ZUCHU AMUONDOA DIAMOND KWENYE 'WALLPAPER' YA SIMU YAKE, DIVA AMBANA ASEME UKWELI...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2022
  • ZUCHU AMUONDOA DIAMOND KWENYE 'WALLPAPER' YA SIMU YAKE, DIVA AMBANA ASEME UKWELI...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 146

  • @lindahkhavai5731
    @lindahkhavai5731 2 года назад +16

    There is this special glow in her eyes whenever she is asked about diamond...she is deeply inlove❤❤❤..

  • @kenyangal1869
    @kenyangal1869 2 года назад +14

    This gal love simba for real 😅 you can tell by how she react each time they ask her about simba

  • @ledarling9097
    @ledarling9097 2 года назад +46

    Zuchu is mature, i love her answers. God bless her more.

  • @sylviaclaud777
    @sylviaclaud777 2 года назад +6

    Was smiling the entire interview nampenda Zuchu she’s so wise and mature role model wangu kwakweli, am happy if shes happy with her boyfriend ❤️

  • @musemaaline2159
    @musemaaline2159 2 года назад +21

    My zuchuu wwe mutotoo utaniuwaa duuu unajuwaa mapenzii kweliii 😍😍natokeya Burundi Bujumbura tunakupenda sanna fanz wakooo you are beauttyfo

  • @agbordorothy4901
    @agbordorothy4901 Год назад +1

    Thank you Zuchu .Diamond is you boss you like him as your boss good and perfect. Why is it that people don't want to understand that .Diamond is messing around with girls in public and people feel for you why Zuchu is educated and brilliant she knows what she gets from Diamond. So please leave her alone with Diamond's wahala with women. Zu walk with your head up and let nothing intermediate you 😊 keep your personality high.❤

  • @sammyhassan6033
    @sammyhassan6033 2 года назад +24

    Nawapenda sana mnazidi kutufurahisha mashaallah 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🥰🥰🥰🥰🥰

    • @mwajumamkalala2561
      @mwajumamkalala2561 Год назад

      Kwani mnaongea kwa faida ya watanzania au? Mbone mnatumalizia MB zetu na hiyo yes no za kuiga, fyoooo

  • @sostenesmidelo6087
    @sostenesmidelo6087 2 года назад +5

    Nimekua interested with this young lady, so mature

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 2 года назад +49

    Hivi ndio mnauwa vipaji vya wadada zetu, badala ya kuwauliza maswali ya vipaji vyao, mnawalazimisha maongezi ya zinaa zinaa tu mwanzo mwisho, Zuchu na wewe umeshakua msanii mkubwa, hayo maswali ya mabwana na zinaa uyaache, ongelea mziki wako, ilikuaje kwenye kuandaa, location ilikua wapi, behind the scene, badilika Zuchu wewe uko tofauti ni msomi usianze mambo ya kiki za zinaa hazikupendezi

    • @obenitejailos7007
      @obenitejailos7007 2 года назад +3

      Kipindi ni cha mahusiano hicho.

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 2 года назад +4

      @@obenitejailos7007 Maswali ya mahusiano kwa levo yake yangekua ya levo yake sio haya ya umbea wa levo ya Juma lokole, huyu ni msanii mkubwa wa kimataifa anaangaliwa na watu wa nchi nyingi, mahojiano yake pia yaendane na ukubwa wake sio vimaswali vya kumshushia hadhi

    • @daimakiganjani
      @daimakiganjani 2 года назад +1

      Jifunze kujua vipindi hiki ni kipindi Cha mahusiano hata nje kipindi cha aina hii lazima uulizwe maswali ya aina hii HAIJALISHI ni Rihanna

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 2 года назад +3

      @@daimakiganjani Ulishawahi kusikia Rihana analazimishwa uvumi wa kuolewa na bosi wake, sasa kwa nini Zuchu atoke na kiki ya kuolewa na bosi wake Diamond?

    • @daimakiganjani
      @daimakiganjani 2 года назад +1

      @@darajalakidatukilomgi2362 Hapana haijatokea Ila Sasa hiki ni kipindi cha dida na unajua wazi dida anafanya kipindi gani...sio kwamba nakupinga lazima mtu anayefanya content lazima atafute vyovyote vile

  • @lucysolomon6689
    @lucysolomon6689 2 года назад +2

    Ur damn Inlove with father Abraham lol hope you know Zari is still alive never forget

  • @rosenaafya9356
    @rosenaafya9356 2 года назад +18

    Yeeh she is brushing even-her breathing changed 🤣🤣🤣

  • @nickalekix6300
    @nickalekix6300 2 года назад +16

    nawapenda Sana zuu na diva

  • @CertifiedGavin
    @CertifiedGavin 2 года назад +3

    I luv this interview
    But please muniambie tittle yahii beat I luv it the way trumpet Zina blow omg

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 года назад +3

    Mashaallah zuuuchuu nakupenda sana

  • @nadaanaafyayakotz2629
    @nadaanaafyayakotz2629 2 года назад +4

    DIIIVA UMEFANYA KAMA FEET UP WITH THE STARS YA #colorstv BIIIIG UUUUUUUUP UMEWEEEZAAAAAAA🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @chamgwankojuma704
    @chamgwankojuma704 2 года назад +2

    Divaaa...proffesional

  • @railamutuka5490
    @railamutuka5490 2 года назад +15

    Jamani zuchu,,sauti tamu

  • @azolsedikia5127
    @azolsedikia5127 2 года назад +12

    Nawakubali Sana 💪🔥🔥

  • @randx1158
    @randx1158 2 года назад +24

    Ungeangalia maisha ya tanasha vile alifanyiwa ungekoma

    • @rohaniatv6728
      @rohaniatv6728 2 года назад +2

      Kafanyiwa nini?

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 2 года назад +2

      Kafanywa nini za ya kupewa boost ya kuwa kwenye fame, she is trending because of Diamond otherwise hata humu msingekuwa mnamjadili.

    • @nemamohamed725
      @nemamohamed725 2 года назад

      🤣🤣

  • @mwambatv5202
    @mwambatv5202 2 года назад +7

    Lakini mtoto chuma jamani ❤️❤️

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 2 года назад +6

    🔥❤🔥

  • @queentoto3878
    @queentoto3878 2 года назад +3

    🥰🥰🥰🥰🥰🥰💜💜💜so lovely 😍

  • @bonithecallist7005
    @bonithecallist7005 2 года назад +1

    Zuchu nakupenda

  • @jamilahnassimbwa6056
    @jamilahnassimbwa6056 2 года назад +7

    Enjoy baby gal it’s ur time, Allah is in control

  • @rassimasumailnguema1247
    @rassimasumailnguema1247 Год назад

    Nampenda diva💞❤️

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 2 года назад +15

    What looks she has doing so many things before she knows everything about relationships but on this relationship she will came to regrate.

  • @aishahamissi3775
    @aishahamissi3775 2 года назад +5

    😍😍😍

  • @bonithecallist7005
    @bonithecallist7005 2 года назад +1

    Wewe unajua namna yakujibu interview nakupenda

  • @fatmas7338
    @fatmas7338 2 года назад +8

    Zuchu mwanangu hayo mambo ya kujusifia zinaa sio mazuri kwa mtoto wa kiislam

    • @neemamichael8069
      @neemamichael8069 2 года назад

      Zaa wako umuongoze utakavyoo

    • @fatmas7338
      @fatmas7338 2 года назад

      @@neemamichael8069 kwa taarifa yako huyu pia ni mwanangu dini yetu inasema mtoto wa muislam mwenzio ni mtoto wako maana ss waislam sote ni ndugu upo

  • @jamesalimke7162
    @jamesalimke7162 2 года назад

    Zuchu love

  • @karimshabani4186
    @karimshabani4186 2 года назад +1

    Zucchu anazidi kuwa mzuri duuuuu

  • @hakimsashamusic
    @hakimsashamusic 2 года назад

    Play don't worry by hakim sasha..

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 2 года назад +4

    Huyu mtoto wawenyewe kapotea of all the men's uliona Diamond

    • @clingcrust8745
      @clingcrust8745 2 года назад

      Nakwambia ni ujinga tu 🤦‍♀️

  • @malaika7932
    @malaika7932 2 года назад +4

    Nakupenda weweeeee

  • @malaika7932
    @malaika7932 2 года назад +3

    Jamani

  • @exoticsomalibantuhistory9476
    @exoticsomalibantuhistory9476 2 года назад +3

    Kwa tusiojua ku hangout..... ku hangout niku Kwichi kwichi ama ina maana tofauti 🤣🤣

  • @yvonnerahs9018
    @yvonnerahs9018 2 года назад +5

    Utakoma😎

  • @ukurasawangu
    @ukurasawangu 2 года назад +1

    Mnaboa sana sasa diamond na zuchu mmeambiwa ndo habari zenu hamna kingine

  • @musemaaline2159
    @musemaaline2159 2 года назад +6

    Kingereza kingii jamani

  • @fatimasaid5795
    @fatimasaid5795 2 года назад

    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @festopaul7549
    @festopaul7549 2 года назад +1

    Vingereza viingi wasenge nyie unaweza sema wakenya...ongeeni lugha Moja kama ni kiswahili au kingereza

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 2 года назад +6

    Lavl-Davi KIGAGULA!!

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 года назад

    Daimond alishazoea penzi la kiganda,waganda Wana Mambo Fulani zuchu ataweza daima Simba atakuwa wa zali🙏

  • @kabeyatvmedia3035
    @kabeyatvmedia3035 2 года назад

    Tumia busala katika kazi nzako chukuwa mfano kwa nandy mwana dada Ana kiki zakisenge kama zako ulikuja vizuri unapo enda unapoteza mashabiki zako tuza mwili wako usifanye mwili wako kimafanikio yako utapotea zuchu🏃‍♂️🏃‍♂️

  • @fatmaomar8497
    @fatmaomar8497 2 года назад +1

    Zuchu huyo dada anakuulizaje mambo ya zinaa...au yeye keshazowea....achana nayo hayo

  • @faishaogola9938
    @faishaogola9938 2 года назад +2

    Waw, pole Zuchu you are beautiful, please don't get into Diamond sinking ship, it's a toxic family they will destroy you.

  • @mwyahaya5086
    @mwyahaya5086 2 года назад +3

    Matako yenu mnapenda vingereza ! Mchague luga kama mtafanya mki swahili nfanye mki swahili kama ni kingereza mfanye mkingereza msituchanganye sisi mnasikiya

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 2 года назад +24

    Yaani zuchu kama kweli unadate diamond umepotea my dear,he will use yu en dump you na sanaa yako kwisha

  • @musemaaline2159
    @musemaaline2159 2 года назад +7

    Usijali wambeya kazi yawoo kuongeyaa wwe kuwa ww fanya yakoo waace watok .

  • @chany9950
    @chany9950 2 года назад +2

    Ka zuri jmn

  • @wastarabucomedy2248
    @wastarabucomedy2248 2 года назад +2

    Zuchuuuu😂🤣🤣😅😅😅😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @tedsahir2046
    @tedsahir2046 2 года назад +1

    The story bok

  • @ramadhanmasanja9792
    @ramadhanmasanja9792 2 года назад +1

    Jaman jaman huyu diamond I weeee mm namende zuchu weweee umesha mchumbia duuu sasa mm nimuowe Mani jaman

  • @omarymbalala6224
    @omarymbalala6224 2 года назад

    Wapuuzi sana hii media

  • @mourhaadmoudy1498
    @mourhaadmoudy1498 2 года назад

    Kila mtu akimuweka wallpaper boss wake tz tusingeishi kwa Aman,,

  • @NNn-mj2pb
    @NNn-mj2pb 2 года назад +4

    Nauyu atalia

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 2 года назад

    ❤❤❤

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 2 года назад +1

    Na ww Diva huna maswali zaidi ya mabwana tu hujui unamdhalilisha binti wa wenzio hebu fanya heshima basi huyo ni sawa na mwanao na unajuwa kabisa hajaolewa bado mwanamwari na kama kwako ni kawaida kwa mazingira ya Zuhra sio kawaida kwake kusema hayo usipende kuongelea mambo hayo tu ongelea kazi zake.

  • @wastarabucomedy2248
    @wastarabucomedy2248 2 года назад +2

    Balaaaa😅😂🤣🤣🤣🤣

  • @thepotgodess5542
    @thepotgodess5542 2 года назад

    Diamond is a public man , calm down lady

  • @sharifachacha6682
    @sharifachacha6682 2 года назад +1

    Zuchu umwambie kila kitu wanga wengi

  • @wakapesatz1451
    @wakapesatz1451 2 года назад

    Unazinguwa unahojiwa kiswahili unajikuta mzungu

  • @fatmaabdalah7007
    @fatmaabdalah7007 2 года назад +2

    Hamna lolote hamna wasanii tanzania kuna umbey tu

  • @herrybmsafi5238
    @herrybmsafi5238 2 года назад +1

    mzuliii

  • @shabanalhpo1425
    @shabanalhpo1425 2 года назад

    Mtangazaji mwenye kifua chake

  • @onesmongenzi3471
    @onesmongenzi3471 2 года назад +3

    Kwa kiki hamjambo!!!!!!!!!!!!!.

  • @sharifachacha6682
    @sharifachacha6682 2 года назад

    Ongea kiswahili.

  • @Odama-dn7xy
    @Odama-dn7xy 2 года назад

    We diva ilo shat vipi

  • @elinafu2224
    @elinafu2224 2 года назад +1

    Na ata haringi kama ni hawa ma slyqueen wangekuwa wanaringa

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 2 года назад

    Zuchu pamoja na kwenda kusoma lndia hujui kiingereza mbele ya Diva ongea kiswahili maana diva anajua kiingereza kama muingereza anakusanifu heri ongea kiswahili

  • @saidabdala4980
    @saidabdala4980 2 года назад +10

    Hebu nyie kasomeni dini. Maisha ya ukafiri

    • @sabraabdilnasir8826
      @sabraabdilnasir8826 2 года назад +2

      Umeongea

    • @sabahiali6021
      @sabahiali6021 2 года назад +2

      Mabilisi tu

    • @fatmas7338
      @fatmas7338 2 года назад +3

      Yaani huyu mtoto wa kiislamu kazi kujusifia kwa Zinaa tu

    • @saidabdala4980
      @saidabdala4980 2 года назад

      @@sabraabdilnasir8826
      Hivi vipindii vingine. Vinaharibu malezi .sasa ndio nini . Watu wazima baada ya kutafuta msala wamekaa wanajadili ufuksa. Halafu kwenye kitanda. .

  • @khadijashaban3218
    @khadijashaban3218 2 года назад +3

    Zuchu nataman iwe wenye vimnelembele wakome

  • @lubnaawadh7624
    @lubnaawadh7624 2 года назад

    Jaman kwhyo huyo diva Hana kijicho😒😒😁

  • @neziajoseph9726
    @neziajoseph9726 2 года назад +1

    Sema wanaume malaya mwisho wa cku wanaoaga wanawake wabayaaa

    • @ciarmnyone738
      @ciarmnyone738 2 года назад

      Kwa hyo unataka kusemaa bibieeee Hana reception

  • @mwyahaya5086
    @mwyahaya5086 2 года назад

    Zuchu anayo tatoo ya mond seemu ya msambwanda

  • @rashidnajma350
    @rashidnajma350 2 года назад

    Mara China Mara Indian

  • @nasrayahya2885
    @nasrayahya2885 2 года назад

    Diva samahani naomba no yako ninashoda mhimu.sana nawe

  • @kennedyombewa7974
    @kennedyombewa7974 2 года назад

    Too much distance, mhhh, vizungu niue

  • @googleus4903
    @googleus4903 2 года назад +1

    DIVAA UNA MTINDI MKUBWA UNAMKARIBIA MASHALOVE YANI MPAKA HIYO PAJAMA INATAKA KUFUNGUKA VIFUNGO KWA SHUGHULI NZITO YA KUSHIKILIA HIZO TITI🤣😂😅
    MBAYAA ILA MASHAUZI SASA KUJIFANYA PISI KALII

  • @hawasaid7151
    @hawasaid7151 2 года назад +3

    Anavyojishauwa sasa alivotajiwa diamond 😂😂😂

  • @hussseinmasangya7130
    @hussseinmasangya7130 2 года назад +6

    😂😂😂ichi kitoto kinaliwa 😂

  • @thisandthat4932
    @thisandthat4932 2 года назад

    Watanzania na umbea

  • @lucysolomon6689
    @lucysolomon6689 2 года назад

    India na hiyo English 🙆🙆🙆 sisemi kitu

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 2 года назад +2

    Tulio soma India tujuane

  • @ghoskali2086
    @ghoskali2086 2 года назад

    ZUCHU AENDA CHOONI KUNYA AONEKANA ATAKIWA AELEZE KWANINI

  • @dinamollel4057
    @dinamollel4057 2 года назад +5

    Tuko busy na mimba ya Rihanna

  • @rizikiruwa7116
    @rizikiruwa7116 2 года назад

    Looo

  • @drdavidomuswahiliofficiel8645
    @drdavidomuswahiliofficiel8645 2 года назад +5

    😂😂😂Diamond platnumz acheka sana baada yakuona iyo video ebu bonyeza apachini na wewe ujioneye👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
    ruclips.net/video/WbGSs1CFdeQ/видео.html

  • @rizzybett9329
    @rizzybett9329 Год назад

    Kameflow😂😂😂😂

  • @ivanyydaniel2487
    @ivanyydaniel2487 2 года назад

    dah huo msura wa diva kama BOGA

  • @hunterblack2574
    @hunterblack2574 2 года назад

    Hivi munaongea kingeleza munafikil kila mja anajua kingeleza

  • @swaumdeusihealthfirst8076
    @swaumdeusihealthfirst8076 2 года назад

    BAWASIRI INATIBIKA

  • @lavyzedy9052
    @lavyzedy9052 2 года назад

    Kuachwa nayo🤣🤣🤣🤣

  • @bahatiagape7121
    @bahatiagape7121 2 года назад +2

    Sasa unajigerembua kuongea English....hata hujui sana....ongea kishwahili tuuu...🤣

  • @MITOBO
    @MITOBO 2 года назад +2

    Mbona kiingereza saana alafu mimi sielewi

  • @fhgggffhg7721
    @fhgggffhg7721 2 года назад

    Hhhhu

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 2 года назад +6

    Tunaomba hata baada kuachana,publicity iwe hivi...we have had ENOUGH GUYZ..Maswali ya kijingaaaa.

  • @selinazmishti
    @selinazmishti 2 года назад

    Kameflow 😂😂

  • @ENEAHTV
    @ENEAHTV 2 года назад

    Tazama UMRI wa mastaa mbalimbali wa bongo!!
    Kumbe kaZuchu ni kakubwa kamempita Hadi harmonize😂😂😂😂
    👇👇👇
    m.ruclips.net/video/5IaWx-DJrTc/видео.html

  • @flova7022
    @flova7022 2 года назад

    Malayaa. Wote wawili