Jamani nyie amjamaliza tu? Njooni huku tulalamike watupe ata moja ya usiku tuone kama tutaota ndoto nzuri sio kwakurudia marudio huku acha nisonge na chizi fresh kwa raha zangu
Huuuum. Ohhhh l had seen this Simulizi so many days ago, but I didn't want to listen to this story because of the name of this story but today it have teach me so many things that I will never ever forget in my life. Thank you so much Musimuliaji huuuum.
Anko Jay wewe msai kweli kweli umeamua rehema wa tanga ndo ni pesa wewe anko mapesa mmbaya sawa lakini ndo maamuzi yako tuko poa na yote unayopangia pamoja twakupenda ivyo ivyo tena sana daima mungu akubariki sana
Sasa wewe unasema unampenda anko jay uku unataka kamseleleko utaki kumuungisha Sasa unampenda nini Kama anko jay aingizii pesaa au ndio ushabiki maandazii utaki maendeleo ya anko jay unataka vya bulee 😂😂😂hii ni biashara kwaiyo lazima ifanyikee kwa vyovyote
Hope this massage will reach to all wababaz ambao wanatabia ya kuoa wasichana wachanga na ilhali wako wanarika wao ambao wanaweza kuzeeshana huko mbele ya safari,, shukran mr Jay i really appreciate your job
Hii ni FULL yani MWANZO MWISHO, hii HAINA PART 2
Hhhhhhhhhhh apo sawa ww ngoja coment za kisifiwa
Jamani nyie amjamaliza tu? Njooni huku tulalamike watupe ata moja ya usiku tuone kama tutaota ndoto nzuri sio kwakurudia marudio huku acha nisonge na chizi fresh kwa raha zangu
Ank me naitaka rehema wa tanga part 2 nailipiaje Ili niipate
@@leahmajaliwa6575 hhhhhhhhhh
Ankojay vip mbona hivo
Asante sana ankojay . Mkasa huu una fundisho kubwa sana
Huuuum. Ohhhh l had seen this Simulizi so many days ago, but I didn't want to listen to this story because of the name of this story but today it have teach me so many things that I will never ever forget in my life. Thank you so much Musimuliaji huuuum.
CcC
Ahsante sana Anko jay 😊😊 kwa kibao kimpya naenjoy mwenyewe
ahsante sana anko jay allah afanye wepes inshaallah uzid tuletelea vitu vizur zaid❤❤❤
Nime jifunza sana
Asanti sana sana kwa hii simulizi.lasna ni mbaya sana.
Shukran sana Anko jay Kwa simuliza mzuri kweli kabisa laana hipo kweli nimejifunza sana
Mhuu mke wa baba tena hay 😊😊😊asant ankojay
Shatani Hana baba Hana mama yeye ni muhuwaji na ni mwezi hanaarembu watu wa mungu pole Sana kaka
Baba Anko J, asante kwa kuachilia similizi hii imetufunza mengi peace ✌️
asatesana anko tumejufuza mabomegikwegnye hi simulizi yako nizuri 1:56:59 sana mungu akubariki sana kwasimulizi zuri 🙏🙏🙏🥰🥰
Asante sana ankojay simulizi tamu lakini sisi wanawake tupunguze ujinga jamani
Asante mr anko jay kwasimulizi nzuri nayenye mafunzo amakweli laana nimbaya
Kwa kweli hii simulizi inaniuma sana hasa mauaji ya wale watoto watatu na mama yao. Asante Anko J .
Anti J nawakilisha 🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂😂😂
Nice story kama iyi kitendo inamfukiya mtu yeyote kupendwa na ndugu ama mm ni vizuri kweka ayo wazi si kuweka siri
Simulizi tamu sana mke wa mtu sumu Waaah nimekupata jay
Hongera anko, I've been following your work back to back. Nairobi we love you.
Anko Jay wewe msai kweli kweli umeamua rehema wa tanga ndo ni pesa wewe anko mapesa mmbaya sawa lakini ndo maamuzi yako tuko poa na yote unayopangia pamoja twakupenda ivyo ivyo tena sana daima mungu akubariki sana
Sasa wewe unasema unampenda anko jay uku unataka kamseleleko utaki kumuungisha Sasa unampenda nini Kama anko jay aingizii pesaa au ndio ushabiki maandazii utaki maendeleo ya anko jay unataka vya bulee 😂😂😂hii ni biashara kwaiyo lazima ifanyikee kwa vyovyote
Bora umenena
Mmmh kweliii uyoo mama dah ni atri ila kaka uko n simulizi nzuriii jmniiii dahhhhh
Duh hakik malipo nihapa hapa dunian Aya asant anko jey kwa hii simulizi kiukweli nimejifunza jmn 🙏🙏
hadi na lia jamn ananikumbucha babangu leo iyi niko ya tima wa baba na ichi kwa chida 😭😭
Pole mrembo usiishi kwa shida sisi tupo nduguzako 😊❤
Leo nimewaiii ,😂😂😂😂😂aaaaaah weee rahaaa
Hii dunia Ina mambo mengi sana Mungu utusamehe na utujalie mwisho mwema
Asante ni nzuri Kisha inatupa funzo
Ankojay kweli nimepatafunzo kupitia iyisimulizi imenifunza kilasik kuogopa wazazi😭😭😭😭😭
Makubuwa jamani mateso bila chuki nice story
Lo! Kwa kweli dunia n mapito,,,
Kwa mara ya kwanza nijifunza kua mke wa m2 sumuuuu nikomaaaaaa
Daah pole san😢hata kama amefanya makosa ila alikua hatakiw afanyiwe hivyo unyama huo
Hivi kweli kabisa meshaki anapoteza mguu na mkono
Aaaa Leo Mimi wa kwanza🪑🪑🪑🎧🎧🎧🇸🇦🇸🇦
Jomn meshaki pole 😢kwa changamoto
Simulizi hii 🔥🔥 imenisisimua Meshach anajutia😢😢 makosa mtoto anaibia babake daaa
😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉 Asante anko jey
Pole sana ndugu umeyapitia sana
Ahsante Anko Jay ❣️🙏
Hakika hii simuliz imenifundisha anko j mungu akulinde
😢😢😢imesikitisha sana wamelipa makosa na wasiokua na hatia masikini
Hope this massage will reach to all wababaz ambao wanatabia ya kuoa wasichana wachanga na ilhali wako wanarika wao ambao wanaweza kuzeeshana huko mbele ya safari,, shukran mr Jay i really appreciate your job
🇦🇪🇦🇪🥰
Ok.asante kaka mzuri
Hiyokali huyomwanamke alikua hanahuruma😢😢😢😢😢😢
Kazi zuri mke wa baba kafanyaje 😂😂😂
🤣🤣🤣 endelea kusikiliza mambo 🔥🔥🔥🔥🔥 🔥🔥
Ankojay hii simulizi ya tisha naina majonzi ukijiweka kwa viatu za huyu boy. Ina mafundisho eti malipo ni hapa hapa. Tenda mema siku zote 🇰🇪
Kumekuchaaa❤
Tunashukur broo Jana tumekoma mpaka basi
BIRDS OF THE SAME FEATHERS FLOCK TOGETHER...INTERESTING STORY ANKO JAY
Jamani hii simulizi imeniliza mpaka nimechoka duuuh hii dunia kweli haina huruma
Shukurani sana ankojay ❤❤❤❤
Sawa Anko asante😊
Ss jamaniiii uyo mama wa kambo kafanya nn tena
Hiii simulizi imenigusa sana😢😭😭😭😭😭
Uzinzi ni kama ulevi kweli
Uncle J inasikitisha ukovizuriiii
Pole,sana😢
Nimesikiliza simulizi nyingi lakin hii imenigusa sana nyie Dunia inafunza kumbe dhambi inalipwa hapahapa kule Kwa Mungu ni hesabu tyu
Jmn hii simulizi yauzunisha 😢😢😢😢
Asanteee saaana anko j kwa mafuzo
Huyo ndo mwanamke bhan akilitaka kitu halishindwi
Dah Meshark bora ungekazsnia tu kuhama
Mke wa baba ana nini tena haya twende kazi
Dah imeniuma😢
Daaaaaaah inauma sana jmn😢😢😢😢
hawa wanawake wakuoa uzeen
nitabu tupuuu
Nimechelewa kidogo Anko ila usiwaze tuko pamoja
Thanks you Ankojay 😢😢😢
Duh Maskini Meshark
Mke wa baba ako kakuponza
Malipo apa apa dunian jmn!!! Akhera esabu tuu
Good job Ankojay ❤
Asante kwa story anko😍😍😍
Kumbe upo
@@AbduhKareem-hi7sg nipo
@@LoveKanuya-mv2iw nimekuona kwa mbali
@@AbduhKareem-hi7sg ety ehee
@@LoveKanuya-mv2iw yeah
Kabisaa malipo ni hapa duniani
Hiyi kweli ni kali
Ukistaajabu ya REHEMA WA TANGA utayaona ya MESHACK😂😂😂😅
Mtoto mnafki wewe 😂😂😂😂 unang'ata na kupuliza....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👆👆👆
@@ankojay_ niacheni mie😂😂
🤣🤣🤣🤣
Kwakweli 😅😅
Wa kwanza mie
Nmekuw wa kwanz😚😚
Pole sana weinaima inaliza😢
Wawoooooo❤❤❤❤❤
Japo imeniliza jamani
Subhanallhah dah Meshark
Mwiba wajujitakia huo wala pole hauna
Tusikize mama wa kambo
Kwa Kweli ankojey unatukwaza Bana Alvulisa kaishia wapi?
Hiyo ndiyo laana yenyewe hiyo
Mwanamke katili uyu malaya mmbwaaa😡
Kama ni malaya awa ni laana kumuuu
Ako kama alijuwa Maana siwezi kupika simulizi pembeni 😘😘😘😘😘😁😁😁😁
Kumbe tu wengi jmn 😅😅me siku WI-FI imeisha huwa naumwa kwakukosa simulizi za Akoj
Yani uncle umetubania kabisa rehema sio...
Wa kwanza leo
Duu inaumiza sana
😭😭😭😭❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏
Welcome back 🙏
Thanks Sana ankojay stroy Ni tamu
Leo wakwanza wanafamilia comment zenu nazisubili Asante Anko jay 🔥🔥
Hongera zako nakupa zawadi
Aki mimi sitawai kuwa wa kwanza 😢but nimewai 😅siezi angusha Anko J
Kaliii
Anko jay malizia rehema wa tanga
Hewaaa nishapitwa tayari😂😂
❤❤❤❤❤
Mwanamke Shetani sana
Laana kum
Hadi naogopa
Pole sana
Bora ungerudi tu kwa babakama ni adhabu ajupe yeye
Ni bora kuliko huo ulemavu uliopta Meshark
Laana huenda kwa vizazi na vizazi
Anko J thanks alot 🙏🥰🥰🥰 🇰🇪🇰🇪