Mungu akutie nguvu Jamal. Umemaliza story kwa ujumbe mujarabu. Upendo wa kweli uko ktk kutoa na si kupokea. Jitoe kupenda, upendo wako ndio utafanya upendwe. Mungu akubariki sana Jamal.
Am 17 but I start dating seen I was 12 and iam still together with the same girl and jamaal u r really inspiring me I appreciate you bro am from south Sudan and luv Ya'll
Mapenzi hayatabiliki yani dah nashindwa kuelewa lakin vyote ulivyosema ni kweli hasa kwenye suala kwamba mwanamke anaumia zaid ya mwanaume aisee Asante professor
Mapenzi ya kweli hayahusiani na kitu, pesa au mali. Mapenzi ya kweli ni uvumilivu wa shida na raha za watu waliokubaliana kuishi pamoja maisha yote. Makubaliano hayo hayajali rangi, kabila, dini au jinsia. Kwa ufupi definition ya mapenzi ni ngumu zaidi kuliko watu wanavyofahamu. Mfano mzuri wa mapenzi na aina yake unajulikana kisayansi duniani kote, ni kama ule wa bata mzinga “Gees” au ule wa penguins 🐧.
Bongo Ndio Nchi Pekee Ukimtongoza Mwanamke Hapohapo Nywele Zinafumuka, Anaanza Kusikia Njaa, Kodi Yake Inaishia, Mama Ake Anaumwa, Luku Inaisha! Daah Kwa Khali Hii Mtabaki Na Utam Wenu Wallah
Sijajua kama kunasiku ntaacha kuangalia the story Book Jamaal April , ur the creator my brother just God be with u and u will be the real and gorgeous professor .
I love yr storey of the meaning of the word calls. LOVE! LOVE IS A WORD OF HAVE HIGH VALUES IF FELLOWS KNOWS THE MEANING OF LOVE! IT IS NOT ONLY TO LOVE A PERSON OR THINGS THE WAY FOXES THINK IT HAS BIG MEANING N VALUES N RESPECT N CARES ALSO. CAN LOVE A PERSON BY HIS MONEY HIS POSITIONS EDUCATION HE IS HANDSOME OR BEAUTIFUL BUT THAT IS NOT PURE N TRUE LOVE. LOVE IS FROM THE DEEP FAITHFUL HEART TO BE IN REAL TRUE LOVE NO MATTER THE PERSON IS! ITS NOT A JOCKS TODAY U LOVE TOMORROW U HATE THAT IS NOT PURE N TRUE LOVE JUST A PERSON LOVE A PERSON ONLY FOR HIS/ HER BENEFITS N THATS IT. TRUE LOVE NEVER GOES AWAY NEVER DIE NEVER QUITE WILL REMAIN IN THE 2 DEEP HEARTS FOREVER N EVER
Absolutely I agree with you Prof.. Love is like drugs... Hurts the most when love someone who's not treating you back the same... Therefore love is just like a Coin 💔❤
“Love yourself first and everything else falls into line. You really have to love yourself to get anything done in this world.”...JAMAL APRIL ON TOP🍹🍾✊🏼🔥
Kutokana na realization yangu Upendo wa kweli hauna Mipaka huhitaji chochote kujieleleza ni Hali ya kukubali Ana na kitu au hali yoyote kwa namna ilivyo bila kujali lkn mpenzi inahusiana na hisia,
Professor jamal unasimulia vizuri snaa kila anaetoa muda wake kwako kukusikiliza hakika hawezi mbumbumbu lazima ajifunze na kuelewa kila mfano na fumbo
Daaaahhh...umenigusa sana bro...niliwahi kulia natembea njia nzima kama mjinga ,,kumbe nlikuwa nalizwa na ujinga ,😂😂😂😂...nilimpenda mtu ambaye hakuwa na mpango na mm hata kidogo..how crazy was I?? 🤣🤣😂
Yesterday nilitaka kujiua kisa mpenz wangu😭😭just imagine the way nilikuwa namuamin akin kumbe nachezewa hisia 😭mm n kijana ninayependaa kupitilizaa weng wanasema n tatzo akin hapana thats is true love ndo ninavoamin akin ni kweli kitu ukikipendaa kweli n hard kukiachaa 😭😭😭thanks jamal go be blessed always we love you brother
Naelewa vile unajihisi ,, maana pia nimepitia hayo ,, nilikuwa na wakati mgumu Sana ,,nilichukua takribani miezi mitatu kumsahau ,nilililia ,usingiz sipati,yaani nashinda chumb ani ata kuoga nikaichukia🤣🤣🤣 mpaka sasa Nina vidonda vya tumbo vikivyosababishwa na mawazo ,, mpaka nilijua kufanya maombi ili Mungu anasahaulishe huyo mtu ,ukweli Mungu alisikia kilio changu ndani ya miezi mitatu nilikuwa nimeshasahau ,, mwili ukarud vizuri,,
Prof u a my class of everyday in my life once I grow up i wanna be like you
Jamani ningeweza kulike Kama Mara million hivi basi......Kama umerudia hii story, pls salute professor
Mungu akutie nguvu Jamal. Umemaliza story kwa ujumbe mujarabu. Upendo wa kweli uko ktk kutoa na si kupokea. Jitoe kupenda, upendo wako ndio utafanya upendwe. Mungu akubariki sana Jamal.
Im kevenjackson i levo your story book thenk end really really get this love
jamaa fundi sana najifunza vitu vingi kupitia yeye
UPENDO Ni ujasiri unaokupa moyo wa kuweza kuwa nae bila kujali nini kipo kwa umpendae
The way Jamal April anaongea ni very sensitive. You are real a professor brother. This video ukiielewa vizuri utajua kuna mengi tunakosea
Fact
Yan hii mijitu inayoomba like inakirega hatar yan kaaah mara ooooh leo wa kwanza shuwaniiiii kabisa
Mashallah upo vizur sana profesa Jamal
Jamani tukimuacha shigongo akuna mtu mwengine wa kuushinda huu moto🔥professor Jamaal mustafa kama na ww unamkubal like ziwe chache
Ananias edgar father
Kutamani ni zaidi ya kupenda
Kweli Mustafa ni daktari wa mapenzi. Mi kweli wanawake tunaumia kwa KIPENDA bila kujari matokeo
Jamal i believe you have been following your content you're a
Real professor
Hi prof.. watching from Kenya, and we love you so much
Km umepanga kurudia kuskiliza kila siku gonga like twende sawa. Jamaa anajua sn Allah may bless u . And thx for lesson
Kweli
Kweli
Yani mpka nielewe😂
Nashukuru prof ushamalizamazungumuzoMunguakuongezee ujuzi...
We mtu ni shida tulikua tunakosa vingi nakuombea maisha marefu ili uzidi kutuelimisha Ahsante LE PROFESSOR
Am 17 but I start dating seen I was 12 and iam still together with the same girl and jamaal u r really inspiring me I appreciate you bro am from south Sudan and luv Ya'll
Daa Asante sana kwaku nifungulia vitu vingi sana ambavyo sikua nina vijua kuusu mapenzi Asante sana mungu aku bariki 🙏🏿
Kweliii Jamal wew Ni Professor big up sanaaa gonga like kma unmkbaliiii🔥🔥🔥♥️
Kumbuka kun mtigwa Pia 😅
Mapenzi hayatabiliki yani dah nashindwa kuelewa lakin vyote ulivyosema ni kweli hasa kwenye suala kwamba mwanamke anaumia zaid ya mwanaume aisee Asante professor
Hii
Big thanks the story book watching from 🇺🇬🇺🇬🇺🇬swahili speaking Ugandan and big fun of wasafi die hard wasafi fun
angalia channel yetu kwa simulizi zaidi. ruclips.net/video/aK8PRn7O44s/видео.html
kwa nilivyoelewa ulichomaanisha apo mwisho, upendo wa kweli ni "kupenda" na sio kupendwa, kwan kupendwa ni malipo ya kupenda. tanx jamal
Ghai.....siamini mapenzi yana uzito kwli.....salute u broh kw kazi yko
Lijamaa hata halisomi mahali limemeza tu nakuanza kusimulia big up professor.🙌🙌🙌
SIRI YA UPENDO WA KWELI IPO KWENYE KUTOA NA SIO KUPOKEA... JAMAL UNABIDI UTAFUTIWE SEHEM NA SERIKALI UKAISHI MWENYEW SABU UNA AKILI SANA
Hyu kweli professor
Kweli kbs yaan jamaa najifunza ving sn kutoka kwake
I've like this,good prof
Hhhhhh
Anasoma vyanzo vingi vya taarifa hakuna mtu anazaliwa na uprofesional
The story book gongaaa like twende sawaaa💥💥💥
Kwani mbegu Bora duniani niupendo mbegu hiyo kuipata nishida sana
Nimekua wa kwanza wadau naomba like zenu za kutosha
ruclips.net/video/UWbuppK_p78/видео.html
Alafu unazipeka wap?
Mnataka like ili iwajee kwanmnalipwaaaagaa
@@polycarpmicky4151 we
Thanks prof. Nilijua nilipo ila nilishindwa kujithibitisha lakini alhamdullah umenisaidia kupata uthibitisho, jazakallah al heyra
Jamal April umetujuza siri nzito kwenye maisha yetu (love) Be blessed Jamal. hahahah hapo siwezi bishana nawe
Nimealewa ssa mbona mtu akitenduws roho inaumakwe nimealewa❤❤❤
My best show in wasafi tv big up jamal April wasafi tumewashaaaa
Napenda sana Ila Bado sijapata mwenye mapenzi yakweli naumizwa kilasiku
Wasafi mmeleta kitu kizuri Sana apa bongo Ila Mimi siombi like lkn ukipenda gusa like chini apo
Professor leo umetukomesha na kutuumbua wanaume,tukiona tyu first time tumependa
Much love from Mombasa... excellent narrative voice Jamal.
Duh! 🔥🔥🔥🙌
Kweri we ni zaidi ya professor
Anyone from Kenya listening to this amazing guy,like
angalia channel yetu kwa simulizi zaidi. ruclips.net/video/aK8PRn7O44s/видео.html
Mimi hapa Dear
Kama unamkubali profesa Jamal like hapa tafadhali 🔥🔥
KISS NI DAWA YA NZURI SANA: VITAMIN A KUAMUSHA HISIA ZA MAPENZI
ruclips.net/video/gFL6t7mvnck/видео.html
KISS NI DAWA YA NZURI SANA: VITAMIN A KUAMUSHA HISIA ZA MAPENZI
ruclips.net/video/gFL6t7mvnck/видео.html
GOJENI NIMALIZEKUAGARIA NDO NICOMET
Broo unajuwa sana
0
Asante sana my brother from another mother
professor jamal 👏onger unajua sana kuchambua mambo mpk untamn kulizia mara kazaa zaidi ujawai niangusha sk zote
Kam ww nimwana wcb usiache ku like
Kam ww nimwana wcb usiache ku like
Professional,,naomba utueleze pineal gland na umuhimu wake.
Mapenzi ya kweli hayahusiani na kitu, pesa au mali. Mapenzi ya kweli ni uvumilivu wa shida na raha za watu waliokubaliana kuishi pamoja maisha yote. Makubaliano hayo hayajali rangi, kabila, dini au jinsia. Kwa ufupi definition ya mapenzi ni ngumu zaidi kuliko watu wanavyofahamu. Mfano mzuri wa mapenzi na aina yake unajulikana kisayansi duniani kote, ni kama ule wa bata mzinga “Gees” au ule wa penguins 🐧.
Kabisa amour 👌👌👌👌👌
Ni kweli
Yeah that ic true but in world that doses not work 🥺🥺🥺
Kweli kbs jmn.
😂😂subiri ivoivo upate uyo mtu labda nje ya dunia
Jaman me nimechelew san kuisikia hii na kila anataji like nimetoa za kutosh na mm anagalau hata like 20 tu jamaa anajua sana
Unataka uzipeleke wapi izo like
Kama ulishawahi kuumizwa gonga like hapa!!!
Acha kabisa
Haipoozi
Nimepigwa kitu kizito😢
hizi like hizi
This Jamal Guy is well versed with facts! And the presentation is top-notch. Blessings from 254
Kama umeiona na unaikubalALL AMERICAN mzee spencer james like hapa
Nzuri san mwanangu nakubali sana harakati Jamal fanya bc 2wewote umo ndan kweny harakat napenda San hasa zile zakutishaaa
A farmer get peace of mind and pleasure when he or she sees her/his garden grows beautiful , the same to love .
hatariiiiii.. tia like🤪🤪
❤❤❤i think its cool i love every bit of this
Bongo Ndio Nchi Pekee Ukimtongoza Mwanamke Hapohapo Nywele Zinafumuka, Anaanza Kusikia Njaa, Kodi Yake Inaishia, Mama Ake Anaumwa, Luku Inaisha! Daah Kwa Khali Hii Mtabaki Na Utam Wenu Wallah
Hujui Kenya wewe??
😁😁😁😁😁😁😁😁
Sisi ndo tz Africa
Hahahaaaaaa nakufa mm jaman mbavu zang we kakaa
@OSO ONLINE TV hahahaaaa utanibaiya kitu
mapenzi sio kuvutia kimtu kwa tamaa ya kimwili....hayo ya kweli kasema jamal
Simply amazing! A very powerful message blessed up brother
Unapendeza Jamaal in red suit 😍😍♥️
MaProfessor wenzangu like apa San kusuport professor mwenzet Jamal
Tunaoangalia 2024....mapenzi hapana nitafute pesa tu
Sijajua kama kunasiku ntaacha kuangalia the story Book Jamaal April , ur the creator my brother just God be with u and u will be the real and gorgeous professor .
Plus que cool mon professeur, vraiment tu nous a beaucoup aidé continue ainsi mon professeur que Dieu vous bénisse Mr Jamal Moustapha🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 🇹🇿🇹🇿
He is always the best
Ww kweli ni professor. What is LOVE IT'S ...
Now tunaenjoy tz tunawatu muhim now kina Jamal mustapha,jpm,Joel nanauka,Amos mwjonge etc kama unakubali falsafa za nyumbani gonga lyk
Ujanitaja nashangaa
Don't for get to subscribe Trop tv
Sio watu Muhimu sema wanafalsafa Wazuri.
Ukiwazungumzia watu Muhimu hapa nchini hapo labda utamuacha Uncle Magu tu Wengine woteeee, Fyekelea Mbali..!!
@@edwardsamson7951 unaleta siasa
@@goodlucktemu3149 Hahahaha, hamna Kaka sio Siasa ili mtu
WCB you bring a big art revolution in tanzanian media,thanks mr prof jamal
I love yr storey of the meaning of the word calls. LOVE! LOVE IS A WORD OF HAVE HIGH VALUES IF FELLOWS KNOWS THE MEANING OF LOVE! IT IS NOT ONLY TO LOVE A PERSON OR THINGS THE WAY FOXES THINK IT HAS BIG MEANING N VALUES N RESPECT N CARES ALSO. CAN LOVE A PERSON BY HIS MONEY HIS POSITIONS EDUCATION HE IS HANDSOME OR BEAUTIFUL BUT THAT IS NOT PURE N TRUE LOVE. LOVE IS FROM THE DEEP FAITHFUL HEART TO BE IN REAL TRUE LOVE NO MATTER THE PERSON IS! ITS NOT A JOCKS TODAY U LOVE TOMORROW U HATE THAT IS NOT PURE N TRUE LOVE JUST A PERSON LOVE A PERSON ONLY FOR HIS/ HER BENEFITS N THATS IT. TRUE LOVE NEVER GOES AWAY NEVER DIE NEVER QUITE WILL REMAIN IN THE 2 DEEP HEARTS FOREVER N EVER
Wcb mumeleta mapinduzi makubwa hapa tz siombi like ila kama muelewa utalike tu
ruclips.net/video/IBGsETed3bU/видео.html
umeomb kijanja😁
Thanks again Jamal
Ukopowa
Mpakaapo ushaomba😅😅😅
Hujaa furaha moyn kila mitambon unapokuwepo profesa.. We unaupekee usiochosha kusikilza
Profess Jamaal. Daaaaaah. Kaka. Shikamooooooo. Umenifunguaaa. Sana. Leo. Asanteeeeee. Kaka Jamaal. Nimekuelewaa. Sanaaaa
Hahaha eti lile jamaa la hamida km umesikia gonga like twende sawa
Thank you prof jamal mungu akuongezee maarifa ili nasi tuzidi kupata kile ambacho mungu amekujuza ahsante 👍👍👍
Jamal your literature review and how you relate to the reality is seriously very unique!!! Congratulations!!
Yes
His IQ and EQ is dope
Hio n poaa
I second that
Wangapi munapenda they story book naomba leke jamani angalau 300
Big up bro Jamal Mustafa unafanya kazi nzuri xana tunaipenda
Tupe tupe Jamal.Alafu ulivaa nguo ya love kwa imani yetu
Professor Jamal upo juu. Hongera yako.
U love someone ambye hajali wala haoni kaa unampenda afu ukipata mwingne ndo anaanza kujikuta anakupenda LOVE bhn dah
Absolutely I agree with you Prof.. Love is like drugs... Hurts the most when love someone who's not treating you back the same... Therefore love is just like a Coin 💔❤
Dah siku hadi siku jamal nazid kumkubali jamaa anajua sana asee
Jamaal upo right bro about love.....perfect
Here for a hundred time
U are the best Professor...Allah akutangulie always
angalia channel yetu kwa simulizi zaidi. ruclips.net/video/aK8PRn7O44s/видео.html
Kazi nzuri jamal tunapenda unacho kifanya
Dume linogaragara kwa kumlilia Hamida hhhhhhh,nan kaskia hii like twende swa
Jamali uko vzr umpk Tumemsahau, Mtiga Abdall
Mimi mkenya but the story book hainipiti,inaelimismisha sana.Keep it up bro.
Ni nzuri Saana,i like it,its so beautiful👫👫👍👍🍎🍎💟💟
“Love yourself first and everything else falls into line. You really have to love yourself to get anything done in this world.”...JAMAL APRIL ON TOP🍹🍾✊🏼🔥
Kutokana na realization yangu Upendo wa kweli hauna Mipaka huhitaji chochote kujieleleza ni Hali ya kukubali Ana na kitu au hali yoyote kwa namna ilivyo bila kujali lkn mpenzi inahusiana na hisia,
Asante Sana. Pia kwa ufafanuzi wa vitu ninavyoendelea kusikiliza ktk simulizi hizi
Mapenzi yanauma sana sana kwa wale wanaopenda kweli usikie tu yasikukute
You talk what it's true in our daily life
Dahh we jamaa mungu akuweke sanaa yaani nunanifamya nielewe kuliko hata kuelewa kwenyewe mungu akibariki sana
Jamali April🔥🔥🔥🔥 nami naitwaa Idris June 🔥🔥🔥
Professor jamal unasimulia vizuri snaa kila anaetoa muda wake kwako kukusikiliza hakika hawezi mbumbumbu lazima ajifunze na kuelewa kila mfano na fumbo
Asante you have answered most of my questions about love now am comitted💯
Naitaka hii video ntaipataje
Nataka nione like
Uko vizuri prof.. Mefurahi sana kujua saikolojia hii 😍😍
Thanks to jamal you have answered my question of many years God bless you for ever and give you an entenal life 🙏 ❤ ♥ 💙 💕
napenda( kula) samaki ,mzee hakumuelewa dogo hii ni tofaut na ( napenda samaki)!!!! ndo mana kuna love & like 🤕🤕 ni maon yangu 2
Dogo kakosea kujibu
Angesema kwasababu ni mboga
Angesema anapenda kula samaki
Uko vizuri sana professor
Sitapenda maisha yangu yote kwa nilivyoumia inatosha acha nibaki mwenyewe tu 😢😢😢😢😢😢😢
Pole Sana
@@fatumamaliam1754 fatuma
More than Prof. Thanks brother from another mother
Daaaahhh...umenigusa sana bro...niliwahi kulia natembea njia nzima kama mjinga ,,kumbe nlikuwa nalizwa na ujinga ,😂😂😂😂...nilimpenda mtu ambaye hakuwa na mpango na mm hata kidogo..how crazy was I?? 🤣🤣😂
Jamn pole
@@zaituniiddi243 Thank you Sana 🥳
Professional Jamal I really like what you do na naomba uje na story ya hudini tafadhali thank you #@amanisadick12
Kama na wewe umeguswa juu ya Mada hii ya leo acha like hapa
Hi
Góod
Dh humetukamata vijana wote sio kwa ukweli huo
Pamoja
Uko sawa
Yesterday nilitaka kujiua kisa mpenz wangu😭😭just imagine the way nilikuwa namuamin akin kumbe nachezewa hisia 😭mm n kijana ninayependaa kupitilizaa weng wanasema n tatzo akin hapana thats is true love ndo ninavoamin akin ni kweli kitu ukikipendaa kweli n hard kukiachaa 😭😭😭thanks jamal go be blessed always we love you brother
Oops😢
Sorry my dear😳😘
Pole😭😭
Naelewa vile unajihisi ,, maana pia nimepitia hayo ,, nilikuwa na wakati mgumu Sana ,,nilichukua takribani miezi mitatu kumsahau ,nilililia ,usingiz sipati,yaani nashinda chumb ani ata kuoga nikaichukia🤣🤣🤣 mpaka sasa Nina vidonda vya tumbo vikivyosababishwa na mawazo ,, mpaka nilijua kufanya maombi ili Mungu anasahaulishe huyo mtu ,ukweli Mungu alisikia kilio changu ndani ya miezi mitatu nilikuwa nimeshasahau ,, mwili ukarud vizuri,,
Utakufa siku si zako wacha upumbavu, jifunze kumuacha aende
Poleeeee my