Huyo alovya buibui si mke huyo kiswaswadu huyo mke.bora na mwenye midhamu niuyo mwenye jialbabu mashallah mke bora.safi sana bro Bujra kwa kuelimisha watu .
Maa Shaa Allah Maa Shaa Allah Ujumbe mzuri sana lakini kadhi anafaa ajue vizuri aina za eda na muda wake. Kwa sababu hapa ndio wengine wanasoma ukubwani au wengine wanafunzi.
Masha Allah, movie nzuri yenye mafundisho ila Bujra improve kwenye microphone system sauti haziko clear na pia camera settings igeuze tulizoea kuwatch movie tukiwa tumeinamisha simu na labda at the same time ikiwa iko kwenye charging so unatupa kazi ya kushilikilia simu hatu enjoy simu ikiwa imesimama, Hayo ni maoni yangu
MAA SHAA ALLAAH! SAMAHANI NAOMBA NISHAURI: MAIGIZO YENU NI MAZURI ,SASA JITAHIDINI IGIZO LIKIHUSU SHERIA MUWAHUSISHE WAJUZI. HAPA SHEIKHE KASEMA EDA MIEZI 4 NA SIKU 10 HII NI KWA EDA YA KUFEWA, AMA EDA YA TALAKA NI HEDHI 3 (TOHARA 3) AU KAMA HAPATI HEDHI BASI NI MIEZI 3.
Nawafatilia sana.nangojea hio episode ya pili😊😊. nawapenda sana ❤️💋🥰
Twaongojea
MashaAllah good content kudos guys
Huyo alovya buibui si mke huyo kiswaswadu huyo mke.bora na mwenye midhamu niuyo mwenye jialbabu mashallah mke bora.safi sana bro Bujra kwa kuelimisha watu .
Hahahah iko ni kiswaswadu kwl
Huyu mke wa bujra hajui abana sauti sana yani cjamkubali
😂😂😂biashara iyo yakazi😂😂😂
Nsaut yake hio jaman
Kwani ujui Kuna watu wana izi sauti
@@chunaabdullah1333 kaibana sana bana me mwenyewe sauti yangu ndogo lakini huyo kabana mapua
Ni sauti yake.. Wacha zako
mke wa sheikh ataka onesha fashion
Ndo mana warabuni mtu na shemegi yake hawaonani na ndivyo inavyostahili bwana😂😂😂
Imeweza nategea nikiwa watamu malindi
Maa Shaa Allah Bujra kaz nzuri❤
Maa Shaa Allah
Maa Shaa Allah
Ujumbe mzuri sana lakini kadhi anafaa ajue vizuri aina za eda na muda wake. Kwa sababu hapa ndio wengine wanasoma ukubwani au wengine wanafunzi.
Yah katoa eda ya kufiwa
Naam edda ya kuachwa ni twahara 3 au heidh 3 tena aaachwe aikwa msafi yani hiyo talaka ipite wakiwa hawajaingiliana
Unaamba kutsupwa😂😂@@SakinaSakinat-qd9rs
MashAllah ❤kazi safi ..huko n Tiwi kibwaga bila shaka Kwa mke wa majalbabu
Shibe kua serious ulishindwa wewe 😅😅 muendelezo baada ya eda jamani mashallah tabaarakallah ❤❤mnamafunzo
Natamani nione Hawa ndgu wakitembeleana baada ya wte kuoleana alfu natamn wasioneane wivu😅😅😅❤
Kabisaa...😂😂😂
Maashallah ❤ tanaomba muendelezo tafadhali
Maa Shaa Allah Tabaraka Allah❤uko sawa dada mwenye juba nakupenda bure
Maa shaa Allah kazi nzuri sana Shekh Bujra na team yko hongereni sana ndugu zangu
Wanakera wanapenda kushikana shikana
Mashallah Mashallah ❤❤❤❤❤❤ jamn nawapendaa kwa ajli ya allah
Dada mwenye jalbabu mashaAllah tabaraka Allah
Mwendelezo ama part 2 plz ni nzuri
Ety Maji yatoka shemegy 😂😂😂😂. Jey ukona ufala sana
😂😂😂😂😂😂
Masha Allah, movie nzuri yenye mafundisho ila Bujra improve kwenye microphone system sauti haziko clear na pia camera settings igeuze tulizoea kuwatch movie tukiwa tumeinamisha simu na labda at the same time ikiwa iko kwenye charging so unatupa kazi ya kushilikilia simu hatu enjoy simu ikiwa imesimama, Hayo ni maoni yangu
🎉❤ yanu bujra umetufunza nusu ya dini masha Allah, Allah akikuze kipaji chako
Mashallah funzo zuri ❤❤next episode plz
Pini ya pua dadangu. Mapambo yana mipaka. Husan uko act kuwa mfano wa mtu anechunga mipaka ya ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA.
❤❤❤❤jmn tupeni muendelez nione mweny kihereher atawez maish ya kijijin
Nawakubali ustadhi hongera tuwape mafunzo
Hapa bujra message imefika mashallah maonesho mazuri
Mwanamke huyu anae lazimishwa baibui huyu Lana kabisa huyo mwana mke kwema ndio huyo wabaibui mungu akijalia mwaya mime mwema
MashaAllah hii imeweza❤❤
Namuona mdogo wangu MJ..KAKAKO MZEE BAKARI WA ALMASI
Maa shaa Allah
Nice one 🎉❤
Mchezo Mzuri Nimeupenda eda ni pengine mmoja ana mimba y mwenzake ijulikane b4 waowane
MAA SHAA ALLAAH!
SAMAHANI NAOMBA NISHAURI: MAIGIZO YENU NI MAZURI ,SASA JITAHIDINI IGIZO LIKIHUSU SHERIA MUWAHUSISHE WAJUZI.
HAPA SHEIKHE KASEMA EDA MIEZI 4 NA SIKU 10 HII NI KWA EDA YA KUFEWA, AMA EDA YA TALAKA NI HEDHI 3 (TOHARA 3) AU KAMA HAPATI HEDHI BASI NI MIEZI 3.
Nahisi kaghafilika mzee wetu kwasababu mara ya kwanza alitamka vzr miezi 3
❤ mashaAllah funzo zuri sana kwa wale yenye ufahamu
Jamani hamna muendelezo daaah pambe saana
Wallah this really story, mashekh wengi wapata shida na bibizao
Sijui mwanamke hua anashida gani yeye haja yake ni mume kwanni afanye vitu mumewe hapendi .?? 😂😂
Nasubiria the return..mashaka
Mashallah zainabu umeweza sana ❤❤❤❤❤😂😂
Shukran
kazi nzuri ila hizo mic mngezificha kwa ndani nimaoni tu nawapenda sana..
Waaa ingekua kwelii kungelii tisha😂😂😂
Mshaachana alafu bado mwaitana shemeji daaah😂😂😂😂😂😂😂😂
Ustadh kapata mke kijego usthadhati kapata jini uku nako yani balaa tupu..
Balaa zito😅
Kwaiyo namba pia ashapewa kitambo😢 subhaana Allah
Mtoto yuwataka onesha kishundu😂😂😂
Jalbabu mimi nkifika nanuka jasho😂😂😂😂😂😂
Nura umewezesha 😅 ...keep moving guys tupate mafunzo
Shibe watka kuachiwa mke 😂😂😂
Ni sawa kijistiri...ila tumeruhisuiwa mbele ya waume zetu halali tujiachie
Wacha wivuu
Ma Sha Allah muko vizuri
😂😂😂fashion sio ❤
MashaAllah Wana Jimbo nawapenda bure❤
Asante kwa mafunzo allah awabarik muendelee kutufunza
Hii iwe na next plz tuone baada ya ndoa❤❤
Mashaallah.tunaomba part 2 plz
Nivae jalbabu ninuke jasho😂😂😂😂
Na nmejifukiza😂😂
😂😂😂😂😂😂Jamani nimecheka paka
Mashaa Allah tabaraka Allah mafunzo mazur
laa ekra fii dini yako maigizo ila sio haya kucheza na sheria za ALLAH
Mashallah ❤❤❤❤nest plzz
Tuletee mwendelezo bro bujra
Kadhi polepole bakora na glass usije ukaivunja bujra akanywa maji ya kombe la plastic 😂😂😂😂
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂keep good work
Sheikh umekosea sana Eda ya kuachwa ni mienzi 4 na siku kumi!!?? Daah inafaa mutafute wanao jua kwenye sehemu kama hizi za Kisheria.
Mwendelezo jmn mashallah❤❤❤❤
😂😂pendeza mke ❤❤
content nzur,,, tuleteee zaid
Shemeji mara anazima taa😂😂😂😂
Muondelezo kaka maana ni kma ikona mwendelezo
Mkuki kwa nguruwe shibe 😅😅😅😅
Labda jina sio zuri uloitwa na wazee wko, jina la bujra halipo Kwa wadigo mzigo😊
❤❤Masha Allah next episode
😂😂😂😂...Maji yatokaaa ayooo😂 typing.....
Mashallah. Part 2 plz
Nice job ❤
Mwendelezo tafadhali 😂😂
Hehehehe ww jay ndo kahaba mkubwa yaani mulofanya kule borehole madogo 😏😏😏
Muendelezo tafadhali❤❤
Mwendelezo jmn nzur
Script ni nzuri sana, na ina funzo ndani yake, ili pawepo na Amani kuwa na mbaya endana.
Lakini Sanaa imekosekana.l
😂😂😂funzo mashallah
Shemeji maji yatoka ? 😂😂😂😂😂😂😂
Mashaa Allah tabaraka Allah 🎉🎉🎉🎉
Sheikh amekosea eda ya kuachana ni muda wa miezi 3, mbona aesrma miezi 4 na siku 10, hii inakua ni eda ya kufiwa na mume😂
😂😂😂😂umbwa kipensel umbwa kuboeka
Maashaallah....Maashaallah ❤❤❤
Mashallh ❤️ hbbty umetokea ni😅
Mwendelezo plz😂😂😂
Hiyo ndoo ela ina maji😅
Mzee Mwadume mwnyweee
Iendelee plz🎉🎉🎉❤❤
Next jmn
Uji haswaa😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 wazi
Shibe huna tabu 😅😅😅
Mashallah 💞 🥰
Kwani bujra uko na wake wangpi Mzee....🤔
Sunnah wanne😂
Maa Shaa Allah ❤🎉
Yakubalika kubadilishana
Kali sana 👍