Mtumishi ubarikiwe sana 🙏 Karibu katika mkoa wa Kagera Mjini Bukoba Mtumishi wa Mungu kuna Roho za kuokolewa Tunahitaji Neno la Mungu Maana mafundisho kama aya kuyapata ni bahati sana Wakristo tumelala sana, Mtumishi wa Mungu karibu sana uku Bukoba Naamini yupo mmoja ataisalimisha Nafsi na Roho yake kwa Yesu Kristo na kuokoka 😢🙏🙏
Kwa kweli Mtu wa Mungu umetutendea haki Kuweka mahubiri yako na mafunzo ya neno la Mungu kwenye you tube , asante sana Mimi binafsi nilikuwa natafuta mafundisho yako kwenye mtandao, tuko pamoja Absalom Longani
Mungu akubariki baba kwa mafundisho mazuri sana. mimi ni ev. elie niko congo goma ata ivi na mimi nakusaidia kutuma hayo mtandaoni. ila baba tafazali usiwe unatumia biblia ya simu mazabahuni ni makosa sana.
Hakika Rabbi, watu ni wengi tunatamani kusikia habari njema za KRISTO YESU katika nyakati hizi za hatari na za mwisho za kurudi kwake MWOKOZI WETU. Jambo la msingi kwetu ni Maisha ya milele ya badaye baada ya hapa dunian.... AMEN, AMEN. Barikiwa Rabbi
@@DeusiMorisiPole naona umelishwa matangopari yakutosha, yawezekana hujielewi, kwa majibu yako haya napata shaka kama unamuishi kristo zaidi ya kulitumia jina la yesu ktk harakati za kuhadaa watu kwa manufaa ya matumbo yenu. unatofauti gani na waganga wa kienyeji?
BWANA YESU ASIFIWE,kwasasa MUNGU analiandaa kanisa lililokusudiwa kwenda mbinguni,wasaidieni hai wa awake wanaosuka,na wanaojipodoa,nawanaoingia katika nyumba za ibada vichwa wazi,hawataingia mbinguni,na wanaovaa mavazi yasiyokuwa yakujisitiri,yanayoonyesha mambo yao,kemeeni enyi wachungaji,kemeeni uovu,kanisa litakwaswe Ili linyakuliwe
Ndiyo huo wakat wa mwisho ndiyo huu na hicho kitabu kinafunguliwa sasa na huyo aliepewa kufunua Siri ya Mungu dunia yote tunatakiwa tujifunze chin yake ni kama kipindi cha nuhu tu alivokuwa akipewa mwongozo na kuwaambia watu nuhu wa sasa ni mmoja tu pia ambae ndiyo huyo John isaya igumi
Amen napokea nimeokoka Leo pasta mungu akubariki sana kwakutupatia neno nzuri kutoka kwa mungu wetu
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊p😊😊p😊😊😊😊😊😊p😊😊p😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Ubarikiwe sana kwa kuokoka umechagua fungu lililo jema
Maneni mazuri sana,endelea kutangaza habari njema
Amen mtumishi, Mungu akubariki sana sana kwa neno hilo nilolitafuta muda mrefu BILA kupata kujua maana yake. Leo nimeelewa sana.
Barikiwa mchungaji
Bwana Ani rehemu na watoto wangu na jamii yangu wasipotee hata mmoja
Amen
Barikiwa mnoo mtumishi
Amina,mtumikie Mungu wetu ,Bwana Yesu akubariki sana,songa mbele,usijali vizingiti.Maana ninahakika vipo
Wewe ni Mwl wa kweli umetufundisha somo kubwa sana na YESU akubariki sana. Ni kweli tupu umezungumzia. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Mtumishi ubarikiwe sana 🙏
Karibu katika mkoa wa Kagera Mjini Bukoba Mtumishi wa Mungu kuna Roho za kuokolewa Tunahitaji Neno la Mungu
Maana mafundisho kama aya kuyapata ni bahati sana Wakristo tumelala sana,
Mtumishi wa Mungu karibu sana uku Bukoba Naamini yupo mmoja ataisalimisha Nafsi na Roho yake kwa Yesu Kristo na kuokoka
😢🙏🙏
Thank you so much for beautiful message me from Zambia Amen and Amen
Mungu akubariki sana unabadilisha maisha yangu
Kwa kweli Mtu wa Mungu umetutendea haki
Kuweka mahubiri yako na mafunzo ya neno la Mungu kwenye you tube , asante sana
Mimi binafsi nilikuwa natafuta mafundisho yako kwenye mtandao, tuko pamoja Absalom Longani
ubarikiwe Mtumishi wa Mungu kwa kutulisha Neno la Mungu Amen
Amen Sifa kwa Mungu
Mungu akubariki baba kwa mafundisho mazuri sana. mimi ni ev. elie niko congo goma ata ivi na mimi nakusaidia kutuma hayo mtandaoni. ila baba tafazali usiwe unatumia biblia ya simu mazabahuni ni makosa sana.
natunabalikiwa sana mtumishi mungu akubaliki
ubarikiwe saana mtumishi
Amen Mtumishi wa Mungu. Ubarikiwe sana
Tunabarikiwa sana babangu
Asante saana mtumishi wa mungu
Haleluyaaa Mt wa BWANA Ubalikiwe sana tu YESU ASIFIWE
Amepewa hekima yote ya Mungu na Mungu mwenyew
Tunakusikiliza Mtumishi wa Mungu aliye hai!
I try to follow your preaching about the end time.
Balikiwa sana mtumishi
Barikiwa baba kwa kusema ukweli
Àsante Mungu akubariki Sana
Hakika Rabbi, watu ni wengi tunatamani kusikia habari njema za KRISTO YESU katika nyakati hizi za hatari na za mwisho za kurudi kwake MWOKOZI WETU. Jambo la msingi kwetu ni Maisha ya milele ya badaye baada ya hapa dunian.... AMEN, AMEN. Barikiwa Rabbi
Be blessed pastor ….Mahubir yako yananitia moyo sana na nguvu
Ubarikiwe sana baba kwa ujumbe mzito huu
Mungu akubaliki kwa kulitangaza neno lililo hai
Mchungaji Mungu Akutiye nguvu baba tunaamini uko salama tunakuombea Mungu Akufunike kwa Mbawa zake tunakuombea.
Ni ujumbe wa Mungu peke yake..
Mungu akubark sana mtumishii wa bwanaa
Namtukuza Mungu kwa zifunua Siri hizi kwangu.
Eeh mungu nikumbuke namimi na family yangu 😭😭
Amen mtumishi
Eh Rabbi hii ni heavy! Mungu atusaidie
MUNGU akubariki sana mtumishi abshalom
Amina
Ubarikiwe nîme kufata Niko Rdc ubarikiwe tena
Asante kwa ujumbe muhimu kwetu
NABARIKIWA SANA MTUMISHI .UBARIKIWE
Amen yesu ni bwana
Amen 🙌
Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa
Ubarikiwe mtumishi kwa neno Niko Bukobs Kagera napenda mahubiri yako
MUNGU akulinde Sana Kuna siku nilisikiliza tu maombi nikapokea uponyaji hapo hapo nilikuwa nasumbuliwa na mgongo nina MIAKA 4
Ameni
Amen
Hizi ni habari njema ziletazo wokovu
Murage...Nairobi
Niko Oman nabarikiwa
Dunia yaleo tunahitaji injili ya kweli unayohubiri nikweli kweli kweli walio ibebakweli malanyingi Huwa wanachukiwa mchungaji songa mbele songa mbele
Acheni injili za vitisho kwa watu maskini kwa manufaa ya matumbo Yenu. Mungu wetu hana upendeleo, niwaupendo kwa kila amwitaye.
Nenda zako huko
Amekugusa utumishi wenu wakuwadangsnya watu!! Vumiliya wacha Sindano iingie vizuri
Kwani mnataka wahubiri wasiwaambie watu mambo yatakayotokea yaliyoandikwa ktk biblia
@@DeusiMorisiPole naona umelishwa matangopari yakutosha, yawezekana hujielewi, kwa majibu yako haya napata shaka kama unamuishi kristo zaidi ya kulitumia jina la yesu ktk harakati za kuhadaa watu kwa manufaa ya matumbo yenu. unatofauti gani na waganga wa kienyeji?
,ijnili ndiyo hii hawa ndiyo walioitwa na Mungu siyo kufundisha mafanikio tu
Yaani mimi nakupenda baba
Tunakusikiliza MANYARA kiteto
BWANA YESU ASIFIWE,kwasasa MUNGU analiandaa kanisa lililokusudiwa kwenda mbinguni,wasaidieni hai wa awake wanaosuka,na wanaojipodoa,nawanaoingia katika nyumba za ibada vichwa wazi,hawataingia mbinguni,na wanaovaa mavazi yasiyokuwa yakujisitiri,yanayoonyesha mambo yao,kemeeni enyi wachungaji,kemeeni uovu,kanisa litakwaswe Ili linyakuliwe
Name pia nafuatilia mafundisho yako ya siku za mwisho, unyakuo was kalisa.
Haya mahubiri ni ya kulia kabisa sio ya kutoa macho maana tupo mwisho wa dunia sasa
Namanga nabarikiwa na wewe
Nikonakufuata kazini hapa marekani naweka Hedifon nasikiya kubarikiwa sana hiininqisambaza mahalipote itakavyo wrzekana ubarikiwe
NIPO MOC'AMBIQUE NINAKUSIKILIZA NA KUKUONA VIZURI NENO LA MUNGU KUPITI KINYWA CHAKO LINANIBARIKI SANA
Kwa nini kutumia iyo alama ya PX alama ya kristu mfalme ?inayo tumiwa kwa eklesia quatolique
Niko US nafuatilia hayo mahubiri. Sikuwa nime yasikia