Mungu ndio kila kitu ndugu yangu lulu hujakosea🙏Salim kikeke hongera sana kaka unaipenda sana kazi yako allah akutangulie ktk maisha yako yote na akujaalie mwisho mwema inshaallah 😘🙏
Hongera sana Lulu, Kwa Sala ,Sala,Maombi hayaendi bure pia ni Akiba,Hakika Ukimlilia Mungu anajibu🙏🏿Hongera kwa Hekima uliyonayo pia Hongera kwa Kumtegemea na Kumuweka Mungu wa Kwanza,Wewe ni Mshindi.
MSANII NAMBA ONE ANAEJUA KUJIELEZEA❤❤NAMPENDA AKICHEKA LULU😂😂😂MAJIZO KAPATA MKE.HESHIMU NDOA YKO ,LEA WANAO FANYA KAZI.KUDANGA KUMEPITWA NA WAKATI.hii style kila week song za dini na dunia ni mie dadaako nko ivo kwa my car😂😂😂😂enjoy eliza wangu.ila sku nyingi suka rasta au weka wigi lisiloonekana ka wigi luv uuuuuuuuuuu
Mungu lazima akusaidie maana unajua kumtangaza ambacho ni kitu kizuri sana. Wengi sana walilia na ww hasa ile kesi mimi mwenyew nilikaa nikalia sana huku nasali 😢. Namuomba Mungu anipe hekima na ujasiri Kama wako. Nasubiria kipindi cha oprah. Lastly kikeke uko vizur sana
Tumpe lulu maua yake lakini tuwape watangazaji hawa wa crown media maua mengi tafadhali....hawa sasa ndo watangazaji yaaani studio imetulia maswali yanaulizwa wa kujibu anapata muda wa kujibu kwa ufasaha na muda mrefu. Sio wale wengine keleeeeeeeeeleeee😂😂
Lulu ana akili sana na anajua kujibu ukilinganisha umri wake na majibu anayo jibu anaonekana amekomaa na naamini akina monalisa wamemkomaza na ametulia.pia hongera sana sana unajua kuhoji wewe ni mwanahabari wa international.
Lulu wewe ni mwimbaji maarufu kuliko hata tamthilia Imba Gospel utafika mbali zaidi pamoja na kwamba upo mbali. Ndiyo maneno yangu kila siku nasemaga LULU NI MWIMBAJI hata kama sikukufikia Ni mwimbaji maarufu imba imba imba kabisa.
Huyu dada anajua sana kujieleza...mpaka raha kumsikiliza ety❤
Sana 🎉
True akili ya kichaga na Kihaya hatari fire.
Très intelligente 🎉❤
Sanaaa
This young lady is very good in interview!anajua sana kujieleza!Namfuatiliaga sana interview zake!anaeza sana sana kujieleza
sababu nahisi a fake maisha anaongea uhalisia wake
Hicho kingeraza mbona hazieleweki?😂😂😂
Mungu ndio kila kitu ndugu yangu lulu hujakosea🙏Salim kikeke hongera sana kaka unaipenda sana kazi yako allah akutangulie ktk maisha yako yote na akujaalie mwisho mwema inshaallah 😘🙏
Mwanangu Mungu akunyanyue mwanangu ulitaka kupoteza ukarudi kwa kasi kuliko waliokucheka big up mamy I pay for u 2
Hongera sana Lulu, Kwa Sala ,Sala,Maombi hayaendi bure pia ni Akiba,Hakika Ukimlilia Mungu anajibu🙏🏿Hongera kwa Hekima uliyonayo pia Hongera kwa Kumtegemea na Kumuweka Mungu wa Kwanza,Wewe ni Mshindi.
MSANII NAMBA ONE ANAEJUA KUJIELEZEA❤❤NAMPENDA AKICHEKA LULU😂😂😂MAJIZO KAPATA MKE.HESHIMU NDOA YKO ,LEA WANAO FANYA KAZI.KUDANGA KUMEPITWA NA WAKATI.hii style kila week song za dini na dunia ni mie dadaako nko ivo kwa my car😂😂😂😂enjoy eliza wangu.ila sku nyingi suka rasta au weka wigi lisiloonekana ka wigi luv uuuuuuuuuuu
afu kuna huyu dada mtangazaji, mkimya, maswali mazuri, sauti nzuri yeye mwenyewe mzuri to cut a long story short ni mtangazaji mzuri.
Dada napendaga Interviews zake
Amenenepa amependeza sana
Umebalikiwa sana na Mungu,Nimejifunza mengi.
Ila kikeke wewe ni mwandishi international hongera sana sana sana upo vizuri kwenye kuhoji unahoji kama upo BBC vile no kiswanglishi kaka yangu.
Yaaani hadi rahaa napenda saaana mtu anaeongea kiswahili kuliko kumtukuza mzungu
She's too smart , yani too much smartness
AKILI KUBWAA ndani ya BONGO MOVIE❤❤❤❤ LULU
Kikeke anajua san huwez amin amekaa nje zaid ya miak 20 lakn hachanganyi lugha na ana huo uwez aisee hongera kwake anajua san
Umeonae 👏👏👏
Kwa sababu alikuwa anatumia lugha moja kwenye kufanya kazi yake
But wabongo hapahapa wanachanganya lugha 😂 sijui wapoje
Kabisa
Maahallah maahallah mashallah mtoto kaajaaliwa amebarikiwa sana mungu aendelee kukusimamia tupe mama madini
Yaan hachoshi kumsikiliza maan anaongea Good points 👏 big up kipenz Mungu Azidi kukupa maisha marefu tuzidi kupata Nondooo ❤❤
She is my best actress of all time in Tanzania
Lulu Lulu Lulu nakuita ..you are just the best ..n this is point of my view..just Go ..May God Bless you.
Umeweza kubeba mambo makubwa kwa umri mdogo
Mungu akuinue ❤Nakupenda
Tunakuelewa Sana Madame Lulu National
Mungu lazima akusaidie maana unajua kumtangaza ambacho ni kitu kizuri sana. Wengi sana walilia na ww hasa ile kesi mimi mwenyew nilikaa nikalia sana huku nasali 😢. Namuomba Mungu anipe hekima na ujasiri Kama wako. Nasubiria kipindi cha oprah. Lastly kikeke uko vizur sana
YOU ARE CHOOSEN ONE
BIG UP MY SISTRE
sema lulu anajielewa sana ni creatable
My favorite actor❤
Love youuuu more lulu upo na upeo wajuuu Ustaaa hujawahi kukubadili Tabia yako live long mdogo wangu
Apewe uongozi serikalin km jokate anaakili sana na anamaelezo yaliyonyooka,,,, everything is on spot. 🎉 sichokag kumsikiliza kabsa
Yani mimi uwanakupenda sana dada uaunaongeya poiti❤
This interview was so refreshing, goo girl 🔥🔥🔥 you are doing amazing for yourself
Nakupenda sana
Nimefrahi kuona crown mnafatilia maoni yetu wadau kuweka logo kwenye mic zetu hongereni kwa Hilo pia..
Nilikuwa nampenda Lulu mpk nilienda itv kweny kipindi cha ITV cha watoto wetu kumuona nilikua sikosi kipindi chake chcht kweny TV.❤😊
Tupo wengi 😂
Mashaallah dd lulu nimejifuza kitu kwako🎉🎉🎉
❤❤❤❤ nguvu ya maombi
Mash Allah lulu nampenda❤
Kikeke nakupenda
Pendaaa sanaaa wewwewe Muumba akulinde 🎉
I love this girl hongera sana ma g
This is the best interview ever
Unajua sana dada
Dada anatema madini tuuu aisee kaka majizzo amepata mke haswaaaa
Great one❤
Hongera sana lulu
Daima Mungu hawezi kukuweka katika jambo ambalo hawezi kukutoa
Napenda tabasamu la lulu😊
Big up lulu ❤
Hapo kwenye coment za Lulu huwa napenda sana majibu yake
Tumpe lulu maua yake lakini tuwape watangazaji hawa wa crown media maua mengi tafadhali....hawa sasa ndo watangazaji yaaani studio imetulia maswali yanaulizwa wa kujibu anapata muda wa kujibu kwa ufasaha na muda mrefu. Sio wale wengine keleeeeeeeeeleeee😂😂
Lulu ana akili sana na anajua kujibu ukilinganisha umri wake na majibu anayo jibu anaonekana amekomaa na naamini akina monalisa wamemkomaza na ametulia.pia hongera sana sana unajua kuhoji wewe ni mwanahabari wa international.
Mke mzuri lulu
Mtangazaji wa kike.. #SautiTajika 👌
Kiukweli anakipaji na ana IQ kubwa sanaa. Nampenda sanaa huyu dada..
Mashaallah she's beautiful always❤
😂😂😂😂lulu ur so charming ❤❤❤
God loves you Lulu.
Salim ❤❤❤
Una miaka mingp lulu wangu😘
Mbona ampo live crown sport vp mnatuangusha
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
#Elizabeth michael❤
Turagukunda lulu ❤️🇺🇸🇷🇼
Kikeke Anajuwa rugha kuliko .lkn humuoni akimix mix kweli waswahili noma
Lulu anaongeaga vzr Kina Mobeto hawamfikii
Kwan ww unamfikia😅😅😅😅😅wabongo bhn kisa unamchukia mobbeto😂😂😂😂😂😂😂😂
Kipenzii naitwa Julieth Jeremiah Magezi
Kanajua kujieleza kadada
Moto😊
Elizabeth mchaga kutoka Kijiji cha kirongo juu usseri rombo kilimanjaro
Mim sijaona sababu yakuhojiwa mambo yaliopita kuhusu kanumba or sijui nini...kulikuwa hamna sababu ya kuongea mambo hayo...kwamana sio memory nzur
Kuna cha kujifunza lakini pia anapopata nafasi kama hii ataondoa ile guilty na pia atakuwa na ujasiri wa kuieleza jamii ukweli.
Penda chana wewe mdada❤
Nyingi ni za kufikirika hazina uhalisi na jamii yetu.
Eventually umerudia hili neno madame
Yani sio sahihi kurudia neno moja hivyo kwenye lugha
❤❤❤
Bwana mimi nakapendaga sanaaaaaa
Doctor cheni ni mtu ambaye alikua na wewe bega kwa bega hilo nalijuwa vizuri sana
Kiiingerezaaa bwana mbele ya kikeke usikute wanamcheki tu kikeke wala haongei mtaalamu
🎉
Mungu akuntunze katka mikono salama,maana unajua saaana
🙏🙏🙏
Wee ni modo wangu
Lulu MUNGU akutunze sana
😮😮
👏👏
My young sister anajua kuigiza lulu ukifanya mpe chanc
ɴɪʟɪᴄʜᴏ ᴋɪᴘᴇɴᴅᴀ ᴋᴀᴍsʜɪᴋᴀ ᴍᴜɴɢᴜ ɴᴀ ᴋᴜᴊɪᴀᴍɪɴ
❤
Mapema tuuu
Lulu wewe ni mwimbaji maarufu kuliko hata tamthilia
Imba Gospel utafika mbali zaidi pamoja na kwamba upo mbali.
Ndiyo maneno yangu kila siku nasemaga LULU NI MWIMBAJI hata kama sikukufikia
Ni mwimbaji maarufu imba imba imba kabisa.
Ebu nihojini na mm jamani Nina historian yangu😢
Tulie mpaka tuchakae😢
😂😂😂😂@@Jasminadamu
Kweli lulu ulikuwa unawachanganya watu ulipokuwa mdogo nakumbuka ikifka jmosi watu wanaacha kazi kuangalia runinga kaole lulu kidedea anita
Kwa sura gani ulikuwa nayoooo 😅😅😅😅 paka watu wanakukumbatia wanakulia kwa uzuri gani ulikuwa naooo ww 😅😅😅😅
Lulu kichwa
Hi Lulu naomba nikupe lulu wa miaka hiyo ni mtoto mzuri naweza kuigiza na kuimba
Kwa kweli huyo amekomaa kiakili sana,chezea mchaga wewe.
😂😂😂😂😂 Lulu 🎉🎉🎉🎉
Lulu anajua kujieleza lkn namshauri achague lugha ya kutumia , kama English or Swahili,
Nimekuelewa momu gg.
Mama samia mpe huyu lulu ukuu wa mkoa
Kwakwel anakitu atafika mbali❤❤
Changanya lugha ni dalili ya kisomo finyo. Acheni hii tabia ni aibu kwa vijana wa taifa hili.
Kwani shida ipo wapi akichanganya lugha!? Ndio mana tuko nyuma sana kwenye lugha ya kiingereza wakenya hoyee
Ndio inanoga
Kweli, Yuko vizuri sana Binti angepata tu mtu wa kumwelewesha kwamba, Lugha huwa haichanganyi, Lakin namkubali sana mdada, Mungu aendelee Kua nae, 🎉
Kafupi lkn akili kibwa nakapendaaa
Wa rombo tupewe maua yetu😂
Eventually 😅😅😅😅😅
Hivi eventually maana yake nini
Hatimaye😂😂😂😂
Wa-Tanzania na hususani hawa wasania kujifaragua na lugha ya kizungu ili waonekane ni wasomi ni ushamba tu unawatawala vichwa vyao.