INASIKISHA MWANANCHI ADAIWA KUPORWA KIWANJA NA GBP PETRO STATION/WAZIRI AOMBWA KUINGILIA KATI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 апр 2024
  • WAZIRI SILAA AOMBWA KUINGILIA KATI MGOGORO WA KIWANJA KATI YA GBP NA WANANCHI
    VILIO VYATALA TANGA MWANANCHI
    ADAIWA KUPORWA KIWANJA NA KAMPUNI YA GBP PETRO STATION

Комментарии • 10

  • @mbaraksaeed5137
    @mbaraksaeed5137 16 дней назад +1

    Mara nyingi wafanyabiashara wa mafuta wanashirikiana na mipango miji wanabadilisha miundo mbinu ya miji bila ya hata kuwashirikisha wananchi majerani wa sehemu husika.

  • @awadhjamal3430
    @awadhjamal3430 16 дней назад

    Waziri slaa apunguze haraka asikilize kessi na afike eneo husika,katika hili amezinguwa

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l 17 дней назад +3

    Sikuzote nasemaga huyu wazir anakurupukaga kibabe ona anavyopoteza haki za watu

  • @twaibaomar8281
    @twaibaomar8281 17 дней назад +2

    Hili alilosema waziri kuwa barabara imejengwa kwa kodi za wananchi linanitiya mashaka makubwa sana kwa sababu barabara hii ina urefu wa mita 120 tu na inatumika na secretary wa GBP tu. Mama Samia Suluhu Hasan hawezi fanya haya aliyozungumza Waziri.

  • @nyiqatonyiqa7114
    @nyiqatonyiqa7114 17 дней назад +1

    Waziri Jerry Slaa hajakula hongo ila amesoma karatasi za kupewa na wakuu katika eneo la Tanga, huyu bwana Mwenye Kiwanja amfate waziri na hizi hati za vibali vyake hii ishu itaisha mara moja tu.
    Aache maelezo meengi tu wakati yuajua hakika waziri huyo atalitatua sawala bila kupinda maneno 😢

  • @MasoudSultan-ks6kc
    @MasoudSultan-ks6kc 17 дней назад

    Waziri kalishwa vitango pori

  • @EdhaBazar
    @EdhaBazar 17 дней назад +4

    Kama waziri hakummpa haki ya kumsikiliza kama anavyofanya kwa watu wengine, basi atakuwa hakumtendeya haki huyo bwana Farid

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 17 дней назад +1

    Eneo lina mgogoro. Alafubunawekezanhapo. Je ukichomewa.nyumva?