UNYAKUO WA KANISA & TAIFA LA ISRAEL - Rabbi Abshalom Longan

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025

Комментарии • 95

  • @barnabasmwavuo138
    @barnabasmwavuo138 21 день назад

    Amina . Jameni ndugu zetu wa Tanzania mko na bahati kufundishwa neno la Mungu na muezraeli mwenyewe

  • @Aggreymbugano
    @Aggreymbugano 7 месяцев назад +8

    Nabarikiwa sana na mafundisho ya Neno la Kristo Mungu, akutumie Kwa viwango vya juu sana Ameen

  • @NicholasWathome-d1j
    @NicholasWathome-d1j 23 дня назад

    Mutumishi wa mungu apewa sifa

  • @byamungujean-Pierre
    @byamungujean-Pierre 4 месяца назад +6

    DRCongo ungefika bukavu, chunvi na maji ;vimechukuwa nafasi ya MUNGU kwa wengi,.

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 6 месяцев назад +2

    Mimi nishidwa kijizuiliya machosi ninapozikiza neno la Mungu Kwa unyakusi WA kanixa moyo waku unatetemeka Sana ninapozikiza unapo hubiri niombee Mungu Anindiye nguvu 😢😢😢😢😢 napenda Sana mafundisho Yako

  • @benedictbaraka6836
    @benedictbaraka6836 4 месяца назад +2

    ndiyo Bwana !!

  • @narrowgateglobal
    @narrowgateglobal 7 месяцев назад +3

    Mungu aendelee kukutunza Rabbi wetu

  • @AndréNdayizeye-l9z
    @AndréNdayizeye-l9z Месяц назад

    honger mtumish wa mung akubarik matundish yako yananibarik sana

  • @KikukuMumbere
    @KikukuMumbere 2 месяца назад

    Merci beaucoup papa mu tu mi shi n apen da un ipe maza bahu

  • @GeorgeChitemo-kt8sw
    @GeorgeChitemo-kt8sw 6 месяцев назад +2

    Huyu mtumishi dah Mungu wa ajabu sana nimejikuta nimepata RUclips Nashukuru Sana

    • @naomicharles5444
      @naomicharles5444 2 месяца назад

      Yan me mwenyww uyu. Baba anaubir kweli ya Mungu

  • @MabelKaaya-hl2je
    @MabelKaaya-hl2je 7 месяцев назад +2

    Ubarikiwe mno kwa fundisho Muhimu sana kwetu sote.

  • @NancyTemu
    @NancyTemu 3 месяца назад

    Ubarikiweee baba Kwa kutuponya roho zetuuuu

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 5 месяцев назад +1

    Asante sana Babaku barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu

  • @MAGESAMAGESA-b7s
    @MAGESAMAGESA-b7s 4 месяца назад +2

    Namshukuru mungu alokutengeneza kuwa mtumishi wa kweli

  • @SethHabinezai
    @SethHabinezai 4 месяца назад

    Asante sana mtumishi wa Mungu . Ubarikiwe sana .
    Nipo Rwanda nime furahi sana .

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 6 месяцев назад +1

    Yesu Kristo Yesu nisaindie Yesu nisaindie Yesu nisaindie unaporuti usinipite mwokonzi waku Mimi mwenye dhambi

  • @bukavudigital
    @bukavudigital 4 месяца назад

    Mungu aku bariki baba 😊

  • @lameckTungalaza
    @lameckTungalaza 5 месяцев назад

    Mungu unilehemu kamaupendavyo.

  • @byusaajumapili6750
    @byusaajumapili6750 7 месяцев назад +1

    Bwana akubariki mchungaji

  • @guerinokibiki4314
    @guerinokibiki4314 7 месяцев назад +1

    Barikiwa na Bwana Yesu!

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 6 месяцев назад +1

    Alelluyah alelluyah blessed barikiwa sanaaaana wa Mungu Glory to God

  • @IREENNTIJE
    @IREENNTIJE 4 месяца назад

    Mungu akutunze baba Injili ya kweli kabisa

  • @AbelyNtandu
    @AbelyNtandu 5 месяцев назад

    amen mtumishi ubarikiwe saana
    MUNGU akutie nguvu ili usichoke

  • @AbeliMaliaki-p9b
    @AbeliMaliaki-p9b 4 месяца назад

    Ubarikiwe.mtumishi.wa.mungu

  • @HeryKyando-s8m
    @HeryKyando-s8m 6 месяцев назад

    Hakika mtumishi maarifa yameongezeka sana ni kweli hii ni karenda Mungu akubariki sana mtumishi nakusikia nipo hapa makambako napokea maarifa

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 3 месяца назад

    Mchungaji endelea ivoivo na neno lako linatubariki sana

  • @a7mateoSongz
    @a7mateoSongz 7 месяцев назад +1

    Amen men 🙏 Asante sana ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 6 месяцев назад +1

    Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ❤❤❤

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 6 месяцев назад

    Mungu tuhurumihe tusaindiye kumbuka viumbe hivi vya rohoni

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 6 месяцев назад

    Asante sana barikiwa sanaaaana babaku wa kiroho tuombee Mungu ainue Imani yetu

  • @veronicahaule7899
    @veronicahaule7899 5 месяцев назад

    Yesu kristo nirehemu na uzao wangu na ndugu yangu na nyumba yangu na kazi yangu AMEN

  • @fidemikaeli8145
    @fidemikaeli8145 7 месяцев назад

    Sema baba, wasaidike, Mungu akutie nguvu sana, utukufu kwa Yesu

  • @BulenyaNdamo
    @BulenyaNdamo 3 месяца назад

    Ameeeeeen

  • @joanithagidion9796
    @joanithagidion9796 7 месяцев назад

    Ahsante masomo mazuri hakurudi kwa yesu matamani kuendelea kukua zaidi Mungu akubariki.

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 7 месяцев назад

    Hakika wewe ni miongoni mwa watumishi wazuri na mhimu sana wa Mungu katika nyakati hizi za mwisho Mungu baba akupe afya njema.

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 6 месяцев назад

    Nirehemu Mimi mwenye dhambi Mungu nisamehee Mimi muovu naomba musamaha Mungu ninaomba rehema naomba musamaha Mungu ninaomba rehema Yesu Kristo wanasareti Nikutumie Yesu niamushe Tena niamushe Tena niamushe Tena niamushe Tena niamushe Tena niamushe Tena niamushe Tena 😢😢😢😢😢😢 Mungu Mungu Mungu atusaidie usinije masiyaa

  • @AnnaMwalongo-l4x
    @AnnaMwalongo-l4x 3 месяца назад

    Amina mtumishi

  • @afredfodogo7857
    @afredfodogo7857 7 месяцев назад

    Ni Bahati sana kwa tanzania kukupata mtumishi wa KWELI ya MUNGUTanzania nisawa na machimbo ya Mema ktk Nchi YASIYO ISHA AMEN

  • @watchnew7648
    @watchnew7648 7 месяцев назад +4

    YESU KRISTO AKUPE NGUVU ZAIDI UZIDI SANA KUHUBIRI NENO LAKE

  • @roidayoab9918
    @roidayoab9918 7 месяцев назад

    Mungu akubariki sana nabii wa Bwana kwa mafundisho yako

  • @pascalselemani8132
    @pascalselemani8132 7 месяцев назад

    Vizuri sana mtumishi wa MUNGU nabarikiwa sana neno la MUNGU

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 6 месяцев назад

    Hakika Kuna nguvu za Mungu Dani Yako ambayo si yakawata kwaku Mimi moyo waku unapona kupitiya wewe babaku wa kiroho barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 6 месяцев назад

    Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa

  • @juliusmutinda440
    @juliusmutinda440 7 месяцев назад

    Yes this is a knowledgeable pastor in line with the hebrew context of scripture

  • @michaelpunduka8086
    @michaelpunduka8086 7 месяцев назад

    Bwana yesu akulinde na kukutunza mtumishi wetu mpendwa napenda sn kusikuliza ukiwa unafundisha neno la mungu nasikia laha sn kusikia neno la mungu

  • @marykissiva7460
    @marykissiva7460 7 месяцев назад

    Amen Asante Mtumishi Mungu akutunze

  • @sadiqmwasegile4273
    @sadiqmwasegile4273 7 месяцев назад

    Amen ubarikiwe Rabbi

  • @jacklineeliza6021
    @jacklineeliza6021 7 месяцев назад

    Mungu akubariki baba kwa neno zuri

  • @LeonardMahimbo
    @LeonardMahimbo 7 месяцев назад

    Bwana Yesu akubariki sana sana

  • @StevenMutale-xt9yj
    @StevenMutale-xt9yj 7 месяцев назад

    Amen Mungu akubariki

  • @GabrielRamazani-e9u
    @GabrielRamazani-e9u 3 месяца назад

    Kwa kweli MUNGU wetu akutiye ngufu kwa neno la kweli ume tupa

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 7 месяцев назад

    Shalom mchungaji

  • @stanleyomary6247
    @stanleyomary6247 7 месяцев назад

    Hizo nyingine ni story tu sio kweli

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 6 месяцев назад

    Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen

  • @ALEXLESERE
    @ALEXLESERE 7 месяцев назад +1

    EXACTLY 💯, YESU ANARUDI!!

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 6 месяцев назад

    Babaku leo nionda ndodo Nina ongea na wewe live moyo waku ukawa unamuzokea Mungu sana nikawa naona ndani mwaku nimepata amani kumbe Niko naonda ndodo

  • @AndréNdayizeye-l9z
    @AndréNdayizeye-l9z Месяц назад

    hayo ndiy mafundisho yanayotakiwa kwa hiz nyakati turizonaz chapa lnjiri watu wajue kwamba yesu anarud

  • @emmanuelamonique7308
    @emmanuelamonique7308 4 месяца назад

    Mchungaji na kusikiliza kutoka Uganda

  • @KoomeNzima-e2v
    @KoomeNzima-e2v 4 месяца назад

    AMENI

  • @DieudonneMAHANGO-ws3do
    @DieudonneMAHANGO-ws3do 7 месяцев назад +1

    Amen 🙌

  • @eliyamakanika7282
    @eliyamakanika7282 7 месяцев назад

    Amen❤❤

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 5 месяцев назад

    ❤❤❤

  • @justinmulagala1296
    @justinmulagala1296 7 месяцев назад

    Amen Amen

  • @michaelpunduka8086
    @michaelpunduka8086 7 месяцев назад

    Sharomu

  • @AlumanaPilla
    @AlumanaPilla 7 месяцев назад

    Mungu nisaidie kulielewa neno linijenge nikae sawasawa na utakavyo wewe

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila 7 месяцев назад +3

    Mimi naona kama Kuna kitu sielewi hapa kumbwa kwa Adam na ulimwengu nani alifanya unabii huu wakati mungu alikuwa hajaumba mtu yeyote hapa ndipo tuone sana tulio Wana wa mungu maana tusije tukadanyana maana akija mungu tusije tukakosa majibu watu wa mungu

    • @KINGFx-l5v
      @KINGFx-l5v 7 месяцев назад +1

      Chanzo cha ufunuo wote ambao hadi sasa tupo unatokana na kuumbwa kwa ulimwengu hadi adamu,hivyo mtumish hajakosea kuzungumza kuwa unabii wa kwanza ulitokan na kuumbwa kwa ulimwengu hadi adamu,kwan kwa tafsiri halisi ni huu kielelezo cha unabii wote unaotendeka hapa dunian unatokana na msingi wa siku saba ambazo ni kuumbwa kwa ulimwengu hadi adamu ambayo ndio miaka hiyo 7000 kibibilia ambayo imebeba siku saba hadi kupumzika kwa Mungu baadq ya kumaliza kila kazi.....nasi katika pumziko letu ni pale Yesu atakaporudi na kulichukua kanisa ambalo unabii unaonyesha tupo ndani ya hicho kipindi na dalili zote zimekwisha kuonekana dhahiri

    • @KINGFx-l5v
      @KINGFx-l5v 7 месяцев назад

      Na Mungu ndiye aliyeweka unabii pekee yake baadae ukaja kuwa udhiirisho kwa manabii wake

    • @donudonu2.r
      @donudonu2.r 7 месяцев назад

      Unachosema ni kweli. Maana hata wewe watu wote huwa hawakuelewa. Hata darasani wanafunzi huwa na uelewa tofauti. Hatimaye mwalimu akitoa mtihani huwa yupo mwenye zero na mwenye A,B,C,D na F

    • @LoynesMalkusi-zx4yn
      @LoynesMalkusi-zx4yn 6 месяцев назад

      Mimi ndo sijakuelewa wewe unaisomaje injili kwani kuuliza uweza wa mungu hukusoma mungu alikua neno naye akafanyika mwili naye akaja akakaa kwetu soma basi mwanzo kwanza bwana

    • @levisdiamond4797
      @levisdiamond4797 3 месяца назад

      Mimi sielewi huu alichosema umeandika ukijaaa roho mtakatifu ao mchafu.

  • @jimmyntizompeba6409
    @jimmyntizompeba6409 14 дней назад

    Kanisa lake lipo wapi jamaani???

  • @Thinker338
    @Thinker338 7 месяцев назад

    🙏🙏

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 7 месяцев назад

    Àmina mchungaji

  • @melckizedecktemba5373
    @melckizedecktemba5373 3 месяца назад

    Jamani, mtumishi hajatoa kitabu juu ya mafundisho haya?

  • @israelmbuto1642
    @israelmbuto1642 3 месяца назад

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩 RDC
    Tunafata

  • @lindakapongo8421
    @lindakapongo8421 6 месяцев назад

    onja radha ya fundisho bora

  • @FrancisMilinga-s9r
    @FrancisMilinga-s9r Месяц назад

    Hiyo ni alama ya mwana kondoo ishara ya ushnd wa kristo. Japo c lazma kuweka alama hio. Watu wa giiza wanatumia alama ya mbuz

  • @LwebulaEtabi
    @LwebulaEtabi 4 месяца назад

    Tufanye nini hili tuondoe giza mwalimu?

  • @kitajumanne414
    @kitajumanne414 3 месяца назад

    Jamani mimi huwenda sielewi mbona hivi vitamba vilivyo tandikwa kwenye hivyo viti vinaalama ya mnyama huyomnyama mbonasimwelewi

    • @GabrielRamazani-e9u
      @GabrielRamazani-e9u 3 месяца назад

      Ile siyo tatizo none kwa

    • @fridanguli2271
      @fridanguli2271 22 дня назад

      Ni mwana kondoo aliyejitoa sadaka, ni yule aliyeambiwa anastahili kuzifungua zi muhuri .... yaani ni Yesu Kristo aliyetolewa sadaka

  • @helansakeyan5307
    @helansakeyan5307 7 месяцев назад

    Ee ROHO MTAKATIFU TUSAIDIYE KUELEWA NAKUKAA KTK HAYA

  • @edwardmadale8604
    @edwardmadale8604 7 месяцев назад

    Kweli tupu

  • @danielchaulema1670
    @danielchaulema1670 4 месяца назад +2

    Mchungaji huyu na mchungaji magembe wanapasua neno kweli

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 7 месяцев назад +1

    Kweli kabisa udongo ni mtu mazao shambani yakisitawi na mwenye shamba Hana Roho mtakatifu,bado huyo yupo kwenye Asara

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 7 месяцев назад

    Àmina

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 6 месяцев назад

    Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa

  • @NeyoBrave
    @NeyoBrave 3 месяца назад

    ❤❤

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 5 месяцев назад

    Amen amen amen

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 6 месяцев назад

    Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa