NYIEE! ZUCHU KAMPENDA HUYU MSHKAJI, SIKIA ANAVYOMUONGELEA KWA MAHABA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 142

  • @ummimohammed9359
    @ummimohammed9359 2 года назад +17

    mungu amjaalie apate mume mwema aolewe atulie roho yake asije kuingia ktk mitihani ameen

  • @peterkim8676
    @peterkim8676 2 года назад +7

    That's nice God bless bless bless simba na huyu msweet wake awe kiongozi bora chumbani kama alivyo kiongozi wetu bora wa bongo flavor❤😘😘

  • @MathweLucasi
    @MathweLucasi 3 месяца назад +1

    Upo vizuri zuchu mwanamke wangvu chako chakuwa elewa wanaume hongera sanaa❤❤

  • @nkunzimanapatrick5463
    @nkunzimanapatrick5463 2 года назад +5

    Zuchu ana maneno mtamu sana good bless you

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 2 года назад +14

    How diva knows and experience about relationships anamwona zuchu kama anavyo tizama a love story movie which he knows what will going to happen ana mwinjoy sana zuchu amwona ameingia mtegoni lkn hana njia ya kumtahadharisha

  • @christianmbappe8900
    @christianmbappe8900 2 года назад +12

    For me, this interview reveals that Zuchu is very intelligent.

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 2 года назад +10

    Huyu mtangazaji mpumbavu leo kajibiwa vizuri. Kunasiku alisema yeye hapendi kuishi na mawifi na mashemeji. Leo huyo mdada amemuuliza kitu hichohicho ameambiwa ni muhimu Sana kuishi na ndugu. Big up Zuchu

  • @agbordorothy4901
    @agbordorothy4901 Год назад +4

    Good girl you are intelligent ❤❤❤❤❤brilliant and you have wisdom. Zu Zu you will live long

  • @jennifercrantz3831
    @jennifercrantz3831 2 года назад +4

    Zu i love you ❤️❤️❤️From Oslo Norway and kenya. Girl D is a lucky boy

  • @jennifercrantz3831
    @jennifercrantz3831 2 года назад +2

    Zuchu for live. Stay like That baby girl❤️❤️❤️❤️❤️

  • @winniemueni6928
    @winniemueni6928 2 года назад +5

    Nakupenda bure mamaa.... always wishing you the best.

  • @aidahtimothy9052
    @aidahtimothy9052 2 года назад +19

    Unaakili sana zuchu

  • @PeninaAnthony
    @PeninaAnthony 7 месяцев назад +1

    Upon vizuri dada

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 2 года назад +3

    KM NI KWELI UTALIA KULIKO HAMISA SIO WIGI TUU KUVULUWA HADI CHUPI. ..M MY FRIEND ILE SIO FAMILIA YA KUINGIA💃💃💃

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 2 года назад +3

    Mkwe wangu Zuchu is very wise jameni

  • @dorismwenda4758
    @dorismwenda4758 2 года назад +1

    Cheat uko unipare nyumbani,I love it

  • @carolinenyongesa4687
    @carolinenyongesa4687 2 года назад +6

    ZUCHU kweli anampenda lakini awe mwangalifu maana miezi mitano Kwa mahusiano na amempenda hivyio wah

  • @noraazan9124
    @noraazan9124 2 года назад +4

    Diva unamaswali ya uchokozi but Zuchu akili nyingi 😀

  • @kimah9461
    @kimah9461 2 года назад +3

    Still watching and now they're here wakiwa wawili 😂😂😂😂😂😂

  • @esther7069
    @esther7069 2 года назад +6

    beauty and brain

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 2 года назад +6

    🔥❤🔥

  • @rabanphotostudionyakanazi_4115
    @rabanphotostudionyakanazi_4115 2 года назад +2

    Nainjoy ndan ya wasafi

  • @subirachristopher4526
    @subirachristopher4526 2 года назад +5

    huyo mtangazaji anapenda sana kuongea kiingereza, bs akatangaze redio za ingereza, Amezidi bhana!! tulio wengi hatujui kingereza

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 2 года назад

      😀😀😀😀😀

    • @obenitejailos7007
      @obenitejailos7007 2 года назад +2

      Aliyekutuma ukimbie shule nani?

    • @kimweritz6364
      @kimweritz6364 2 года назад

      @@obenitejailos7007 uzalendo kwanza wewe kiingereza twajua sana na hata kifaransa pia

    • @theresiamsogoya4942
      @theresiamsogoya4942 2 года назад

      Anakera sanaa

    • @emmanuelshayo4703
      @emmanuelshayo4703 2 года назад

      @@kimweritz6364 Mimi huwa najiuliza kwanini wasiwe wabunifu! Waje na vipindi vya kingereza basi. Ukitaka kujua wakoje kwenye lugha ngoja aje star kutoka nje wanavyobabaika kumhoji

  • @mwambatv5202
    @mwambatv5202 2 года назад +10

    Zuchu naomba ufanye remix ya Omary na uifanye iwe na maadh ya kizazi hiki, tafadhal

  • @LussiyCharles
    @LussiyCharles 11 месяцев назад

    Mi nakukubali sana zuchu kula raa kama umependwa wanao umia wache waumie syo bahati yao

  • @dinnoboy6232
    @dinnoboy6232 2 года назад +2

    SHATI la Diamond platnumz 🦁

  • @yustayusuph9101
    @yustayusuph9101 2 года назад

    Ingawa zuchu anashindwa kunyooka mmoja kwa moja kuwa mwanaume wake ni diamond lakin mimi kwa akili zangu timamu kabisa nina uhakika tena kwa asilimia 💯 mwanaume wake nai diamond tena anaonekana amekufa kabisa ameoza kwa simba zuchu anaonekana anampenda mno chibu diii chibu dee ni swala la muda tu mapenzi! huwa hayajifichi ipo siku atakubali yeye mwenyewe kuwa ni kweli mwanaume wake ni diamond 👌💪

  • @aimemasuku613
    @aimemasuku613 2 года назад

    Muna ongea English sana bana atuelewi ❤️😍

  • @zuuhabduly2523
    @zuuhabduly2523 2 года назад

    Jmn mi nampenza zuchu jinc anavyocheka wallah

  • @rukkynassor2279
    @rukkynassor2279 2 года назад +4

    Diva best

  • @tatubadi9010
    @tatubadi9010 2 года назад +5

    Tunaukubali utanzania na kuutukuza uingereza... Ongeen swahili... Inatosha..

    • @tatubadi9010
      @tatubadi9010 2 года назад

      @@wivinaanatory7813 hamna my ila ushamba wa watanzania ni kwamba usipo ongea kingereza utaonekana huna darasa... Akili zao finyu tu

  • @africandragonsmedia
    @africandragonsmedia 2 года назад +1

    my baby anampenda nani tena

  • @edwinjohn6334
    @edwinjohn6334 2 года назад +5

    Ila zuchu anajua sana kujibu maswali ya wana habali 😂😂

  • @SakinaAlfan-oy9ff
    @SakinaAlfan-oy9ff 6 месяцев назад

    Apan zuchu mzuri

  • @theylove_maya
    @theylove_maya 9 месяцев назад

    Zuchu ❤️🫶🏻

  • @ZuwenaIssa-di5yy
    @ZuwenaIssa-di5yy Месяц назад

    ❤❤❤

  • @sarajames768
    @sarajames768 2 года назад

    Tupumzishe kila kukicha zuchu na Diamond waoane bac kama kweli

  • @BUJJUMAXNakabugo
    @BUJJUMAXNakabugo 6 месяцев назад

    Wow

  • @linahpatrick3537
    @linahpatrick3537 2 года назад +1

    ila diva mnoko😁😁eti jina lake linakua apa kifuani kwako

  • @FidèleYamungu
    @FidèleYamungu Месяц назад

    😢kwani kimetokea nini?

  • @mariamsimba-cn1yy
    @mariamsimba-cn1yy Месяц назад

    Jamani

  • @mariatynisha4665
    @mariatynisha4665 2 года назад

    Zuchu ni na talanta nifanyenini

  • @sunsetstudioz
    @sunsetstudioz 2 года назад +1

    kingereza cha nn jmn mpk unaanza kutafsiri tena maneno uioongea dah bongo hahahahahahahahaahahah

  • @mayqueen6798
    @mayqueen6798 2 года назад +4

    Tz kuna lugha mbili zinatumika officially..... Sasa makasiriko ya nini binti wawatu kuzungumza kizungu,kama sio wivu wa chinichini kutumia mgongo wa kuwa mnapenda lugha ya Taifa unafiki mtupu

  • @ayamfaith4134
    @ayamfaith4134 2 года назад +2

    🔥 🔥

  • @khadijaamur6032
    @khadijaamur6032 2 года назад +4

    Zari alisema kuliko haya na kaachika

    • @walaaabdallah3236
      @walaaabdallah3236 2 года назад

      Sasa kwani kuachika niajabu? Kuachika si nikitu cha kawaida tu , kwaiyo usimsifie mpenzi wako eti kisa utaachika😂😂

  • @masundelwa
    @masundelwa 2 года назад +1

    Zuchu ni X wangu

  • @samuelmugambi5886
    @samuelmugambi5886 2 года назад +1

    Umebalikiwa mrembo

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 2 года назад

    Hili nalo movie🥺

  • @Georges.Kitchen
    @Georges.Kitchen 2 года назад +4

    😘😘😘😘

  • @FatumaMohamed-m8z
    @FatumaMohamed-m8z Год назад

    🎉🎉🎉🎉

  • @eshymohammed8837
    @eshymohammed8837 2 года назад +1

    jamani diva

  • @AngelElia-j8z
    @AngelElia-j8z 11 месяцев назад

    Mambow dear

  • @brooktuwei4429
    @brooktuwei4429 Месяц назад

    Mtangazaji mrembo

  • @najumongdeoxcar6728
    @najumongdeoxcar6728 2 года назад +1

    Mfundishe n huyo kilandage diva jinxi ya kujieleza

  • @Husseinsaidmbinga83
    @Husseinsaidmbinga83 Месяц назад

    kaongea ukweli

  • @ilungasalle
    @ilungasalle 2 года назад +1

    Unapukutwa na sadala ila kwenye ndoa sidhani Zuchu

  • @VeronicahMarandu
    @VeronicahMarandu 21 день назад

    Zuu shoga angu sijawah kukupinga kwa lolote usemalo nakupenda kipenz me. Ni shabik wako namba moja kila unachofany kwangu ni kizur;kila wimbo wako kwangu ni mzur

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 2 года назад +3

    Huyo ni sawa na mwanao bwana acha kumpa mawazo.yasiofaa achanganyikiwe hawara kazaa nje kwani yy kaolewa?? Atasubiri akiwa na mume hapo ndio atakuwa na majibu ya hayo maswali yako na si kwa sasa Zuhra achana na maswali ya huyo mdwanzi anakuharibia Heshima yako.

  • @davidbakari6045
    @davidbakari6045 2 года назад +1

    promise huyu ni diamond zuchu anaye penda if not diamond niyule jamaa aliye himba naye kamwambie so wait until that day y’all shall believe me mostly is diamond good luck zuhura

    • @yustayusuph9101
      @yustayusuph9101 2 года назад

      Hakuna mwanaume mwingine mimi nina asilimia 💯 kuwa mwanaume wa zuchu ni diamond sema hataki kukubali lakini huo ndio ukweli ulio uchi 👌 ni swala la muda tu huko mbeleni utakuja kuona maana mapenzi huwa hayajifichi 💪

  • @mariamakungwa5391
    @mariamakungwa5391 2 года назад +3

    Umejipanga dogo🙄🙄🙄

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 2 года назад +12

    Zuchu uko na akili kweli

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 2 года назад +9

    Yani Diva ni mzuri bila miwani. Yani Leo ndio tumeona uliveto mzuri maana Zuchu mmm sura mbaya bora akipaka make up yani diva hii video wewe NDIO umeingarisha. Love from Europe

    • @mesukanku6016
      @mesukanku6016 2 года назад +1

      ZUCHU EST NATURELLE

    • @mwanaishazain7985
      @mwanaishazain7985 2 года назад +1

      Zuchu mbaya? Umba wako basi awe mzuri. Mbaya kwako m!uri kwa wengine

    • @AnnaNitwa
      @AnnaNitwa 11 месяцев назад +2

      Tuma picha yako halisia tukuone SII kumtusi Zuchu wangu Tena ushindweeee Pepo wewe ikibidi zaa wako umuone mbaya 😂😂

    • @JophianceSokimusavuli
      @JophianceSokimusavuli 6 месяцев назад

      M

    • @JophianceSokimusavuli
      @JophianceSokimusavuli 6 месяцев назад +2

      Zuchu ni mzuri mnoo

  • @nyororotherock5567
    @nyororotherock5567 2 года назад +1

    Nanyie mnatuchosha

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 года назад +3

    Ichokizungu chenu mliejifunza basi atupumui kiswahili mnajifanya hamjui umbea tu basi

  • @isawmsafi5710
    @isawmsafi5710 2 года назад +3

    Why can't you mention that guy?

  • @aminihamisi3551
    @aminihamisi3551 2 года назад

    Mwambien zuchu amecrush mtu mtasikia siku si nyingi ataanza kubweka kaa kadog🤣🤣🤣🤣

  • @msatiendomike6731
    @msatiendomike6731 2 года назад +2

    🙌🙌

  • @malakiyazidu0080
    @malakiyazidu0080 2 года назад +1

    🤣🤣🤣div hapend mawif nawakwe yan hili swali haliachag iv mt utsolew afu mzazi wamme au wif wasij kukusalimia jap wiki siku tatu wawe wabakuj nakuondok t😂😂kuj kwe nikam mama ako akij t hali niileile

  • @FatumaGayoye
    @FatumaGayoye Месяц назад

    Week 😮😮😮

  • @linahpatrick3537
    @linahpatrick3537 2 года назад

    km ndoa na nasibu ndugu mmmmh cjui

  • @miriamnyabuto5867
    @miriamnyabuto5867 2 года назад +1

    Zuchu kama ni diamond uko na mahusiono naye and unatarajia kufunga ndoa naye huna akili hata kidogo wala,nini hicho chenye wadhani diamond ajawahi kipata kamwe wewe ndio unacho .
    Fikiria dada Sana tena kwa makini
    Wala sina ubaya
    Just talking from reality of things

    • @amelianadhif.6849
      @amelianadhif.6849 2 года назад +1

      Ndoa ni bahati acha makasiriko huwez juwa bahat ya mtu

  • @daudisaid6198
    @daudisaid6198 2 года назад +1

    Hebu elimisheni wananchi vitu vya maana Kila wakati zuchu zuchu pumbavu

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 2 года назад +5

    JAMANI DIVA KWENYE HII UNAONEKANA UNA WIVU NA MNAFIKI. Alafu mwambie Zuchu aongee Kiswahili kwasababu English yake ni ya kuunga unga

  • @BethyMabula
    @BethyMabula 11 месяцев назад

    utafikaa mbali

  • @OmarMohamed-tp4uf
    @OmarMohamed-tp4uf 2 года назад +2

    Ila zuchu ww umesomea wapi English alafu Ila umechachawa 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mesukanku6016
      @mesukanku6016 2 года назад

      Elle a sûrement fait ses études supérieures en englais mais elle ne parle pas quotidiennement c'est plutôt le swahili

  • @shabannestori9071
    @shabannestori9071 2 года назад

    Namm

  • @rebeccamagweiga9807
    @rebeccamagweiga9807 2 года назад +1

    Camera man mbingu utaisikia kwa mwamposa

  • @chrispinuskanyekhe6738
    @chrispinuskanyekhe6738 2 года назад +2

    Hapo zuchu umelost kabsaa 🤬🤬

  • @diamondplatnumz8627
    @diamondplatnumz8627 2 года назад +2

    Amuwezi kuongea kiswahili lugha yenu mnaitukuza lugha ya watu yenu mbaya au

  • @wallasfoundation2389
    @wallasfoundation2389 2 года назад

    Ivi uyu Zuchu ni nani kwa sasa kwa mfano?

    • @walaaabdallah3236
      @walaaabdallah3236 2 года назад

      😂😂😂😂Unachekesha eti zuchu ni nani? Sasa kwanini umekuja kucomment kwamtu usiye mjua 😂😂

    • @wallasfoundation2389
      @wallasfoundation2389 2 года назад

      @@walaaabdallah3236 kila siku zuchu zuchu

    • @walaaabdallah3236
      @walaaabdallah3236 2 года назад

      @@wallasfoundation2389 Sasa kwani umelazimishwa Kusikiliza si ukaangalie channel zingine

  • @jacquelinemalobawande7156
    @jacquelinemalobawande7156 8 месяцев назад

    Shida ni unampenda wewe saaana😮😅😅😅 je yeye yu wakupenda vivyo hivyo pia mwoyoni mwakeeeee....ama yu akuchukulia tu kaa okoa jahazi😔⁉️ juu anekuwa anakupenfa vivyo hiyo🤔⁉️ basi by now, hangekuwa bado hajahalalisha hayo mahusiano yenu yakawa ndoa kamilifu mbele za watu🤔⁉️ bali sio eti mpaka sasa bado tu ni hide and sick wallaaaiii😅😅😅😂😂 this long relationship bila mwelekeo inaumaaaa.. kesho kesho tu atakuita mabaki yuataka fresh baridi sasa. Imagine nyote mnaelekea beyond young Adults stage in life🤷⁉️ Nabado tu mna cheza cha kitoto😮,🤷⁉️ at list for him he already has children who are growing and representing him as a real man 👞 who left behind a generation in lasting memory of him🤷⁉️ what about you zucchini zuchu 🤔⁉️ in case of anything what shall you be remembered of🤷⁉️ I really pitty you for wasting yourself at your tender youthful stage. By the time you be serious with your life 😅 you will be the one to marry just anybody ata kaa ni whoever bora tu unabwana haijalishi yuwafanya nini🤔⁉️

  • @dinamollel4057
    @dinamollel4057 2 года назад +6

    Muongee kiswahili English bado sana

  • @Tariqxxtenations
    @Tariqxxtenations 2 года назад

    Kiki tu

  • @yudatadeshayo4434
    @yudatadeshayo4434 2 года назад

    Divaaa ni mzee

  • @MeshackJoseph-vc3tx
    @MeshackJoseph-vc3tx 6 месяцев назад

    Hakika huyu zuhura ana baraas

  • @meswalehnyaa6509
    @meswalehnyaa6509 2 года назад

    Hahaha zuchu shikilia hapohapo

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 2 года назад +1

    Haka kadada kanakohojiwa kanajibu maswali kiufundi Sana hakurupuki.

  • @mf1.4-m9h
    @mf1.4-m9h 2 года назад

    Kitanda paziya mina copi nya kwa Zari.

  • @makwasukwasupado415
    @makwasukwasupado415 2 года назад

    Hahaha mobeto, weman, tanasha,zali hao ndo tunawajua ww nan udumu kwa diamond nakupa miez8

  • @SamweliNtunaguzi
    @SamweliNtunaguzi 2 месяца назад

    V

  • @Mido-vu8sz
    @Mido-vu8sz 2 года назад +5

    Trap questions😂

  • @SaumBakari-po7re
    @SaumBakari-po7re Месяц назад

    Kupenda nikubaya nyie asikuambie mtu

  • @nass.pofficial4086
    @nass.pofficial4086 2 года назад

    Njoo uone diamond akimkis zuchu
    Kwenye b day ya doric mziray jana uck
    Mmbo motroooo
    ruclips.net/video/b4QZFmsHudQ/видео.html
    ruclips.net/video/b4QZFmsHudQ/видео.html

  • @ndayizeyerukwi1702
    @ndayizeyerukwi1702 2 года назад +3

    🥾💃💕🎂

  • @AmaniVitus
    @AmaniVitus 29 дней назад

    Musiongeee English sas2

  • @azizamuhene6427
    @azizamuhene6427 2 года назад

    nyie waswahili hiyo luga ni vp wengine hawawaelew.ongeen lugha yenu halis acheni kuiga.

  • @arjunkhan1197
    @arjunkhan1197 2 года назад

    Ongeeni kiswahili nyie mbwa

  • @ramadhanmasanja9792
    @ramadhanmasanja9792 2 года назад

    Haaaa

  • @miriamnyabuto5867
    @miriamnyabuto5867 2 года назад +1

    This girl is so foolish kabisa
    Want does she think or give her a Granty that diamond gonna stick around her forever ????
    What does she have that wema sepetu,zari hassan ,hamisa mobeto ,and tanasha dona don't have that she has ?
    Men's will always be men's
    Zuchu I don't know is because she has not grown upstairs she is only I guess below 25yrs destroying up your life for nothing.Think so deeply ?????