TAKE ONE EXCLUSIVE NA LULU (ELIZABETH MICHAEL) 2-JULY-2013 Part1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 68

  • @stellaedward7726
    @stellaedward7726 6 лет назад +3

    much respect 2 u lulu cz unakula jasho lako, no body z perfect, kip it up dada kuanza upya c ujinga na hauwez shindana na mdomo wa mwanadam ""

  • @irenetarimo6109
    @irenetarimo6109 3 года назад +1

    just happy lulu leveled up...hii ngeli hapana

  • @cleopatimothy
    @cleopatimothy 11 лет назад +6

    Gud to c u back lulu mungu akubariki..

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 Год назад

    Yaani Lulu nimekupenda buuuuree

  • @edwinpepela1205
    @edwinpepela1205 10 лет назад

    It's great seeing you back.movie zake wamba sana.Wikipedia khaki but huku ni wakati wako

  • @barbiejunior2794
    @barbiejunior2794 11 лет назад +4

    wawoo ili kuwa poa sn..nyc lulu!!!

  • @maulidrequelm603
    @maulidrequelm603 10 лет назад +2

    rudi chuo shoste lulu uzungu hauna jifunze ngeli za consonants & vowels upo nyuma sana!!!

  • @ernestmbala3609
    @ernestmbala3609 Год назад +1

    Zawadi ya shule ilikuwa 1,200,000.

  • @SamwelNyangala
    @SamwelNyangala 11 лет назад +3

    Lulu jifunze kudanganya vizuri maana ukweli umekushida

  • @ernestmbala3609
    @ernestmbala3609 Год назад +1

    Kisauke secondary school ilikuwaje cjui

  • @SaumuBintimohammed
    @SaumuBintimohammed Год назад +1

  • @bahatiatarihiingomajamanik998
    @bahatiatarihiingomajamanik998 7 лет назад +1

    Uko vzr dogooo

  • @monica-eb7nr
    @monica-eb7nr 11 лет назад +2

    asiefunzwa nawazazi anafunzwa na dunia kweli nimekuwa nikimukomment sana hivyo hata bado hajahonja jela.na asipojituria tulia yatampata mengi zaidi ya hayo.

  • @evlyneirakoze7758
    @evlyneirakoze7758 6 лет назад

    Dieu vous bénisse et vous garde longtemps

  • @nelsonkassena4285
    @nelsonkassena4285 11 лет назад +2

    Jaman lulu kiukweli bana unahitaji kwendashule. Bado mchanga kielim nivizuri kwenda shule
    Kwan xafar badondefu

  • @heritier5119
    @heritier5119 11 лет назад +5

    Hakuna haja ya kumuhukumu lulu juu ya yalopita coz ye ni binadamu hakuomba matatizo yamkute pia ilikuwa ni kipindi cha mpito

  • @janethgatoni5981
    @janethgatoni5981 6 лет назад

    Nice my dear

  • @chawangilenguruchawange6477
    @chawangilenguruchawange6477 11 лет назад +3

    maisha yanapita ww ndiye muamuzi pekee jiweka sawa

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 3 месяца назад

    2024

  • @jumambui5407
    @jumambui5407 11 лет назад +4

    lulu acha ushamba na jifunze kuskiza swali uelewe ndo ujibu swali usitumie kizungu juu hujui kabisa labda uache tabia mbaya urudi shule

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 11 лет назад +3

    Lulu, usitake kulazimisha maneno, Swali ni ulikuwa napangilia kuhongea nini ukiwa Kwenye interview fulani. Yaani nijambo ambalo tayari ulisha pangilia, siyo uhanze kufikiria tena ukiwa nawazia that means u didn't have any thing to say.. Lakini hongera!

  • @aminachande3174
    @aminachande3174 4 года назад

    Amekua Sasa

  • @annenyambura7654
    @annenyambura7654 9 лет назад +1

    05:30 😂😂😂😂rudi shule lol

  • @senoritadida7415
    @senoritadida7415 11 лет назад +2

    i love u lulu but i c no reason 4 u 2 try speak 4reign language on yo interviews wakt huwezi umebaki unastak stak, punguza kujipritend kuongea just b yourself & speak lyk ukiwa home.my love i only advise u lyk ma little sista plz never do dat next tym unajiaibisha especially huo msamiati mpya uloupata wa "actually" yani mpk inaboa!!!
    but all in all yo ma fans kip it up gal

  • @jemimahjohaness2512
    @jemimahjohaness2512 11 лет назад +2

    aisee,you should go to school my dear.thinking capacity bado ndogo na ya kawaida.u need to match with the world changes.work work work

  • @dipendijoseph873
    @dipendijoseph873 3 года назад

    I love you

  • @cabdikanikelvines722
    @cabdikanikelvines722 5 лет назад +1

    Nani ako na namba ya Lulu anitumie?

  • @mamzaiya
    @mamzaiya 11 лет назад +5

    huwa hajui kuelezea siku zote kazi kung'atang'ata maneno na kuingizia vineno vya kiingereza utadhani anajifunza kiswahili

  • @Goddess697
    @Goddess697 11 лет назад

    hope u gonna change 4 de beta.

  • @imaranoah10
    @imaranoah10 11 лет назад

    God help her to do wont she wont to do.

  • @josekulele6237
    @josekulele6237 10 лет назад +1

    Mambo vipi

  • @tausimussa4871
    @tausimussa4871 10 лет назад

    GOOD

  • @ndanu2012
    @ndanu2012 11 лет назад +3

    Is English taught in tanzanian schools really..??? cant she express her self in English?

  • @dmwanga1
    @dmwanga1 11 лет назад +1

    The host is not asking the questions and Lulu is not answering anything. why is Lulu us talking about herself in the third person.

  • @sachumasangu3986
    @sachumasangu3986 9 лет назад

    Like it

  • @nimoissa1880
    @nimoissa1880 10 лет назад +4

    She needs to go back to class#just saying

  • @amongeorge7028
    @amongeorge7028 11 лет назад +3

    U luk nc

  • @petermakaumutuku9150
    @petermakaumutuku9150 10 лет назад +2

    Tanzania should come out of that cocoon and come to the the world."Speak english".

    • @SirKimly
      @SirKimly 9 лет назад

      Peter makau mutuku no need for that because Russians , Spanish , Portuguese and the others don't care if you understand them or not

  • @jumambui5407
    @jumambui5407 11 лет назад +3

    shule muhim jamaa ona lulu anajichanganya tuuu

  • @happyhans4908
    @happyhans4908 6 лет назад

    Hyo video yamuda

  • @nyabarabiuwambui1078
    @nyabarabiuwambui1078 8 лет назад

    hanjui kuongea huyu, thick mind

  • @bennytheboy8412
    @bennytheboy8412 11 лет назад +1

    mia

  • @sunrisekitchen1
    @sunrisekitchen1 11 лет назад +1

    Kabadilika huyu mtoto ona hata nguo alovaa kajiheshimu kidogo lakini sijui

  • @Chai2574
    @Chai2574 11 лет назад

    Did she go on trial and get acquitted or what?

  • @annasamo7063
    @annasamo7063 4 года назад

    Zama maswali yako bana

  • @babyskk421
    @babyskk421 11 лет назад +2

    huyu mtoto ni muongo sana ila the time will tell,,jumba bovu likidondoka atakuja tena hapa hapa kuomba msamaha

  • @mamzaiya
    @mamzaiya 11 лет назад

    unajua hata jamila(sophia)anakushinda kuelezea

  • @yogayogatz1
    @yogayogatz1 11 лет назад

    very sorry for erything but you have to go to school just to prosper your talent.

  • @Joze-ko9he
    @Joze-ko9he 7 лет назад

    Anahitaji mwana ume kama marehemu kanumba ili nae ,,,,,,,,,,

  • @gracewanja5397
    @gracewanja5397 6 лет назад +1

    Little knowledge

  • @salimuali9098
    @salimuali9098 11 лет назад +2

    the show was meant for tanzanians. poor you

  • @jackytamarcus1517
    @jackytamarcus1517 11 лет назад

    zam your words
    i cant here

  • @braciakivuli7603
    @braciakivuli7603 11 лет назад

    ilikua ni lazma kusema

  • @mohamedyswai7877
    @mohamedyswai7877 11 лет назад

    Mburura.....kilaza kwl!

  • @rehemamangala7693
    @rehemamangala7693 7 лет назад

    mhh kwakwel skul muhimu yan hap lulu anajing'ata kuongea English anabak kuongea broken tu hapo

  • @selinedawns5966
    @selinedawns5966 11 лет назад

    Kwanini haukuna kitu naelewa????????????????lol

  • @MyShau
    @MyShau 11 лет назад +3

    hichi kilulu kiongo. hata pale alipokuwa hajapata matatizo. pia kilisema uongo akina bwana.
    kiongo kama kanumba

    • @salamakombo3257
      @salamakombo3257 4 года назад

      Haaaaaa

    • @mmn7480
      @mmn7480 Год назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @nawal01
    @nawal01 11 лет назад

    Not satisfied with the interview..!