PART 1: BAADA YA MIAKA 3/ SIKUAMINI/NILIPOKUTANA NAE/ SIKATI TAMAA - LULU WA UCHUNGU
HTML-код
- Опубликовано: 10 фев 2025
- Exclusive Interview ya Elizabeth Michael kwenye KASRI LA KIKEKE, SALIM KIKEKE, TEMIDAYO NA SARAKIKYA.
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz
Lulu una kipaji vingi moja wapo kuigiza, nyingine hata ungekuwa mtangazaji ukifanya vizuri maana una hekima ungekuwa unauliza watu maswali ya msingi sio hawa watangazaji . Ila hongera pia kikeke uko vizuri kwenye maswali manzuri. Hiki kipindi kinzuri sana Ila mtakiharibu mkianza kuwahoji watu ambao wahovyo kwenye jamii. Last Hongereni sana na Mungu awasimamie
HUWA NAPENDA SANA INTERVIEW ZA LULU.NI KAMAMA CHENYE KUJIELEWA❤❤❤ ALLAH AKUTUNZEE.MSANII NAMBA ONE ANAEWEZA KUJBU MASWALI KWA UFASAHA
.NA LAFUDHI YKE IKO VZURI UTASEMA SIO MCHAGA.HONGERA KWAKE
Kanaongea vizurii sana unapata na kitu cha kujifunza 😮
Napendaga the way unavyo jieleza, big up sana Elizabeth. Tume miss sana Bongo movies kwenye big platforms. However, Kama ulivyosema pole pole ndo mwendo. Mguu mmoja baada ya mwengine 💪🏾💪🏾🙌🏽💯❤️
Same here, napenda sana Lulu anavyojieleza. She's smart😊
Majizo kapata mke
Wao I really appreciate Raisi wangu mama samia suluhu Hassan the way lulu anaelezea naona moyo mzuri wa Mama samia
Waooo nafurai kujiunga na crown RUclips chanel imetulia nawapata kwa utulivu nikiwa chalinze
Pongezu kubwa kwenu crown kipindi kizuri hongera pia kwa lulu Mungu aongoze hatua zako
Mungu akutunze nakuona kufika mbalia nakupenda sana
walah nampenda mtangazaji wangu Salim Kikeke nafurahi kumsikiza tena
Huyu mwanamke yuko matured sana
Thumb up 👍 Lulu...Hiyo Hali Sawa wanaitafsiri kivyengine Kuhusu kijinsia Asilimia Kubwa lakin sivyo inavyotakikana
Love much Lulu 💓💓💓💓
Hapa ni nyumbaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 😊
Nachokiona lulu majizo anamfundisha baadhi ya vitu . Heshima kuchunga ulimi n.k. nahisi atakuja kupewa viti maalum huyu. Atakuja kuwa joketi part 2
Pp
😊p😊
Alivyo ndiyo alivyo""anajielewa cku nyingi sana
Lulu hafundishwi na majizo yupo hivyo tangu mdogo huwa ana akili sana
She I smart always
Kweli kodi za watanzania zinachezewa. Si kwa changamoto hizi zilizopo. Mahospitali hayana dawa, barabara ngo hizo, maji na umeme mtihani, mafuta, sukari, bei juu 😭😭😭 Mungu turehemu sana. Kwa hiyo bado safari yetu ni ndefu sana labda Mungu aingilie kati.
Mama anaupiga mwingi tuache😅😅
Great interview
Nampenda sana na kumkubali Lulu
Napenda sana huyu mdada anajitambua,anabusara
hongera Lili Mungu Akutunze
Hey nikopamoj nanyie studio
Hii bahati kubwa kubwa mno mno hakuna Rais yeyote anawabeba kama Tanzania sasa kazi kwenu maana hii high light kwa kweli kwa hili hongera hongera Rais kipenzi hapa nakupa 100 percent maana hawa wasanii walitumika sana sasa mpata hiyo kazi ianze mara mojasio kesbo baadaye
Mx
Nampenda uyu dad jamn ❤❤❤
Lulu mungu akubariki akufikishe hio hekima
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Lulu mashallah
Wale tunaamini walioenda mwanzo ni cream tujuane 😂
Lulu jamani mungu anakuona tangulini mwanamke na wanaume wawe Sawa ebu jiulize unaitwa Lulu Nani jibu unalo
Salimu like upo nimefulai😊
❤❤❤coool Elizabeth
😂😂😂😂waogo hao bana majigambo mengii tu😂😂😂tusubiry mange atusimuliye😂😂😂
Mange alikuepo Korea. Au ndio mungu unomuamini.
Hapa ni nyumbaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Uyu dada anajua kujibu maswali kiakili zaid anawashinda ad wakina wema
Aaaah we lulu ni namba nyingine aiseee huwezi mlinganisha na kitu chochote
Lulu ana kitu atafika mbali mi binafsi naona hekima na huwa ni mkweli Mungu ampe mwisho mwema ni mzuri wa sura kichwani ana kitu kikubwa apewe heshima yake
Napenda Lulu anavyojibu na kujieleza jamani
Uyu atakuja pewa uongozi maana ana akili sanaa❤
Hiyo 50 kwa 50 ni katika 5 Gender Issues: Elimu, Ajira, Kuhusishwa na Kushirikishwa katika kutoa maamuzi kuanzia ngazi ya familia mpaka nchi siyo tu kuwa wapokeaji na watekelezaji wa maamuzi, Utawala na Uongozi pamoja na kumiliki ( ardhi, uchumi etc) but tumetofautiana biologically.
Karibu nyumbani
Sauti Kuna kelele🇫🇮🇫🇮🇫🇮🇫🇮🇫🇮🇫🇮🇫🇮🇫🇮🇫🇮
Nampendaga sana lulu 🥰🥰
Lulu ni mfano wa kuigwa ongera my dear
Rekebisheni upande wa sauti...kuna kelele zinasikika...
Sio kelele thats background music...😂😂😂
Acha makasiriko ya maendeleo 😂😂😂😊
Ni simu yako dada😅😅Wala saut zipo sawa
Ili ni gubu sasa eh!!
nice
🎉
❤❤❤❤❤❤❤
Rais akiiweza nchi nanyie mtaweza tu
Lulu toka bado mdogo nkichea
Salim kikeke ameanguka sana
What do you mean?
Kadada kanaongea kama joketi mwegelo
Haasa😂
Kumbhe hata katoto kaweza kujieleza eeeeeeee mh amekuwa
Hapa ni nyumbani
Hapa ninyumbaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Alipo Lulu nipo, ninapenda unavyojieleza na majibu yako mazuri.
Lulu umependeza. hayo manywele ya bandia ni tatizo kidogo. wazo lakini. tupende uasili
Kipindi kizuri.
Msichanganye lugha. Kiswahili kiwe Kiswahili tu.
Mmmmm???
Yaani huyu mwanamke aliua, hili haliwezi kufutika, watoto wake na vijukuu vitakuja kujua kua she is a killer
Wewe hujielewi itakua😮
How sure you're, vingine jitahid viishie kwenye mawazo yako it's not necessary kuonyesha unavyowaza kwa watu duu
Mwacheni atakuwa mwezi mchanga
Dishi limeyumba apelekwe milembe akarekebishwe.
Pole sana chuki yako haikusaidii hata!! Huyu bint atafika mbali sana. Big up Elizabeth.
Since way back alikua anajua kupangua maswali na sio mkurupukaji wa kujibu…japo unapokua na mtu makini anazidi kujuongezea maarifa@faridakaduguda
Thumb up 👍 Lulu...Hiyo Hali Sawa wanaitafsiri kivyengine Kuhusu kijinsia Asilimia Kubwa lakin sivyo inavyotakikana
Hapa ni nyumbaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
❤❤❤❤
Lulu ana kitu atafika mbali mi binafsi naona hekima na huwa ni mkweli Mungu ampe mwisho mwema ni mzuri wa sura kichwani ana kitu kikubwa apewe heshima yake
Lulu ana kitu atafika mbali mi binafsi naona hekima na huwa ni mkweli Mungu ampe mwisho mwema ni mzuri wa sura kichwani ana kitu kikubwa apewe heshima yake
❤❤❤❤
Lulu ana kitu atafika mbali mi binafsi naona hekima na huwa ni mkweli Mungu ampe mwisho mwema ni mzuri wa sura kichwani ana kitu kikubwa apewe heshima yake
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤