UKITAKA KUJUA MWANAMKE NI KIUMBE CHA MAANA AONDOKE NYUMBANI "PASTOR MGOGO
HTML-код
- Опубликовано: 2 ноя 2023
- Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
RUclips : Pastor Daniel Mgogo ruclips.net/channel/UCeNr...
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo
Very true pst.mungu atusaidie katika safari hii ya maisha...Emungu tupe hekma ya kuvumilia Challenge
Ubarikiwe mutumishi
Nilikutafuta siku nyingi sana
Nimebarikiwa na haya mafundisho mungu. Atabakikua mungu Kwa kutupa mugogo
Amen ,Nimebarikiwa kbs . YEHOVA akupe nguvu uzidi kutufundisha mengi
Amen 🙏 hallelujah 🙏🙏
Asante,mafundisho yako yananibariki sana,nipo Burundi hua nakufatilia kwenye youtb,Mungu akubariki sana .
Pastor mgogo mungu akubariki. You are hitting the nail on the head.
Ameen
Amen mchunganji wanaume Hawa wengi wamegeuza neno la mungu nimebarikiwa Sana huku malawi
Baba tunashukuru kwa mahubiri yako❤❤❤
Mungu akuzidishie mafuta muchungaji.From Burundi.
Mungu akurinde pastor ❤
Amen
Mwenyeezi Mungu akubariki🙏🙏🙏
Pastor unamlika tu ya kwangu God bless you
Yani pastor ungejua Yale napitia Mimi natamani kurudi kwetu na watoto wangu moyo wangu unavuja damu mpaka Sasa licha ya kuishi miaka 13 Mimi ni wa ku Lia tu jamani
napiga watoto mpaka basi narudi Tena kuli mwenyewe Tena Kwa huruma sana
Vumilia dunia ndo iefikia apa pengine @@GMD820
Sure
Amee mungu atupe hekima ya kumuerewa huyu mungaji
Mtumishi wa Mungu una neema spesheli
Urakoze Pastor
😂😂😂😂😂😂😂 sadaka inaenda mbinguni💃🏼💃🏼💃🏼
Following from Nairobi Kenya
😂😂😂😂😂nishafanya miujiza sana pst itabidi nimkumbushe mke wangu atoe sadaka kwa Hilo.
Asante sans Paster ,nimesaidiwa
Ndo maana saizi wanawake tunafinikiwa kuliko wanaume tunazaa Kwa uchungu na tunatafuta Kwa jasho 🙏🙏
AMEN GOD BLESS YOU man of God
From nairobi amen
Pastor anaefundisha ukweli
Amen 🙏🙏🙏👍👍
Ba❤rikiwasana
True.
Amina
Da umegusa kumoyo kabisa
Ndoo ivo baba angu wengine sisi ni wahehe tumeenda umasaini
🙏🙏👏
True
PROVERBS 31:10 IS NOT APPLICABLE MAY BE ONLY BY SINGLE MOTHERS
Na si wakae tu vizuri?!
Barikiwa sana
😂😂😂 ❤❤❤
Beside sadaka what about pesa za project kama ujenzi unakuta mlitoa lakini kuna asilimia haipatikani
Yenyewe ufisadi makanisani umezidi na Mungu atusaidie
Ubinafsi ndo kiini cha DHAMBI
Wanaume wanajitetea tu😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅😅
😅😅😅😅😅 wambie wanaume
Amen
Nimebarikiwa na haya mafundisho mungu. Atabakikua mungu Kwa kutupa mugogo