Ally Hapi Amvaa Tundulissu Ampiga Maswali Matano Mazito " Je wapo Tayari CHADEMA ifutwe?"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 май 2024
  • Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Maoinduzi (CCM), Ally Hapi amehitimisha Mkutano wake rasmi Mkoani Iringa Kwa kusikiliza Kero za Wananchi vilevile amemuuliza Maswali Matano Tundulissu kupitia Mkutano huo wa hadhara.
    Hapi amebainisha Maswali hayo Mei 5, 2024 Katika Viwanja vya Mwembetogwa Manispaa ya Iringa katika Mkutano huo na Wananchi wa Iringa.
    #FocusDigitoTV
    ..................
    Tufuatilie Zaidi kupitia:
    INSTAGRAM, TIKTOK, FACEBOOK, TWITTER (X), THREADS NA GOOGLE WEBSITE YETU YA FOCUS DIGITO TV
    Focus Digito TV is one of the best info-edu-tainment Online Media conveying contents for the Public Interest.
    Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing
    We Love You | Tunakupenda
    Regards
    Team FocusDigitoTV

Комментарии • 213

  • @NGOMELE1976
    @NGOMELE1976 Месяц назад +2

    Umri wako ungekufanya uwe na uelewa mkubwa zaidi ya hayo unayoongea.
    Pole sana.
    Unahitaji ukombozi wa fikra.

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 Месяц назад +6

    Shughulikia wezi wanaotajwa na SAG kwanza

  • @kingmzebez7786
    @kingmzebez7786 Месяц назад +3

    Jifute ww sio chadema🇹🇿❤✌💪💪💪💪💪💪💪🤳

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim Месяц назад

      Kifutwe kwanza hakifai ni chama cha wahuni2 saiv

  • @user-gn2lq1pq1t
    @user-gn2lq1pq1t Месяц назад +4

    Bwege

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Месяц назад +3

    Mkulanga ipo Zanzibar hospitali za makanisa zipo Toka mkoloni naona hujuwi jibu loliondo imeuzwa au haijauzwa

  • @happyjeremiahmhuli4043
    @happyjeremiahmhuli4043 Месяц назад +6

    Acha kudanganya Wananchi. Na wewe tunakuuliza mbona hashughulikii Ripoti za CAG.

    • @user-xj3um9si6o
      @user-xj3um9si6o Месяц назад

      yaan tunawashangaa hawa wananchi wenzetu wanashangilia nini,wakat zahanat,maji na vingne tunachanga sisi wenyewe michango tujenge zahanat na vngne,na kwann sisi wamasai tunatolewa kwenye sehemu zetu,au waarabu ndio wenye haki kuliko sisi

  • @happyjeremiahmhuli4043
    @happyjeremiahmhuli4043 Месяц назад +4

    TUNATAKA KATIBA MPYA

  • @DavidMutiba-hr3vo
    @DavidMutiba-hr3vo Месяц назад +4

    Hii ni ushuhuda.kwamba ujumbe wa lissu umefika. Wameshindwa kujibu hoja ya katiba ya zanzibar na ya serekali ya muungano zinavyogongana ndani ya nchi moja. Wamerukia hoja dhaifu kwamba lissu ni mbaguzi.

  • @dkalbertoanyasime9357
    @dkalbertoanyasime9357 Месяц назад +3

    Ally happy kweli umekosa kazi je Lisu sio saiz yako

    • @karamarwamugema3700
      @karamarwamugema3700 Месяц назад

      Ngozi alikuwa anavaa babako we mrembo.

    • @karamarwamugema3700
      @karamarwamugema3700 Месяц назад

      We kijana una matatizo, . Sasa kama bajeti ilikuwa imepita kazitoa pesa wapi Samia kuwapa ruzuku.

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 Месяц назад

    Kijana happy , uko vizuri tundu lissu amepoteza muelekeo, na chadema hakitokuwa chama kikuu Cha upinzani Tena.

  • @happyjeremiahmhuli4043
    @happyjeremiahmhuli4043 Месяц назад +4

    LETENI HATI YA MKATABA WA MUUNGANO

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward Месяц назад

      Hati ya muungano ilipelekwa bunge la katiba. Haikujibu kwa nini hatujiwezi hata kuvua samaki baharini, haikujibu kwa nini tunauza maligafi nje, haikujibu kwa nini tunadhulumiana, haikujibu kwa nini tunagawa madini, haikujibu kwa nini hatuna kazi za vijana, haikujibu au lutuonyesha ni nchi gani imetushikia bunduki tusejenge viwanda au tujibimafishe sisi wenyewe. Kutaka hati ni mkumbo tu wa wanaotaka kutawala bila kufanya lolote la maana kwenye nchi yetu

  • @kingmzebez7786
    @kingmzebez7786 Месяц назад +2

    Kobe kobe2🇹🇿✌📿❤

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 Месяц назад +3

    Lisu.anaongea.na.mwenye.mbwa.sio.mbwa

  • @dentomedicalresourceslimit4602
    @dentomedicalresourceslimit4602 Месяц назад +5

    Hayati Mwinyi hatoki Zanzibar. Kwao Mkuranga Rufiji.

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 Месяц назад

      Uwe na akili wewe kazikiwa wapi mkuranga au Zanzibari?

    • @zanzibamjimpya17
      @zanzibamjimpya17 Месяц назад +1

      wewe ndiyo hauna akili kwani kuzikwa na kuzaliwa wapi hutoa mwelekeo wa mtu kwao wapi je wale wote je wale wote waliyo zikwa makabulini kwao ni hapo makabulin

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 Месяц назад

      @@zanzibamjimpya17 tuliza vufu la kichwa wewe mzee Mwinyi alifia wapi na amezikiwa wapi toka akili yako kutunga uliona wapi mtu afie kwao halafu akazikwe ugenini? IQ zero problem

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward Месяц назад

      Mzee kalala, tumwache apumuzike, hata hivyo historia ya binadamu, watu wote wa visiwa wametoka nchi kavu.

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 Месяц назад

      ​@@GodfreyOswardAti watu wote wa visiwani wametokea nchi kavu, sasa hao wa nchi kavu walitokea mawinguni kama maji ya mvua?

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 Месяц назад +3

    Ni mtu wa hovyo tu atawasikiliza ccm.
    Zanzibar wabaki na nchi Yao,tumechoshwa na huu muungano fake

  • @frankyahaya8978
    @frankyahaya8978 Месяц назад +1

    Maswali yakitoto hayo happy, ongea mambo ya msingi ya hii nchi, nakama hauna hoja ya msingi nyamaza

  • @Skomi-0nedayyes
    @Skomi-0nedayyes Месяц назад +1

    Hoja nikatiba hoja sio utaifa mzee mwinyi kwake mkuranga, karume mnyamwezi awakuzariwa Zanzibar issue katiba iliyopo ya nyerere aitufai na ata nyerere alisema tukiitaji katiba mpya tubadilishe asa tatizo likowapi ccm mnalikwepa kwepa.

  • @abdallakajenje6131
    @abdallakajenje6131 Месяц назад +1

    Huna akili sawasawa,jibu hoja za Lissu ww unazunguka bule,,hivi CCM yangu ndoimebaki navingozi wajinsi hii kweli mamaaaa!!!

  • @alliyathuman2998
    @alliyathuman2998 Месяц назад +3

    Sikia ww mwinyi hakuleta vyama ispokua ni utaratibu wa dunia nzima arafu mwinyi hakutokea Zanzibar halitokea mkuranga

    • @kelvinmbogela4718
      @kelvinmbogela4718 Месяц назад

      Wala sisi kama Tanzania tusingeweza kukataa vyama vingi. Hatukuwa na maamuzi nayo tulilazimika

    • @WillisonMkumbo
      @WillisonMkumbo Месяц назад

      Ngo'mbe nyie subirin miaka 40 ijayo

  • @moriskinombo6597
    @moriskinombo6597 Месяц назад

    Njaa mbaya sana

  • @user-zk9ox3di4b
    @user-zk9ox3di4b Месяц назад

    asante sana watanganyika kijana kwa kutudanganya tuwapigie kura ata Nyerere angeyafanya wakati uwoo nchi ilikua imetoka kwenye vita vya Uganda Wacha kuwadanganya watanganyika wanaekupigia makofi ni watoto wadogasana wenu ni simba sauti ya wanyonge

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 Месяц назад +1

    Ally Hapy akili ndogo, Vyama vingi hakuleta Mwinyi, ulikuwa mfumo wa dunia, Tanzsnia isingejitenga.

  • @user-fb6os3tb9l
    @user-fb6os3tb9l Месяц назад +4

    Mwinyi hakuleta vyama ni utaratibu wa dunia yote

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 Месяц назад

      Ulikua hujazaliwa kaa kimya hujui chochote

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz Месяц назад

      ​@@maftahmusa9513mfumo wa vyama vingi nchi za ulaya na Marekani ndio zilishinikiza na mwl Nyerere ndio aliamua nchi iwe na mfumo wa vyama vingi.

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 Месяц назад

      Janaongea maneno mepeeesi kanajiona kanajua.

  • @user-nu6op6vp7m
    @user-nu6op6vp7m Месяц назад +1

    Ovyo sana. Hujui kitu na hauna la mshiko

  • @mwakapalamwakapala8317
    @mwakapalamwakapala8317 Месяц назад +2

    Hapi ulikuwa mtoto miaka hole ujui chochote

  • @driss4957
    @driss4957 Месяц назад +1

    JIBUNI NA KIKOKOTOOO,WATUMISHI TUNAKUFA MAPEMA BAADA YA KUSTAAAFU...

  • @user-oy5dz5xl8s
    @user-oy5dz5xl8s Месяц назад +1

    Mbona ccm bado mnataja ujamaa katika msingi wa chama chao

  • @iddiali8057
    @iddiali8057 Месяц назад

    😢

  • @happyjeremiahmhuli4043
    @happyjeremiahmhuli4043 Месяц назад +1

    HAPI SIKILIZA ILIKUWA ENZI ZAMANI SASA HAMTUDANGANYI KITU

  • @fratelltutiilaudatosi4153
    @fratelltutiilaudatosi4153 Месяц назад +2

    Soma koment uone ulivyoongea hovyo

  • @user-ct1qp3th5f
    @user-ct1qp3th5f Месяц назад +1

    Hoja mfu sana. Fanyeni usanii, lakini mwisho wa usanii wenu, watz wanataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

  • @frankremishoy5778
    @frankremishoy5778 Месяц назад +1

    Siasa za kizamani.unadangsnya watanzania lissu siyo saizinyako.

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 Месяц назад +1

    Ali Hassan Mwinyi Almaroohumu sio Mzanzibar japo amesomeshwa na Wazanzibar okay.thanks

  • @ramadhanihassan788
    @ramadhanihassan788 Месяц назад +2

    c kazaliwa tanganyika pwani

  • @happyjeremiahmhuli4043
    @happyjeremiahmhuli4043 Месяц назад +2

    TANGANYIKA NA KATIBA MPYA TUNATAKA

  • @WazaeliStefano
    @WazaeliStefano Месяц назад +1

    Mfumo wa vyama vingi mwinyi aliyaruhusu kwa shinikizo la nyerere

  • @amosmangura
    @amosmangura Месяц назад +1

    MI Naona mtapoteza Malengo ya hoja..

  • @mayungarichard7443
    @mayungarichard7443 Месяц назад +1

    Mkifuta muifute na ccm, hoja huna unaongea kama kubisha tu hujajibu hoja za Lisu

  • @cyprianboniphace-oz5lw
    @cyprianboniphace-oz5lw 26 дней назад

    Wala hiyo sio hoja eti mfumo wa vyama vingi ufutwe kila jambo lina wakati wake imefika wakati muungano uangaliwe upya,we lazima utetee ulaji wako

  • @johnmanonijohn5544
    @johnmanonijohn5544 Месяц назад +1

    Huyo akauza Loliondo

  • @luthermartin1098
    @luthermartin1098 Месяц назад +1

    Happi hujui sheria yeyote wewe

  • @GodloveTyoe-fv8or
    @GodloveTyoe-fv8or День назад

    Lisu namwogopa Sana natamani siku mkutane mbashala Yani live kuna mtu ata kimbia akiwa hana la kumjibu mtu

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 Месяц назад +1

    Vyama vingi vilikuja kwa baraka za Mwalimu Nyerere na sio Mwinyi.Yote hayo ni uwongozi mbovu uliokuwepo nyuma

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn Месяц назад +2

    Yaani huyu jamaa anataka kuondoa hoja ya chadema lakini anashindwa kujenga hoja yake

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 Месяц назад

      Bado lena sana huyu. Anashangiliwa na hao malaya tu hapo anajiina na yeyey anajua.

  • @DoctorRengeda
    @DoctorRengeda Месяц назад +1

    Hoja zako hazina msingi hujitambui kakojoe ulale

  • @suleimanharoub9252
    @suleimanharoub9252 Месяц назад

    Piga kazi Ali Salim Hapi kijana hodari mzalendo

  • @theobartkingamkono5087
    @theobartkingamkono5087 Месяц назад +1

    Huna akili za kumuhoji lisu shule yako haitoshi kwako ww na lisu sawa n bahari na mto sasa wapi na wapi

  • @fratelltutiilaudatosi4153
    @fratelltutiilaudatosi4153 Месяц назад +2

    Huyu ndo amechaguliwa kuisadia ccm hovyo kabusa

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 Месяц назад

      Ati ndio ana akili huko ccm hahahaaaa kilaA kweli hakijui hata maswali ya lissu ni yapi kanajibu maswali amvayo hatajaulizwa alafu eti ni mwanasheria?

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 Месяц назад +1

    Ww uwelewa wako mdogo kabisa tena wa kitoto

  • @ShukuruJohnston
    @ShukuruJohnston Месяц назад +1

    Acha udanganyifu,zirudishwe bandari zetu

  • @RahimMallya-fh9zc
    @RahimMallya-fh9zc Месяц назад +1

    Uyo sio saiz yako lissu, alafu watanzania wa leo sio, wa mwaka 47 jibuni oja

  • @neemadaud312
    @neemadaud312 Месяц назад +1

    Huyu alikuwaga wapi?

  • @dayanikitambi2085
    @dayanikitambi2085 Месяц назад +1

    Huna hoja wewe kalale mchumia tumbo tu, uliza vizur utaambiwa Nyerere ndie baba wa taifa ndie aliongoza makubariano ya vyama vingi

  • @cloudngoko.2679
    @cloudngoko.2679 Месяц назад

    Daaa aise Ally happy ananizidi kila kitu ila katika kusema acha niseme. Pambana na wezi wanaokichafua chama chetu.

  • @ShukuruJohnston
    @ShukuruJohnston Месяц назад +2

    Sisi tunachotaka kujua,kwanini bandari za zinziba hazijakodishwa?

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim Месяц назад

      Kwsbb Zanzibar tuna rais wetu .na nyinyi mna rais wenu

  • @user-qk9iz5lt8q
    @user-qk9iz5lt8q Месяц назад +1

    Miongoni mwa hoja za Tundulisu, mbona haziguswi? Kubinafisisha bandari ,kufukuza wamasai loliondo misitu nk jibuni hoja sio vihoja

  • @shekhaahmed3961
    @shekhaahmed3961 Месяц назад +1

    Swali l tatu walijibu 😂.sema Ally Happy wacha wanunee

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 Месяц назад +1

    Ss sio zilipendwa

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 Месяц назад +1

    Nyie wote wasenge tu

  • @IsackRulamunuga-gy3zd
    @IsackRulamunuga-gy3zd Месяц назад

    Kaka ally hapi, lissu yupo sawa. Siku Moja utafuta kauli Yako mwenyewe pale utakapokuwa vizuri.

  • @istambulahmed6664
    @istambulahmed6664 Месяц назад

    Ali hapi uko vizuri saaaana tundu lisu akasome kwani maneno ya lisu ni kama vile ametumwa na makanisa kwani suala la makosa ya mtu yaelezwe makosa yake na sio wapi anatoka maneno kama hayo yanaongelewa na watu wasio litakia kheri taifa kwani maneno yake yanaweza kulichana Chana taifa letu na mtu kama huyu kipindi cha magu sidhani kama anaweza kumwacha.

  • @frankminga9307
    @frankminga9307 Месяц назад +1

    Hongera lisu ujumbe wako umewaingia vizuri, ongeza dose lisu , dawa zako zinafanyakazi

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 Месяц назад

      Walikwisha pita wehu kama Lisu na hoja kama hizo za kiwehu kama akina mzee wa Gabachori wakaangukia pua na huyo Dundulisu atadundukia hukohuko

    • @cyprianboniphace-oz5lw
      @cyprianboniphace-oz5lw 26 дней назад

      Ninyi mnategemea tume yenu ya uchaguzi uchaguzi kungekuwa na tume huru usingeongea hayo

  • @user-xj3um9si6o
    @user-xj3um9si6o Месяц назад

    yaan ukishakua mwana ccm akili auna kweli,kwan mwinyi kaongelewa? alaf kwan mwinyi ametufukuza wamasai kwenye sehemu zetu? maana samia katufukuza

  • @fratelltutiilaudatosi4153
    @fratelltutiilaudatosi4153 Месяц назад +1

    Hoja ya kitoto kabisa

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 Месяц назад +1

    Ww ni bwege toka apo hatudanganyi

  • @frankyahaya8978
    @frankyahaya8978 Месяц назад

    Hivi ninyi CCM mnasomaga comet za raia wa Tanzania kweli, au mnajizimaga data.

  • @titokeneth391
    @titokeneth391 Месяц назад +2

    Acha kudanganya watu wewe

  • @crispinKutandawa-cv2vo
    @crispinKutandawa-cv2vo Месяц назад +1

    Wewe nawe ni zezeta tu ni Nyerere ndo aleruhusu vyama vingi acha uzezeta

  • @SalimSalim-zf4fl
    @SalimSalim-zf4fl Месяц назад

    Ally endelea kumfatilia huyu lisu
    Naona akiachiwa kuhubiri yasio husu mwisho anaweza akaleta mgawano kati y Watanzania😊

  • @frankremishoy5778
    @frankremishoy5778 Месяц назад

    Siasa za zamani

  • @user-cx1xz2is5d
    @user-cx1xz2is5d Месяц назад

    Mwinyi ameanza kutawa 1985 tulikuwa hatuvai ngozi mwaka 1953 mwingereza magret ndiye alikuja kuondoa ngozi acha uwongo jibu hoja

  • @kaguripenina63
    @kaguripenina63 Месяц назад +1

    Lisu piga supana hili boya

  • @iddynjonjo
    @iddynjonjo Месяц назад +1

    Mshukuru mama magu alikutupa jalalani

  • @user-wh4bc4rc8b
    @user-wh4bc4rc8b Месяц назад +1

    Huna hoja kalale,

  • @Boniface-up1wq
    @Boniface-up1wq Месяц назад

    Mbona hujaitaja Tanganyika?

  • @selemanmaona5812
    @selemanmaona5812 Месяц назад +1

    LISU YUPO VIZURI KWA MASWALI HAYO KAAMA CHAPSTI NASUPU

  • @issashunda444
    @issashunda444 Месяц назад

    Ally Hapi inamaana Rais anayetokea Bara ataleta upangaji wa foleni tena kama wakati wa Nyerere. Unakumbuka lakini Kwanini tulipanga foleni folen wakati ule . Au umesoma historia .

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd Месяц назад

    kijana kabisa lakini hakiri auna.

  • @user-pz7zi2bf1w
    @user-pz7zi2bf1w Месяц назад +2

    Wewe ndo mwehu sana tanganyika Iko wapi?

  • @paulojohn9608
    @paulojohn9608 Месяц назад +1

    hapi usipotezee wamasai wanalalamika aridhi yao bandar ziko wapi

  • @user-xj3um9si6o
    @user-xj3um9si6o Месяц назад

    wananchi wa tanzania hua atinaga akili sasa huyu naongea nini had anashangiliwa jaman,wao wenyewe hawajaleta huo umeme,maji wala hospitali,hua tunachanga wemyewe kama wananchi kltiendeleze kila kitu aua tujenge kila kitu iwe zahanat,iwe maji na vingne

  • @luthermartin1098
    @luthermartin1098 Месяц назад

    Ruxuku dio hela ya CCM ni hela yetu ya kodi zetu acha kutudanganya ,weka mdahalo na viongozi wa CDM tuwachuje kwa hojasio vijemne kumbuka uchaguzi unachungulia tunahitaji hojazenye point

  • @aqramseif5111
    @aqramseif5111 Месяц назад

    Kwani kama wameagiza wasisemwe kwani hao nimalaika jibu hoja unamaliza m,b zetu

  • @dayanikitambi2085
    @dayanikitambi2085 Месяц назад

    Wanainchi wanaokusikiliza mh waangalie vizur

  • @zawadimbwambo1091
    @zawadimbwambo1091 Месяц назад

    We mrembo nenda kapikie watoto hyna uwezo wa kumjubu lissu .

  • @Ikiramu
    @Ikiramu Месяц назад

    Mwenyi hakuleta vyama nimchakato wa Dunia nzima

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 Месяц назад

    Leteni katiba mpya muowe CCM wametufanya masikini wanapojibu hao wanawake wampingika kweli walipo hata sauti tu zinatilia za kimasikini

  • @TimisaMtima-qs3uj
    @TimisaMtima-qs3uj Месяц назад +1

    Hapi mwinyi alitoka Bara kwake ni mkuranga

  • @talents7934
    @talents7934 Месяц назад

    Huyu jamaa amefanana na karunguyeye A.K.A NunguNungu hata iyo pua ni kitambulisho tosha kuwa ana ushemeji na karunguyeye

  • @OdenBidili-lj5qi
    @OdenBidili-lj5qi Месяц назад

    Huyu bado siasa arudi kulima

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 Месяц назад +1

    Msapot ww unayekula nae hela za bandar

  • @ahmed59122
    @ahmed59122 Месяц назад

    Mwinyi sio mzanzibar hahah unachemsha bro. mwenye ni mtu wa pwani kazaliwa mkulanga ni mzaromo .
    alikwenda tu kwa kusoma dini bro .

  • @GodloveTyoe-fv8or
    @GodloveTyoe-fv8or День назад

    Kwetu wapo mpaka Leo wanaenda bila viatu tusaidien ccm chama tawala serkal kamir

  • @aqramseif5111
    @aqramseif5111 Месяц назад

    Maswali yako ya kitoto sana pia Mzee mwenyi nimtu wa mkulanga sio mzenji

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky Месяц назад

    Yatajibiwa

  • @happyjeremiahmhuli4043
    @happyjeremiahmhuli4043 Месяц назад +1

    HUJUI CHOCHOTE WEWE HAPI ACHA POROPOGANDA USICHEZE NA MAISHA YETU

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 Месяц назад

    Tuambieni Tanganyika muliuiulia wapi

  • @talents7934
    @talents7934 Месяц назад

    GB zangu zimeenda bure ni bora ningetazama katoon najuta sana😢

  • @philimonndinadyo2120
    @philimonndinadyo2120 Месяц назад

    Tundu Lisu tunamjibia sisi kwakuwa sio saizi yako Mwinyi hakukeleta vyama vingi Tanganyika tu vilelihusu na Zanziba kwanini samia auze bandari za Tanganyika aache za Zanziba

  • @user-ch9ny6uw1d
    @user-ch9ny6uw1d Месяц назад

    Huna hata mshipa wa aibu,,