake bado aliongoza wakiwa wa 3 hayati kigoda na mkapa mkapa na yeye .
Mtangazaji ananikumbusha RTD RADIO TANZANIA DAR -ES- SALAAM
Wale wa 93. tujuane... Tuna miaka 2 apo.. maji pia hatuezi kuita Mma😂😂
20/10/1993
4/01/1993
Hapa ndipo Watanzania wwngi hawakumuelewa Mwl Nyerere. Maneno ya Mwalimu aliyo yasema Watanzania ilitupasa tuyaaangalie hata baada ya Mkapa na sasa.
Hatuja muelewa Mwalimu.
Kuna mambo hatuyazingatiii kupitia maneno ya Mwalimu tuna ushabiki tu
Hatari Sana
Mwisho nilifarijika na hotuba ya Kikwete na namna mwl.Nyerere alivyo pigia makofi hotuba ya Kikwete
Alafu mzee nyerere alipiga titedi Safi kabisa sijui ipo makumbusho pale
Kikwete has always had charisma
Kikwete was a useless leader
JK mungu aendelee kukulinda tuone BUSARA ZAKO
TBC hoyeeee...mmetukumbusha kitu muhimu sana ya kwamba bila ya.CCM nchi hii vyama vingine bado saaana..viongozi.wanaotokana na CCM wanaongoza kwa ufahamu wao
Daaaaaà aiseeeeee tumetoka very far sana ?what the history??waooooo I was small boy darasa la nne 4 duuuuuu
Hekima za Kikwete ni kipaji na ni fundisho kwamba mvumilivu hula mbivu, na wakati wa Mungu ndo bora zaidi, muda wake ulifika akawa rais na akaongoza vizuri sana. Pia ukiona mtu anashindwa mchujo anahamia chama kingine basi hizo ni tamaa
Mgombea urais mshindi wapili ccm hakuamia chama kingine Bali aliongeza nguvu kwa mshindi wakwanza ccm hayati B.W.Mkapa,naona vijana mmejifunza kitu kizuri sana
Msimuliaji Upo vzr
Kikwete tokea kijana kbs ika kikwete kwakwel Ni mtu Wa busara sana
R.I.P NYERERE R.I.P MKAPA R.I.P DR OMARY R.I.P DR JUHN POMBE MAGUFULI
Dah
1999....2020...2001....2021
Dah hayati baba wa taifa kasimama kwa hotuba ya mzee kikwete
Kikwete, the best
Kikwete mvumilivu Sana katoka mbali ni baba etu tu muombee adum
He was bright kikwete
JAKAYA BONGE LA KIONGOZI MANENO MAZURI SANA KAONGEA PIA NI KIONGOZI MWENYE SUBIRA
Sijawahi kusisimuliwa na siasa za nchi hii kama mwaka huu.nilianza kumpenda rasmi mhe Kikwete maana aliweza kumfanya mzee nyerere asimame kutoka kitini kwake nakuanza kumpigia makofi.ilikua heshima kwake na heshima ya Taifa letu.Aliweka msingi mzuri wakupingana kimawazo na sio kupambana binafsi
CCM ni kubwa sana.
Daa nilikuwa sjazaliwa kbc
Kumbe wajumbe walikuepo tangia apo
Zamani viongozi walikua wakismama kwenye jukwaa bila ya kizuizi cha jua ns mambo yalienda vizuri sana
Mzee kikwete ndio rais wangu bora ccm kuwahi kutokea
Kumbe jk kucheka hajaanza cku hz tangu zamani ni mcheshi
jakaya kikwete arikuwa anakubarika tokaezi hizo hadinyerere kafrai
kunautofauti kati ya hutba ya hayati William Mkapa na Mh. Kikwete