MKUU BANDARI DAR:ATATUA UTATA! SAKATA GHARAMA KUAGIZA GARI/KAMERA ZILIVYOREKODI MATUKIO/MENG YATAJWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 апр 2024
  • Exclusive na Mkurugenzi wa Bandari ya Dar Es Salaam, Mrisho Mrisho aeleza kwa kina zaidi kuhusiana na uendeshaji wa Bandari na masuala mbalimbali
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #bandari #mrishomrisho

Комментарии • 25

  • @AzizaChabu
    @AzizaChabu 2 месяца назад +1

    Kua kiongoz yahitaji moyo kuwaingoza watu wengi mchanganyiko pia Kuna hitaji uvumlivu mungu akuongoze pia akupe wepesi wa kazi Yako
    Aamin

  • @hemedichabu1089
    @hemedichabu1089 2 месяца назад

    Hongera sana , ufafanuz mzuri Mwenyezi Mungu azidi kukusimamia na kukuongoza "Aamyn

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 2 месяца назад

    Kiongozi wetu huyo hata ukifika ofisini kwake anahuruma sana nilidhurumiwa gari alipambana Sana proud of you bro 😊

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 2 месяца назад +1

    Wtz jiamini kuendesha bandari mnaweza ,Ni aibu kuleta wawekezaji wawaongezee ufanisi,Ni kupoteza fursa za uchumi za nchi unawapa utajiri mataifa mengine

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 2 месяца назад

    Jamaa nondo sana anajua fika mambo anayosimamia 🙌🏾

  • @mulashanibrasio8151
    @mulashanibrasio8151 2 месяца назад

    Nice presentation

  • @AzizaChabu
    @AzizaChabu 2 месяца назад

    Proud of you brother chabu

  • @bakarimmbaga2344
    @bakarimmbaga2344 2 месяца назад

    Mkurugenzi uko makini katika uwajibikaji ubarikiwe sana

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 2 месяца назад +1

    Kwanini mnachukua wote wakati tra wanachukua ni kwa ajili ya maendeleo. Punguzeni kodi mtapata zaidi magari yakiingia mengi

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 2 месяца назад +1

    Ni aibu ilikuwa kuna meli za kisasa lakini eneo lenyewe sasa choka mbaya

  • @alexmollel292
    @alexmollel292 2 месяца назад

    Kamera zipo 480 unauwezo gani wa kutazama mwenyewe Mimi ofisini kwangu nina Kamera 16 lakini kuna matukio yananipita Sasa wewe nakushangaa kama unaweza kutazama Kamera zote hizo na ukajua kinachoendelea bandarini Ukitoka ofisini kwenda toilet ni vitu vingapi vinapita? Ukienda Breakfast,Lunch,Dinner ni vitu vinapita? Usifikiri Watanzania wote hawajitambui.................!

  • @manyanyangassa1895
    @manyanyangassa1895 2 месяца назад

    Kodi ni kubwa sana punguzeni

  • @user-dp5gc5vw4z
    @user-dp5gc5vw4z 2 месяца назад

    Kinacho niuzi Mimi nahagiza gari kutoka Japan kabra sijaonda gari nalikagua linakuwa na kila kitu yani Wheel Supana vitu vidogo wale wanao toa gari kwenda kuyaweka sehemu wanapo ya park kule ndio kunafanyika wizi wote fanyeni marekebisho

  • @herrykejo3727
    @herrykejo3727 2 месяца назад

    Wale watu wa verification unapotoa mzigo wanadai rushwa la sivyo wanakurudisha udaiwe hela zaidi kwa kisingizio kwamba ulicholipa si sahihi

  • @emiryfaida2437
    @emiryfaida2437 2 месяца назад

    Kitu kingine system calculator iliyopo mtandaoni mbona hua zinatofautiana sana na uharisia

  • @bakarimmbaga2344
    @bakarimmbaga2344 2 месяца назад

    Ndugu mwandishi hebu tuulizie kuhusu taratibu za kiutendaji(uendeshaji) baada ya kuingia mwekezaji DPW

  • @ChancellorFelix-vm5yp
    @ChancellorFelix-vm5yp 2 месяца назад

    Inatia uchungu sana juhudi zote za magufuli kuboresha bandari nch inufaike mama kanpa mwarabu

    • @HeboniBabu
      @HeboniBabu Месяц назад

      Mwalabu sio watu au vip njoo South Africa uwone Walabu wanavyo fanyakazi

  • @ColinMhema-ne3lz
    @ColinMhema-ne3lz 2 месяца назад

    Nadhani kwa tanzania mwandishi namba moja anaejua kuhoji mambo ya msingi ni huyu lambati

  • @musakifumu1373
    @musakifumu1373 2 месяца назад

    Hajibu maswli huyu Mkurugenzi!!!

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 2 месяца назад

      Nadharia zaidi,huwa hafiki maeneo ya kazi... hakuna uhalisia kwenye maelezo yake

  • @JumaMohammed-ch1sm
    @JumaMohammed-ch1sm 2 месяца назад

    Kupitiliza kiwango cha abiria mbona ni kawaida kwa tunaosafiri tunajua mzee

    • @massawemrlowprice3949
      @massawemrlowprice3949 2 месяца назад

      Huyu anaambiwa/ anapewa taarifa akiwa anazunguka kwenye kiti cha kuzunguka

  • @FloridaAdelinus
    @FloridaAdelinus 2 месяца назад

    LANGO KUU LA UCHUMI NCHINI TZ (BAHARI) DUBAI WANA ELIMU YA BANDARI AMBAO HAWANA BAHARI. WATZ HAWAJASOMEA ITABIDI VYUO VISIENDELEE KUSAJILI WANAFUNZI VINAWAIBIA ADA ZAO.

    • @froma3732
      @froma3732 2 месяца назад

      Dubai ipo Bahari hebu jaribuni kufuatilia Vitu kambla ya Kuleta taarifa za Kijiweni