Neyba - UJE (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025

Комментарии • 2,4 тыс.

  • @latiphibrahim
    @latiphibrahim 4 года назад +1068

    Nyimbo pekee iliyohit bila kiki wala nguvu ya media, yenyewe tu ilivyo tamu mtaani ikasumbua! Nan anakubaliana na mimi? Press 👍

  • @SofiaMwero
    @SofiaMwero Год назад +350

    Walio angalia hii nyimbo 2024 tukutane hapa 🎉

  • @danielmulatya729
    @danielmulatya729 Год назад +307

    kama umekuja skiza 2024 .. gonga like please

  • @MATEOJOSEPH-nc8gf
    @MATEOJOSEPH-nc8gf 9 месяцев назад +89

    Kama ukisikiliza huo wimbo wa Neyba Kila mda hauchoki tujuane Kwa Like

  • @papaamkinga_
    @papaamkinga_ Год назад +131

    Kama umesikiliza 2023. gonga like plz 👊👊👊

  • @movineogonda9725
    @movineogonda9725 3 года назад +146

    Aki hii nyimbo inanipa motisha Kama unaikubali mkono juu

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 4 года назад +244

    Kama Hautaisaliti hii ngoma mpaka 2035 twende sawa hapa

  • @yusukoyuzo-hf7cy
    @yusukoyuzo-hf7cy Год назад +229

    Gonga like Kam unasikiliz 2024😢😢😢

  • @Velmashanzchirchir1308
    @Velmashanzchirchir1308 11 месяцев назад +185

    Kama unaskiza hii 2024 pita na like ❤

  • @charlesnyamoko
    @charlesnyamoko 7 месяцев назад +121

    Kama umerudi kuiona tena 2024 gonga like tukienda

    • @HasnatMustafa-n1q
      @HasnatMustafa-n1q 4 месяца назад +1

      Nipo hapa inanikumbusha mbali sana allah akuweke mahali pema mama Angu mdogo alikua anaipenda sana😢😢😢

    • @SalimanuluAmlung-f9m
      @SalimanuluAmlung-f9m 4 месяца назад +1

      M​@@HasnatMustafa-n1q

    • @HalphaHamiss
      @HalphaHamiss Месяц назад

      Had mimi

  • @barackagerald9610
    @barackagerald9610 5 лет назад +90

    Mziki mtam kama huu utatoka wap tena wakat bongo fleva imevamiwa na season em gonga LIKE yenye afya kama waitazama kamoyo kanadunda 2020

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 11 месяцев назад +50

    2024 tulike hapa hiki chuma kilisumbua sana😂😂

  • @Sara-x1k5r
    @Sara-x1k5r 10 месяцев назад +7

    Hakuna kitu napenda kama huu wimbo❤❤

  • @jacklinekosgei4244
    @jacklinekosgei4244 3 года назад +48

    Yaani napenda kuskiza huu wimbo sana,nipe like km upo.

  • @isimaelkagogwe8132
    @isimaelkagogwe8132 4 года назад +37

    wangapi tunaikubali hii ngoma mpaka leo

  • @jokeableking7039
    @jokeableking7039 4 года назад +69

    Wangapi tunasema neyba atoe ingine kali kama hii????
    👇👇👇

  • @fadhiligeofrey9734
    @fadhiligeofrey9734 Год назад +60

    Mostly underrated talent ever in Tanzania 🇹🇿, the song has pure african vocals mixer Tanzanian vocals, apewe maua yake popote alipo 🎉

  • @catejaguar3246
    @catejaguar3246 Год назад +1

    ❤❤🎉wow uki view 2024 God bless yah

  • @buramaganga
    @buramaganga 8 месяцев назад +12

    Nyimboo kali saaana Wapi Neyba sema inanitia huruma mm mwenzio na huyo video vixen njoo rudi na mangoma Neyba wapi tena naulizaa.
    #Like back wana ndugu 2024_2100. Itakuwa bonge ya Old-school.
    #likeback

  • @marymalundu8688
    @marymalundu8688 11 месяцев назад +68

    Who's here in 2024❤❤hit likes tukiendelea

  • @samsonchibinga6380
    @samsonchibinga6380 8 лет назад +165

    Wimbo huu unanipa imani kuwa siku mmoja ni yangu big up sana my Arts from my Country Tz Moyo una vitu vingi sana na ni kweli hiyo

    • @nellymollel4672
      @nellymollel4672 7 лет назад +1

      Yeah this is unforgettable music my artist love this song every day im listening this sønq great jøb high quality much another song after #UJE

    • @leahmbiye8662
      @leahmbiye8662 5 лет назад

      Samson Chibinga mzur

    • @aziziaziziaziziazizi1671
      @aziziaziziaziziazizi1671 4 года назад

      Filme Indian

    • @AliAli-uv1xc
      @AliAli-uv1xc 3 года назад

      Yap he made it aki mpenzi ni zaidi ya kitu Kigali.........!

    • @shabansumaiya4770
      @shabansumaiya4770 Год назад

      👍sana tuu hasa kwawaliozalaulika namungum akawajalia

  • @reecemwongeli2698
    @reecemwongeli2698 5 лет назад +11

    Waaaaah hiii ngoma uliimba wallae naipenda siku haipiti Bila kusikiza

  • @FloraMnyua
    @FloraMnyua 11 месяцев назад +1

    ❤❤ Nyimbo haichuji♥️

  • @BarackAntoney-qx3rh
    @BarackAntoney-qx3rh 9 месяцев назад +2

    Wah Kali xana❤️

  • @mariampaul8441
    @mariampaul8441 8 лет назад +213

    huu wimbo naupenda balaa,alafu unapendwa hadi kijijini

  • @StephenKasolo
    @StephenKasolo 5 лет назад +152

    Guys let's support this boy

    • @benmaweu5600
      @benmaweu5600 4 года назад +3

      Sure,,,,

    • @MwasamaniGunda
      @MwasamaniGunda 4 года назад +2

      I am in, He is good. He touches all.

    • @balozimorwa2033
      @balozimorwa2033 4 года назад +4

      Powerful and comprehensive lyrics with thoughtful teachings on our gender/sexual relationship. He deserves an award from musical platform!

    • @emmanuelsilungu446
      @emmanuelsilungu446 3 года назад +1

      Hes very talented

    • @mcnyota
      @mcnyota 3 года назад +1

      Neyba is talented

  • @mgenirasimi7771
    @mgenirasimi7771 3 года назад +8

    Huyu ndugu alipotelea wapi? Wimbo mtamu sana huu na hauchuji, na sidhan kama alitumia nguvu kuutambulisha. Naomba like za kutosha kwa ajir yake asee

  • @sudirashidi8859
    @sudirashidi8859 2 года назад +1

    neyba bonge la jimbo linanipa fraa sana mashair saf vina ndo kabisa

  • @joycejuma3630
    @joycejuma3630 5 лет назад +7

    wimbo. huuuu naupeda jamaaaani kama na wew unaupenda like hapa

  • @KevinGates-f6m
    @KevinGates-f6m Год назад +4

    Wapi likes za 2024 na 2023❤❤❤

  • @graphixmaster6146
    @graphixmaster6146 3 года назад +5

    Kutoboa kwenye muziki ni bahati, imagine ngoma kali kama hii ilishindwa kubadilisha maisha ya Neyba🥴🤔

  • @BeatriceWambui-q1y
    @BeatriceWambui-q1y 8 месяцев назад +1

    Wow 2024🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AlvineM-mc3ml
    @AlvineM-mc3ml 10 месяцев назад +1

    This song used to be my fav back days till now i can listen to it more than two times❤❤

  • @macvan8856
    @macvan8856 2 года назад +27

    I like how this song is growing.....yesterday ilikuwa 4.9 m Leo iko 5m....neyba uliimba wimbo mzuri sana

  • @emanuelsamwel999
    @emanuelsamwel999 10 месяцев назад +3

    Nani anamjua huyu jamaa yuko wapi kwenye hii dunia jamani ❤😊😅

  • @bukeyenezaonesime2268
    @bukeyenezaonesime2268 Год назад +20

    This was my first day I feel the music in my entire life,
    I think Africa is the only blessed continent on this planet ❤
    Especially This flag 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
    This was more than latent.
    I think Diamond, harmonize and Rayvanny should get here and get lesson.

  • @MichaelRaphael-c2o
    @MichaelRaphael-c2o Месяц назад

    Nataman sana siku Moja afanye hata mahojiano nakituo chochote ya habali

  • @shabansumaiya4770
    @shabansumaiya4770 Год назад +1

    Siku moja waziri wasanaa namichezo angewakusanya wanamuziki wazaman nawasasahivi awapambanishe nyimbo zazamani nazasasa namkwanja uepo

    • @shabansumaiya4770
      @shabansumaiya4770 Год назад

      Wasasahivi maneno tuu sikiriza kitu kilivyotulia hiko hata mademu wazaman walikua wakali sio sasahivi wanajichubua

  • @jaeljeerop9755
    @jaeljeerop9755 7 лет назад +42

    This song needs more than 1000000000000 views for real.....hii song iko dope sana!!

  • @godblessjrtz.8652
    @godblessjrtz.8652 Год назад +11

    08.Feb.2023 still rocking.Hadi Wajukuu wangu watakuja kuisikiliza wimbo huu

  • @jessesurvivor5544
    @jessesurvivor5544 8 лет назад +93

    hongera sana mwana angu kuna cku nilisikia wimbo wako kwenye cmu ya mdogo wangu anaekaa morogoro kama miezi2 sasa imepita leo nimeona clouds tv wameplay video yako tayari goma imeshahit mwana angu big up sana

    • @alfoncenyambuya5328
      @alfoncenyambuya5328 7 лет назад +1

      Saf San kaka

    • @leothreelegendbird3391
      @leothreelegendbird3391 7 лет назад +2

      Sema huyu ni legendary kwenye game sema nyota tu ila ni noumaaa

    • @kelvinshirima6875
      @kelvinshirima6875 6 лет назад

      Jesse survivor
      mamb in mittooo

    • @saraabezamwale4343
      @saraabezamwale4343 6 лет назад

      AKWK JDJ ZKSKZKSMEMZ KAWK SS9RO OXFORD CODONAOWKKAEK PPPKEIKAKOADOODKKKAAKKWK OXFORDSIZIEIZIDIZK HASH NEJOQWOKAKWK OZOSKAWKKAEKAKAOEOAKEIZKEIZKKSZJEH DEJECTED KSEJLAWLKKAEISDI KZDAKE KZEK KAKEKAKEKMAWM OSCARQQK3I ISIEKOAIEOSIRIIDOAEI OXFORDSIZIEIZIDIZK IV THE KA2IKSKAKWKKSWKSKEKSKEKSEKA2KAKWKAKEKSKEKAKWKZKWK KSKEKMAEMSMMSEM KZDAKE R ARFAQWW AKWK AKWK AKWK AMWMMAJAWMZMSMAWMNAQMW, WMMZDMAMWJXMD,

    • @lesegokeakantse2614
      @lesegokeakantse2614 5 лет назад

      sara Abezamwale hi can u plz send me swahill music

  • @MustaphaHasani-u1v
    @MustaphaHasani-u1v 3 месяца назад +2

    Kwa wale ambao bado tunaendelea kuirudia Ngoma ya neyba 2025 zimwage like hapa

  • @peterngao3052
    @peterngao3052 8 месяцев назад +2

    I love always love this song,,,keep up 💯

  • @esieferdinandwks5405
    @esieferdinandwks5405 4 года назад +6

    Kazi safi Neyba...napenda hii kazi..tamu kweli..kuanzia Leo Mimi mfuasi wako..nimeipenda kazi yako ingine yaitwa -pole- habari imefika Br..kazi yako tamu sana

  • @blessedtwinsseke7161
    @blessedtwinsseke7161 7 лет назад +35

    Neyba wewe nibonge la msaniii yani nakukubali kinyamaaaaa kisu kikaliii uwiii am enjoyed ur song n.....

  • @fillemonndarwa3455
    @fillemonndarwa3455 4 месяца назад +1

    To be honest, i dont speak Swahili or whatever the language in the music video might be.. this song, through its audio-visual, showcased a strong message; especially to our 2000s born young African girls who are nowadays chasing wealthy over love.. it is good to struggle with your man, build life together, or support each other, and then afterward, y'all will have a happy life/ marriage.
    Filly from Namibia 🇳🇦

  • @morerahealthcarelab
    @morerahealthcarelab Год назад +1

    this song is dope....................................... cant leave my mind

  • @venancegaspar6793
    @venancegaspar6793 7 лет назад +93

    Fall in love with someone who wants you, who waits for you, who understands you. Someone who helps you, and guides you, someone who is your support, your hope. Fall in love with someone who talks with you after a fight. Fall in love with someone who misses you and wants to be with you. Do not fall in love only with a body or with a face; or with the idea of being in love

  • @arturmgatha7858
    @arturmgatha7858 8 лет назад +57

    Ningeambiwa nichangie gharama za huu wimbo ningechangia jinsi ninavyoupenda! Big up mwanangu!

  • @abbykinyua3047
    @abbykinyua3047 Год назад +4

    My favourite song ever❤❤❤ sitosheki kuuskiza huu wimbo

  • @josephkamage7169
    @josephkamage7169 8 месяцев назад +1

    Tupo wazeeeeee

  • @joharsalum4096
    @joharsalum4096 8 месяцев назад +1

    Kwn jamaaa Yuko wp kwa sasa

  • @jullyusyjulius2370
    @jullyusyjulius2370 5 лет назад +8

    Waliorudia kuiangalia mara mbili sabab yahuyo dancers wakike aliyevaa kitop cheus kama mim hapa heb achia like yako hapa

    • @zakatadam366
      @zakatadam366 3 года назад

      Wasanii wazmn hqwaimb atusi na ninzur but now matusiii 😏

  • @wagerageorge7973
    @wagerageorge7973 Год назад +29

    Thought I'm not fluent in kiswahili, but this song still sounds into my ears... much love ❤️EA

  • @Lombo-t4s
    @Lombo-t4s 2 года назад +4

    Yaan mnapendana mnagrow from down to earth mkipandia juu juu🌹💞💞,,,, love the song imehit baiya,,,

  • @Rovex.
    @Rovex. 2 года назад +2

    alipiga shughuli moja safi sana... love this song #from kenya

  • @RoseLucas-mp9cg
    @RoseLucas-mp9cg Год назад +1

    Naikubslu Saba Ina nikumbusha mbali sana

  • @UzimaAgribusiness
    @UzimaAgribusiness Месяц назад +3

    Tulioisikiliza 2025 tujuane hapa❤

  • @sarahmokamba8374
    @sarahmokamba8374 9 лет назад +57

    Nyimbo hii imenipendeza sana hata kupitisha kiwango... Endelea Kazi Nzuri vile vile

  • @chamtvonline9058
    @chamtvonline9058 4 года назад +12

    Wangapi tume mu miss jama yetu tu juwane basi like chini apo 🤟🤟👇👇👇👇

  • @sylvestermasia
    @sylvestermasia 3 месяца назад

    Ndio ringtone mpaka leo

  • @LinuslusianLinuslusian
    @LinuslusianLinuslusian 8 месяцев назад +1

    Nawakumbusha wadau kabla yao

  • @rebeccahkathoka9966
    @rebeccahkathoka9966 6 лет назад +38

    Wah! Can't have enough of this song. Tanzanian singers you are taking it. Am a Kenyan but I can't have enough of this song.

  • @Jacksongo255
    @Jacksongo255 9 месяцев назад +9

    Wanao sema hii song urudiwe wagonge like

  • @CalebChauro
    @CalebChauro 8 лет назад +11

    Wimbo mtamu na ushauri nasaha. Video safi,kazi nzuri,sauti tamu...

  • @salomecomedyofficial
    @salomecomedyofficial 2 года назад +1

    Neiba kwani kaacha kuimba?,, Jamaa ako 100%mbunifu

  • @MichaelRaphael-c2o
    @MichaelRaphael-c2o Месяц назад

    Naomba mwenye kujua Neyba kwasasa yukowap na anajishughulusha nanini anijulishe tafadhar mala ya mwisho niliskiaga ana mashamba ya mpunga morogoro

  • @Kigomatz
    @Kigomatz 5 лет назад +392

    2020 NOW BADO NACHEKI wangapi tunaikubali gonga like tujuane

  • @balinhojuniour1825
    @balinhojuniour1825 8 лет назад +48

    nakuona mbali sana mwanangu...unajua sana neyba...kuna ngoma inaitwa musiki na maisha ulishirikishwa na lonka....nikakubali kama unajua

  • @sakinasilvestar5221
    @sakinasilvestar5221 4 года назад +35

    Kama tupo pamoja tunao ukubali huu wimbo 2020 twende sawa

    • @uhuhuh6372
      @uhuhuh6372 3 года назад

      Vkvbkbvhx

    • @uhuhuh6372
      @uhuhuh6372 3 года назад

      Fbxjs l

    • @samueljames2009
      @samueljames2009 3 года назад

      Daaaaaaaaaaaaaa kwanza huyu jamaaaaa anajua sana lakini mbona kapotea ghafula tuu

  • @Michambonline
    @Michambonline Месяц назад +1

    2024❤❤❤ Nahitaji wakunikuna,Nina nyegeeh nyingi nahitaji wakunikuna wapenzi wangu ❤❤❤

  • @DennismutuaMichael-cn9bd
    @DennismutuaMichael-cn9bd 5 месяцев назад +1

    Still the song if fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 we keep enjoying the good music 🎶🎶❤️

  • @geyanapepeg3946
    @geyanapepeg3946 8 лет назад +33

    Boi Neyba askwambie mtu kitu bob we ni talented sn boy so kaza uskate tamaa naamin utapita njia za De king Alikiba...mfano nlikuwa eneo fulan Ifakara-Morogoro yan kule hii ngoma ni smash hit kila kona in short kule unakubalika sn so one day yes.....media zitaachia tu.

  • @Storymtaani1
    @Storymtaani1 2 года назад +11

    All the way from samburu land.....I love this congratulations brother ❤

  • @josphatmwenda1095
    @josphatmwenda1095 3 года назад +165

    We are in 2022 and this song cools me emotionally.

  • @PeninahMwende-dx5vn
    @PeninahMwende-dx5vn Месяц назад +1

    2024❤❤and I will keep coming back
    This is a super hit 🔥

  • @EdiadraNangolo
    @EdiadraNangolo 9 месяцев назад +1

    The way I've been looking for this song after hearing it last year in a cab and I did not even know it's tittle then😭😭😭😭.

  • @allsopsniccur7850
    @allsopsniccur7850 3 года назад +28

    I've Been looking for this song for 4yrs now since I didn't know the title...😂😂finally Leo nimeupata😍😍😍best song ever in my life 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍

  • @albertombati3245
    @albertombati3245 Год назад +6

    One of the most loveliest song of all time. Big up to the artist and the producers.

  • @bettykiilu2638
    @bettykiilu2638 2 года назад +7

    Sweetest song have heard today😍😍🤗👏👏👏good job Neyba🤩👏👏

  • @TheOasis.the.Threes
    @TheOasis.the.Threes Год назад +1

    Mm naikubal sana hii nyimbo jaman

  • @albadaumumbiri8151
    @albadaumumbiri8151 9 месяцев назад +2

    Neyba fundi sana tatizo nyota Tu

  • @narmyheart2021
    @narmyheart2021 4 года назад +16

    Again I am watching this 2020 wadau mnaocheki this year gonga like tujuane tunaojua ngoma kali.

  • @barakasarungi4021
    @barakasarungi4021 4 года назад +15

    Mpaka leo 20.12.2020 bado naisikiliza ngoma hii . Like twende zetu

  • @brightoneotienoodawo8708
    @brightoneotienoodawo8708 3 года назад +11

    Oooooh my!
    my best ever....i salute you papaaa
    Listening to it more than ten times a day and don't get bored

  • @andreaswai7586
    @andreaswai7586 9 месяцев назад +1

    Good job young brother keep it up..

  • @ChebetFaith-h9c
    @ChebetFaith-h9c 2 дня назад +2

    Anyone in 2025

  • @Nel-the-Notorius
    @Nel-the-Notorius Год назад +7

    Among the songs that were not pushed by the media but it still found its way to trend. Which makes believe the Swahili saying"Kizuri chajiuza....

  • @emmanuelmbaru5224
    @emmanuelmbaru5224 6 лет назад +34

    I really love the song!! The five dancers (especially the girl at centre back) are awesome!! I really love her moves and athleticism. I can't stop watching her every time I replay the song. Congrats to the rest of the girls too.

  • @sharonmuyoka7904
    @sharonmuyoka7904 7 месяцев назад +3

    Unajua kwa nini niko hapa 2024😂😂❤❤❤juu this time ukinihurt tunamalizana

  • @robertmulei2585
    @robertmulei2585 2 года назад +2

    Naomba hatuchezee hii goma tena with another lyric video...

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 10 месяцев назад +1

    Wakati wa Mungu ni muhimu sana hii ndiyo moja kati ya nyimbo kubwa mtaani kuwahi kutokea kuliko msanii mwenyewe. #AbbyDady #Neyba

  • @abdulvinthemogo4036
    @abdulvinthemogo4036 2 года назад +31

    To All non Swahili Speakers: He simply telling his girlfriend to not break his heart as he’ll resent her or do something worse...Love is Like a Sharp Knife and urge her to love him even though he has no car...Please Come(Uje)..Hearts desires soo many..it doesn’t get satisfied...Protect His Love/Love😁😁😁

  • @zaidaflorian9016
    @zaidaflorian9016 2 года назад +18

    I love this music. I was looking for information about Neyba a town in The south if Dominican Republic and I found this music. This sound is contagious.

    • @ubuntubantu2404
      @ubuntubantu2404 2 года назад +2

      Woow what a happy accident..the song is in Swahili a language spoken in East Africa especially Tanzania just in case if you are not from here. The song general msg is he is trying to remind his lover to be faithful and tender with their budding love as the pain that comes from broken hearts surpasses that of a stab of a very sharp knife

    • @zaidaflorian9016
      @zaidaflorian9016 2 года назад +3

      @@ubuntubantu2404 Thank you very much for explaining the lyrics in this amazing song. Beautiful ❤️

    • @rencyjepchumba8028
      @rencyjepchumba8028 2 года назад +1

      Really this song when I heard it tells mi more

  • @canny255
    @canny255 4 года назад +42

    These kind of songs do really make me feel proud of my beautiful country Tanzania 🇹🇿 big up Neyba for such a nice song!! Ladha maridhawa ya muziki wa bongo!! 💜

  • @sadikchanzi6306
    @sadikchanzi6306 5 месяцев назад

    Bonge la ngoma😊

  • @RachelJackison
    @RachelJackison Год назад

    Kama Una mkubali huyu jamaa gonga👍 like kwanza❤❤

  • @AwesoGomangilo
    @AwesoGomangilo Год назад +5

    kama umeangalia 2024 gonga like

  • @kingfocustzog
    @kingfocustzog 5 лет назад +61

    _tupia like kwanza ndio tuwende sawa kama bado unasikiliza 2020 kama mm hapa_

  • @jenarmb4999
    @jenarmb4999 2 года назад +3

    Best among the best 🔥🔥love you Neyba 🤓😍😍