CHADEMA TUNACHUKIANA KULIKO CCM ''MIMI NTASEMA UKWELI''MWAMBIGIJA AKOSA UVUMILIVU ACHAFUA HADHARANI.
HTML-код
- Опубликовано: 6 май 2024
- #JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►RUclips: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/
Tatizo lipo Chadema.Jitafakarini.Hamfuraishi,japo mnaowafuasi wengi fikirini upya.
Chadema ni kikundi cha wahuni
CCM kikundi cha watekaji na wauaji waliobobea
Hiki chama bdo sanaa kwakweli kitatusambatisha waatz 😢 tusiwe watu wakufuatfuat mkumbo tuwe makinji sana hawa watu ni janja janja wacha wapambane wenyewe kwanza
Ccm ndio wenye hii kazi wao wamezoea sasa chadema wakikemea wanakosa gani
@@happyjeremiahmhuli4043 ww kwa akili yako huko chama chadema kweli kinaweza Şahika dola🫣wajipange sana ila sio kwa sasa in the near future yes but not now 👍
Umetumwa acha uhuni, CHADEMA tuachie tuliokomaa nacho. Na mwache Mwabukusi.
Huyu kwa kauli zake chadema wamfukuze mapema.Hafai hata kidogo.Mwambigija hafai.
Na co muda atahama
chuki ni mahali popote siyo ila ukweli lazima usemwe
Mnachukiana kwa uroho wa madaraka huyo mbewe yeye nani kafanya chama chake akitaka kugombea mwingine anawekewa zongo
Kwani CCM hii ni yao peke yao?mbona wanaing'ang'ania kuiongoza tangu tupate Uhuru mwaka 1961?unayaona ya Mbowe tu kuwa Mwenyekiti?
Chamsingi chadema tuwe makini sana ccm wasitugombanishe
Hawawezi kuigombanisha Chadema,wenyewe kwa wenyewe CCM wanagombana,ingawa kwenye mkusanyiko wa watu mbalmbali kugombana ni jambo lakawaida sana kinachotakiwa ni kuvumiliana ili mfikie malengo mliyojiwekea,
Kabisa Kabisa
Chadema ni wahuni ..Sisi tulishakimbiaga kitambo sana
Wahuni wengi wako wapi kati ya Chadema na CCM?
Sasa kiongoz wa chadema freeman mbowe ni mwana ccm pure
Kama ulikimbiaga kitambo,hiyo kazi ya kuifuatilia Chadema inakupataje?Maneno hayo waambie wapumbavu wenzako
@@FirstOnline-ul5oh Akiwa mwanaccm mwenzako,sasa wewe shida yako ninini?Furahia Chadema haipo.
@@yassinnabwera4273 mpumbavu Mama yako alokuzaa.. kwani hajakufundisha adabu ya kuongea na watu
TATIZO RUZUKU KILA MTU ANATAKA AMZIDI MWENZAKE 😢😢😢😢😢😢😢HAYA WAKIPEWA NCHI WIKI MOJA TU NCHI BANKRUPTCY
Akili yako ni ndogo,kwani CCM wanavyogombana,huwa wanagombea nini?Au unataka kutuaminisha kwamba CCM huwa hawagombani?
@@yassinnabwera4273 CCM WAKO MATURED LAKINI CHADOMO NI WAROPOKAJI NA KUBWEKA TU WAKISUBIRI MATUKIO 🤧🤧🤧🤧🤧🤧
Zaidi ya Trilion 80 nchi hii inadaiwa chini ya CCM,hizo pesa walikopa Chadema?
@@yassinnabwera4273KUNA NCHI ISIOKUWA NA DENI LA TAIFA HII DUNIA AU UNATAKA PADRE SLAA AFANYE MIUJIZA PESA ZIINGIE KWENYE SIMU ZETU 😢😢😢😢😢
@@OmmyJames-xn7ji Hapo ndipo unapoonekana uko mbali na hii dunia,kwa Chadema wakihoji ruzuku yao kwako wewe ni ajabu ila CCM wakikopa Matriolioni ya pesa na kuyaiba,hilo kwako sio tatizo,unajua ni ngumu sana kuipima akili yako na kuupima uelewa wako,endelea na mambo yako,kama hujui matrilioni hayo wanayoiba viongozi wako wa CCM inabidi tuyalipe Watanzania wote bila kujali vyama vyetu,inaonekana Akili yako haina Akili.
hayo madongo kwa sugu......mwambigija na sugu hawaivi kbs,,,, ndo maana anakuambia atamuomba mwabukusu akuje kugombea mbeya mjini. kama huna D mbili huwezi kuelewa hii kitu
Hiyo ndo CDM black and white big up
Umenena uwazi kabisa
Kama mlikuwa hamjui CHADOMO ndiyo hiyo😂😂
Kumamayo, chadomo mamakò
Kwa kweli umekomaa kisiasa Mwambigija
Ni wale wale ila rangi tofauti
Duh kumbe Chadema hatupendani hii ni hatari sana kwa ustawi wa chama
Leta sera brother maneno yamekuwa mengi hta ukiwa mzuri kuongea unaonekana porojo nyingi kuliko kujenga chama
WAKATI wa magu walilalamika HAWAWEZI kufanya mikutano sasa hivi ni chuki na ubaguzi na kejeli hawana sera ila ni watu wa MATUKIO 😢😢😢😢😢😢😢
Du! Shughuli ! Acha Inyeshe tujue panapovuja!
Hata kama ukiwa na nguo nzuri ya gharama kubwa kama ni moja tu na ni kauka nikuvae ,haitakufaa ,Tunataka kubadilisha tuu
Kweli Mzee siasa ni kutumia akili sio nguvu Wala matusi nikusoma alama zanyakati
Mmmmmh ninamashaka na ww ila Chadema chama makin sana acha siasa ndan ya chadema
Kumbuka wachafuzi pia wamo wengine ni kutoka huko walikotoka kwa kuchafua kuja kuchafua ili wananchi wasione tofauti
Duh
angalia huyu asiisambaratishe CHADEMA.
Hivi kweli chadema mmefikia mahali pa kujidhalilisha kiasi hiki! Hebu kaeni mjitafakari huyo mdudu aliye waingia ashughulikiwe mapema kabla ya kusambaratika
Unashida pole.
Wahuni kuliko ccm ? Uzuri wa ccmhaup0 hujawajua
ABAKIYEEE HUKO HUKO MWAMBUKUSI, ACT WAZALENDO HATUMTAKI NG'OOO. ACT WAZALENDO SIO CHAMA CHA MASHOGA NA WAPOTOSHAJI.
Mnagombanishwa na vichwa vya habari ili mfungue msikilize ili apate point....ni biashara
WATU WENGINE WAPUMBAVU SANA WAONDOLEWE KTK CHAMA
Nasikia kichefichefu nikisikia lifisiyemu humu hatutaki mbogamboga kabisa
Mmmh....???
Shida yenu ni hiyo hamtakagi kutoka madalakan . Mtu akijitokeza kuchukua fom mnaaza kusema umetoka na chama mbali. Hutaki kuachia madalaka. Mmeishiwa mbinu Acha kujifanya chama NI chako. Ccm wanawapiga bao
mwambukusi multipurpose anagombea popote pale
Mimi simuamini mwambigija anatumiwa na fisiyemu ni mnafiki chadema mbeya mjin kaeni chonjo
Mwambigija anakibomoa chama kwa makusudi ,chadema mfukuzeni huyu mapema.
Umesema kweli kabisa ila muda utatoa muelekeo thabiti
"Atagombea hapa ni kwao kwani ni Mkinga huyu"hiyo kauli ni ya kibaguzi haifai hata kidogo.Mwambigija umeteleza na umekosea sana.
Ukweli unaponza sana, OK kosa lake ni lipi..?
Hajakosea wakinga waende kwao kuna mnyakyussa anagombea makete😊😊😊
Ila Sugu kazi anayo hayo yote ni madongo yake namuhurumia wenye mji wamechoka
@@zariadunia6328 kwani chaguzi zote anachaguliwa hakukuwepo na wanyakyusa.Acha ujinga ww.
@@zariadunia6328 hawajamchoka ila ingekuwa mimi sugu nisingegombea ningemwachia huyo wanaemtaka tuone kama atashinda mbele ya Tulia.
Duh kumbe chadema ni chama dini 😢wasiokua na dini sijui itakuaje😢
Haleluya 😢😢😢😢😢
@@OmmyJames-xn7ji kwaiyo unakubaliana na mm sio kua chadema wadini 😳
@@user-gy5en6cy8o NI SUMU KWA JAMII 🤧🤧🤧🤧🤧🤧
mbn simjuiii huyuu
Walaaniwe
Jamani mnisaidie Abdul ni nani???
Mbna Kama unamsema sugu braza
Mwabukusi atagombea hapa ni kwao kwani ni mkinga huyu ,hiyo kauli si nzuri na haifai.
BUSARA NI KUWAUNGANISHA WANACHAMA WAKO SIO KUWATENGANISHA...
Tukisema chadomo ni chama watu flani muwe mnatuelewaa
Mwambigija Ninakuelewa Lkn Umekosea my friend Kusema Mwabukusi Angeenda Act Mngeponea Wap Umekosea Sana Hata Angeenda Act Bado Chadema Inanguvu Wote Tunahitaajiana Kwa Pamoja
Mwambigija hafai.Chadema wamfukuze mapema anatumika.
NA MIMI NINA WASI WASI SANA NAYE HUYU ANAWEZA AKAWA NI NYOKA HATARI SANA!!!!! NA KAMA SI NYOKA BASI HANA HEKIMA MANENO YAKE SI SALAMA KWA CDM HATA KAMA HAYO ANAYO YASEMA YANA UKWELI.
@@FrankMwakatundu-cu6bd uko sahihi .Mwambigija ana mwelekeo wa kukibomoa chama kabisa.yaani kwa kauli zake hizi za hovyo anamwelekeo huo kabisa.
Mwambigija kweli ni mtu wa hovyo Sana Yeye anaona yuko sahihi kuliko wote chadema mbeya
Nabado utajua
NDUGU YANGU KAKA YANGU MBOWE MIMI MDOGO WAKO NINA KUSHAURI KUTOKANA NAHIYO MBWAA KOKO YAKO TUNDULISSU AKUFAI WEWE TUMEKUWA WOTE HAPA MJINI KWA KWA HIKMA NABUSARA HUJUWI KUMTUKANA AO KUMDHAU MTUU SASAHUYO MWANA KIJIJI ATAKUSABABISHIA KUONEKANA KAMA NA WEWE HUJITAMBUWI SIUNAONA WAKATI ALIPO KUWA UBELIGI UKIMBIZINI ULIMBUKENI WAKE WA AJABU
Kwa ushauri wangu tofauti zenu viongozi mliokusudia kujenga nyumba nyumba embu jaribuni kuyamaliza ndani mnakiuwa iko chama wenyew kwa mikono yenu siyo busara hata kidogo kutoka hadharani nakussemana kijinga kama ivo.
Sasa hapo unajenga chama au unakibomoa?
Anakibomoa chama kabisa huyu hafai hata kidogo
Wewe sio chadema uskute na wewe unataka umwenyekit ...kuongea kwenyewe hujuh njaaa mbyaaa
Tatizo la huyu mnyakyusa mwenzangu ni umimi wake na kumwona sugu kama mkimbizi mbeya, kakimbia tujuyu alikogombea anapambana na sugu kwa hila zake, alafu napenda sana kutumia unyakyusa kumnyanyasa sugu kama mtu asiyefaa kwa ukinga wake ni mambo ya kijinga sana. Niliwambia wafuasi wake kuwa mwambigija hana vision mkimfuata mtaenda na maji chadema ni taasisi kubwa inaweza kumwengua yeyote mleta mitafaruku hawakuelewa badaye walitupwa wote nje ya uongozi wa chama na wengine kutimuliwa.
Et waziri mkuu wa mbeya! Mpumbavu mkubwa chama ni tasisi c mali ya mtu ni mali ya watu! Ohooo mnaanza kuchambana wenyewe! Huna akili yoyote we kenge danganyaga wajinga
Wewe.mjinga..umeacha..biashara..ukaaza..siasa..fara
That is Being Stupid
Chadema mlimuua chacha wangwe kwa uroho wa madaraka na hiyo laana haitawaacha mpaka msambaratike
Kumbe unao ushahidi wa mauaji, halafu hutaki kuutoa kwa vyombo husika!!? Basi wewe ni mshirika wa hayo mauji, na vyombo husika vinatakiwa vikuchukulie hatua stahiki. Au wewe ni yule kijana wa uvccm Kagera?
Cotoon
Kwani mwabukusi ni mwanachama wa chadema?mwambigija mbona kama ww ni wa hovyo sana.Mwabukusi sio mwanachama wa chadema.Subiri mwabukusi ajiunge chadema ndiyo umsemee ila kwa sasa unakwenda kinyume na taratibu za chama.unaonekana ni mtu mzima lakini huna hekima wala busara.kauli zako za leo hazifai hata kidogo.
Hujuwi siasa kutoka chama hakuhitaji tamko wala barua, ukisimama tu jukwaa la chama kingine maana yake ameachana na chama cha zamani.
CHADEMA Muwe Makini na mapandikizi ya Ccm. Wanapandikizwa kuharibu CDM.
Broooooo
Nimekukubali.......
Natamani niwe mwanafunzi wako katika siasa....
Iwe her kwako..
Mmmmmh ninamashaka na ww ila Chadema chama makin sana acha siasa ndan ya chadema
Pongez makamanda wetu kwakujitoa kulitetea taifa letu linaenda kubaya