UKE WENZA EPISODE 2 [HP] LOVE STORY

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025

Комментарии • 48

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 Месяц назад

    Movie nzuri sana hasa ya Kidini kwa Sisi waislamu...keep up the good work Mzee Yusuf🎉

  • @aliroro9344
    @aliroro9344 2 месяца назад +3

    😂😂😂...Yni Wanawke wakiamua kukuvuruga utatatii 😂 Acha nsubr vurugu langu na mmi 😂😂

  • @JudithJuma-n5o
    @JudithJuma-n5o Месяц назад

    Ninzuri maana wanaume niwauwaji😂😃😃

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj Месяц назад

    Uchumi WA kati😂😂😂Mzee ww

  • @JudithJuma-n5o
    @JudithJuma-n5o Месяц назад

    Hiyo inawafaa wanaume wasiotulia

  • @jalxs6745
    @jalxs6745 2 месяца назад +7

    Maskin awanasimu simu usituchoshe namkeo uyo😂

  • @fetreshazKhamisi
    @fetreshazKhamisi 2 месяца назад +2

    Nyumbandogo unashida nyieee🤣🤣❤️aswa ukishajua unapendwa

  • @maryamsimai5395
    @maryamsimai5395 2 месяца назад +2

    Daaa ndomaana wanaume wanakufa mapema hekaheka hizi poleni nyumba kubwa moto nyumba ndogo moto

  • @Timehamad-o1j
    @Timehamad-o1j 2 месяца назад +1

    Auumeowa mwengine watatu3

  • @neptaharuna1674
    @neptaharuna1674 2 месяца назад +2

    Uchumi wa kati jee😂😂😂nimecheka sana, Leyla na Mzee yussuf mnaweza sana, na mnapendeza Masha Allah mabrouk

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 2 месяца назад +2

    Huko tuelekeako mke mdogo ataachwa mapema 😂😂maana huwa wana mdomo na vishindo hatari 😂😂

  • @MwajabuMtitu-co6wx
    @MwajabuMtitu-co6wx 2 месяца назад

    Naipenda sn muko vizuri sn

  • @sahimnei7235
    @sahimnei7235 2 месяца назад

    Mzee hii nyimbo nzuri itoe basi tusikilize ❤

  • @Timehamad-o1j
    @Timehamad-o1j 2 месяца назад +1

    Mzee yusf mhapo umetudanganja mkewapili amekuwa mwengine

    • @SalamaNauthar
      @SalamaNauthar 2 месяца назад

      Nilifikiri nimeona peke yangu

  • @marialumbanga
    @marialumbanga 2 месяца назад +2

    Bi mdgo inaonekana wa mwaka 2000😂

  • @amina2044amin-zv2gh
    @amina2044amin-zv2gh Месяц назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤😊

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 2 месяца назад

    😂😂😂😂😂 Mwana kulitafuta mwana kulipata

  • @kashimohamed944
    @kashimohamed944 2 месяца назад +2

    Sinema nzuri sana

  • @magdalinekenneth7238
    @magdalinekenneth7238 2 месяца назад +7

    Nyumba ndogo inaanza kutoka hamu pataachwa mtu sikitambo😅

    • @RuwaydaMohammed-os7nj
      @RuwaydaMohammed-os7nj 2 месяца назад +1

      Hata mm naona kama ww😂😂

    • @aliroro9344
      @aliroro9344 2 месяца назад

      😂😂😂...Sioe wakee wa wili kwanza hawa wa 2000 wana midomoi 😂

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 2 месяца назад +2

    Mashaallah tabarakallah

  • @mapishiyetumazuri2312
    @mapishiyetumazuri2312 2 месяца назад +1

    Jamani swala itajooka kwa hivo vichambo

  • @SaadiyaMohammad-og5bg
    @SaadiyaMohammad-og5bg 2 месяца назад +1

    Nyumba mdogo wanavishindo kakangu utayaweza naona yatakushinda. kaka wacha tuonia

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 2 месяца назад

    Masha Allah❤❤

  • @wawudaBahati
    @wawudaBahati 2 месяца назад +1

    Uke wenza ni shida tupu .

  • @amerysillacy12
    @amerysillacy12 2 месяца назад +1

    Mbona huyu mke wapi tofout na yule wa episode ya 1 vip tena

  • @zahidahassan8643
    @zahidahassan8643 2 месяца назад

    Pyambeeee kwa nyumba kubwa yake

  • @Hapygideon
    @Hapygideon 2 месяца назад +2

    Kwani hizi nyumba ndogo zipo ngapi mbona hii nyumba ndogo sura tofauti

  • @user-gb3fk1yt8n
    @user-gb3fk1yt8n 2 месяца назад +2

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 2 месяца назад +1

    Mzee niniwewe unajishuhulisha too mtumzima huna mvuto saiv

    • @YassinSiwema
      @YassinSiwema 2 месяца назад +2

      Wewe mtoto mdogo ulokuwa na mvuto uko wapi kenge baridi wew

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 2 месяца назад

    Mashaallah 🎉

  • @KhairiaAbama
    @KhairiaAbama 2 месяца назад

    Yani mm ats sielewi kwani huu mchezo umeiktiwa Vip mana haufahamiki au ziko mbili izo filam

  • @Samiafficial3942
    @Samiafficial3942 2 месяца назад +1

    ❤❤❤❤❤

  • @Qtep-eb3og
    @Qtep-eb3og 2 месяца назад

    Mzee jipange bana story moja watu mixed mara nyumba kah

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 2 месяца назад

      Labda Yule mke wa Kwanza wamemtoa hatuwezi jua 😢

  • @KissaMwakilembe
    @KissaMwakilembe 2 месяца назад

    Kula chuma ichooo

  • @AnnaMkamba
    @AnnaMkamba 2 месяца назад

    Huyu mwanamke n shetan

  • @batuli-n8e
    @batuli-n8e 2 месяца назад

    nafurah kuona wahusika wa shiling ama naota pekeangu😂😂

  • @AMINABAKARI-h9y
    @AMINABAKARI-h9y 2 месяца назад

    Nyumba ndogo always problem

  • @mwanaumamwamtindi57
    @mwanaumamwamtindi57 2 месяца назад +1

    ❤❤❤

  • @hosnakamees5454
    @hosnakamees5454 2 месяца назад

    ❤❤❤❤❤