Oh My God kwa Muda mrefu tumekutana na watu badala ya kukutana na Mungu na hata marafiki tuliopata hawakuwa sahihi kwakuwa haukuwa Mpango wa Mungu .Sasa kelele za umasikini nazikomesha kwajina Bwana
Huyu ndio Mgogo ninayemfaham asante Mungu kwa kumrejesha kwenye nafasi yake tena. Mgogo niliyekuwa nimeteseka kwa Muda mrefu kumwona tena hasa nikisikiliza Wimbo wa "Iko wapi njia Ile". Asante sana my Young!!
Kila wakati hii wimbo unaimba natokwa na machozi,kumbe kwenda mbele za Bwana kuna faida,Mungu Haangalii mapungufu yetu.. Thank you man of Emmanuel Mgogo.. welcome to Kenya
Am currently in hospital nursing my beloved hubby,this song has really inspired me.nilikua nimekata tamaa pia but God is God,he has reallly picked up on him,glory be to God
Jmn Mungu Anajua kuwatumia watumishe wake kwa ujumbe mzuri hakika ujumbe umejaa Upako na nguvu ya Mungu nabalikiwa sana ninapo sikiliza nyimbo zako balikiwa sana🥰🥰🙏🙏
Wow wow congratulations brother in juses KRISTO.iyo nakubaliana nayo.Ameeeeeeeeeeeeen nenda mbele yaMungu kabla hauja enda mbele yawatu kutana pia nawatu kabla hauja kutana nawatu yuyuyu na barikiwa kwanyimbo zako zote nahiyo nimufano kwetu sisi tunao anza kumwimbiya Mungu tukiwa ndani ya connection yake barikiwa pia kabisa.waimbaji tujuwane kwa kazihii tumuabishe shetani.Amen
Halleluyah. Hii inanibariki kwelikweli. Deep revelation here with a top-notch artistic delivery. Ubarikiwe sana Mtumishi Emmanuel Mgogo pamoja na timu yako.
❤❤❤❤Mungu mwema nainuka kama Daudi napambana na watesi wangu leo ninawajia kwa Jina la Bwana wa Majeshi ninavikomesha vyote ulivyoweka kwangu Kurudishwa nyuma,umaskini,laana,magonjwa ,roho za kukataliwa navirejesha kwa jina la Bwana 🙏
When we say this is how gospel music should be they say we are jealous of them and we should shut up,be blessed brother,this is true gospel we need to hear.finally we have one who understands the gospel and stands wth truth🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Bwana asifiwe mtumishi wa Mungu. ninapata kubalikiwa sana kupia wimbo huu wako kutoka Kenya. Ni ujumbe muhimu sana umetupatia ndugu. Mwenyezi Mungu akupe nguvu na mamlaka ya kumtumikia milele amina katika maishani mwako. umebalikiwe sana mtumushi.
Thanks god for having a man of god who think for build the house of christ let bless us father us we remember you is not much we have only love belong to you.
Woow ❤❤❤ hallelujah,kelele zote nazinyamazisha Kwa jina la yesu ,na narengesha kile changu Kwa jina la bwana , hallelujah na iwe hivyo mungu wangu ,barikiwa sana dadie ,much love from Kenya
Kwa wale wanauliza tulivuka aje mwaka Jana....mjue n neema y mungu ndiposa tuko apa tulipo...sikuwa akili ytu Bali nikwa neema y mungu ..be blessed people of God
I highly recommend this song to all human race thank you . Truly nothing can separate you ,me from the Love of him who gave his life Us Glory glory amen...
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤wooowo wooow The spirit of the Lord God has spoken woooow...Prophet Emmanuel Mgogo you have nitabiri mini... Asante Sana Greatest Man of the Lord God Creator❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤... praise the lord From Niederoesterreich.....nitakutana new kwa ushihuda umekua kielelezp changi maishani meangu kwa maneno yalima kwenye nyimbo zako zote sasa zaidi huu wimbo....Amen Amen Amen ❤❤❤❤ Haleluya Jina la Bwana yesu Kristo litukuke God Is Great.....Glory to The Mighty ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Oh My God kwa Muda mrefu tumekutana na watu badala ya kukutana na Mungu na hata marafiki tuliopata hawakuwa sahihi kwakuwa haukuwa Mpango wa Mungu .Sasa kelele za umasikini nazikomesha kwajina Bwana
Amen Amen , Kenya tunapokea huu ujumbe kwa Imani 🙏🙏🇰🇪🇰🇪 Kutana na Mungu kabla hujakutana na watu
Hakika mtz tukomese kwa damu ya yesu MUNGU hakubariki sana hakika ukikutana na ni Kila kitu
Powerful my brother 🔥🔥 I love your ministry it blesses me.
Vigelegele vyangu vingi sana kwa Mungu vifike mbele zake Mungu
Huyu ndio Mgogo ninayemfaham asante Mungu kwa kumrejesha kwenye nafasi yake tena. Mgogo niliyekuwa nimeteseka kwa Muda mrefu kumwona tena hasa nikisikiliza Wimbo wa "Iko wapi njia Ile". Asante sana my Young!!
Kabisaa Kule alikuwa kapoteza mvuto
Mungu anapitisha wateule wake katika kipimo chamaisha ili ukujue Imani lako
Kila wakati hii wimbo unaimba natokwa na machozi,kumbe kwenda mbele za Bwana kuna faida,Mungu Haangalii mapungufu yetu..
Thank you man of Emmanuel Mgogo.. welcome to Kenya
Wimbo huu Mzuri sanaa,Na hii tune,Huu mfumo Wa mziki mziki unakufaaga sana huu.MUNGU kainvest kitu kikubwa sana ndani yako.UBARIKIWE MNO
Amen
9:23 9:23 @@josphatchomba4688
Am currently in hospital nursing my beloved hubby,this song has really inspired me.nilikua nimekata tamaa pia but God is God,he has reallly picked up on him,glory be to God
Mungu akutetet
Jamani Huyu mtu nampenda Bure,nyimbo zake Huwa zinanibariki mnoo
Yes,rengesha kwa jina la bwana vyote vyangu vilivoimbiwa asante mtumishi wa mungu ubarikiwe sanaa kwa wimbo huo❤
Ubarikiwe mno mtumishi aka kasong kazuri mno nimekakubali ujumbe mzuri.
Jamani mwalimuuu more grace mtumishi wa Mungu Bony Mwaitegee
Mwanaume wewe ahuimbi kwa kubaatisha. Upo vzr.
Namimi nimshabiki wa Timu ya Emanueli mgogo
kuna wakati aliharibu Tamaa ya kufika mbali nibaya
Siku zote mimi ubarikiwa na nyimbo zako sana🥰 barikiwa mtumishi wa Mungu 🙏❤🙏🇰🇪🇰🇪
Ujumbe wako mtumishi ukiongeza Sauti yako hakika ni Blessed and touching Voice from heaven Since 2018 nipo na wewe Na enjoy sana huduma yako
This is so emotional 😭😭😭 May God almighty strengthen you our brother's,, Kenyan's are praying together with you...may God comfort the entire family 🙏🙏
Wendembali naujumbe mpendwa Ameeeeeee nimebarikiwa kila siku nawimbo uhh
Jmn Mungu Anajua kuwatumia watumishe wake kwa ujumbe mzuri hakika ujumbe umejaa Upako na nguvu ya Mungu nabalikiwa sana ninapo sikiliza nyimbo zako balikiwa sana🥰🥰🙏🙏
🎉 0:00
Kama umerudia huu Wimbo mara nyingi gonga like tukibarikiwa❤❤❤❤❤🎉🎉kelele za Farao za kunizuia nisiende mbali ninazikomesha kwa Jina la Yesu ❤❤
I have to play it everyday
Amen even if I don't here the language but hey God ur so amazing I repeat this song everyday
Mwajuambumba
❤❤❤❤❤
Mm hata sae sujui ni mara ngapi ss juh daah Inanibariki sana❤❤❤❤😢
Mungu azidi kukufunulia upekee wake na udumu kuimba nyimbo za ujumbe wa kutuezesha na kufikia wasiomjua Mungu wamjue be blessed 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wow wow congratulations brother in juses KRISTO.iyo nakubaliana nayo.Ameeeeeeeeeeeeen nenda mbele yaMungu kabla hauja enda mbele yawatu kutana pia nawatu kabla hauja kutana nawatu yuyuyu na barikiwa kwanyimbo zako zote nahiyo nimufano kwetu sisi tunao anza kumwimbiya Mungu tukiwa ndani ya connection yake barikiwa pia kabisa.waimbaji tujuwane kwa kazihii tumuabishe shetani.Amen
Mungu hakika anaendelea kukutumia songa mbele mtumishi wa Bwana Haleluya Bwana apewe sifa
Halleluyah. Hii inanibariki kwelikweli. Deep revelation here with a top-notch artistic delivery. Ubarikiwe sana Mtumishi Emmanuel Mgogo pamoja na timu yako.
Amina kweli kabisa Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU tunavikomesha kwa jina la yesu
Akuzidishie neema na kibali chake Mungu aishiye milele
Amen..man of God such a wonderful praise. Unatosha Jeova uwabudiwe.
Hii ni kubwa mnooo. Mungu akuinue juu zaidi
We give all the glory to God, you're a blessing pastor Collins, remain ever blessed
❤❤❤❤Mungu mwema nainuka kama Daudi napambana na watesi wangu leo ninawajia kwa Jina la Bwana wa Majeshi ninavikomesha vyote ulivyoweka kwangu Kurudishwa nyuma,umaskini,laana,magonjwa ,roho za kukataliwa navirejesha kwa jina la Bwana 🙏
When we say this is how gospel music should be they say we are jealous of them and we should shut up,be blessed brother,this is true gospel we need to hear.finally we have one who understands the gospel and stands wth truth🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera sana kaka Mungu aendelee kukupa neema ya kumutumikia
Nakukubali sana kaka
Mgogo weweeeee aa acha kabisa mungu azidi kukubariki kwa kazi mzuri unayo ifanya nakuelewa sana
Hallelujah, hallelujah Mungu akutunze daima nabarikiwa mnooo, hakika Bawana atukuzwe juu yako.
Ameeen barikiwa sana mtumishi 🙏❤️
JINA LA Yesu na lipewe Sifa siku zote 🔥🔥🔥
It's a nice and powerful worship am blessed
This is a song with deep message I wish it was well understood in Spirit
Wah the message so powerful.Mungu tusaidie
Bwana asifiwe mtumishi wa Mungu. ninapata kubalikiwa sana kupia wimbo huu wako kutoka Kenya. Ni ujumbe muhimu sana umetupatia ndugu. Mwenyezi Mungu akupe nguvu na mamlaka ya kumtumikia milele amina katika maishani mwako. umebalikiwe sana mtumushi.
This one uplifts our soul,,,,much blessed sir.
Haleluyaaah Mungu Bariki Taifa la Tanganyika Maana wewe Bwana ndie Mungu wanchi!!
Nakomesha magonjwa,ujawi na umasikini kwa jina la bwana
Brother mgogo unajua sana kuimba ila ningekuwa karibu yako ningekuwa stad show wako nazipenda sana beat zako
Amen and Amen more blessings to you always🙏🙏🙏🙏 Lord Jesus fight for me😭 🙌I connect my self to the blood of Jesus Christ
Thanks god for having a man of god who think for build the house of christ let bless us father us we remember you is not much we have only love belong to you.
Oooohalleluya Glorybe to God.am from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 natamani sana kufika 🇹🇿 🇹🇿 kwaajili ya huduma yako smart❤
Ukweli heri kwa mungu tu AMEN bless you mtumishi🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Woye yesu 😭😭😭 wetu weka amani Kenya yetu 🇰🇪😭😭🤲🤲🙌 🌍niko na imani yesu mwamba 💃💃💃💃
Ukiwa na Mungu hakuna linaloshindikana Ahsantee sana mtumishi wa Bwana 🙏🙏
Nabarikiwa sana
Wooow powerful..loving it..more grace
Emmanuel mgogo is my choice Mungu akubariki mtumishi wa Mungu nakupenda sana mm ❤❤
Amen Amen 🎉kubwa mubalikiwe sana watu wa Mungu❤❤❤
Unanibariki sana na nyimbo zako mchungaji Emmanul Mgogo.MUNGU wa mbinguni aendelee kuubariki utumishi wako ❤
may the Lord Jesus Christ bless you I love your music.
Amina..ubarikiwe mtumishi wa Mungu 🎉🎉wimbo mzuri
Woow ❤❤❤ hallelujah,kelele zote nazinyamazisha Kwa jina la yesu ,na narengesha kile changu Kwa jina la bwana , hallelujah na iwe hivyo mungu wangu ,barikiwa sana dadie ,much love from Kenya
Ameen Mtumishi wimbo una mafuta sana,🥰🥰 Mungu Akubariki sana 🙏🙏
Mungu Akubariki mtumishi wa mungu!🙏
Because of this song,, you've gained a new subscriber 💪💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 such a nice message
More grace my brother 🙏🙏🙏 it's my prayer to my heavenly Father 🙏🙏 continue going 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Powerful message❤
Wimbo ulio na ujumbe muhimu be blessed mutumishi wa mungu ❤
Amen Amen Amen... Ujumbe keshafika mtumishi.. 🙏🙏
Ubarikiwe sana mutumishi wa mungu na hisi kubarikiwa leo Amen 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉💃💃💃💃💃💃💃💃💃
Ameen, MUNGU akubark san mtumishi wa MUNGU wimbo umenibark san na unaimb vzr saut inatoka vzr ubarkiwe sana MUNGU akupe kibal zaid
Jamen Emmanuel tuletee nyimbo Kama hizi mtumishi wa mungu
Kabisa siyo zile za Kukatika Viuno ,Uchafu tu ule
Japo mgogoo umetubu kwa saiv na mungu anakubaliki kumbuka uliwakimbia akina rucy mwaikonge kipind ni sayun band
Amen
Yaani huyu mtu kila nyimbo yake zinanibariki sana tangu nyimbo zao kama msikilize Mungu Albam pendwa😊
Wimbo Bora brother
Songa mbele mtumishi wa mungu🎉🎉🎉🎉
Keep going brother utafika mbali mtumish wa MUNGU
Mhuu, wimbo mzima Yesu hatajwi kabisa, kwa waprntekoste maswali mengi. Maana mungu ni wengi, na bwana ni wengi.
Amen Amen Amen Hallelujah indeed 🙏👏 nakubaliana na neno Lake Bwana sifa na utukufu ni Zake Yehova Mungu daima milele Amen 🙏
great songs,one feels the same blessings each and every time ❤.
God bless you Emmanuel and fulfil the desires of your heart 🙏
Hakika mtumisha umetubaliki mungu akuinue....Zaidi na kwa viwango vya juu
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏 good job keep it up and never turn back may the almighty God bless you,,,,
I’m free,I am not a longer slave JESUS set me free❤👏👏😭👏
Watching from kenya be blessed man of God
Ameeen ubarikiwe mtumishi kw mungu kw wimbo mzuri
Very powerful song brother kweli hii umefanya na bwana
Huyu jamaa anajua kuimba sana nyimbo zake kwanza hazishi haraka inachukua mda kama wakina rose mhando mafund hao EMANUEL MGOGO 👍
Kwa wale wanauliza tulivuka aje mwaka Jana....mjue n neema y mungu ndiposa tuko apa tulipo...sikuwa akili ytu Bali nikwa neema y mungu ..be blessed people of God
Am very blessed mtumishi wa Mungu.thank you for this powerful message I really bless God for you.God bless you forever brethren.
Sina kingine zaidi kukuombea uzidi kuinjilisha ❤❤Mungu akupe zaidi
I highly recommend this song to all human race thank you . Truly nothing can separate you ,me from the Love of him who gave his life Us Glory glory amen...
Nina kupenda sana mtumishi kaka yangu nina penda sana kazini zako toka enzi hizo uko sawa nanyimbo zako ziko na ujumbe
Wimbo huu una upako wa ajabu Mungu Akubariki Emanuel Mgogo
❤❤❤❤❤nabarikiwasana na juu wimbo,linaujumbe Sana .Kabla hauja kutana na mtu,kutana na Mungu kwanza. Amina😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤
Amen nimbarikiwa mtumishi
Amina sana kaka barikiwa mno nami nikutane na mungu kwanza jamn
Mungu akubariki na akutunze sana🙏🙏 ,hakika na barikiwa na nyimbo zako🎉🎉
Nyimbo kama hizi ndizo za kuimba kanisa I very powerful gospel song be blessed servant of God
I loved Mama Rose the way she reacted after pst Ezekiel advised her. Glory be to God, God bless you rose
This is a revelation song, ukiimba na ushike imani Mungu atakutendea maajabu
Nyimbo nzuri nd ujumbe poa be blessed man of God
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤wooowo wooow The spirit of the Lord God has spoken woooow...Prophet Emmanuel Mgogo you have nitabiri mini... Asante Sana Greatest Man of the Lord God Creator❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤... praise the lord From Niederoesterreich.....nitakutana new kwa ushihuda umekua kielelezp changi maishani meangu kwa maneno yalima kwenye nyimbo zako zote sasa zaidi huu wimbo....Amen Amen Amen ❤❤❤❤ Haleluya Jina la Bwana yesu Kristo litukuke God Is Great.....Glory to The Mighty ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Congrats,infact hapo Kwa tunaviregesha Kwa Jina la BWANA WA MAJESHI umegonga 💯.
Ujumbe wenye upako matumishi, vyote vilivyoibwa na vilechesha katika jina la bwana❤
🎉🎉🎉 amazing job man of God keep it up and congratulations
Don't give up selvant of God , utafika mbali👍👍👍