Amen 🙏 , mtumishi 🤣🤣🤣🤣 pia Mimi ,Kuna mtumishi aliniambia nitoe pesa ili azuhie kifo kwa family yetu ,,,Nilimkemea Nika mwambia Mimi nime hokika namjua YESU , nina Imani hatuta kufa mbali tutahishi kwa Imani 🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana baba lazima mungu atufungue macho ya kiroho, yaani maji ,vitambaa vimekuwa biashara aisee mungu tuzaidie.yaani kuwajua matapeli ni mungu atufungue
Mbona ulianza vizuri na unataka kumaliza vibaya mtumishi acheni kuakandiana kila mmoja na na Atlanta akuzidishe pesa wengine Wana Wana Neema kubwa hata kutukana ndo anaendelea kusitawi zaidi watumishi mimi wote nawapenda kulingana kila mmoja na ufunuo wake
Kama tungeelewa anachokisema huyu mtumishi wengi wangeokolewa, hawa wanaojiita mitume na manabii ni wengi ni wafanya biashara wanaotumia biblia na saikologi
Hhhhaahaa mimi ni fundi wa magari huwa hawaji kabisa kutusalimia mpaka magari yao yaharibike ,we waache tuu mtumishi ,mimi huwa nawapigia kuwajulia hali zao na magari yao rakini wao hawafanyi hivo, one day tutakuna tuu
Kama sio mtangulizi wetu Suleimani kuomba Hekima kutoka kwa Mungu, kweli tumepotea njia kwa ukosefu wa Hekima. Manabii, makasisi na pia wanaojiita wachungaji, wamejua kulinganisha Biblia kwa ndimi zao ili wapate pesa kwa AJILI ya nafsi zao. Utapeli mpaka Kanisani,, Mungu utuhurumie
Mutu wa Mungu mugogo ubarikiwe, siyo wote wamejaliwa icho kipaji, chakwako ni chaupeke Mungu akutulindiye baba 🙏🙏🙏
Amen 🙏 , mtumishi 🤣🤣🤣🤣 pia Mimi ,Kuna mtumishi aliniambia nitoe pesa ili azuhie kifo kwa family yetu ,,,Nilimkemea Nika mwambia Mimi nime hokika namjua YESU , nina Imani hatuta kufa mbali tutahishi kwa Imani 🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana baba lazima mungu atufungue macho ya kiroho, yaani maji ,vitambaa vimekuwa biashara aisee mungu tuzaidie.yaani kuwajua matapeli ni mungu atufungue
Barikiwa sana mchungaji tunabarikwa sana
powerful mwalimu uwa unanijenga sana kwangu nakuonaga mwalimu sio pastor
Asante YESU KRISTO!!!🙏🙌💪❤
Nime jifunza mengi leo kupitia Mchungaji wako.
Ubarikiwe na mungu mafundisho Yako ina kuwaka nanitiya gufu sana na kunitosha upofu machini mungu akulinde 🙏🙏🙏🙏🙏♥️♥️
Asante sana Pastor,,,Niliitaji sana sermon hii... Mwenyezi Mungu akulinde ili uendelee kunena na watu wake
Mchungaji ubarikiwe sana... Zidi kutupa neno.
Asante sana mtumishi wa Mungu nimebalikiwa sana from 🇧🇮 natumikia 🇸🇦
Barikiwa sana pastor unasema mambo yaliyo ya ukweli kabisa😂😂😂 ndoa zikiyafwata maagizo yako uakika zitadumu milele kwa imani AMINA
Kwakweli mchungaji mgogo mahubiri yako nimatamu Sana Kuna wakati mimi naliaka kabisa 😭Mungu akulinde
Napenda sana injili unayoitoa,may God keep you safe to continue giving many the wonderful amazing good gospel 🙏 🙌
Nimekuzwa na neno,Mungu baabo una watumishi wa kweli
Mch. nimebarikiwa sana sema kweli mtu wa Mungu. Damu ya Yesu ikulinde
Ameen baba nakukubali kwa mafundisho yako.
Amiiina. Asante mtumishi wa Baba Mungu. Barikiwa
Mungu akubariki sana mtumishi wa MUNGU.
Nimecheka mwanzo mwisho Mungu akubariki pastor
Amen mtumishi mungu akubariki hakika Kila mtu azae kiasi anachoweza kulea.
Pasta mungu akubariki mahubiri yako inawezaka ni Jenga sana
AMEN AMEN GOD BLESS YOU MAN OF GOD!MUNGU AZIDI KUKUINUA NA JUU,TUENDELEE KUPATA MAFUNDISHO YAKO!
Mhumbiri mungu akutumze ufungue wengi AMEEN
Ameni. Baba ujumbe wako umenisaidia kunifungua macho upande fulani
Barikiwa mtumishi wa Mungu nimejifunza kitu
Baba unajua kunifurahisha
Mungu akubariki mjungaji
Your simply the best,iko siku nitahudhuria kwenye nyumba ya MUNGU nikuone live.Ubarikiwe sana.
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
Asante sana kwa haya mafundisho Mazuri sana Pastor Mugogo.
Barikiwa sana baba umeniponya
Baba yangu mubarikiwe
Asante muchugaji Kwa mafundisho yako inaniokoa pakubwa mungu akubaliki
Asante barikiwa napenda mafuzo yakooo
Hebu jitahidi Sana kuhubiri mafunuo yako rather than kupinga mafunuo ya wengine. unachelewa.
Asante sana kwakutujulisha kujuwa nani muzigo kwenye familia shukurani🙏🙏🙏👌👌
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU.
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, tunakufatiliya sana huku Bujumbura, Burundi. Aksante sana! Mungu aendeleye kukulinda.
Haki ya nani, lIVE lONG Pr. Mgogo, unanifundisha mambo makuuu
Niliokoka Kwa usemi wako Mungu amekuchalia
Mungu akuongezee mutumishi wa mungu
Amen mtumishi MUNGU akubariki sana kwa neno
Barikiwa sana mchungaji tunabarikwa pia 🙏
Barikiwa sana mchungaji na kuelewa.
Napenda sana maubiri yako .mungu akupe maisha malefu
Kaz njema
Neno la Mungu ni kweli Mungu akubariki sana
amina mtumishi
Asante pastor kw mahubiri yako❤❤❤😂
Incredible pastor.
Amina Amina,in Jesus name I do receive peace in my family
Kweli 😂kabisa Marekani wana kula 😢tena ku kula
God bless you man of God.....we need your teaching in this generation.
I love this man of God. I am watching all his videos and am enjoying them and laughing 😃 all the way
Mungu akutunze!
Mwee MUNGU akutunze mtumishi
Umenibariki sana jioni hii, nilikuwa na mawazo ila mafundicho yako yamenipa amani.
Amen
Amina
Ameeen. Ameeen. Powerful family life Sermon.
Barikiwa sana mchungaji umeongea unwell kabisa aamen
Amen God bless you man of God
Amen amen man of God 🙏🙏
Nimekuelewa mchungaji mgogo
Amen 😇😇😇🙏🙏🙏🙏
Kwa kweli nabarikiwa sana na mafundisho Yako mchungaji. Mungu akulinde
Watu Wana okolewa na matusi ama kutukana imani ya mwingine wa hubiri injili so kuakandiana huduma mwingine
You are a blessing
Amen baba awata kuhelewa lakini ume hongea kweli🙏🙏
Wenye kuelewa wataelewa lkn wenye kupotea wazidi kupotea tu.Yesu ni yeye yule jana na hata milele
Ameeen. Ameeen.
Ameen mtumishi
Ubarikiwe zaidi
Amen kubwa 😊🥳🥳🥳
Shukran sana
Amen, kweli
What a word.....am really blessed
Leta number ya mpesa ya mtumish
Aminaaaaaaa
Barikiwa sana pastor
❤❤❤❤
👏👏👏
Mungubab aharis
Ameni🙏🙏
Mbona ulianza vizuri na unataka kumaliza vibaya mtumishi acheni kuakandiana kila mmoja na na Atlanta akuzidishe pesa wengine Wana Wana Neema kubwa hata kutukana ndo anaendelea kusitawi zaidi watumishi mimi wote nawapenda kulingana kila mmoja na ufunuo wake
Atlanta ipo Italia...sijui unaongea nn mjinga
Ameen🙏nimejifunza kitu
Pastor umenifudisha kitu kuusu msamahaa mimi roho yangu ni ngumu kuambia mtu nisamehe niombee
Aki ningekuwa na hio appetite ningekula aki ndio niwe mlaji bora😂😂😂😂 ni vile tu mimi hushiba haraka
Tupate neema nasi
groly to god🙏🙏
“Glory to God”
Amen
Kwel kweli mtumishi ubarikiwe sana
Haaahaaaa pasta
Naitaji number yake ya simu Please
Kama tungeelewa anachokisema huyu mtumishi wengi wangeokolewa, hawa wanaojiita mitume na manabii ni wengi ni wafanya biashara wanaotumia biblia na saikologi
Kweli kabisa
Na watu wanakwambia hawamwelewi,, haki watu tungepona tukimsikiliza
I'm
Nice
AMEN AMEN
Hhhhaahaa mimi ni fundi wa magari huwa hawaji kabisa kutusalimia mpaka magari yao yaharibike ,we waache tuu mtumishi ,mimi huwa nawapigia kuwajulia hali zao na magari yao rakini wao hawafanyi hivo, one day tutakuna tuu
Huyu jamaa alozaliwa kwer au alishushwa kipajigan kmezid
Mbona unauza Bible??
Umeninjenga kiroho
Kama sio mtangulizi wetu Suleimani kuomba Hekima kutoka kwa Mungu, kweli tumepotea njia kwa ukosefu wa Hekima.
Manabii, makasisi na pia wanaojiita wachungaji, wamejua kulinganisha Biblia kwa ndimi zao ili wapate pesa kwa AJILI ya nafsi zao.
Utapeli mpaka Kanisani,, Mungu utuhurumie
Watumishi kama hawa hawatumii upako wa Mungu wanatumia juju za uchawi na ndumba
Mchungaji hukifika hila nataka namba yako
Watu wanakimbilia mafuta kuliko Yeshua Messiah
😅