HABARI ZA SIKU ZA MWISHO NA YESU KURUDI KWA UNYWAKUO WA KANISA (SEHEMU YA 2) | Rabbi Abshalom

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 65

  • @YohanaLeki-m9q
    @YohanaLeki-m9q 9 месяцев назад +6

    Napenda injili hii na Mungu akubariki mtumishi

  • @roseeeleee
    @roseeeleee Год назад +5

    mahubiri hizi ndizo injili zinaotakiwa za mwisho injili ya kweli lazima ihubiriwe barikiwa mtumishi wa MUNGU

  • @BanyangaMohammed
    @BanyangaMohammed 9 месяцев назад +6

    Asante kwa somozuri mchungaji nafwata nikiwa Congo drc goma

  • @afredfodogo7857
    @afredfodogo7857 9 месяцев назад +1

    Lisha kondoo mtumishi tunakuelewa sana bwana Yesu azidi kukulinda were ni TUNU ya MUNGU.

  • @HildaPaul-hm4jk
    @HildaPaul-hm4jk Год назад +1

    Amen mtumishi Mungu azidi kukutumia

  • @cleverMwampiki
    @cleverMwampiki 2 месяца назад +1

    Asantee mtumishi 28:00

  • @akothchristine4752
    @akothchristine4752 10 месяцев назад +1

    Yesu ni bwana glory glory hallelujah

  • @rebeccayona393
    @rebeccayona393 Год назад +2

    Amina baba namshukuru Yesu Kristo kwa kunipa kuishi milele pamoja naye. Amina

  • @emilyvngoma4911
    @emilyvngoma4911 Год назад +1

    Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @Jackline-ki7zl
    @Jackline-ki7zl 10 месяцев назад +1

    Nimeanza Leo kuckia neno la namna hii .barikiwa sanaa mtumishi wa mungu .nilikua nimepotea lakini tangu nimerud kwa YESU hata cm yangu imeokoka .napata mahubir takunitia nguvu yakusonga mbele ...

  • @AnnaLyatuu-e6i
    @AnnaLyatuu-e6i Месяц назад

    AMEN mtumishi wa Mungu nimebarikiwa sana Daresalam utakuja lini

  • @maranathamushi7227
    @maranathamushi7227 Год назад +1

    BARIKIWA SAAANA MTUMISHI

  • @loserianlaizer
    @loserianlaizer 2 месяца назад

    Amina tunahitaji SoMo hili sana Ubarikiwe sana Mtumishi Kwa Mafundisho HAYA ni pekee Tanzania.

  • @LastdayJesu4153
    @LastdayJesu4153 10 месяцев назад +1

    God bless U Beit ❤

  • @YakoboDeku
    @YakoboDeku 2 месяца назад

    Mtumishi wa Mungu ubarikiwe kwa mahubiri ya kweli maana siku hiisi watu wanatapeliwe

  • @Frank-b2d6u
    @Frank-b2d6u Год назад +1

    Amina injiri hii nisahihi hasa

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 5 месяцев назад +1

    Mungu tusaidie

  • @johnnguttu9516
    @johnnguttu9516 Год назад +1

    AMEN, Amen. Asante Rabbi Kwa somo zuri la unyakuo.. Mimi na Uzao wangu hatubiki nasi tunaondoka na KRISTO. Barikiwa

  • @PamelaGodfrey-q9b
    @PamelaGodfrey-q9b Год назад +1

    Aminaaa

  • @ChabikoKyenga
    @ChabikoKyenga 2 месяца назад

    Bwana ni sehemu yangu sitapungukiwa na chochote kwa neno lako la vaa kwa pumzi ya uzima ameni

  • @israelmbuto1642
    @israelmbuto1642 Месяц назад

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Mungu atushike mkono

  • @musafiribahati8295
    @musafiribahati8295 22 дня назад

    Amen Amen Amen

  • @DEBORAMDEMU
    @DEBORAMDEMU 8 месяцев назад +1

    Yesu atusaidie kanisa la siku za mwishoo

  • @byamungulusambo2635
    @byamungulusambo2635 Год назад +1

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 5 месяцев назад +1

    Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa

  • @emmanuellikaare1661
    @emmanuellikaare1661 4 месяца назад

    Amen mtumishi nashukuru Mungu kwa kuwa nitanyakuliwa pamoja nawe.

  • @TarimoMangi
    @TarimoMangi 5 месяцев назад

    Amen Amen BWANA YESU ni mungu kweli.MTUMISHI BWANA YESU AKUBARIKI.

  • @DieudonneMAHANGO-ws3do
    @DieudonneMAHANGO-ws3do 6 месяцев назад

    Amen 🙌

  • @musafiribahati8295
    @musafiribahati8295 22 дня назад

    Hinikweli kabisa asanti unaniamusha toka usingizi mungu akuzidie

  • @MalikiaRecho
    @MalikiaRecho 3 месяца назад

    Ameen Amina sana Namngojea ashuke na mawingu

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 4 месяца назад

    Napenda Sana mafundisho Yako yanainuwa Imani Yaku kuzingesha karibu na Mungu WA mbinguni napenda

  • @PatrickNabanga-y6z
    @PatrickNabanga-y6z 2 месяца назад

    Chakula safi cha kiroho

  • @PascalIranyibuka
    @PascalIranyibuka Год назад +1

    Good

  • @JaphetNemerimana
    @JaphetNemerimana 2 месяца назад

    Wew unahubir injir yakwer

  • @DeusFransis-t4k
    @DeusFransis-t4k 2 месяца назад

    Ubarikiwe mtume wa mungu Asante kwakuokowa logo zawengi Amina

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 4 месяца назад

    Asante sana barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu sifa na utukufu simurudiye Mungu ❤❤❤❤❤

  • @fadhiliissac.mwangalika6
    @fadhiliissac.mwangalika6 Год назад +1

    Ameen Ameen Yesu nikumbuke

  • @liliantitus7067
    @liliantitus7067 Год назад +1

    Hallelujah 🙌

  • @MayalaLubala
    @MayalaLubala 3 месяца назад

    Amen eeeee

  • @musafiribahati8295
    @musafiribahati8295 22 дня назад

    Éliye ameasiri tayri

  • @musafiribahati8295
    @musafiribahati8295 22 дня назад

    Watu,tusikie hili kwelikweli jameni

  • @jakoboamon9402
    @jakoboamon9402 8 месяцев назад

    Asikiaye mahubri haya alafu anaendelea kutenda dhambi Huyo ni kichaa.daa!Mungu akubariki sana mtumishi

    • @JAPHETJOSEPH-b6e
      @JAPHETJOSEPH-b6e 3 месяца назад

      Umesema kweli ,,,,, sitaki Dhambi, itanitenga na Mungu

  • @KiroshoSameli
    @KiroshoSameli Месяц назад

    Asante past❤

  • @richardkibada7863
    @richardkibada7863 Год назад +1

    Ameni

    • @werasiakiwelu1840
      @werasiakiwelu1840 Год назад

      Ameni nashukuru Mtumish nimejifunza mengi kuhusu kuja kwa Bwana Yesu

  • @hakizimanaconstantin6835
    @hakizimanaconstantin6835 Год назад

    Jina la Bwana libalikiwe

  • @navokisembo
    @navokisembo Год назад

    Ameen mtumishi wa Mungu

  • @rebeccayona393
    @rebeccayona393 Год назад +1

    Na mimi sitakuwepo baba

  • @dieudonnebayubahe8002
    @dieudonnebayubahe8002 Год назад

    Mungu akubariki sana

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 10 месяцев назад

    Hii ni Injili sahihi

  • @emilyvngoma4911
    @emilyvngoma4911 Год назад

    Amina

  • @ZawadiLyema-lx8is
    @ZawadiLyema-lx8is Год назад

    Amen🙏🏽

  • @MtishibiMakimila-cc9ty
    @MtishibiMakimila-cc9ty Год назад

    Amina mtumishi

    • @werasiakiwelu1840
      @werasiakiwelu1840 Год назад

      Ameni Mungu akubariki sana mtumishi nimepokea kwa moyo wa shukrani ujumbe muhimu mnoo

  • @dennismainya6868
    @dennismainya6868 26 дней назад

    Utakuja lini huku Kenya? Dennis Mainya Onduko,from Kenya

  • @pridasieriyakimu5338
    @pridasieriyakimu5338 2 месяца назад

    U

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 Месяц назад

    Hello my Wiii. Mnaendeleaje? Shogangu mambo ya Imani ni magumu sana.
    Nashkuru kwa Clip ulizonitumia lkn binafsi kwangu ni changamoto kuendana nazo. Nakushkuru kwa kujali lkn narudia mambo ya Imani ni magumu sana.

  • @MalikiaRecho
    @MalikiaRecho 3 месяца назад

    Muñgu ni kumbuke kwenye uflalume wako

  • @Neemakilimba
    @Neemakilimba Год назад +2

    Injili hii Ni yakweli kabisa ,Huyu mhubiri Yuko wapi ?

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 Месяц назад

    My Wiii leo hiii nkikuletea Aya za Quran Tukufu au Hadithi za Mtume Muhammad ( SAW), utanielewa?. Ukweli hutoweza kunielewa kabisa. Ndo maana narudia kwa kusema mambo ya Imani ni magumu sana. Tuombeane tu Mpendwa wangu.

  • @musafiribahati8295
    @musafiribahati8295 22 дня назад

    Wewe ni Eliya huyuambae hatakusikia ataacwawa ulitumwa na yesu kwelikweli watu hawaja,kutambua eliya mutishibi n'a musa n'a yesu mwenyewe