TEARS | FULL MOVIE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025

Комментарии • 22

  • @KastaniManjaule
    @KastaniManjaule Месяц назад +4

    Daaah with tears , tisha Sana movie nzuri ina content nzuri, Big up Mr creative Kapela Films

  • @MombasaKwetu-ft9ky
    @MombasaKwetu-ft9ky Месяц назад +2

    Hii filamu inamafunzo sana nimeipenda Yani imelingana kabisa na maisha yangu kila kitu nisubiri kweli ❤❤❤ mafunzo mazuri

  • @Faithkerubo-v4r
    @Faithkerubo-v4r Месяц назад +4

    Movie mzuri sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯

  • @martinmwenda8789
    @martinmwenda8789 Месяц назад +3

    yes

  • @AishaMurugi-g1j
    @AishaMurugi-g1j 26 дней назад +3

    Mimi nimelia and naumwaa nakichwaa poleni sana watoto

  • @Khajra-r1u
    @Khajra-r1u Месяц назад +1

    Kazi nzuri tim kapela 🎉🎉🎉🎉good jobu mungu awavushe

  • @Mgaya07
    @Mgaya07 Месяц назад +3

    Kazi nzuli wakwanza kutoka somalia🇦🇼

  • @JaneNaliaka-fz2jx
    @JaneNaliaka-fz2jx 3 дня назад +1

    Inamafunzo mengi hi filamu

  • @dantewasia524
    @dantewasia524 12 дней назад +1

    Kwa kweli hii ni filamu bora sana.
    Alafu yule mama naye kanifanya nalia mm😅😅yani anaigiza hadi nashindwa kujizuia jamani.
    Ebanae yule mwana kifimbo ana kipaji cha hali ya juu akina Mbwela, kipara, wajiandae manake huyu huyu habahatishi😅😅😅

  • @fredrickngumbao418
    @fredrickngumbao418 28 дней назад +1

    Maua kwa bibi kapela kwa kuvumilia maumifu na matesa ya ndoa. Maua Tena kwa mbwela kueleza kapela makosa yake naye akakubali makosa mwishowe familia ikarudi kwenye furaha 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @rehemamutua44
    @rehemamutua44 Месяц назад +1

    Nan mwngne amelia fimbo aliposema njaa inauma n inabidi akauze matunda inahuzunisha sana I say😢❤❤🎉

  • @BENARDKARISA-ln8hv
    @BENARDKARISA-ln8hv Месяц назад +1

    Hajira kazi nzuri sanaa

  • @Mwanamwakaathumamwandekw-zb2fq
    @Mwanamwakaathumamwandekw-zb2fq Месяц назад +3

    Nkiona part ya mlevi imefka tu movie yyte napeleka mbio Naona wananiaribia muda tu

  • @Mwanamwakaathumamwandekw-zb2fq
    @Mwanamwakaathumamwandekw-zb2fq Месяц назад +3

    Kwani nyinyi mnaoact paka mueke walevi ndio mliambiwa movie inapendeza , hao walevi uwa awabambi kwenye movie ,awe tu mtu simple ,kuarbu movie tu

  • @nasraomary68
    @nasraomary68 Месяц назад +1

    Mbwela unajitunz kaa mwari w kipemb et kichupa kishajaa😂😂😂😂

  • @EverlyneVuhasiu
    @EverlyneVuhasiu Месяц назад +2

    Wanda na roho mbaya

  • @RaimamomedSaide
    @RaimamomedSaide Месяц назад +2

    Ah weeeeee njaa inastirika kapela acha ujinga 😂shulikia vizur familia yako,bora pombe ya mdogo wako anatimiza majukum yake,ila unako elekea nahis utapata mwanamke aje kukomesha ujinga wako.😊

  • @FatumaAbdulwahab
    @FatumaAbdulwahab Месяц назад +3

    Inahurumisha

  • @selemanisalehe7559
    @selemanisalehe7559 2 дня назад +1

    Kifimbo ni hazina kwenye tasnia ya uigizaji

  • @MUALIMOKIKI-n1e
    @MUALIMOKIKI-n1e Месяц назад +1

    Mposso

  • @Pasicke
    @Pasicke Месяц назад +1

    ❤❤❤🎉🎉p

  • @NaimaSaleh-i5h
    @NaimaSaleh-i5h Месяц назад +1

    Mmmh