MALKIA FULL MOVIE (1080HD)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии • 115

  • @aliissahaji33
    @aliissahaji33 Месяц назад +10

    Mzee Yussuf film zako ni nzuru sana, ni bora uendeleze hizi films kuliko kuendelea kuimba.
    Ally from Zanzibar

  • @KuluthumuMsuwakollo
    @KuluthumuMsuwakollo Месяц назад +8

    Nilichokipenda mm ni leyla rashidi kumfuata mumewe kila sekta akiimba yumo kwenye movie yumo mashaallah nawapenda Mr &Mrs mzee❤❤❤❤

  • @amisafaraji5796
    @amisafaraji5796 Месяц назад +2

    Mfalme amezaliwa kwajili ya malkia na malkia kazaliwa kwajili ya mfalme much love ❤❤❤

  • @SalmaMtipa
    @SalmaMtipa 4 дня назад

    ❤❤❤❤ napenda sana movi zenu mzur sana saloma mtwara

  • @MwanaAbdullah-b2t
    @MwanaAbdullah-b2t 10 дней назад

    Filamu nzuri MashaAllah

  • @MariamKitsao-b6w
    @MariamKitsao-b6w День назад

    Jmn muendelezo movie nzuri❤

  • @rosenyoroka1516
    @rosenyoroka1516 Месяц назад +1

    Watching from kilifi.. mgaagaa na upwa na malkia keep it up. Kudos 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AsilahHamad-e4f
    @AsilahHamad-e4f Месяц назад +1

    Hii nayo mtuletee muendelezo iko vizuri mashaallah munaweza❤

  • @mariamkassimu5040
    @mariamkassimu5040 Месяц назад +2

    Ila rafiki yaki Aliyasi anakutakiya heri uyo ndo rafiki❤❤❤🎉🎉🎉

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 Месяц назад

    Msitufanyie hvyo bado muendelezo msifupishe mafunzo hili funzo jamani😢 Masha Allah tabaraka Allah nmewapenda mno

  • @Fathmaabubakar-q2c
    @Fathmaabubakar-q2c Месяц назад +2

    Mashallah tabarakaallah ❤❤❤❤music nzr

  • @ZeenadTyrh
    @ZeenadTyrh 13 дней назад

    😊😊 mwendeleza mke mweza

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 Месяц назад +1

    Masha Allah❤❤❤

  • @HalimaAdam-r5e
    @HalimaAdam-r5e 2 дня назад

    Mzee yusuph amenifurahisha kustukia kuwa anajaribiwa 😂😂😂 mzee yusuf nasir huy ni mtyu mbayaaa

  • @AishaMilaji-lt9vx
    @AishaMilaji-lt9vx Месяц назад

    Endeleza uke wenza❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @fatmamrihani6828
    @fatmamrihani6828 Месяц назад

    Jamanii Malkia mzurii mashallah❤

  • @NanaHassan-s8x
    @NanaHassan-s8x Месяц назад

    Jamani mpo vizuli sana 🎉🎉🎉🎉

  • @MespinaMeshack
    @MespinaMeshack Месяц назад +5

    Uke wenza malizia movie nzur

  • @Queenmishy-ti1vl
    @Queenmishy-ti1vl Месяц назад +2

    Movie tamu na nyimbo zilizomo ndani pia tamuu

  • @yusufathman2478
    @yusufathman2478 Месяц назад +1

    Aya soma vizuri mzee yusuf....
    Laa taqrabu zinaa inahu kaana faahishatan wasa a' sabiilaa

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث Месяц назад

    ❤❤❤❤❤❤❤ Masha Allah ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote ❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂

  • @KhadijaKabunda
    @KhadijaKabunda Месяц назад +1

    Muvi nzuri 🥰🥰

  • @chumvinyingigang
    @chumvinyingigang Месяц назад +3

    Saf nzur

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid Месяц назад +3

    mzee yusufu ni mswaili kweli

  • @AsmaAsma-og6ul
    @AsmaAsma-og6ul Месяц назад +1

    Mashallah ❤❤❤❤❤

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 Месяц назад +1

    Unataka mkemweza sehem ya.2

  • @AminaSada-h4p
    @AminaSada-h4p Месяц назад

    Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉

  • @MinahtreezyTreezy-xu4rz
    @MinahtreezyTreezy-xu4rz Месяц назад +1

    Mashallah tabaraka Allah

  • @amisafaraji5796
    @amisafaraji5796 Месяц назад

    Maa Shaa Allah 🤭👌

  • @mwajumalubuva
    @mwajumalubuva Месяц назад

    Manshallah manshallah ❤❤❤

  • @zeyanaalhabsi8636
    @zeyanaalhabsi8636 Месяц назад

    Manshalaa nzuri sana

  • @SheikhMavado
    @SheikhMavado Месяц назад

    Uko vizuri

  • @Samora-z4c
    @Samora-z4c 15 дней назад +1

    Kazi nzuri sana Mzee Yusuf na Mama Leila. Niambieni mimi dollar zangu hamsini $ 50 niziweke kwa account gani?

  • @TinaKazungu-k9m
    @TinaKazungu-k9m Месяц назад +1

    Mke mwenza hajumaliza mbna

  • @BinAlly-dz1wh
    @BinAlly-dz1wh Месяц назад

    mmenikat mood sijaon harus

  • @fatinamwanyelo3582
    @fatinamwanyelo3582 Месяц назад

    Mashaallah mashaallah

  • @harounaakhiy4700
    @harounaakhiy4700 Месяц назад

    Hakika mzee yusuf film zina kupendezesha bora uwache kuimba

  • @MariamAbdallah-p8g
    @MariamAbdallah-p8g 4 дня назад

    Mzee tumalize mke mwenza kwanza

  • @Ashantidjuma
    @Ashantidjuma Месяц назад

    Mmeweza na mmeweza tena
    Na mmenifuraisha sn kweli
    Ila tungali tunasubiria mtumalizie Mkemwenza

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 Месяц назад

    Mashaallah 🎉

  • @MauwaKalambi-ws8jx
    @MauwaKalambi-ws8jx Месяц назад

    Kazinzuri sana

  • @HusnaSalum-p1q
    @HusnaSalum-p1q Месяц назад

    Mashaallah 🎉🎉❤

  • @hassankiungiza4935
    @hassankiungiza4935 Месяц назад +1

    Pora umeiweka RUclips maana nimeitafuta sana. Mashallah.

  • @MosiMintanga
    @MosiMintanga Месяц назад

    nimewakubali

  • @MwakukikiswaDida-ou1nf
    @MwakukikiswaDida-ou1nf Месяц назад

    Ukweli lisubiri sana

  • @AminaMshirazi
    @AminaMshirazi Месяц назад

    Mbona kama mjamzito malkia😊

  • @mishiabdul2834
    @mishiabdul2834 Месяц назад

    Next plzz ❤

  • @FaudhiaWadongo
    @FaudhiaWadongo Месяц назад +3

    Malkiya nampenda❤❤❤

  • @FaudhiaWadongo
    @FaudhiaWadongo Месяц назад +1

    Mzee Ulivyo tulia😂😂😂

  • @HalimaAdam-r5e
    @HalimaAdam-r5e 3 дня назад

    Leily anajikita jaman yaan dunia ni yake halafu anaekti mkali jaman duh

  • @Timehamad-o1j
    @Timehamad-o1j Месяц назад

    Mzee yusuf ww nakuaminia na malikia

  • @MineralLight-dl7gv
    @MineralLight-dl7gv Месяц назад +1

    Saf KAZ nzur

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r 2 дня назад

    Y mzee Yusuf unaongea kitofauti accent sio ww kabisaa

  • @user-gb3fk1yt8n
    @user-gb3fk1yt8n Месяц назад

    Maashaallah

  • @MkubwaAlly
    @MkubwaAlly Месяц назад

    Wewe na chimben kher hna tafaut unaweza kuvaa viatu vyake upo kileo zaid katika kuekti

  • @lamuchidon7643
    @lamuchidon7643 Месяц назад

    Thamthilia nzuri sana ila naomba Mzee yusuf ujaribu kueka tafsiri ya kiingereza ili ipae zaidi kiulimwengu.

  • @DWAXBOY-wu1pp
    @DWAXBOY-wu1pp Месяц назад

    mzee

  • @RajabuHayyan
    @RajabuHayyan Месяц назад

    Mnaishia kat

  • @Zainabuabdalah-vw1xw
    @Zainabuabdalah-vw1xw Месяц назад +1

    ❤❤❤

  • @MkubwaAlly
    @MkubwaAlly Месяц назад

    Mzee umeupiga mwing kuekti mchezo unajua

  • @Hapygideon
    @Hapygideon Месяц назад +20

    Afu mzee unatuangusha mke mwenza hujatumalizia ujue

    • @leakeyojiambo1423
      @leakeyojiambo1423 Месяц назад +3

      Amalizie mke mwenza

    • @shakirashakira-gc2yw
      @shakirashakira-gc2yw Месяц назад +3

      Sahihi

    • @Hapygideon
      @Hapygideon Месяц назад

      @@leakeyojiambo1423 afu zipo mbili ushazifatilia Kuna Ile nyingine bimdogo mpole,afu hiyo nyingine bimdogo wamoto balaa

    • @mussachunga2707
      @mussachunga2707 Месяц назад +3

      Ndugu zangu kuna kijambo hakijakaa vizur ndo tunaipika jamani tuvumilieni

    • @Hapygideon
      @Hapygideon Месяц назад

      @@mussachunga2707 Sasa mtaendelea na ipi ya bimdogo mcharuko au yule mpole

  • @MwashambaNyambwilo
    @MwashambaNyambwilo Месяц назад

    Allahu maswali wasaleemale
    haya tayar 2shamswalia mwme, kwendraaaa😂😂😂

  • @FaudhiaWadongo
    @FaudhiaWadongo Месяц назад +1

    Tunaomba Mtuletee Mke Mwenza jamani

  • @Hapygideon
    @Hapygideon Месяц назад +1

    Tunamtaka na Khadija yusufu aigize naye

  • @hamisikiango4623
    @hamisikiango4623 Месяц назад +1

    Jamani kwani uyu mzee Yusuf ni mpemba?

  • @SofiaMafuta-wh1ov
    @SofiaMafuta-wh1ov Месяц назад

    Nini mbaya na sauti

  • @AminaJumaa-d4q
    @AminaJumaa-d4q Месяц назад

    Kwa gabo ajawezakumuiga bado

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r 2 дня назад

    Iko wapi ndoa basi,mbona mmetukatizia

  • @rehmahamishamismkande4348
    @rehmahamishamismkande4348 Месяц назад

    Nimegundua nyumba haiendani na umalkia Hilo tu

  • @thamratysuleiman3053
    @thamratysuleiman3053 Месяц назад

    Dah!mfalme kwishaaaa chezea dini ya mungu wewe

    • @mzeeyussufmedia
      @mzeeyussufmedia  Месяц назад +1

      Kwa hiyo wewe mtu wa peponi eeeh haya nakuombea kwa Mungu uwe safi mpk akhera

    • @AlhajiIssa-jb9hr
      @AlhajiIssa-jb9hr Месяц назад +1

      ALLAH atujaalie mwisho mwema.
      Amiina ​@@mzeeyussufmedia

    • @amisafaraji5796
      @amisafaraji5796 Месяц назад

      Maneno ya mkosaji hayo husda imekujaaa

  • @FurahaKulapha
    @FurahaKulapha Месяц назад

    🥰🥰🥰🥰

  • @AsmaAsma-og6ul
    @AsmaAsma-og6ul Месяц назад

    Baba toa part 2 tuone

  • @AminaMshirazi
    @AminaMshirazi Месяц назад +1

    Malikia had dira ukamatiwe 😂😂😂

    • @mariamsalim5568
      @mariamsalim5568 Месяц назад

      😂😂badilli amwagiwe mauwa kaaazi kweli 😂😂

    • @AminaMshirazi
      @AminaMshirazi Месяц назад

      Hhhhhhh hawajapatia haswa apo kwa malikia

    • @fatmamrihani6828
      @fatmamrihani6828 Месяц назад

      Nafikir ni gharama, location na vitendea kazi hakuna hata mi niliwaza hivyo, stori nzurii sana wangeipata waMisri au wanaigeria hasa upande wa malkia​@@AminaMshirazi

    • @ABUU961
      @ABUU961 Месяц назад

      ​@@AminaMshirazihuwezi patia vyote

  • @NeemaKisingi
    @NeemaKisingi Месяц назад

    Wale kwenye ushauli tunao kimbili mawaiza tijuane

  • @bakarimusa6297
    @bakarimusa6297 Месяц назад

    Bora uigize tu achana na kuimba tarabu ata uku utakubalika tu

  • @billylovebillybillylovebil580
    @billylovebillybillylovebil580 Месяц назад

    Mwendelezo pls

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r 2 дня назад

    Uke wenza iko wapi

  • @NeemaKisingi
    @NeemaKisingi Месяц назад +3

    Wale tunao muinga gabo tunaweza atuwez

    • @Fahad-o6f3t
      @Fahad-o6f3t Месяц назад

      Hyo yusuph znz kwao Sasa nan Ana iga

  • @Jiddahkhery
    @Jiddahkhery Месяц назад

    Muke mwenza iwapi wapendwa

  • @fatinamwanyelo3582
    @fatinamwanyelo3582 Месяц назад

    😅😅😅

  • @saidmohd2491
    @saidmohd2491 Месяц назад

    Sasa huyu mzee yusf ni mpemba?mana naon anaingea kipemba

    • @ABUU961
      @ABUU961 Месяц назад

      Kwani we ulikua ujui huyu ni mpemba

  • @hamisikiango4623
    @hamisikiango4623 Месяц назад

    Samahani wapendwa naomba kuhuliza uyu mzee Yusuf anaishi wapi,,, dar au zanZ?

  • @sahimnei7235
    @sahimnei7235 Месяц назад

    😂😂😂😂

  • @FatumaMwinjuma-e2g
    @FatumaMwinjuma-e2g Месяц назад

    Vuzela talabu

  • @bintihassan31
    @bintihassan31 Месяц назад +2

    ❤❤❤

  • @saumusudi9720
    @saumusudi9720 Месяц назад +1

    ❤❤❤