Mzee Yussuf Media film
Mzee Yussuf Media film
  • Видео 32
  • Просмотров 721 677

Видео

TUNU FULL MOVIE [HD] LOVE STORY ❤️ ❤️
Просмотров 9 тыс.21 день назад
KARIBU tuitizame movie nzima tujifunze tunu ninani na amefqnya nini
UKE WENZA FULL MOVIE MZEE YUSSUF LEYLA RASHID MUSSA CHUNGA SALAMA
Просмотров 5 тыс.Месяц назад
HIi ni full movie uke wenza ya mwanzo kabisa
MTU NA MKWEWE FULL MOVIE [HD] DRAMA
Просмотров 30 тыс.2 месяца назад
Kuna swali huwa unajiuliza kwa nini mama ana nguvu kuliko mke majibu yake yapo ktk filamu yetu hii nzuri karibu tuitizame wapendwa kwa ushauri na maoni no, 0745020636 whatssap, no, 0711580636
MALKIA FULL MOVIE (1080HD)
Просмотров 136 тыс.2 месяца назад
Binaadamu tumeumbwa na Mungu nakila kitu tunamtegemea yeye basi hatuna budi kumuomba na kumtegemea yeye tusichoke kumuomba tunapo muhitaji ktk msaada hata tunapo kuwa na shida fuatilia hadithi hii ujifunze subra ya elias na alivyozidi kuwa jirani na allah nini kilimtokea kuwa nasi mpaka mwisho wa filamu yetu ya malkia
HURUMA YANGU FULL MOVIE TRUE STORY
Просмотров 15 тыс.2 месяца назад
Kumekuwa na ile tabia ya watu kutumia simu isio yako kiafya ndugu yangu haija kaa vizuri maana simu inaweza kukuletea faraja au mateso sasa unataka kujua kipi kimetokea hilo hebu ungana nami kuifuatilia filamu ni na unipe majibu
UKE WENZA FULL MOVIE [HP] LOVE STORY
Просмотров 51 тыс.2 месяца назад
Hii ni full yote jiachie huku tukiwa tunaisubiri nyingine tutawaletea muendelezo sema kuna mazingira magumu yametokea tunarekebisha kidogo ila kwasasa tutakuletea utamu tofauti tofauti
UKE WENZA Episode 2- LOVE STORY
Просмотров 75 тыс.2 месяца назад
UKE WENZA Episode 2- LOVE STORY
UKE WENZA [1] [HP] LOVE STORY
Просмотров 181 тыс.2 месяца назад
Hii nikazi ambayo tuliirudia kutokana na makosa ya mwanzo hii nategemea
UKE WENZA EPISODE 2 [HP] LOVE STORY
Просмотров 47 тыс.2 месяца назад
Hali imeanza kumtesa bi mdogo na kupelekea kuvurugwa na kuanza kusumuka na wivu
UKE WENZA EPSOD 1 [HP] LOVE STORY
Просмотров 7 тыс.2 месяца назад
Karibu tena ndugu na jamaa ktk kuitizama filamu yetu hii ya uke wenza ujifunze ndoa za uke wenza zilivyo
HEKA HEKA EP 5 HP LOVE STORY
Просмотров 2243 месяца назад
Fetty kaona akubali yaishe mambo yasiwe mengi kweli mwanaume nikiumbe kisichotabilika kabisa ,,fuatilia mkasa huu uburudike na kuinjoy
HEKA HEKA EP 4 LOVE STORY
Просмотров 2783 месяца назад
Kibao chamgeukia mrs toz b na sasa wivu umetawala anatamani kumpika mtu fuatilia kupata hekaheka hii tujifunze aadhi ya vitu
HEKA HEKA EPISODE 3 LOVE STORY
Просмотров 3313 месяца назад
Heke heka ya mke na mume imeanza na mashtaka kwa familia endelea kufuatilia
HEKA HEKA Episode 2
Просмотров 2133 месяца назад
Tunaendelea na hekaheka yetu kwa mtu na mkewe wakiwa ktk vita yao
HEKA HEKA love story Episode 1
Просмотров 5783 месяца назад
HEKA HEKA love story Episode 1
siri (uke wenza) from @mzeeyussufmedia special song for our new series
Просмотров 1,1 тыс.Год назад
siri (uke wenza) from @mzeeyussufmedia special song for our new series
6 June 2023
Просмотров 2,5 тыс.Год назад
6 June 2023
Malkia kankataaa
Просмотров 3,5 тыс.Год назад
Malkia kankataaa
𝐔𝐬𝐭𝐚𝐚𝐝𝐡 𝐚𝐦𝐮𝐨𝐦𝐛𝐞𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐥𝐤𝐢𝐚
Просмотров 4,2 тыс.Год назад
𝐔𝐬𝐭𝐚𝐚𝐝𝐡 𝐚𝐦𝐮𝐨𝐦𝐛𝐞𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐥𝐤𝐢𝐚
#fagio ili malkia alainike inakuja hapa soon
Просмотров 6 тыс.Год назад
#fagio ili malkia alainike inakuja hapa soon
Malkia film is coming soon
Просмотров 7 тыс.Год назад
Malkia film is coming soon
Uke wenza film majibu yametolewa hakuyapenda mume coming soon subscribe our chanel
Просмотров 12 тыс.Год назад
Uke wenza film majibu yametolewa hakuyapenda mume coming soon subscribe our chanel
FAA MASKHARA NINI Mzee Yussuf aanza kiwewe baada ya kumuona malkia lkn mlinzi ampiga mkwara
Просмотров 3,4 тыс.Год назад
FAA MASKHARA NINI Mzee Yussuf aanza kiwewe baada ya kumuona malkia lkn mlinzi ampiga mkwara
𝐓𝐚𝐦𝐮 𝐲𝐚 𝐧𝐝𝐨𝐚. 𝐟𝐢𝐥𝐦 𝐭𝐫𝐢𝐚𝐥
Просмотров 2,4 тыс.Год назад
𝐓𝐚𝐦𝐮 𝐲𝐚 𝐧𝐝𝐨𝐚. 𝐟𝐢𝐥𝐦 𝐭𝐫𝐢𝐚𝐥
𝑻𝒉𝒂𝒎𝒂𝒏𝒊 𝒚𝒂 𝒑𝒆𝒏𝒅𝒐. 𝒇𝒊𝒍𝒎 𝒐𝒇 𝑴𝒛𝒆𝒆 𝒀𝒖𝒔𝒔𝒖𝒇 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂.
Просмотров 88 тыс.Год назад
𝑻𝒉𝒂𝒎𝒂𝒏𝒊 𝒚𝒂 𝒑𝒆𝒏𝒅𝒐. 𝒇𝒊𝒍𝒎 𝒐𝒇 𝑴𝒛𝒆𝒆 𝒀𝒖𝒔𝒔𝒖𝒇 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂.
𝑼𝒌𝒆 𝒘𝒆𝒏𝒛𝒂. 𝒇𝒊𝒍𝒎 𝒐𝒇 𝑴𝒛𝒆𝒆 𝒀𝒖𝒔𝒔𝒖𝒇 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂.
Просмотров 3,8 тыс.Год назад
𝑼𝒌𝒆 𝒘𝒆𝒏𝒛𝒂. 𝒇𝒊𝒍𝒎 𝒐𝒇 𝑴𝒛𝒆𝒆 𝒀𝒖𝒔𝒔𝒖𝒇 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂.
𝑼𝒌𝒆 𝒘𝒆𝒏𝒛𝒂. 𝒇𝒊𝒍𝒎 𝒐𝒇 𝑴𝒛𝒆𝒆 𝒀𝒖𝒔𝒔𝒖𝒇 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂
Просмотров 4,7 тыс.Год назад
𝑼𝒌𝒆 𝒘𝒆𝒏𝒛𝒂. 𝒇𝒊𝒍𝒎 𝒐𝒇 𝑴𝒛𝒆𝒆 𝒀𝒖𝒔𝒔𝒖𝒇 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂
𝑼𝒌𝒆 𝒘𝒆𝒏𝒛𝒂. 𝑭𝒊𝒍𝒎 𝒐𝒇 𝑴𝒛𝒆𝒆 𝒀𝒖𝒔𝒔𝒖𝒇 𝒎𝒆𝒅𝒊𝒂
Просмотров 12 тыс.Год назад
𝑼𝒌𝒆 𝒘𝒆𝒏𝒛𝒂. 𝑭𝒊𝒍𝒎 𝒐𝒇 𝑴𝒛𝒆𝒆 𝒀𝒖𝒔𝒔𝒖𝒇 𝒎𝒆𝒅𝒊𝒂
𝐔𝐤𝐞 𝐰𝐞𝐧𝐳𝐚 𝐟𝐢𝐥𝐦 𝐨𝐟 𝐌𝐳𝐞𝐞 𝐘𝐮𝐬𝐬𝐮𝐟 𝐦𝐞𝐝𝐢𝐚
Просмотров 7 тыс.Год назад
𝐔𝐤𝐞 𝐰𝐞𝐧𝐳𝐚 𝐟𝐢𝐥𝐦 𝐨𝐟 𝐌𝐳𝐞𝐞 𝐘𝐮𝐬𝐬𝐮𝐟 𝐦𝐞𝐝𝐢𝐚

Комментарии

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 4 дня назад

    Filamu nzuri sna❤❤❤🎉

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 4 дня назад

    Malkia napenda unavyojiamini ❤❤❤❤ muendelezo

  • @RukayyaGoodluck
    @RukayyaGoodluck 7 дней назад

    Sasa mbona yamke mwenza aujatuekea muendelezo

  • @hamisisalim8793
    @hamisisalim8793 7 дней назад

    Mtoe episode 3

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 9 дней назад

    Ninzuri sana❤❤❤❤

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 9 дней назад

    Siku zote muimbaji ni rahisi kuigiza kuliko muigizaji kuimba

  • @pasarfilmstz
    @pasarfilmstz 9 дней назад

    Kazi kali sana tuletee muendelezo 🔥🙏🙏🙏

  • @TatuSalehe-d1q
    @TatuSalehe-d1q 10 дней назад

    Weweeeee❤🎉😂

  • @JumaAbdallwah
    @JumaAbdallwah 10 дней назад

    Nzur sana mzee

  • @TatuSalehe-d1q
    @TatuSalehe-d1q 10 дней назад

    ❤.ver,nice

  • @JoyceMgonja-k7m
    @JoyceMgonja-k7m 10 дней назад

    Nasubiri kumuona huyo mchumba

  • @JumaAbdallwah
    @JumaAbdallwah 13 дней назад

    Nzur sana mnajua mtoe movie nying zaid

  • @hassanbinsalman1437
    @hassanbinsalman1437 14 дней назад

    Movie nzuri mnajitahidi wa Bongo,hata hivyo that background music is loud and disturbing hamusikiki.

  • @SalmaHilali-z3p
    @SalmaHilali-z3p 17 дней назад

    T .

  • @TaitaDaily_ke
    @TaitaDaily_ke 17 дней назад

    Hebu tazameni hii episode ruclips.net/video/lKKR5X66jg0/видео.htmlsi=RufRBT6fP2mIcaI4

  • @Ssr.0
    @Ssr.0 19 дней назад

    Jamani hizi movie za kiswahili lini zita kwisha matatizo ya sauti 📢 mbona movie za kabila nyingine hazina matatizo ya sauti ?

  • @BibieMbelengenye
    @BibieMbelengenye 20 дней назад

    Yaaani Mimi kama Mimi ukaweza siwezi ira ikija sawa lkn 💔💔💔💔💔

  • @MariamKitsao-b6w
    @MariamKitsao-b6w 20 дней назад

    Jmn muendelezo movie nzuri❤

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r 21 день назад

    Iko wapi ndoa basi,mbona mmetukatizia

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r 21 день назад

    Y mzee Yusuf unaongea kitofauti accent sio ww kabisaa

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r 21 день назад

    Uke wenza iko wapi

  • @HalimaAdam-r5e
    @HalimaAdam-r5e 21 день назад

    Leo wamekumbuk nini

  • @HalimaAdam-r5e
    @HalimaAdam-r5e 21 день назад

    Mzee yusuph amenifurahisha kustukia kuwa anajaribiwa 😂😂😂 mzee yusuf nasir huy ni mtyu mbayaaa

  • @HalimaAdam-r5e
    @HalimaAdam-r5e 21 день назад

    Leily anajikita jaman yaan dunia ni yake halafu anaekti mkali jaman duh

  • @AleksnSkskzbb
    @AleksnSkskzbb 22 дня назад

    Huwaga wakata saut sijui kwann tushchoka

  • @salymahMysoul
    @salymahMysoul 23 дня назад

    Ila tunu hapn

  • @SalmaMtipa
    @SalmaMtipa 23 дня назад

    ❤❤❤❤ napenda sana movi zenu mzur sana saloma mtwara

  • @MariamAbdallah-p8g
    @MariamAbdallah-p8g 23 дня назад

    Mzee tumalize mke mwenza kwanza

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 23 дня назад

    Nice movie

  • @AmidaStamili
    @AmidaStamili 24 дня назад

    Eti unatuangusha mzee yussuf

  • @aliissahaji33
    @aliissahaji33 25 дней назад

    Hivi mnapoingiza hizi video kwenye youtube mnakuwa hanjui kuwa hazina sauti? Mbona mnatupotezea mda na MB bwana

  • @MuniraAziz-sb8om
    @MuniraAziz-sb8om 26 дней назад

    mambo

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 26 дней назад

    Good job mzee hongera sana

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 27 дней назад

    Unatowa move zeen humalizii hile mkemweza iliishia wapi

  • @AddMohammad
    @AddMohammad 27 дней назад

    Mapenzi❤ hao nayo yachekesha sasa😅😅😅😅😅😅😅

  • @RehemaNyange-q1g
    @RehemaNyange-q1g 27 дней назад

    ❤❤❤❤🎉

  • @BalkisSuleiman
    @BalkisSuleiman 27 дней назад

    Back ground music very loud half the time can't hear some words. Mr Yusuf rekebisha

  • @Hapygideon
    @Hapygideon 27 дней назад

    Mzee unatuuzi bwana mke mwenza hauendelei afu tena tunu tena,,,😢😢

  • @asfarsham1468
    @asfarsham1468 27 дней назад

    Maskin mabinti ata hawajielewi ,acting gani za kukosewa heshima kwani ikiwa mtavaa nguo,mkawa hamu act vitandani kushikwa shikwa itakuwaje? Nawaombeeni kwa Mungu awaongoze na awape la kheri ya kufanya mabinti nyote.Ameen

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 19 дней назад

      Unajua km kwa Allah adhabu ni moja m’ke na m’me? Mfanyaji na mfanywaji? Kwahio mkiwa mnasema hayo jaribuni na kuwaonya na w’me wanayoyafanya hayo

  • @MwanaAbdullah-b2t
    @MwanaAbdullah-b2t 29 дней назад

    Filamu nzuri MashaAllah

  • @JudithJuma-n5o
    @JudithJuma-n5o Месяц назад

    Ninzuri maana wanaume niwauwaji😂😃😃

  • @JudithJuma-n5o
    @JudithJuma-n5o Месяц назад

    Hiyo inawafaa wanaume wasiotulia

  • @ZeenadTyrh
    @ZeenadTyrh Месяц назад

    😊😊 mwendeleza mke mweza

  • @mishiabdul2834
    @mishiabdul2834 Месяц назад

    Next plzz

  • @veronicaboniphas7852
    @veronicaboniphas7852 Месяц назад

    Move. Nzur. Haina saut VIP lakin

  • @salimbahmad
    @salimbahmad Месяц назад

    big up kazi safi

  • @mwanabibikangu4791
    @mwanabibikangu4791 Месяц назад

    Muvi inakaa kama chakula bla chumvi asa sauti mbn hvyi❤😅😅 mwajua ila

  • @PheliciahKitawa
    @PheliciahKitawa Месяц назад

    hata wewe ulikuwa mke mwenza

  • @Samora-z4c
    @Samora-z4c Месяц назад

    Kazi nzuri sana Mzee Yusuf na Mama Leila. Niambieni mimi dollar zangu hamsini $ 50 niziweke kwa account gani?

  • @NiwaeliTumaini-e9w
    @NiwaeliTumaini-e9w Месяц назад