Uuuuuuuuuuuuuuuwi nisimame wapi ndio niimbe na kucheza ooh hallelujah ninainuka na kuangaza nimekumbukwa leo na mimi huu ni wimbo wangu haswaa #Emmanuelmugogo barikiwa mnooo.
Yani nyimbo zako na sauti yako mtumishi huwa vinakuwa na upako na mafuta ya roho mtakatifu ndani yake, naomba Mungu akuweke na akuzidishie maisha marefu🙏🙏
Haujawahi kukosea katika kazi yako nakukubali kaka Emanuel Mgogo naomba sana MUNGU nikukute mbinguni kaka hata una madhaifu MUNGU akutakase kila iiwtwapo leo kipawa hiki kisiishie hapa duniani nakupenda sana kakaangu Mungu akupe maisha marefu
i. just got this song on right time while struggling to get a job na ndoto zangu zimefufuka zaidi zaidi yaaani mungu ni mwemaaaaaaa I arise and shine all Isaiah 60:1 now light and glory of the God is endless to me ,early morning I'm blessed more than I was
Unanibariki sana mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgogo,Hakika Mungu anakutumia kwa kiwango cha juu sana Kusema na watu wake. Ubarikiwe sana,ninapokea Kuangaza sasa!
Kwakweli unaimba vizuri sana wimbo una upako umeniiinua kwakweli ubarikiwe Mugogo
Wow... Hii ya leo noma sana... Imeniguza kweli... Mungu awajalie nguvu mukafikishe injili juuu zaidi na zaidi
Nyimbo zako huwa zanifufua Kila siku,..mungu azidi kukuinua kwa kipaji chako..
Amina
Oohhh Unagusa Sana jaman Mungu Awabariki Sana🔥🔥👏👏
Amen huu niwakati wangu wakupokea 😍😍😍😍😍
Ni Majira ya wateule kuangaza.
Mungu awabariki watumishi
Ninambarikwa kilawakati ninapo sikia nyimbo zako❤❤ata mimi nimwimbiji mdogo natafuta wakunifuza nijue saidi
Wimbo umenipa nguvu mpya. Endelea kumsikiliza Mungu Skype mengi zaidi ya kuuambia ulimwengu
Namuona Emmanuel Kuwa ni Mtoto Wa ROHO MTAKATIFU kabisa nyimbo zake zinapita Ndani ya roho yangu
Amina mtumishi ubarikiwe Sana Kwa kaz zako zinatubariki Sana
Uuuuuuuuuuuuuuuwi nisimame wapi ndio niimbe na kucheza ooh hallelujah ninainuka na kuangaza nimekumbukwa leo na mimi huu ni wimbo wangu haswaa #Emmanuelmugogo barikiwa mnooo.
Hii wimbo imenigusa..akika nguvu zakuinika ziitayari..big up man of God
Napokea utukufu wa Mungu kupitia wimbo huu , watumishi wa Mungu Mungu awabariki zaidi na zaidi
Hakika wewe ni chombo kiteule cha MUNGU itunze sana huduma yako ili siku ile tumlaki Bwana Yesu ubarikiwe sana
Asante mungu uchawi na wivu anaetutendea Kaka yetu Yona ukamrudie yeye kwa Jina la yesu kupitia huu wimbo unaegusa maisha ya watu
Kazi nzuri 🙌🙌🙌🙌Inuka na Uangaze,,,,, MUNGU ni wa kila majira🙏🙏 wimbo umenibariki
Mtumishi wa Mungu Barikiwa Mnoo Huyo Mungu wako Awe wangu Ni Mzuri sanaa Uko na Mafuta ya kipekee sanaa
Barikiwa saaana Baba, Mimi kila siku natiwa Nguvu na Huduma yako, Niko nyuma yako.
Emmanuel kila Siku una kuwa surprise kwangu. From DRC. 5/5. Mungu aku inuwe zaidi kuliko jana
Emma mgogo amehudumia moyo wangu sana,Leo hii na pst tumanini,u made heavens come down
Yani nyimbo zako na sauti yako mtumishi huwa vinakuwa na upako na mafuta ya roho mtakatifu ndani yake, naomba Mungu akuweke na akuzidishie maisha marefu🙏🙏
Amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 meeeeen kabisaaa chakukua hiyo kibali kwa jin la Yesu
Safiiiiiiiiii mtumishi,huta kuwa chini utakuwa juu tu kama tai.Umebarikiwa wewe napenda huduma yako.
Ubarikiwe Mtumishi.Una imba jumbe zinakamata na ku gusa mioyo
Amen sitakufa kabla ya wakati Bali nitaishi kushuhudia wema wa bwana mahishani mwangu🙏🙏
amen Glory be to God
Amen 🙏
Amen
Kazi nzurii mtumishi wamungu na kupenda sana mungu akubariki
Mungu awape kibali na nyny pia, wimbo umenibariki,napokea kibali,sitakufa mapema, ushindi kwangu, napokea in Jesus name
Mungu awabariki wimbo huu wimbo umenibariki zaidi oooh Yesu wangu unastahili kuinuliwa 🙏🙏🙏
Ng'ambo ya bahari tutauimba wimbo Haleluya. Mmmmmh ni baraka namna gani kuusikiliza wimbo kama huu! Mbarikiwe watumishi wa Mungu aliye juu mbinguni.
ujumbe mnzuri sana🙏🙏endelea kutuhubilia mtumishi
Hongera nimebarikiwa sana na hii tungo Mungu akubariki sana
Waooo hongera sana Kaka
Ninakitu Cha kujifunza🔥🔥❤️❤️🙌🙌
Balikiwa sana big bro kazo zako zina utukufu wa mungu
Kweli nimepokea kuinuka na kuangaza Barikiwa sana kaka Emanuele Mgogo
Kaka kazi njema sana hongera sana.
Nyimbo za Emmanuel Mgogo,zinanibariki na kunisogeza kabisa karibu na Roho Mtakatifu.
💃💃ubarikiwe mtumishi
Ameeen,wimbo ulobeba ujumbe mzito
Mzuri mno nabarikiwaa Sanaa, Mungu awatunze
Asante kwa huduma unaliimba neno halisi Mungu azidi kukuinua akufiche mbawani mwake na azidi kukupa ufunuo mpya
Amen!,Barikiwa sana mtumishi..
Ooh yes,Majira ya kuangaza na kuinuka kwangu imefika
Hongera sana Bro.naomba namimi nifundishe wimbo nikarekodi.nabarikiwa mno na kumbe zako
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu. Wimbo huu umebeba jawabu la wengi. Hallelluya mioyo yetu ipone.
Hii nayo sio ya hapa duniani. It can only be made in heaven.
Safiiiiiiiiiiii Sana ninapokea nguvu za kusimama tena
Haujawahi kukosea katika kazi yako nakukubali kaka Emanuel Mgogo naomba sana MUNGU nikukute mbinguni kaka hata una madhaifu MUNGU akutakase kila iiwtwapo leo kipawa hiki kisiishie hapa duniani nakupenda sana kakaangu Mungu akupe maisha marefu
Hongera my mentors mungu anawapeleka viwango vya juu sana
Amen sitakufa Bali nitaishi niyasimulie makuu ya Mungu 🙏
Safi sana mtumishi. Nainuka niangaze🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Amina amina..nimepokea upako katika jina la Yesu ..it is time to shine
Haleluyaaa Utukufu wa BWANA umenijilia
Wow......AMEN.Very powerful song and touching heart
Ipo siku ntakushirikisha katika wimbo mmoja
Amen tutavuka ng'ambo ya ushindi wetu tutaImba wimbo wa ushindi.Mungu amewatupia baharini Farasi na mpanda farasi ameni
Kwa kweli si wakati wa kulala ni kuamka,wimbo nzuri
Ubarikiwe mtumishi kwaujumbe mzuri sana amen
Hongera Sana baraka telee watumishi wa mungu
I love this song. Viwango vya juu
Hasubuhi mchana usiku sichoki kusikiliza huu wimbo maana umeniinua kiimani. Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Like it ❤❤❤❤❤❤ you raise me up
Wooow!!! Jameni huu wimbo umenitia nguvu... Nahisi Nimebarikiwa sana...Hata wainuke maadui hawatatuweza tulio ndani yake Kristo... Baraka watumishi
Woooooooow, this beautiful ❤️❤️❤️❤️❤️nimependa hii
Ameeeeeeeen Ameeeeen ,,,Mungu azidi kukubariki mtumishi ,,,
Amen Amen, nimebarikiwa saana,
This is a banger. Great music.
Good morning
Inuka uangaze👏👏👏👏
Hakuna Nyimbo za Gospel nazopenda Kama zauumwibaji Maana Anaimba vizuli sana
Brother mgogo Mungu akuinue zaidi
Leo ni siku ya kupokea🔥🔥🔥🔥
I love the song,,sitakufa kabla ya wakati🙏🙏🙏
Nimerudia verse ya 3 mara 10 Kuna maneno ya kutia moyo sana na kukaza nguvu
Mung u akumbariki Sana kwaunduma zuri 🙏🙏💃💃💃💃💃💃💃💃
i. just got this song on right time while struggling to get a job na ndoto zangu zimefufuka zaidi zaidi yaaani mungu ni mwemaaaaaaa I arise and shine all Isaiah 60:1 now light and glory of the God is endless to me ,early morning I'm blessed more than I was
Wow... am arising & shining... be blessed servant of God Ema... Injili imeshiba!!!
Ameen Bwana amenionderea vazi la aibu
Barikiwa sana kazi nzuri
Wimbo huu umenibarik sana ubarikiwe
Amen Amen mzidi kupakwa mafuta na Mungu
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
Utukufu umrudie Mungu, Yeye peke yake aongezeke sana na sisi tupungue sana mbele zake, Halleluyah!
Asante kwa kutoa ujumbe mzuri wa neno la Mungu
Nabarikiwa sana na nyimbo zako mungu akubariki
Barikiwa sana mtumishi. Nyimbo zako huniguza zaidi
Asante Mungu wangu kwa kuruusu ujumbe mzuri upenye kwenye Moyoni mwangu kupitia wimbo huu
Nimebarikiwa sanaaa mtumish
Kazi nzuri xana
Unanibariki sana mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgogo,Hakika Mungu anakutumia kwa kiwango cha juu sana Kusema na watu wake.
Ubarikiwe sana,ninapokea Kuangaza sasa!
Amina
Nabarikiwa Sana. GOD bless you
Powerful song am blessed... GOD bless you.🎁
Greatful thanks to load and be blessed Mr Emmanuel mgogo I appreciate you
AMEN...Mungu apewe sifa
Asante kaka emmenuel mgogo kwa ujumbe wenye nguvu
Very fantaatic Gospel,
God bless you the man of God.
Asante ubarikiwe kwa nyimbo zinazoukosha moyo wangu ubarikiwe sana na zinanifariji mno
Amen mugu azidi sn ndani yako
Powerful...God bless watumishi wa Mungu
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
Nawe uishi miaka mingi rafiki yangu. Sitakufa Bali nitaishi nisimulie shuhuda za Bwana
Wow wimbo Safi sana napenda bidii yako sana mtumishi
Ubarikiwe sana mtumishi nyimbo zako zinatia nguvu sana, Damu ya yesu itutakase daima