Kiukweli nliposikiliza huu wimbo nmeumia sana najikuta nalia tuu . sjui kwa nni ulikufa ukiwa bado unahitajika katika hili taifa na familia yako sam . pumzika kaka nami ntakuja
Allah Akurehemu bro! Akusamehe maovu yako na ayafanye mazuri yako kuwa kivuli chako cha kukuweka mbali na adhabu za kabri-Amiin.Inauma sana ila kazi ya Allah siku zote haina makosa.
R.I.P😭😭😭 my legend SAM WA UKWELI Kazi zako nitazipenda daima...Uwe na amani uko uliko ipo siku tutaonana maana sote wapitaji 🤔😭😭😭😭😭😭😭😭🔥🔥😭😭🔥😭🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😭😭😭
Your song sina raha once made me fail in love with my son's dad whom we loved each other so much he never got tired of playing your songs though we breaked up but I'm glad he left his duplicate for me but always on my mind and your song is the only thing I will keep on listing whenever I misses him......dear salum hammad wa ukweli rest In peace till we meet again I will always love you I'm very much hurt but kazi ya mungu haina makosa rest in peace Sam
Nime kuku mbuka sana brother samu 😢 ila tuta kutana kaka kifo ndo moja ya safari ya kila mwanadamu pumzika kaka samu 🙏 2020 Leo ujumbe uloacha kwa kwa voc song hii ume nigusa Sana 🙏🙏🙏🙏💖
Why him walai my ever favorite artist in TZ legend after ameamua kucom back with hit songs.. R. I. P Sam wa ukweli... Ata siamini bt God alikupenda sana r i p bro...
ALLAH AMSAMEHE AMHIFADH MKAMILIFU NI YEYE BINAADAM NIKIUMBE DHAIFU BASI MSAMEHE...SAME HII NYIMBO ALIFANYA KAZI KUBWA SANA...2023 Ukiisikiliza kama imetoka leo.allah AMSAMEHE mjawake,, Allah tusamehe wanadamu WOTE,,alie andaa hii instrument na producer mlifanya kazi team yote.mnajua.. mjitahid kufatilia HAKI ZAKE Ili ngugu wafaidi kazi za mtoto WAO
Daaah!!! Siamini kabisa yaani Sam umekwenda bado Tanzania tunaitaji nyimbo zenye ujumbe kutoka kwako sikuamini siku niliyotia udongo kwenye kabuli lako
Nyimbo naisikiliza kwa siku zaidi ya mara 4 ,,, namkubali sana Sam Ila Video sijaipenda sana ... Jitahidi ngoma mpya iwe noma zaidi na Kichupa kiwe noma zaidi
Pale mwanaume anapomwambia mwanamke maneno matamu huku akijua kua hata adamu alichemka kwa hawa pale Eden...Acha tufurahi.. best song...R.I.P wa ukweeel.
r i p brw nakumbuka mara ya mwisho tulichat ukaniambia utakuja kweny show ila skubahatika kuonana na ww ila daaaah saw brw ahadi zako nazkumbuka san mungu akusamehe uishi peponi milele
Awa ndo walikuwa wasanii wa ukweli kama bado unasikiliza 2024 goga like hapa R.n p sam
Siyo kina mondi?! 😂😂😂
Anae sikiriza hi Ngoma 2024 gonga like 😢😢
2024/3 Muda huu nipo naisikiza kwa ham zote ❤❤❤
Hi dear
2024
Tupo sana yaan ndio km imetoka leo😅
Tupo sana yaan ndio km imetoka leo😅
Nani anasikiliza 2024 gonga like
Tuko mwaka wa 2023 naniko hapa nikiskiza hii nyimbo tamuu .Rest In Peace Sam
ErstcccxCXXFXÇ
Same here
same here, kenya
Hata mimi
mmi pia bado narudia tu hii ngoma
ambaye bado anaisikiliza mpaka leo 2024 like zenu
Wale bado wanapenda huu wimbo gonga like hapa 2024 ❤
Jjjj
Atakayesikiliza 2050 Ataelewa Huyu Mwamba Alikuwa Ni Hakuna Mfano Na Bahati Mbaya Katuachia Pengo Lisilozibika Daima #RIP SAM WA UKWELI 🥺
Nani kasikiliza mwezi huu 4 mwaka 2024
Kwa hii 2024 wapi likes za kumkumbuka Sam Kweli
Nan anasikiliza nyimbo hii mwaka huu 2024
mm nasikiliza, na ninaupenda sana
Mimi
Tupo kibao
mimiiiii❤❤❤❤
Tupo apa
2024 and this song still gives me goosebumps, Rip Sam wa ukweli.
Nani yupo hapa 2024?🤭❤️
Am here too😢
❤❤❤
Nan anasikiliza 2023,kama yupo aje hapa🥰🥰😍😍😊😊😊😊
15/02/2023
🔥❤️
Nipo hap
Nijewapi mam Mimi nasikiliza hii nyimbo ya Sam wahkweri kisik come mam
Nani bado anaskiza hii wimbo 2020 RIP Sam
2023 still bado naupenda huu wimbo rest in peace brother
Kama umemkumbuka samu wa ukwel 2020 achia like r.i.p
R.i.p
Edwin Gwesso R I p
RIP bro
Kifo kibaya
R.I.p,bro Sam,
😢bro nilikupenda Mungu alikupenda zaidi pumzika kwa amani ukweli huu wimbo umenikumbusha
WALE WA 2023..GONGA FIVE CHAPU WANANGU😥😥..R.I.P🇹🇷🇹🇷🇹🇷📚🖊
Mimi hapa 2024,tujuane kwa like.
Kama bado unaipigaa hii ngoma huu mwaka 2023 reply my comment!!!say r i P Sam wa ukweli😢😢
Kila siku nasikiliza huu mziki lyrics zinaujumbe mzuri zinaeleweka, beat zuri alinigusa sana. RIP
Kama niliona basi nishasahau lakini naikumbuka samaki na wenye majungu hata kwetu wapo nayo nzur ilipendwa
Nakumbuka kipindi hicho inaimba Kuna Kuna msela tu njian I alivyoisikia inaimba akasema ni kweli kabisa hata kwetu wapo
Georgina Pembe Big up sana mdada,hata mimi naupenda sana
Hii nyimbo tamu sana. Ukisemea biti ndo kabisaaa tamu hadi raha
Sam waukweli R.i p
Kwa kweli nyimbo za zamani zilikua na mashahili mazuri sana, asannte sam pumzika kwa Amani 🙏
Alale Mahalia pema aki
Amina
Hii sio ya zamani sema nzuli ndugu yangu,ila Mungu anajua nilipi linafaa kwa wakati gani tunabaki na tulimpenda ila yeye ndiye kampenda zaidi
Kiukweli nliposikiliza huu wimbo nmeumia sana najikuta nalia tuu . sjui kwa nni ulikufa ukiwa bado unahitajika katika hili taifa na familia yako sam . pumzika kaka nami ntakuja
2024 nani mwengine anasikiliza tupia like hapo tujuane
🎉Mimi hapa date 6 2024😢❤
Na anaskiliza 2023 mwezi wa tusa gonga like
TUNAOJUA MUSIC, hili ni bonge la ngoma. vocal kali.
Kabisa
Kwahii ngoma atakama huelew utaelewa tu
Rip
Ni zaidi ya Kali..RIP Sam
R.IP
I always play this song when I'm with my lovely wife, nyimbo inatufanya tu feel tupo wenyewe duniani as a King&Queen
watching till 2019
Mung akueke sehm Ambyo inactahili n matend yk
Nice
😂😂😂😂🤣🤣❤
Huwa naumia San nikisikiliza huu wimbo
@@devotamasanga8937 😥😥😥😥😥🤝🤝
Allah Akurehemu bro! Akusamehe maovu yako na ayafanye mazuri yako kuwa kivuli chako cha kukuweka mbali na adhabu za kabri-Amiin.Inauma sana ila kazi ya Allah siku zote haina makosa.
Amiin
@@onesmoandrew1339 🤗🤗🤗
DAAH 12-10-2024
NIMELUDI HAPA KAMA UMELUDI GONGA LIKE
R.I.P SAM WA UKWELI
2024 mko wapi bado ngoma inaheat ...continue rest in peace star
Nasikiliza nikiwa omani
Ukiangalia hi mwaka 2020 achia leke bas
Tulikupenda ila mungu alikupenda Zaidi
Mwamba huyu punzika kwa amani
Rest easy bro Sam. Mwenyezi Mungu akurehemu In Shaa Allah
Team 2024 angusha like
Sam wa ukweli bado tunakutambua😢akujatokea mwingine kama wew bado❤
Ni mwishoni kabisa 2023 still hii nyimbo inanikumbusha mengi sanaa ,,,,, back in the days Rest Easy Wa Ukweli 🙏
Kama unamkumbuka sam wa ukweli gonga like!!!!!!
Kumbe alikua msanii mkubwa nyimbo one million . Kadhaaa 2juane hapa watakao endelea kuitaza ht 2020
*Kizuri hakidumu aisee*
*Ukisikiliza nyimbo za huyu MTU then uambiwe amekwisha kufariki inakuwa ngumu kuamini😢😢😭😭😭😭* Rest In Paradise SAM*
Daah bas mungu alimpenda zaidi
Huyu mwamba bana sema wa ukweli rip brother
Pumzika kwa amani Sam. Mziki mzuri kama huu tunaumiss kwenye gemu ya sahivi iliyojaa chuki
Huu wimbo nna historia nao. Km na ww ni Kama Mimi honga like
2023 tuko hapa i still love song za sam wa ukweli
Still remember you 2020...this song touch me a lot and memories...continue R.I.P SAM.
Jaman na mimi 2020 hii naiona kama imetoka jana yaan hakuna Expire date ngoma ya ukweli sana hii pumzika kwa Aman brother
sichoki kuisikiliza hii nyimbo
@@shanianamwasa7593 hbbbhbbhbbbbbhvvvvvvvvvvvv. V
@@shanianamwasa7593;;;
Sanaaaaaaaa daaah machozi huwa yanatokaga daah
Who is here 2021 for sam ..let's keep his songs alive forever😘😘
Huu Udongo hauna Huruma kabisaa very talented man has gone😭
2025 still hit 😊
Nani anakumbuka huyu star 2024 October...RIP Mr Sam....from #kenya
2021 Sam bado tunakuenzi au vipi wangwana?
Dah punzika kwa amani kaka tutakukumbuka daima I R P😭😭😭 nikisikiliza hii nyimbo nahisi kulia dah 💔
Duh rip bas tyu
Kama wamkumbuka Sam 2021 gonga like tujuane
Rest in peace sam
Rest in peace sam w ukwel
Sam waukweri
@@ashashamte9685 😥😥😥😥😥😥
Mercy chebe mambo vio
Rest In Peace mwanangu SAM. Hii ngoma kali.
Daaah wangap wanaickiliz hii ngoma 2023 alaf bado tam ❤
I loved this guy and his Music, R.I.P Sam , much Love from Niedersachsen Germany . Africa and the World has lost a Great Artist
Japokuwa ni 2023 bado naukubal huu wimbo it is very fantastic R.I.P Sam wa ukwel.
daaaah Mungu mkubwa Sam kweli umekufa daaah r. i. p broo
Who Is Whatching In 2020 🔥🔥🔥😥😩Mziki Mzur Unaishi R.I.P 🙏Kama Unamkubali Samu Waukweli Gonga Like Na Comment 🥰🥰🤗Nice Song🔥💌
R.I.P😭😭😭 my legend SAM WA UKWELI Kazi zako nitazipenda daima...Uwe na amani uko uliko ipo siku tutaonana maana sote wapitaji 🤔😭😭😭😭😭😭😭😭🔥🔥😭😭🔥😭🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😭😭😭
Your song sina raha once made me fail in love with my son's dad whom we loved each other so much he never got tired of playing your songs though we breaked up but I'm glad he left his duplicate for me but always on my mind and your song is the only thing I will keep on listing whenever I misses him......dear salum hammad wa ukweli rest In peace till we meet again I will always love you I'm very much hurt but kazi ya mungu haina makosa rest in peace Sam
Daima tutakukumbuka Sam Wa ukweli
2020 Jamaniiiii Like za Uzuni Apa😧😧😧😧
Atariii
Kama Bado 2024 uko apa keep those likes coming,Rest in peace Legend😭😭💔💔🕊️🕊️🕊️
Nakupenda sam wa ukweri mungu akupumzishe kwa amani akupunnguzie azabu ya kabuli
My favorite song ❤
RIP bro sam mungu azidi kuhilaza roho yako pema peponi 4 year now 🥺😭😭🥺 sisisote ndo njia yetu
You still in my Heart ♥️
Jmn hii song atar naskiza 2023 my favorite always
Nime kuku mbuka sana brother samu 😢 ila tuta kutana kaka kifo ndo moja ya safari ya kila mwanadamu pumzika kaka samu 🙏 2020 Leo ujumbe uloacha kwa kwa voc song hii ume nigusa Sana 🙏🙏🙏🙏💖
NilishawahiM kucoment kwnye nyimbo yako ya kwanza utakuwa msanii mkubwa ila mungu amekupenda zaid R. I .P
Nilimpenda na boda nampenda mpaka sasa. Kaka Sam umeenda wapi wewe? Bado siamini kama haupo... From Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 23/07/2024
Why him walai my ever favorite artist in TZ legend after ameamua kucom back with hit songs.. R. I. P Sam wa ukweli... Ata siamini bt God alikupenda sana r i p bro...
R.I.P legend of good musics, who is here 2023 nipe likes twende sawa
Why you Sam.....whenever I listen to this song can't believe you went....forever remembered .R.I.P
ALLAH AMSAMEHE AMHIFADH MKAMILIFU NI YEYE BINAADAM NIKIUMBE DHAIFU BASI MSAMEHE...SAME HII NYIMBO ALIFANYA KAZI KUBWA SANA...2023 Ukiisikiliza kama imetoka leo.allah AMSAMEHE mjawake,, Allah tusamehe wanadamu WOTE,,alie andaa hii instrument na producer mlifanya kazi team yote.mnajua.. mjitahid kufatilia HAKI ZAKE Ili ngugu wafaidi kazi za mtoto WAO
Ngoma kali sana aisee Tanzania 🇹🇿 .... imempoteza Msanii Mkubwa sana💔💔 ..... Rest In Peace Ma Brother Sam ....🕊️
Sam left a landmark 🇰🇪 🇰🇪
Much love 🇹🇿
Mwamba kaondoka na mziki wake
Dah huu wimbo unanikumbusha dem wangu alikuwa ananipenda sana nilikuwa nikimkosea ananiimbia 😢😢😭😭🙉
Gonga like 2020
😂😂ilishia wap
@@greysonjoseph1506
😂😂😂bado movie inaendelea
2023 still here ah! Hii nyimbo tamu bhana❤
Daaah!!! Siamini kabisa yaani Sam umekwenda bado Tanzania tunaitaji nyimbo zenye ujumbe kutoka kwako sikuamini siku niliyotia udongo kwenye kabuli lako
R I p Sam wa ukweli,kwakweli napenda nyimbo zako 2020 kama unaipenda nyimbo hii gonga like
Nyimbo naisikiliza kwa siku zaidi ya mara 4 ,,, namkubali sana Sam Ila Video sijaipenda sana ... Jitahidi ngoma mpya iwe noma zaidi na Kichupa kiwe noma zaidi
KING ROGERS TV mm ndio zaidi hata Mara 20 kwa siku
muhando
n
KING ROGERS TV sana
KING ROGERS TV nikweli
Show love to hit makers coz when they are no more there is no coming back. RIP Sam wa Ukweli
Who is watching in 2019 R I P sam
Andjelani Nyassa nipo mdau
Watching at Eldoret
Watching at Uganda
Such a talent mob love from Kenya 😘😘😘😘😘 RIP sam
Watching from Kenya may his body Rip
2024 still Bado napenda hii nyimbo R.I.P sam😢
Pale mwanaume anapomwambia mwanamke maneno matamu huku akijua kua hata adamu alichemka kwa hawa pale Eden...Acha tufurahi.. best song...R.I.P wa ukweeel.
Nani anaskiliza hii ngoma leo hii? One of my fav tracks..R.I.P brother
Leo nimekukumbuka Sana bro, may you continue resting in peace. Nitakuskiza Hadi kifo .
2023 hapa nani mwingine
mwaka 2024 namskiliza SAM , RIP BRO
Allah akurehemu, nyimbo zake zilikuwa nzuri, angekuwepo mpaka leo naona angekuwa juu zaidi
😭😭😭😭😭 you nakuelewa kinoma 24/09/2020 like kama na wew unalielewa ili songs
15-6-2020
Daimas J, Ukully
Kutoka DSM.
Naskiliza ngoma hii bado ipo Juu.
R.R.P
Samu😪hakika bado tunakukumbuka
2021
Imeweza sana hii ngoma,listening 2019..
R.I.P Sam
Yaani sijui nisemeje jamani jinsi ninavyoupenda huu wimbo.huwa nasikiliza kila siku iitwayo leo.mwenyezi mungu ampuguzie adhabu ya kaburini Aamina 🙏
😢
2023still on my veins u did it 🎉 keep have an eternity peace my crush ❤
Jamani hiki kifo kimepeleka wengi na kila mtu ana muda wake wa kukaa hapa duniani mungu ndiyo muweza wa yote
r i p big man we always loved you wherever u are...jamani wapi wapi likes za sam\
I love this song ❤️❤️❤️❤️❤️...forever will be in my heart....❤️🌹❤️ Rest In Peace
R.I.P sam wa ukweli , ur songs still rocks all the way . 2019 ending who is with me
Hii ni moja ya play listi zangu za muda wote RIP Sam nipo hapa 2020
Maua yake alitakiwa kupewa akiwa hai huo ni unafiki RIP 🙏 my brother 🙏 to God bethe Glory
May your soul continue to rest in peace Kaka we still remember you kwa vitendo vyako we still here 2022💯 Kisiki 💯💯💯
Even in the presence of Kiba and Platinumz, you are my preference Sam... All the way from western Kenya umekubalika jamaa.......
Binafs sam nilimpenda mpaka leo anaishi kwenye moyo wangu
r i p brw nakumbuka mara ya mwisho tulichat ukaniambia utakuja kweny show ila skubahatika kuonana na ww ila daaaah saw brw ahadi zako nazkumbuka san mungu akusamehe uishi peponi milele
Rip broo sam
Tarehe 6. 10. 2020 ngoma kali sana R.i.p Sam wa ukweli...
Mitihani
Rest in peace
If yo from Uganda thumbs up for Sam this song oh God endelea kupumzika kwa amani ndugu
Nikisikiliza hizi nyimbo zak daaah siamini kmaa kwel ndo ulishatutoka yaan Rest in paradise sam wa ukwel kwel vizuti havidumu 😢😢