Nyimbo zako nazipenda sana emanueli kakayetu uwanikisia nyimbozako naisi yesu yukonami najua babaangu aloe nitangulia nae anafalijika sana maan kunamda najiisi nimerudi ueponi niombee nimludie yesu nateseka sana naangika sana natamani ata nipate atanamb zako kaka najua unajua yesu
Roho huyu anayekupa maono hakika ananifurahisha sanaa maono ya nyimbo zako nabaki kusema nikianza kuimba taimba nn naishia kusema sifa zina Mungu wew tu.ubarikiwe
Nabarikiwa na nyimbo zako saaaana. Napenda kusikia kila siku sauti ya Mungu ndani ya nyimbo zako. am blessed so much!!!!! God is rightly using you through this songs.
Hakika ipo sababu ya kukataa kuwa pagala ktk maisha haya mafupi,heri kuwa mshamba wa Mambo ya Dunia ili uipate siri ya wokovu,,,barikiwa Emanuel Mgogo umemtangaza Yesu
Nakataa kuwa pagala kwa jina la Yesu Amen. Yesu tawala maisha yangu Bwana nakataa tena nakataa kuwa pagala kwa jina la Yesu Amen, Amen. Mimi na Yesu tu
Oho my God this so awesome 💪❤👑😍💘👌👏 Mungu ni weke mingu pako ni funzi maku yako sitaki kua mbangala na tamani imetosha imetosha mbangala ya dunia ina mathara mengi paradiso dipo kwetu kuna ulizi akuna kifo akuna shida tutafuteni ufalume wa mbingu na mengineo yatafatua
Nyimbo zako nazipenda sana emanueli kakayetu uwanikisia nyimbozako naisi yesu yukonami najua babaangu aloe nitangulia nae anafalijika sana maan kunamda najiisi nimerudi ueponi niombee nimludie yesu nateseka sana naangika sana natamani ata nipate atanamb zako kaka najua unajua yesu
Nakataa kuwa pagala kwa Jina la Yesu Kristo
Napenda hii nyimbo kuliko zako zote mtumishi
𝑵𝒌𝒊𝒘𝒂 𝒎𝒎𝒐𝒋𝒂 𝒘𝒂𝒐❤
nakata.kuwa.pagala.aki
Mimi nakataana na maisha ya pagala!Eeh Mungu ondoa uongo na majivuno ndani yangu ili ujapo mara ya pili ninyakuliwe Mbinguni.Asante mtumishi wa Mungu.
Kama unamkubali huyu jamaa gonga like hapa!!
Be blessed
Namkubali sanaaaa
Amen
Roho huyu anayekupa maono hakika ananifurahisha sanaa maono ya nyimbo zako nabaki kusema nikianza kuimba taimba nn naishia kusema sifa zina Mungu wew tu.ubarikiwe
Wimbo huu ni nzuri
ubarikiwe sana kaka huu wimbo umeniinua sana
Sijawahi kupitwa na nyimbo za hiyu Kaka nazipenda Hadi kwenye gari yangu animejaza nyimbo zake tu mungu akubariki sana
Nabarikiwa na nyimbo zako saaaana. Napenda kusikia kila siku sauti ya Mungu ndani ya nyimbo zako. am blessed so much!!!!! God is rightly using you through this songs.
Nime barikiwa na wimbo huu mungu akuinue mteule wa mungu
Nimeipenda
Napenda nyimbo zako zinanibriki sana pia nakukumbua ulikua kaka mkuu shule, nikikuona nabarikiwa
Hakika ipo sababu ya kukataa kuwa pagala ktk maisha haya mafupi,heri kuwa mshamba wa Mambo ya Dunia ili uipate siri ya wokovu,,,barikiwa Emanuel Mgogo umemtangaza Yesu
Good bless
Nimekataa kuwa pagala Mungu nisaidie
Ubarikiwe Sana MUNGU akuinue zaidi mtumishi
Nakataaa kwa jina la YESU kuwa pagala MUNGU wangu nilinde mwanao nisijekua pagala kama wengine AMEN AMEN AMEN
Ooooooooop YESU nafurahia maisha ya kua na YESU ndani yangu barikiwa kakaangu nakupenda tuuu
😐😥huu wimbo ukiusikiliza kibinadamu huwezi kuuelewa🙏🔥🙌
Amen aky ubarikiw mungu ukuiniwa tena nate
Pagala lna mambo mengii halelujah
Man of God o love your songs your blessed go hone we love you
❤❤❤❤❤❤❤wooow. Wisdom in the word of the Lord God❤❤❤❤❤❤
Hakika usikubali kua pagala
Nakata kuwa pagal mgog mungu akubariki
Siwezi nikasema mengi zaidi ya kumrudixhia Mungu utukufu anayekuwezexha ili uufikixhe ujumbe kwetu .barikiwa san
Amen mtumishi wa Bwana nimebarikiwa sana na nimejifunza kutoka kwenye huduma yako ya uimbaji. kweli Bwana akukumbuke kwa kila ulifanyalo.
haki sitaki kuwa bangala barikiwa kaka
Sitaki kuaaa pagal mm mungu nsaidie
Mwiimbaji wangu namba moja
my god! nimeacha kuwa pagala
Nyimbo zako zanibariki sana,Mungu akutetee uzidi kuimarika
Mungu akubariki Kaka mgogo
Nakata nakataaa pangala mikosi balaaaa roho chfu roho za umauut i roho za mahajari kwa damu yesu navikataaaaa
Napenda sana nyimbo zako
MUNGU ni mwema atatufanikisha
Daaaah Mungu azid kukuinua mtumishi songa mbele
Kweli kabisa
Nakupenda yes
Exactly unakila mbinu ya kufkisha ujumbe wa neno la Mungu kwa jamii God bless you
Nakataa kuwa pagala kwa jina la Yesu Amen. Yesu tawala maisha yangu Bwana nakataa tena nakataa kuwa pagala kwa jina la Yesu Amen, Amen. Mimi na Yesu tu
if God with us who can against us I loveJesus know
if God with us who can against us I loveJesus d
if God with us who can against us I loveJesus
●︿●‘︿’🎈 Happy Birthday!
🔥 🔥 🔥
📍 📍 📍
📍 📍 📍
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎂🍓🎂🍓🎂🍓🎂🍓
🍓🎂🍓🎂🍓🎂🍓🎂
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎈 Happy Birthday!
🔥 🔥 🔥
📍 📍 📍
📍 📍 📍
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎂🍓🎂🍓🎂🍓🎂🍓
🍓🎂🍓🎂🍓🎂🍓🎂
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎈 Happy Birthday!
🔥 🔥 🔥
📍 📍 📍
📍 📍 📍
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎂🍓🎂🍓🎂🍓🎂🍓
🍓🎂🍓🎂🍓🎂🍓🎂
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎈 Happy Birthday!
🔥 🔥 🔥
📍 📍 📍
📍 📍 📍
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎂🍓🎂🍓🎂🍓🎂🍓
🍓🎂🍓🎂🍓🎂🍓🎂
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎈 Happy Birthday!
🔥 🔥 🔥
📍 📍 📍
📍 📍 📍
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎂🍓🎂🍓🎂🍓🎂🍓
🍓🎂🍓🎂🍓🎂🍓🎂
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎈 Happy Birthday!
🔥 🔥 🔥
📍 📍 📍
📍 📍 📍
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎂🍓🎂🍓🎂🍓🎂🍓
🍓🎂🍓🎂🍓🎂🍓🎂
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎈 Happy Birthday!
🔥 🔥 🔥
📍 📍 📍
📍 📍 📍
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎂🍓🎂🍓🎂🍓🎂🍓
🍓🎂🍓🎂🍓🎂🍓🎂
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂🎂
Barikiwa mno
Eeee.mungu.wangu.nisimamie.tena.uwe.mulinzi.wangu.naikataa.pagala
From kenya Napenda kazi zako sana
Sauti nzuri na ujumbe. Ngetamani kuwasiliana nawe moja kwa moja
Karibu
Ubalikiwe sana nina balikiwa nanyimbo zaka kaka
Huu wimbo MUNGU wangu umejaa nguvu zako,,naurudia Mara 10 kwa Siku.....Emmanuel MUNGU atetee huduma yako.nyimbo zako zanibariki kweli.
Mungu wa mbinguni azid kukutumia ktk Huduma mtumish Emanuel Mgogo!!!
Sitaki kuwa pagala mungu endelea kunipigania
barikiwa Mtumishi unakonga nyoyo nakataa Kuwa Pagala kwa kina la Yesu aliye hai.!
Amen mpendwa roho Wa mungu azidi kukuongoza ktk uimbaj
Mungu,azidi kukuinua,kwakaz yake
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu napenda nyimbo zako Mungu aendelee kukuinua
Amaa kwel ukiwa na yesu niraha,nmeipenda nyimbo hyo,
Namkubali Sana
nakataa kuwa pagala, makao ya magonjwa, laana balaa na mikosi
Namkubali nyimbo za kinabii zinagusa
Na mimi siyo bagala mimi ni mwana wa Mungu aliye hai, ubarikiwe kaka Emmanuel kwa wimbo huu mzuri sana
Ni kweli ndugu Yangu nashukuru Mungu kukupa Injili mdomoni
Amen hallelujah I am from Zimbabwe I don't understand swahili but you are my number one your voice brother well done may God bless you
He has done a song in English I hope you have seen it. I have followed the footsteps of Jesus
Thank you very much
Welcome Tanzania
Yite kwa rohoni
Nakataa kuwa pagala, kwa jina LA Yesu
Mungu azidi kukpa nguvu katika huduma yake 🙏
Kweli Kabisa Brother Nakataa Kua Kama Pagalaa Ujumbe Mzito
Amina nakataa kuwa pagala ,mm na yesu Wangu tu
Barikwa sana brother nyimbo zako zina ujumbe mzito wenye kueleweka na kufundisha .
Hongera nina balikiwa sana by imani kigoma
Asante mtumishi.. Ubarikiwe
Hizo brother ndio sauti za gharama Kama nyimbo ya Niko uliyeko!!! Be blessed
Ameeeen Kaka Emmanuel... Pagala, wimbo unao mafundisho ya nguvu....Mimi ndani ya Yesu, Yesu ndani yangu.
My God bless u mgogo for your songs
kwa kweli sifa na utukufu namurudishie yeye aliye kuumbia karama hiyo! nakuombea udumu ktka huduma kaka!
Nakataa kuwa pagala Yesu yupo ndani yangu
Oho my God this so awesome 💪❤👑😍💘👌👏 Mungu ni weke mingu pako ni funzi maku yako sitaki kua mbangala na tamani imetosha imetosha mbangala ya dunia ina mathara mengi paradiso dipo kwetu kuna ulizi akuna kifo akuna shida tutafuteni ufalume wa mbingu na mengineo yatafatua
Your songs are powerful ❤️good job...
Mtumishi ahsante sana kwa ujumbe mzuri karibu sana ZICC TAG ZANZIBAR
Amen Mungu akubariki nasikia nafika mahali
ni kweli tumebaki mapagala yesu atusaidie kwa kweli mungu akubariki kwa ujumbe mwema tukatae kuwa pagala
Yesu nisaidie mm na familia yangu tusiwe pagala
Nyimbo nzuli
Kataa kuwa pagala, ubarikiwe mtumishi wa mungu kwa huduma unazotoa
Unanibaiki sana kaka Emanuel mungu azid kukutumia
Amen Amen mutumishi, may almighty God bless you , napenda sana nyimbo zako👌👌👌👌
0704062977
Nakataa kuwa pagala.
Amazing song with deeper meaning. I was wondering about' Pagala'.Thanks for translation
Mungu baliki kaz ya mtumishi wako. Huyu Emmanuel mgogo manake unampakipqj chapekee San. Godbles my brother.
Wimbo umetoa ujumbe mzuli san . very nice pagala
Amina!! Barikiwa kaka, napokea jumbe zinijengazo!!
Amen
Nakataaa kuaa pagalaaaa
Baikiwa mtumishi wa Mungu Mgogo
Kuwa pagala ni kitu kibaya sana...
Nakataaa, nakataaa, kwa Jina la KRISTO YESU.
Fariji Hussen
naipenda sana nyimbo hio
napenda ujumbe wako Sana, mungu akuzidishie maarifa we mgogo
good work br pagala is very bad eeh God open our mind to escape pagala
Nakataa kuwa pagala Kwa jina la yesu
Kaka hii nyimbo natamani kila nafsi iusikie!
barikiwa sana nyimbo zako zimeniokoa
Kakaangu mgogo mungu aendelee kukupa kibari machon pake love sanaa ww
Huu wimbo umenitoa machozi hongera sana mgogo
BARIKIWA MPENDWA
nakataa kuwa pagalaa kwa jina la yesu amen.
Wimbo mziri lakini kitabu gan katika biblia kinaeleza pagala
nikweli sikuhizi watu tumekuwa mapagala eeemwenyezi mungu tukombowe
ooh god sitaki kuwa pagala blessed song wow
To God be the groly!!! Ninakataa kuwa pagala. Barikiwa mtu Mungu
Aisee! Ubalikiwe