Yaani hakuna mwimbaji ninaye mpenda kama imanuel mgogo maana amekuwa ni mnyenyekevu sana katika huduma hii ya wimbaji mwenyezi mungu akubariki mno endelea kunyenyekea mbele za Mungu
Nilikukubali Siku ya Kwanza nilipo kusikia tu, Wala Sina Mashaka nawe, Yesu Anajua kukutumia vyema, Umejawa hekima, Busara, Neema, Kibari, Upendo, Roho ya Huruma, Unamafuta Ya kipekee, Vile Ninavyo Ujuwa Unyenyekevu wako, hakika Utakuwa Mfano Kokote Uwendako, Kaka wa Mimi Tunashukuru kwa Wimbo Mzuri🙏🙏👏👏👏
Moyo wangu ukichoka kaa nami Yesu Kristo wimbo Mzuri sana mungu akubariki mtumishi wa mungu hallelujah nimebarikiwa glory be to God 🔥🙏🏻🙏🏻🧎♂️🧎♂️🧎♂️🧎♂️🧎♂️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Moyo wangu umechoka Yesu nataka fedha ya kulipia Kodi ya nyumban fanya njia Yesu nitoke kwenye umasikini huu
Nimebarikiwa najua sijabaki Kama nilivokuja ubarikiwe kak Emmanuel
Ubarikiwe nyimbo nzu kaa nami moyo wangu ukate
Yani sauti imebarikiwa mno !
God bless mtumishi mungu amekupa kipawa kzr
E mungu mulinde Mtoto wangu na mama yangu kupitia Wimbo huu 😢😢😢
Uweponi mwa mungu kuna raha
Yaani hakuna mwimbaji ninaye mpenda kama imanuel mgogo maana amekuwa ni mnyenyekevu sana katika huduma hii ya wimbaji mwenyezi mungu akubariki mno endelea kunyenyekea mbele za Mungu
Amen
Nalia kama nehemia nirehem Mungu wangu😭😭😭 nisemeheee baba
Endelea kuruhusu Mungu ajiinue ndani ya huduma yako utainuliwa juu zaidi , Mungu amekuchagua uwaokoe wengi kupitia uimbaji aamen
The true gospel song is written down to a new places in different ways
Barikiwa mtumishi waMungu
Ee Mwenyezi mungu unikumbuke kupitia wimbo huu😭😭😭💔💔💔😭
nabalikiwa sana hadi machozi😭
Nalia kama nehemia nalia sinaraha Kwa majalibu ninayoyapitia ee mungu nisaidie
Pole sana mtu wa Mungu.Mungu akutie nguvu.
May God comfort u and gv u what u want in the might name of Jesus.
Pia mm mungu anipe nguvu napitia mengi
Huu wimbo umeniogopesha umeimba kiroho sana Mungu naomba unirehemu nimeogopa huu wimbo una ole kwa wachungaji na manabii mpaka mimi
Mim pia nimeogopa sana yan imenijia roho ya kumtafuta mungu
Saaa ya bwana ya kupindua meza imewadia
Kwel Moyo wangu ukıchoka kaa namı Bwana...
Mungu azidi kukuinua mtumishi, yesu akae nasi daima
Tz tunajivunia kuwa na waimbaji mahiri mungu awatuze watumishi wa mungu
This song 😰😰 makes me tear up every time am listening
Nyimbo yenye faraja sana mtumishi wa mungu
Mungu azidi kuimarisha huduma aliyoiweka ndani yako kaka
Oooh thanks Jesus ,,nabubujikwa machozi
Moyo wangu ukichoka kaa nami YESU🙏🙏.
Hongera kwa wimbo huu mzuri wakututia moyo Mungu akubariki.
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
ruclips.net/video/DUbKue7QSfI/видео.html
Nilikukubali Siku ya Kwanza nilipo kusikia tu, Wala Sina Mashaka nawe, Yesu Anajua kukutumia vyema, Umejawa hekima, Busara, Neema, Kibari, Upendo, Roho ya Huruma, Unamafuta Ya kipekee, Vile Ninavyo Ujuwa Unyenyekevu wako, hakika Utakuwa Mfano Kokote Uwendako, Kaka wa Mimi Tunashukuru kwa Wimbo Mzuri🙏🙏👏👏👏
Amina, Asante Kwa maneno mazuri yaliyokolea Munyu. Kristo Yesu akutunze mtumishi Hondwa Matias
Ikala nami.....wat ablessing song...barikiwa sana
Na kweli uweponi mwa mungu kuna raha .....we love you one love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪#254 let's give this song more than 3+ M
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Mungu azidi kukuinua kwa jumbe zako za unyenyekevu
Ma bro penda thana one day yes nitabarikiwa zaid
Mungu awatunze,na kuwalinda waimbaji Kama ninyi mnaoimba katika Roho Mtakatifu
Mungu azidi kukupa afya njema mtumish wa mungu🙏🙏nyimbo zako zinanibariki mnoo🥺🙏🙌
Napenda sana kuskiliza nymbo zako zinanbark sana mungu akubrk mtumish
Barikiwe kwa viwango vya juu ima
Wimbo mzuri sana kaka oh barikiwa sana
Mgogo nakupenda ❤ katika Bwana YESU Mungu akutunze nakumbuka ulichangia pesa huduma ya Mtwara.ulimpa doto hela akaniletea nje Kinyerezi.
Napenda saana nyimbo zako
Ujumbe mahususi Mungu analeta uamsho
Tulimwamini mungu atuna rafik mzuri wa kumwambia shida zetu zaidi ya YESU,ubarikiwe mtumishi ujumbe mzuri mungu ndiye Kila kitu maishan mwetu ,amen
Nabarikiwa sana na wimbo huu Mungu azidi kukutumia
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Barikiwa,kwa ujumbe mzuri wenye kutia moyo
Ubalikiwe kazi nzuri
Amina ubarikiwe mtumishi by nelson wa singida tanzania
Wewe mgogo c mutu wa kawaida mungu azidi kuinuliwa zaidi
Mungu amekupa kitu kubwa sana big bro barikiwa
USINIACHE YATIMA 👏
Wimbo mzuri unashusha uepo wa mungu kaa nasi yesu kristo
Thank you for this beautiful song God bless you more 🇷🇼🇧🇮🫡🫡🫡🫡❤️
13/07/2024 usinipite Mwokozi YESU.ninakutamani.
Mtumishiii hakika Nguti ngatele mweeeh .Jesu kuwa namie
Amina ,njo ukae nami Baba najua nafsi yangu îme coko ,naliya kama Nehemiya😊
Ubarikiwe nasi tubarikiwe kufunga wimbo nasi kuusikiliza mungu anatupenda sana
Bila mungu hakuna dunia
Wimbo umenigusa sana barikiwa sna mtumishi
Mungu mtunze mtu huyu,mafuta yaongezeke ndani yake! Ameen
Hakika,nyimbo za huyu mtu,,wagogo twazipenda mno,mno,,
Mtumishi ubarikiwe sana sana mtumish Mungu yupo mbele yako . Sisi tupo nyuma yako
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Moyo wangu ukichoka kaa nami Yesu Kristo wimbo Mzuri sana mungu akubariki mtumishi wa mungu hallelujah nimebarikiwa glory be to God 🔥🙏🏻🙏🏻🧎♂️🧎♂️🧎♂️🧎♂️🧎♂️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
ruclips.net/video/DUbKue7QSfI/видео.html
Nyimbo nzur San mungu azid kukutumia
Ueponi mwa mungu kuna utulivu wa nafsi na roho.
Mungu akutie nguvu baba yangu naisi machozi
Mungu akutie nguvu baba yangu naisi machozi Grace mussa 11:30
Hongera sana mtumishi Mungu zaidi kukutumia nabarikiwa sana
Niombeeni nani sikiki kufa bilakumwimbiy mungu
Kazi nzuri Sana Mungu akuinue zaidi Kaka mgogo neema na upendeleo wa kiMungu uwe juu yako
Nimechukuru.mungu.kwakupata.maneno.yawimbo.akika.usikapotoke.kama.wengine.nipo.congo.lumbu.mbashi
barikiwa sana kaka yangu Mungu aendelee kukutunza
Endlea kufundisha mch. Kizaz,hiki. Kinapotea.
Barikiwa nyimbo inanifariji sana
Eee Bwana kaa nami Yesu
Nampenda huyu Yesu baba yangu Mungu ni baraka MUNGU wa Israel ndiye faraja yetu
Mungu azidi kukutumia brother.
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Amina kaka
@@benmparanyiofficiel9988 mgogo
@@benmparanyiofficiel9988 wewe umepata huyo Mungu kweli
Ubarikiwe sanamtumishi waMungu Mungu azidikukutia nguvu maana wanena yaliyo kweli
Jaribu la mtoto limekua mwiba Kwa mume Yesu nijibu nimechoka kwl
Mungu niponye kupitia nyimbo aimbazo.
Mgogo huwa unanibariki sana kupitia jumbe zako kwa njia ya uimbaji Pastor karibu sana Tandahimba Mtwara
😢😢 kweli tu mungu unikumbuke naitaji msada wako baba
Ahsante sana mtumishi wa mungu emmanuel mgogo kwa kazi nzuri ya kumsifu na kumtukuza mungu
Moyo wangu ukichoka ukae nami Yesu
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Ninaskiaga Amani pindi ninaposiliza wimbo huu mungu akubariki mtumishi wamungu
Nabarikiwa sana na nyimbo zako mtumishi ubarikiwe
Imana ikuhezagile chane kadi ulalimba neza imana ingume ikuhezagila mwan wi mana ndyakukundy chane ye kaka
Amen, Mungu wa mbinguni azidi kuinua huduma Yako. Ubarikiwe sana sana
Kuna mtu nime muona apa nabarikiwa sana kuwaona watumishi wa Mungu Kenya tuna kukumbuka sana be bless you my brother 🙏❤️
Mungu akuinuwe zaidi ndugu.
Nikosapo nguvu😢
#UkaeNami 🙏 Jesus is
all a man needs #NikosapoNipeKujirudi
Ámen naomba nyimbo hiii Ifunguwe baraka zango🙏🙏🙏🙏🙏🙏Nnione baba Namimba yangu naomba Kuombewa,Muombeye na Mme wangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Asant ninafarijika❤
Mungu akuinue sana mtumishi wake, I learn alot from you, God bless you.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Kwa wimbo huu mzuri
Hakika huwa nabarikiwa sana na nyimbo zako endelea kunyenyekea Ili mungu akuinue zaidi
Huuu wimbo una nibariki sana hakika Mwenyezi MUNGU aendelee kukutumia
Mungu anisaidie nikae uweponi mwake daima.🙏🙏🙏🙏
Nimehisi napaa kwa raha na uzuri wa nyimbo hii,Barikiwa Mtumishi🙏🙏🙏🙏
Namshukuru Mungu kwa ajili ya mupakwa mafuta wake tena ametujuza tukae na Mungu na uwepo wake ndo tunao uitaji barika kakangu
Nimebarikiwa sana jamani na huu wimbo hongera na mungu anaekutumia anitumie na Mimi amina
Moyo wangu ukichoka kaa nami YESU, uwe mfariji wangu baba barikiwa sana kaka emmanuel kwa ujumbe mzuri
Moyo wangu ukichoka kaa nami yesu
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Yan nyimbo inanitia Iman kubwa kwa mungu inanifanya niwe karibu na mungu
Hongera sana mtumishi w mungu,kwa maana mafundisho tosha ya kimungu.
HAKUNA HANAYEKUZIDIKUIMBA TANZANIAZIMA. MGG MUGUAKULINDE
Nyumbani kwetu edeni🔥🔥🔥🔥. 🇰🇪 Kenya loves your Music
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻
Sijui mbona nimelia sana hivi 😢the song have some good messages eeeh mungu naomba unibariki na mimi🙏🧎♀️🧎♀️🧎♀️
Nyimbo zako mtumishi zinanibariki mno
Tulia tu vizuri na Mungu utafika mbali zaidi kaka