Mimi ninaamini kuna Mungu aliye hai,ukikaa ndani yake,nayeye atakaa ndani yako, yeye ni mfinyanzi atakutengeneza upya,Hongera sana Mama Rose,nakuombea maisha marefu Duniani ili utimize kuzudi la Mungu,AMINA
Rose Muhando, NAKUPENDA SANA, muimbaji wa injili mwenzio aliwahi kuimba “DHAHABU IKIPITA KWENYE MOTO UJUE ITANG’ARA TU, na jiwe likipita kwenye moto ujue litapasuka tu, ROSE, wewe ni dhahabu, unatumika kwenye jeshi la BWANA kwa uaminifu na utazidi kung’ara! Ole wao waliohusika kukushusha, OLE WAO!
Hayo yote Dada Rose Muhando ni kwa sababu MUNGU ni uzima wako.tembelea RUclips Channel yangu . Jina Yusuph Otieno Wimbo : MUNGU ni uzima wangu utabarikiwa.
Mama unakitu kikubwa sana, unajua kuongea kiswahili fasaha, unajua kizungu lazima uwe wa level ya KIMATAIFA... Sasa hivi badilisha tu style ya uimbaji kulingana na majira ya sasa
Swali langu ni je anafafanya na Nathan mbado amrudishe nyuma vile alimfanyia? Naomba tu aimbe nyimbo zake akijisimamia kila kitu asikumbali contract tena na Mungu atamsaindia
sasa hizo Show unazosema hivi ni za kumsifu Mungu? au ni kwa ajili ya kutengeneza Pesa Tu.Hivi kweli waimbaji wa nyimbo za Mungu wanaweza wakasema eti nina show nyingi? Jifikiri Zaidi kabla ya kuongea.Naamini kwenye hizo show kunakuwa na vilevi , ambavyo wateja hununua ii kijiburudisha kwenye hiyo show , Hivi kweli hapo kuna Mungu kweli?. Unajidanganya, na pia unadanganya wale wasio ona mbali.
Mimi ninaamini kuna Mungu aliye hai,ukikaa ndani yake,nayeye atakaa ndani yako, yeye ni mfinyanzi atakutengeneza upya,Hongera sana Mama Rose,nakuombea maisha marefu Duniani ili utimize kuzudi la Mungu,AMINA
Rose ni Chombo cha kazi ya Mungu.
Hakika nakubali bro
Shomboshakazi
Mwenye mziki wake wa Injili amerudi Mungu mwema tunakupenda sana dada Rose 🙏🏻
Umeonae
Kweli mwenye muziki Wa injili karudi!
Millard Ayo asanteni Sana kuleta mama Rose promote huyu mama arudi Tena zaidi kama kitambo Mungu mwema siku zote welcome back Dada rose
Nimefurahi
Dada Rose God is using you. You have touched many broken hearts and families. God bless you and your family.
For real mungu alijibu maombi yetu tuliomuombea ...mungu azidi kukuinua kabisa kabisa
Hongera Dada Rose, Mungu amekufuta machozi
Nakupenda Sana Rose...Mungu Akubariki 😘
Rose Muhando, NAKUPENDA SANA, muimbaji wa injili mwenzio aliwahi kuimba “DHAHABU IKIPITA KWENYE MOTO UJUE ITANG’ARA TU, na jiwe likipita kwenye moto ujue litapasuka tu, ROSE, wewe ni dhahabu, unatumika kwenye jeshi la BWANA kwa uaminifu na utazidi kung’ara! Ole wao waliohusika kukushusha, OLE WAO!
Be blessed mama ur songs is inspiring more.
Hongera sana mama TRM twakupenda sana ❤❤❤❤❤❤❤
Mungu akutangulie mama napenda Sana nyimbo zako huwa nafarijika Sana ninaposikiliza.
Mimi Ni muislamu Ila Nampenda saan rozi muhando
Mwana hamis Mungu akubariki sana kwaupendo ulionao kwa mtumishi wa Mungu rose 🙏❤
Waooh
Na mimi piya Muslim ila nampenda sana
Hata Rose alikuwa mwislam
Martha Sumaye ndio alikua muislamu aka convert,, she is now a full time Christian
Mungu aendelee kukulinda Legend wetu
Mungu akubariki sana Dada Rose
Wakenya wapi likes za Rose muhando
MUNGU akutunze Dada Nakupenda sana
Am from kenya tunampenda huyu dada sanaa
Hayo yote Dada Rose Muhando ni kwa sababu MUNGU ni uzima wako.tembelea RUclips Channel yangu . Jina Yusuph Otieno
Wimbo : MUNGU ni uzima wangu utabarikiwa.
Congratulation Rose your always the best.God be with you
Mungu apewe sifa tena ku muponya my sister rose muhando
Hongera Sana dada Rose Mhando
Halafu msisahau kutangaza kwanza kwamba amani ni tele Burundi
Malkia wa mziki wa gospel ongera kipenzi ca watu ubarikiwe sana
Nampenda sana rozi muhando...nyimbo zake zanibariki mno
Congratulations sister rose
Tumtegemee Mungu,
Mungu atakupa majibu yote na utajua njia zote utakazopitia.
Rose nyimbo zako unibariki sana naomba Mungu akushikiliea sana wale wanakuuwa watakufa wenyewe
Mungu akupe nguvu za uvumilivu dadaa Kwa njiaa unazo pitiaa
Yes it's truths My God Bless you
3:20 POINTI SAAANAAAAAAAAA MUNGU AKUSIMAMIEE
Rose rose rose rose rose rose u r bless may th Lord Jesus Christ cover u with his blood
Nafurahi umerudi. Missed you sana. Mungu akupe afya ili uzidi kumtangaza kwa kinywa chako kupitia nyimbo
Marikia wa nguvu rose mhando ridhiki ni kama mwanga kwenye giza lazma utaonekana😘😘
Amen My God bless you
Nakupenda sanaaa my rose
i feel proud ninapokusikia rose mhando
I love you my mom Mungu akuzidishie nguvu uendelee kuinjilisha injili ya Bwana
Dada rose kweli mungu akupenda , mungu ni mwema kwetu
Love the swahili...purest of all
Nasubr hii album nakupenda sana
Mama unakitu kikubwa sana, unajua kuongea kiswahili fasaha, unajua kizungu lazima uwe wa level ya KIMATAIFA... Sasa hivi badilisha tu style ya uimbaji kulingana na majira ya sasa
Hongera Rose... MUNGU azidi kukusimamia.
Hongera sana Yesu akuinue zaidi
Dada rose mhando Ni shida. Dada tunakukubali sana
Mungu mwema dada rose
Mama na mtumishi wa mungu twakukubali na twakupenda sana sana
Kubali yesu kwA mpigo mum you are more than a conquer
Shetani huwaaminisha watu uongo kabisa.Ubarikiwe sana 💖💓❤️
LA Queen
Dada Nakupenda sana Mungu awe nawe Daima Siku Moja tutaonana.
Kweli Mungu ni mwema sana kwako Da Rose
Mungu ni mungu tu hakuna kama yeye na ametenda makubwa
Hongera sana dada rose nakukubali sana mdada
Amen 🙏🙏🙏 mama songa mbele
I love you BIG sister Rose
Ubarikiwe mama,nakupenda mno❤️❤️
Nakupenda sana my love nakukubali sana
Namesake Mungu akuzidishie na akuongoze hongera
uyu mtangazaji amepaka lipstick au
Wewe ulizaliwa kuwa ushuuda wawatu usichoke kumtumikiya mungu nakupend sn mungu akutanguliye sn
Rose kanenepa sanaaa,kwa Waafrika eti unene ni ishara ya kuwa na pesa.
Mungu yu pamoja nawe Rose mhundo
Jamani rose muhando km ebitoke wanja wake, utabakia kuwa juu mpk unaondoka duniani
Shetani ni muongo tangu mwanzo wa duniaaaaaaa
Hahahaaa shetani nimuongo sana hakika sana
Hongeraaaa!!!
God bless you mamy sauti yako sasa😘
Karibu Burundi Rose
Kapendeza kanenepa
Mungu akueke Sana mamaa
Rose muhando tunakupenda sana
Nakupenda Sana rose natamani nikuoe
Huyu Mama Mungu Amutunze Na Mpenda Sana
Hongera
Mutumishi wamungu Rose usuhuda wako unanitia nguvu kwa mapido yangu
Umenenepa masha allah
Amina sana
Hakika Mungu akiamua kukuheshimisha hakuna wakupinga🙏
Nakupenda sana dada Rozi
God bless you mama †
Nakumbuka wakati unatoa nibebe nilikuwa napata komunio ya kwanza nilibebwa mgongoni 🤣🤣🤣
Hahahaa
Hivi waimbaji mna shida gani??. Najiuliza ni Mungu gani ambaye anakupa neema unayezini na menager wako. Acheni mzaha na Mungu.
Hongera sana
Hongera sana mama rozi Mungu azidi kukubariki
🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤❤❤
Hiyo Neema ya mungu
Hongera rose lkn najua pastor nganga Ata jisifu ati alikuombea adi ukapata kikombe najua nganga
Heshima YAKO iko pale pale!
Swali langu ni je anafafanya na Nathan mbado amrudishe nyuma vile alimfanyia? Naomba tu aimbe nyimbo zake akijisimamia kila kitu asikumbali contract tena na Mungu atamsaindia
MUNGU HATAACHA KUFANYA KAZI YAKE KWETU
Pesaaa hizo
🙏🙏🙏🙏
Nambona tuzo yakaa kama nyoka??vile imejicoil na juu mwisho wake wakaa kichwa ya nyoka na pembe,kama vile nyoka inapanua mdomo
sasa hizo Show unazosema hivi ni za kumsifu Mungu? au ni kwa ajili ya kutengeneza Pesa Tu.Hivi kweli waimbaji wa nyimbo za Mungu wanaweza wakasema eti nina show nyingi? Jifikiri Zaidi kabla ya kuongea.Naamini kwenye hizo show kunakuwa na vilevi , ambavyo wateja hununua ii kijiburudisha kwenye hiyo show , Hivi kweli hapo kuna Mungu kweli?. Unajidanganya, na pia unadanganya wale wasio ona mbali.
Change the cover photos u have chosen, it's not impressing viewers ndio maana likes chache na viewers chache too
😘😘
Hakika Mungu yu mwema
Nice
Kwel mam
Miamba imepasuka kabisa
Nakpend sna da roz