Ubarikiwe mtumishi kwani mwaka juzi nikiwa Afrika ya kusini nlpatwa na jambo gumu sana nikiwa kwenye maomb ya sku 21 Mungu alisema nami na kunionesha mambo kadhaa lakini hk kpnd chote huu WIMBO ulikuwa faraja yangu kwan hakuna alienifarj kutoka TZ nikamwelewa ilbd Mungu asmame tu mwenyewe
Ashukuliwe mungu wa mbingin Kwa kukutumia mtumishi unanitoa machozi na nyimbo zako ubarikiwe sana aendelee kukutia nguvu baba wambingun ahsante bwana Emmanuel mgogo nakuona Kila Kona natamani sikumoja tuonane japo nipo mbali
Nyimbo zako zinanibariki kila ukitoa wimbo mpya, hii ni kali , waache waje pia ni nzuri, only you pia ni nzuri..... we love you all the way from kenya❤️
Mungu akupe maisha marefu n'a nguvu ili uwendeleshe kazi yakee nakupenda sana tena sana yani nasikiliza nyimbo zako zote ni zuri sana zote nazijua nakupenda sana tena 🥰🥰❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏 I'm from Australia nakupenda sana tena
Yani mm nilikuwa sipendi kusikia nyimbo kabisa ilatoka nilipoanza kusikia nyimbo zako sasa nimebadilika sana namuona MUNGU katika moyo Wangu na maisha yangu yamebadikika kwakiasi kikubwa MUNGU akubariki sana nyimbo zako zinanifaliji sana
Mungu akubaliki sana napenda sana nyimbo zako
Ubarikiwe mtumishi kwani mwaka juzi nikiwa Afrika ya kusini nlpatwa na jambo gumu sana nikiwa kwenye maomb ya sku 21 Mungu alisema nami na kunionesha mambo kadhaa lakini hk kpnd chote huu WIMBO ulikuwa faraja yangu kwan hakuna alienifarj kutoka TZ nikamwelewa ilbd Mungu asmame tu mwenyewe
Amina
Dhu na huyu jamaa alivyo tokelezea, ndo ana tupea uhalisia sasa. Like kwa bonge
❤hakika hakuna kama yeye mungu anastahili utukufu mpe mungu
Hakika Mungu ni mwaminifu, 😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
❤amina
MUNGU wewe unatisha sana baba asante mtumishi wa MUNGU kwa msg nzuri
Wimbo umenipa faraja ya kuvumilia kusubili vile nilivyo omba kwa Mungu🙏
Amen! Ubarikiwe na kutiwa nguvu zaidi
Mimi Kabsa na ninayoyapitia naona Kama nachelewa au nimeachwa na Mungu 😅
@@tasokwamichael2433 Yaan tunapitia Mambo Hadi tunakufuru . Lakin Mungu mwema.
@@mgogosinger Amen
Huu wimbo toka mwaka jana nimekua nikiusikiliza ,,,ninahisi kumuona Mungu kupitia huu wimbo barikiwa Sana MTU wa Mungu
Yaani mgogo nyimbo zako zinanibariki sana zote
Mungu akulindi
Wewe jitu la mbinguni mungu azidi kukuinua juu zaidi
Nabarikiwa sana na nyimbo zako .Mwenyezi Mungu atukuzwe.
Mungu abarikiwe
Amina Amina.....Nimebarikiwa sana jaman.....Karibu tena mwz.
Kwa Mtash
Aminaa
Kweli Mungu hachelewi kabisa
Wimbo huu nautafakari adi nalia
Minabarikiwa na nyimbo zako mina ishi congo
Wimbo unanibariki mnoooooooo
Hakika subira ya vuta heri na ukisubiri lazima utapokea hitaji lako maana Mungu wetu ni Mwaminifu na ahadi zake ni amina na kweli
Safi Sana Kaka mungu akulinde
Wimbo unanibariki mno
Kweli.mungu.mawazo.yake.niorijino.
Halleluyah! Asante Yesu.. nimepokea huu ujumbe na umekuja kwa wakati ninahitaji. 'ONLY HE CAN DO WAT NO MAN CAN DO🙏 God bless you pastor Mgogo.
Amen wimbo huu unanipa faraja ya kusubiri nillivyo aganiwa na Mungu
Pekee yake ni yeye anaweza Fanya Yale mwanandamu haezi kufanya
God time the best always let wait apone him
Wimboo mzuri sana
Thanks man of God the message bless my heart.
Ashukuliwe mungu wa mbingin Kwa kukutumia mtumishi unanitoa machozi na nyimbo zako ubarikiwe sana aendelee kukutia nguvu baba wambingun ahsante bwana Emmanuel mgogo nakuona Kila Kona natamani sikumoja tuonane japo nipo mbali
Mungu ata ukichelewa najua utatenda maana neno lako ni kweli,naamini na kupokea
Amen! Ubarikiwe
@@mgogosinger ubarikiwe nawe pia Mtumish wa Mungu
Kwaa sehemu tunduma
Amen amen be blessed mtumishi WA mungu nice song
Mungu akupe wimbo mwengine kama huu
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana kwa kazi nzuri ubarikiwe sanaa
Huu wimbo unanifariji sana Mungu azidi kukuongezea kipaji❤
Mungu ni mwema sana cha muhimu Sala Imani subira 🙏
Emmanuel Mugogo ndagukunda cyane "I love You so much because Unanibariki sana mutumishi wa Mungu".
Ameeeeeeeen❤ yeye niyule yule
Kiukweli nimebarikiwa na wimbo huu naona macho yananitoka tuuuu!!
Muimbaji mungu anajivunia wewe, usiye na mawaa,wimbo huu naurudia na kurudia ,mungu baba wa mbinguni aikuze huduma yako njema
Barikiwa sana kwa nyimbo nzuri
Ahsante sana kwa ujumbe kaka unanibariki sana,
Mungu akuinue utukufu hadi utukufu kaka
Elikana umejua kuuvaa uhalisia barikiwa ndugu yangu
sasa mambo ndo haya ule wa yesu mwamba uliosema umewaimbia injili wapagani lakini hadi wapagani wanashangaa
mimi ni shabiki yako namba 1 tanzania
Amen 🙏
Nabarikiwa sana na huduma hii siku zote barikiweni sana
Nimebarikiwa zaidi na wimbo huu...more grace and anointing servant of the most high God 🙏🙏
Amen! may God bless you so much
Amina
Ameen sitasahau aliko nitoa mungu hakika ameondoa aibu yangu na kunipa heshima🙏🙏
Amen! Ubarikiwe
Nyimbo nzuri sana hii inaujumbe mzito
Naomba no yako mtumishi wa Mungu au nieleweshe kanisa Lako lilipo basi tu nije huko
0769505537,
Ndagha thatha mungu akubariki sana kaka nabarikiwa nikiwa paje zanzibar
Amen, Ubarikiwe
Asifiwe yesu christo atupae kushinda
Barikiwa mungu akujaze tena na tena
Kabisa
Amen 🙏🙆😥 , naendelea kuvumilia siku moja atajibu yote baba 🤗
MUNGU azidi kukuinua mahali pa juu
wimbo unanigusa sana
blessed sana
Ashukuriwe Mungu kwa kukutumia mtumishi. good worship song
Wimbo mzur Sana nimetiwa nguvu ya kuwa na subira
Amen, Mungu azidi kukuimarisha
@@mgogosinger amina mtumish
Ongela.kaka kwa.ujumbe muzili
hakika
👏👏👏👏👏👏👏 Mungu mwema sana
Naamini ni mungu tuu na mtegemea much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu akubariki kwa ujumbe unao Tia Moyo🙏🏼
Amen! Ubarikiwe pia
True bro
Mungu akubariki mtumishi uinuliwe sana
The video I have been waiting for b blessed
God bless you 🙏🙏
Amina sana, nimebarikiwa sana. Akuna kama wewe BWANA mutetezi ni wewe Baba. Amen amen 🙏
Amen, Ubarikiwe sana
😢you are blessed 😢...
I'm at a verge of giving Up
I needed this
❤❤❤❤❤❤Nabarikiwa sana nyimbo zako.
Ishi tu Mtumishi unanibarik mnoo 😭😭
Amen! Ubarikiwe
,amen 🙏🙏🙏
Unique melody. God bless you MTUMISHI.
Uishi ushibe miaka
Mungu akupe kila kilicho jema Rev Emanuel Mgogo
Oh hallelujah, ubarikiwe sana ndugu
Mungu akupe miaka mingi ya kuishi mtumishi
Amen! Ubarikiwe
Nyimbo zako zinanibariki kila ukitoa wimbo mpya, hii ni kali , waache waje pia ni nzuri, only you pia ni nzuri..... we love you all the way from kenya❤️
Amen nimebarikiwa 🙏
Mungu akubariki.
Amen, Ubarikiwe pia
Ubarikiwe Sana kaka
Tunaisubiria
Amen! Ubarikiwe
Balikiw sana sana broo
Amen! Ubarikiwe
Brother mgogo you have touched my life these morning by the power of the holyspirit am blessed
Mungu akupe maisha marefu n'a nguvu ili uwendeleshe kazi yakee nakupenda sana tena sana yani nasikiliza nyimbo zako zote ni zuri sana zote nazijua nakupenda sana tena 🥰🥰❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏 I'm from Australia nakupenda sana tena
Aminaaaa
Mungu akuongezee mafuta broo emmanuel uendelee hivyo usibadilike
wow please Kenyans tumumpe likes 🎺🎺🎺🎺🙏🙏🙏🙏
Yani mm nilikuwa sipendi kusikia nyimbo kabisa ilatoka nilipoanza kusikia nyimbo zako sasa nimebadilika sana namuona MUNGU katika moyo Wangu na maisha yangu yamebadikika kwakiasi kikubwa MUNGU akubariki sana nyimbo zako zinanifaliji sana
Aminaaa
Ubarikiwe sana
Anatuwazia mema siku zote .be blessed man of God
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
I don't understand Swahili, but I feel this song, let God fix what is broken.... 🇳🇦
Amen, may God bless u in his way
Haleluya
Amen Amen
Amina Sana mtumishi.
Nice one
Beutiful one! Asante Pastor, Nikuache niende kwa nani Bwana??? Nitakungoja, najua utakuja Baba 🙏
Zidi kubarikiwa
Good job
Amen
Doing good keep the fire 🔥 burning 🔥
Amen Amen
Yes!!!!! That's
THIS IS WHAT NATIONS NEED TO HEAR ,PURE GOSPEL OF CHRIST💯💯
Haswaa!
Kalumbu mmha kwembha umenyee fijo.