LEILAH RASHID kuachana na MZEE YUSUPH kwa Amani. FULL

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 185

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 8 лет назад +59

    mwanamke wakiislamu baada ya radhi za wazazi akiolewa zina hamia kwa mumewe basi ikiwa mzee yusuf ameamua kuachana na munkar basi hakuna budi lazima mkewe amfuate kwani ndio mas ul kwake hapo hakuna mjadal na ikiwa mkewe atakataa kumfuata mumewae basi atakua amekhalifu amri ya mwenyezi mungu na mtume wake hapo atakua amekosa radhi ya mumewe, swali ukiwa ume khalifu amri ya mwenye mungu namtume wake kisha ukazikosa radhi za mumeo je watarajia nini kesho, duniani tuna pita tu huko ndio kwenyewe haya yoote mapambo ya dunia tutayaacha hapa hisabu ndio amal utaondoka nayo sasa dadangu huu mtihani mdogo mungu kakupa muache mumeo kwaajili ya ngoma taarab mipasho, rusha roho,michambo au umfuate mumeo kwa ajili ya ALLAA, mxee yusuf aliipenda taarab kukushinda mungu akampa tanabai, mungu atuongoze sote waislamu inshaallah.

  • @omand1761
    @omand1761 8 лет назад +13

    Mungu hashindwi na jambo,mzee Yusuf amuombe Mungu mwisho Leyla atabadilika mwenyewe.Asiwe na munkari wala jazba,mola ndo mlinzi wa roho safi na zilizopotea.Sababu mimi sijawahi kuona talaka inatoka kwa jambo la kheri la kutubu!!,ndo kwanza itakuwa kwao Mungu awaepushie.Amin

  • @zubedamwinazi413
    @zubedamwinazi413 6 месяцев назад

    Mwenyezi Mungu Awadumishe kwenye ndoa yenu mwaka 100 mahsidi tupa kureee

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 лет назад +3

    MashaAllah we mzur Leyla

  • @asyadada9011
    @asyadada9011 8 лет назад +9

    inshaallah mungu akupe mwisho mwema kama mumeo wakti ukifika nafsi ikardhia bila shurti basi acha na umrudie Allah na ss wengine pia Allah atuongoze tupate mwisho mwema

  • @catherineadam4483
    @catherineadam4483 6 лет назад +1

    nakupenda sana dada Reila mungu akupe miaka mingi

  • @imanilaurent3043
    @imanilaurent3043 4 года назад

    Nakupenda sana

  • @aminakhamis1122
    @aminakhamis1122 6 лет назад +1

    Nakupenda Sana leila

  • @mozaal-riyamy9009
    @mozaal-riyamy9009 8 лет назад +10

    mke wa alhaji kichwa wazi.mzee.yusuph utaulizwa sanaa

    • @salmamustapher8614
      @salmamustapher8614 8 лет назад +3

      kwa kabixa amelaaniwa mwanamke mwenye kuunganisha nyware Na mweny kuunganishwa wote bi laana.

    • @sulaimana8127
      @sulaimana8127 8 лет назад +8

      tubu wewe mama mfwate mumewako anakuita mwende peponi na ibilisi anakuita motoni.

    • @hajimakalans6927
      @hajimakalans6927 8 лет назад +2

      Moza Al-riyamy

    • @abasmahesha7887
      @abasmahesha7887 6 лет назад

      Moza Al-riyamy Yusuph

  • @endlessluvali2138
    @endlessluvali2138 8 лет назад +10

    Mola amjalie azinduke na yeye aache muziki.
    Mola humuongoza amtakae

  • @sopiaahmad7795
    @sopiaahmad7795 8 лет назад +4

    leila nakupenda unavyoongea,too cool

  • @ameeraaljassim4138
    @ameeraaljassim4138 5 лет назад

    Kweli jamani pole

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 8 лет назад +9

    Masha Allah Leila nakupendaje mie waache waseme

  • @haithamkhamis3744
    @haithamkhamis3744 8 лет назад +3

    tubia ww dada pumz isikuhadae utajutia in sha Allah mola akuongoze uione haq na uifuate

  • @khadijahassan82
    @khadijahassan82 5 лет назад

    Allah akuongoze katika njia ilionyooka inshaallah

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 8 лет назад +3

    jamani njia ipi tena aonyeshwe wakati mumewe ashamwonyesha mke wangu tulikua tuko gizani sasa njia ilio na mwangaza hii achana huko twende huku ati ngojea kidogo alive kwambia tutaishi mpaka kesho ninani INA ILEHI WAINA ILEHi RAJ UUN

  • @vanessawilliam3653
    @vanessawilliam3653 6 лет назад

    Duuuuuuu unafanana na amina king kiba nawapenda

  • @joycesongoloka8412
    @joycesongoloka8412 7 лет назад

    nakupenda sana leie

  • @thomaslandwhale
    @thomaslandwhale 8 лет назад +3

    In shaa Allah Mungu atampa fahamu na ataiona njia iliyo ya kweli..Kwa hakika bado mda anao.

    • @fareesfarees7634
      @fareesfarees7634 8 лет назад +1

      Tee- Bag mda hana...abadilike now...Muombee dua tu abadilike

    • @fareesfarees7634
      @fareesfarees7634 8 лет назад +3

      Tee- Bag akifa kabla hajabdilika itakuaje???

    • @thomaslandwhale
      @thomaslandwhale 8 лет назад +3

      In shaa Allah coz even the king repented recently...l hope and pray she will repent before she died In shaa Allah

  • @ramadhanmwinyi5605
    @ramadhanmwinyi5605 8 лет назад +6

    unamtia mumeo motoni coz yy ndio ataenda kulizwa kuhusu ww inshallah mbele ya allah

  • @winfridapeter4458
    @winfridapeter4458 7 лет назад +3

    nakupenda Leyla wangu

  • @adamnguvu1020
    @adamnguvu1020 5 лет назад

    *wakati wake ukifika naye atabadilika so mzee yusuph kumrudia mungu wake hakumfanyi kila mtu amfuate Yeye no hvyo mungu ndo anayepanga HUMUONGOA ANAYETAKA KUONGOKA NAHUPOTEZA ANAYETAKA KUPOTEA Pia mungu anasema alomnyanyuwa Yeye hakuna wakumshusha na Alomshusha Yeye hakuna wakumpandisha*

    • @khairulabdi8231
      @khairulabdi8231 5 лет назад

      we vipi ?? Hujui kuwa mwanaume ni Mchunga Na Lazima Utaulizwa ulivyo vichunga...

  • @abdillahichicha8035
    @abdillahichicha8035 6 лет назад

    Nguvu za sheytwani zina mwisho ila nguvu za mungu hazina mwisho tujitahidi kurudi kwa Allah inshaAllah

  • @saisdanabdullah396
    @saisdanabdullah396 8 лет назад +1

    Maasha Allah.... 👏👏👏👏

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 8 лет назад +5

    mashaallah muzindi kuelewana kwani waja midomo wazi wasubiri unafiki

  • @malqiaofficial1003
    @malqiaofficial1003 8 лет назад +11

    leylah dadaangu jistiri mwanzo kama mke Wa Alhaji

  • @jemimapamen6663
    @jemimapamen6663 5 лет назад

    Leila we nakupenda.

  • @zarihassan2173
    @zarihassan2173 8 лет назад +2

    Mas,hallah

  • @emmatv7264
    @emmatv7264 6 лет назад

    dada nampenda sana huyu

  • @tiffahtiffah7881
    @tiffahtiffah7881 7 лет назад +2

    bora naww uache2🙏

  • @magambosinongo5072
    @magambosinongo5072 8 лет назад +18

    wanawake ni mtihani sanaaaa kwakweli

  • @francoismalenge1373
    @francoismalenge1373 7 месяцев назад

    🎉

  • @hanagirma7761
    @hanagirma7761 5 лет назад

    Msibaa uwoo dadaetu rudi kwamola wakooo dhunia nikupita tu inshaAllah Allah atakuongoza njia ya kheri

  • @azaqzszs1972
    @azaqzszs1972 7 лет назад

    nic my leila

  • @fatumaramadhanmashaallahal9966
    @fatumaramadhanmashaallahal9966 5 лет назад

    Ni vyema kumrudia mungu heri inshaallah dadangu

  • @politeman8011
    @politeman8011 6 лет назад +3

    Wanaofanya dhambi huku wanacheka wataingia motoni huku wanalia.
    Hili liwe ni neno la ukumbusho kwa kila mtu.

  • @حسناانور-ك5ه
    @حسناانور-ك5ه 7 лет назад

    Nice

  • @aminasalmu3322
    @aminasalmu3322 8 лет назад

    ni kweli au

  • @omand1761
    @omand1761 8 лет назад +4

    Mwanamke wa kiislam anatakiwa amtii mumewe siku mzee akikukataza kuimba,ukienda kuimba umauti ukikukuta umekufa kafiri ingawa hatuombei hivyo.Daraja ya mume kwa mke ni kubwa sana,mtu akibisha shauri yake mwenyewe.Maisha yasituhadae leo tupo kesho hatupo.Mungu atupe mwisho mwema sote

    • @kimmtorobo3870
      @kimmtorobo3870 7 лет назад

      Nimekumbuka ule wimbo wa zamani unaosema, tindi moja tindi mbili tindi tatu kazoea......hivyo kam alimfundisha mwenyewe kuimba, basi atamfundisha taratibu aina njia nyingine ya maisha anayotaka aifate

  • @sabrinaomary5166
    @sabrinaomary5166 5 лет назад

    Kaaaah inasikitisha eti bila aibu mke wa alhaj

  • @jumamwalimu3536
    @jumamwalimu3536 8 лет назад +6

    Mzee yusuph al hajji una kaz hapo kwa wake zko

  • @greatiq8234
    @greatiq8234 5 лет назад +4

    Kuna mwanamama mwengine (pia muimbaji wa taarab) alisemwa juu ya bwana Wa Dubai huku akiwa na mumewe. Akakana! Ameolewa naye bwana huyo baada ya kuwa kichocheo cha kuachana na mume huyo ambaye sasa hayuko tena duniani!

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 7 лет назад +2

    Layla hana budi ila kuachana na munkar amfuate Mzee, shukran bi Aisha.

  • @leticiamapunda3324
    @leticiamapunda3324 2 года назад

    Leila yaani ukitabasam mimi hoi nafuraishwa sana

  • @subirabuyout1317
    @subirabuyout1317 6 лет назад

    Soubuhanallah mtto wa kislam

  • @leylayusuf435
    @leylayusuf435 8 лет назад

    mashallaha mola awaongoze kwa mapenzi yenu hadi kufa kuzikana waja kawaida Yao kuzungumza somu mtunze mumeo acha na waja

  • @AshaRamadhani-r2o
    @AshaRamadhani-r2o 4 месяца назад

    Ni kwel au nikiki tuu dadaa

  • @ramzanqarim4977
    @ramzanqarim4977 6 лет назад

    Mungu anakuona .sio jambo LA kucheka hilo

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 4 года назад

    Mh Leila atamtudisha mzee yusuph kuleee nyie subirin wanawake tukiwa sema tunakuwa sema haswa na tukiwa waovu hapatoshi

  • @aminaluttu8339
    @aminaluttu8339 6 лет назад

    yani we sakina nakupenda mpaka basi unavituko vizuri

  • @aishajuma6009
    @aishajuma6009 4 года назад

    Mke was pili was mzee yusuph

  • @tiffahtiffah7881
    @tiffahtiffah7881 7 лет назад +1

    mambo ndoyatakua mazuri 🙏

  • @likmaniyusuf4182
    @likmaniyusuf4182 8 лет назад +13

    pole Dada angu laila kwa yaliyokupata,mrudie mungu wako bila shaka kila kitu kitaenda sawa kwa uwezo wake

  • @upendorobert7298
    @upendorobert7298 5 лет назад

    Mzee Yusuph hana lolote kama kamrudia Mungu si kuacha taarabu tuu, hata vitu vyote alivyovipata kupitia taarab angeviacha na kugawia masikini, aanze upya kwa kazi nyingine ambayo ndo kaona inampendeza Mungu wake, vinginevyo ni sawa unaendesha gari ya wizi unaamua kuuza na pesa kutumika kwa shughuli nyingine

  • @zainabumohammed8334
    @zainabumohammed8334 5 лет назад

    kichwa Wazi Mke Wa Alhaji Inalilah Wainailah Roujiun

  • @uthmanzombe2242
    @uthmanzombe2242 4 года назад

    Wote mtu na mmewe ni wanafiki wakubwa.

  • @paulomgan2064
    @paulomgan2064 6 лет назад

    Leila mzuri anafaa kuwa mke

  • @mariamakungwa9416
    @mariamakungwa9416 5 лет назад

    Kaachwa wa kwanza hata yeye akubali tu

  • @disneyland5580
    @disneyland5580 8 лет назад +23

    Apende asipende mziki haramu ndo mumeo kaachana na muziki kilichobaki tukuombe Mola akuoneshe njia ya haki na iliyo nyooka

    • @abdallahmfoi6292
      @abdallahmfoi6292 6 лет назад

      Disney Land inshalwaa alwah awajahlie wepes yanamkuta kila mja inshalwa tuombeane

  • @selemaniabdallah150
    @selemaniabdallah150 8 лет назад +4

    liacheni liseme iro likhadija mpaka apanuke domo mpaka iro lisura lake lizid upan na mnyonyo ufike kweny utosi

  • @iddibakari166
    @iddibakari166 6 лет назад

    mfuate mumeo mjue mungu inatosha kwa uliyoyafanya

  • @munguaibarikitanzanianawat9254
    @munguaibarikitanzanianawat9254 5 лет назад

    Sasa hapo munaongelaa nini mbona sielewi.kama watoto.mambo ya saji kila mtu anayo

  • @musahusein9250
    @musahusein9250 7 лет назад +1

    we leila unashadagan wewe achakuitolea macho dunia wewe nimuislam bwana tambua dunia tunapita lakini akhera nibora nayenyekubaki mulele mumeo hanashida kahangaika sasa karudi kwa allwah muunge mkono

  • @samiahsuleyman6285
    @samiahsuleyman6285 7 лет назад

    Kila mchunga ataulizwa kwa alichokichunga mzee Yusufh hii ni dhima kwako

  • @fahadsaid8657
    @fahadsaid8657 6 лет назад +1

    Huyu si mke ni sheitwan nashangaa mzee yusuf yupo nae ndo Alhaji gan kukaa nywele waz mke wako

    • @accericknashon1443
      @accericknashon1443 5 лет назад +1

      fahad said usimuhukum binaadam mwenzio kumuita sheitwan, mtoa hukum ni Allah pekee, ipo siku ataacha sio kumuita sjeitwan haaaa jmn. ndio din inasema hvy

  • @TRAVELANDTASTETANZANIA
    @TRAVELANDTASTETANZANIA 8 лет назад +4

    Mambo vipi Tanzania? karibuni kwenye channel yangu kuna bonge la love story ya kweli kabisa,channel inaitwa Maisha ya Ughaibuni.

  • @fafi9092
    @fafi9092 8 лет назад +2

    Mungu anamaana yake kuamrisha uone wanawake wenye din uyu mwanamke ata nusu yadin yake aijuh

  • @politeman8011
    @politeman8011 6 лет назад

    Allah nae atamuongoa.

    • @fikirihalfani3384
      @fikirihalfani3384 5 лет назад

      Usije ukaacha mzik we mama maana nisikia raha sana ukiimba

    • @khairulabdi8231
      @khairulabdi8231 5 лет назад

      Yaan humu kuna mijitu inatumia majina ya kiislam kumbe ni Makafir

  • @salmamohamed6347
    @salmamohamed6347 7 лет назад +3

    Seriously mume amerudi kwa Mungu mke asema amechukia😭😭

  • @jumamadenga630
    @jumamadenga630 3 года назад

    Htr

  • @tiffahtiffah7881
    @tiffahtiffah7881 7 лет назад +7

    ajakuambiakitu anajua ww nimtumzm 👆 utajiongeza

  • @mwanahella9650
    @mwanahella9650 8 лет назад

    😩😩😩😩

  • @mabovuhomefurniture
    @mabovuhomefurniture 6 лет назад

    Nywele za bandia

  • @kassimmohammed4949
    @kassimmohammed4949 5 лет назад +1

    Hivyo alivyo Tuuu Ana machukizo ya Allah

  • @aminakadala1319
    @aminakadala1319 8 лет назад +1

    Leila nakupenda sana na mwanamke mwenye msimamo usiyesikiliza ya waja mpende mumeo visokolokwinyo wapotee mama

  • @politeman8011
    @politeman8011 6 лет назад

    Hahahhaah Joyce dini yetu haina nyimbo.

  • @khadijaomarkhadijaomar4822
    @khadijaomarkhadijaomar4822 8 лет назад +3

    mwanamke kujiamini hongera

  • @sheikhajuma2591
    @sheikhajuma2591 6 лет назад

    Haya ya dunia 2 ipange akhera yko

  • @latally8987
    @latally8987 7 лет назад

    mxamaa unakuuxu b khadija

  • @joycesongoloka8412
    @joycesongoloka8412 7 лет назад

    usijali leila

  • @jumamahdi7862
    @jumamahdi7862 8 лет назад +1

    Mzee Yusuph" Pongore nakupa au Chewu.

  • @jenephjany7445
    @jenephjany7445 6 лет назад +1

    Kumbe una mdomo mpana hivyo hadi magego ya mwisho yanaonekana mmh mungu anisameh lkn 😂

  • @rosedavid499
    @rosedavid499 5 лет назад

    napenda unavyoongwa mke wa Yusufu

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 8 лет назад +4

    INA LILAHI WAINA ILEHI RAJ UUN

  • @ChaffuziTheDj
    @ChaffuziTheDj 8 лет назад +4

    fanya atakacho mume wako ndio upate jannah

  • @ramadhanijuma8874
    @ramadhanijuma8874 7 лет назад +1

    Huwa nashangaa sana kumuona mtu mweusi akijihusisha na uislamu bila kujua kuwa wanafuata mila na taratibu za waarabu ambao ndio wanongoza kwa kuwachukia na kuwadhuru watu weusi......huu ni utumwa kabisa

    • @khamismusa7626
      @khamismusa7626 6 лет назад +1

      Ramadhani Juma uislamu haubaguwi rangi wala kabila

    • @saadajuma5808
      @saadajuma5808 6 лет назад +1

      Ramadhani Juma haujui unasema nini wala haujielewi

    • @aboudmsonde2890
      @aboudmsonde2890 6 лет назад

      Ramadhani Juma aisee sikutegemea kama kuna mtu anaweza kuandika ujumbe kama huu wako umesoma habari za bilal bin rabah alikuwa mtu mweusi tena mwenye asili kinubi lakini mtume alimteua kutoa wito na mtume akaupitisha hadileo ndio wito bora (adhana) vipi ramadhan juma......

    • @yousufharthy6876
      @yousufharthy6876 6 лет назад

      Ramadhani Juma
      Umekosa Elimu na huna busara.
      Hujuwi hata unazunguka nini.
      Kwani Issa ibn Maryamu alikuwa mzungu au Muafrika .
      Nenda waulize wajinga wenzako ikiwa hujuwi.

    • @khairulabdi8231
      @khairulabdi8231 5 лет назад

      yani humu kuna majitu yanatumia majina ya Kiislam kumbe Ni makafir ikiwemo hili li Ramadhan

  • @ashulamusin9811
    @ashulamusin9811 5 лет назад +2

    Ushetani mtupu mwenzio utamfany aingie motoni em acha hvyo badilika

  • @daruweshghalib2725
    @daruweshghalib2725 8 лет назад +4

    mludie mungu wako km mumeo alivyo ludi kwa allah

  • @lovinaakinyi4397
    @lovinaakinyi4397 7 лет назад +2

    mtoto waki Tanzania uliumbwa ukaumbika fanya kazi yako time yako ikifika utawacha to pia mume anaweza akakuwacha na akakuletea mke mwenzio kwa hivyo dada fuata roho yako na raha jipe mwenyewe

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 4 года назад

    Sikio la kufa

  • @tumainimaseta9093
    @tumainimaseta9093 7 лет назад

    kuachika ni kawaida has a mwanaume akiamua usife moyo piga. kazi

  • @farish2899
    @farish2899 8 лет назад

    kuna vita Yemen.

  • @joycesjacob2890
    @joycesjacob2890 8 лет назад +4

    imba nyimbo za dini

    • @Focus_Mengi
      @Focus_Mengi 8 лет назад +1

      ....japo dini ni kaburi nene

  • @loveelaadam2517
    @loveelaadam2517 6 лет назад

    Mbona huna stara wafkr sio mke wa alhaj

  • @kassimmohammed4949
    @kassimmohammed4949 5 лет назад

    Majanga tuuu hamna kitu hapo

  • @saidaalijuma858
    @saidaalijuma858 6 лет назад

    mung hapend na ww ni muisalmu

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 7 лет назад +1

    Picha na sauti haziendani inapoteza mvuto.

  • @metalcombat4470
    @metalcombat4470 8 лет назад

    Chombo kimetulia! Yaani, Mzee ukijijanyaga tu hapo wanabeba! Ila, kama umeamua kutoka kwenye ushetani basi usimuache mwenzio akaangamia!

    • @saumutsumo9760
      @saumutsumo9760 7 лет назад

      hakuna lisilowezekana kwa Allah na kila Jambo lina mda wake,mda ukifika nae atafuata mumewe ...

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 8 лет назад

    hyaaaaa

    • @joycezakaria1977
      @joycezakaria1977 7 лет назад

      Japani wana ume mnamatatizo

    • @abdullamassoud8065
      @abdullamassoud8065 7 лет назад

      dada laila nakuomba mfuate Mzeee yussuf alikoelekea na hio ndio njia iliokuwa sawa na ya haki